We Dada ongera Sana,ivi umeumbwa au umeshuswa? Nakushangaa nguvu uliyonayo kwenye kuigiza,mungu wangu unaweza Sana mungu akupe miaka mingi Kama bi kidude🙏🙏🏻🙏
Unaongea point sana mama yangu mpenz maneno yako yameniingia sana hasa hasa ilo swala la mzazi kumpatia mtoto kitu anachostahili ulichoongea hapo kimenifunza kitu mama yangu alinilea kwa taabu sana lkn nina imani siku yaja nitamfuta mama yangu machozi mungu ni wetu sote🙏🙏
Grace unajua sn kuact kiuasilia. Napenda sn filamu ulizocheza. Kila moja umeitendea haki. Kunavile mlikuwa mnadate mama na mtt bila kujua, na ile ya bint mmoja alilelewa vbaya na mamake ww ukawa mamake wa kambo na ile ya chaupele. Loo! Bigup sn! Ulijua kunifurahisha!
Kwani shikamoo nn salamu ni salamu tuu alafu watu wengi hawapendag shikamoo mtu unamuona kbs kakuzid umri lakini hata ukimuamkia haitikii au anaziga kwa hyo shkamoo hainaga umuhimu sana japa bongo
Yaani uyu mama mfano angekuwa kama raisi duu nadhanimambo yangewnda maana Kila anaposimama kwa kuhokiwa anakuwa anatoa point mpk raha jamani lakini tumekosa jembe na kupitia kifo Cha huyu mama tasnia nyingi za filamu nadhani zitachukua mfano na Huba itapiga hatua kubwa be kwakuona kuwa kumbe!!mungu awatie nguvu wanahiba wote poleni nawaonea huruma sana japo nimipango ya mungu
Kuumwa kupo,na kufariki kupo.Ila wamama na wadada tuache kujichubua jamani,hizo chemicals zina madhara sana ya muda mrefu,magonjwa mengi ya ngozi na damu yanakuja kuibuka baadae,hata izo kuumwa homa za ini na mengineyo,hata hayo mapafu yanaathirika pia.Hawa wote walikuwa weusi,ukiangalia toka zamani walivokuwa na sasa,utaelewa utofauti.Hata Mtangazaji hakuwa mweupe hivi.Tujirekebishe kwenye vipodozi.
Shikamoo sio heshima unaweza kumpa iyo shikamoo ikawa ya kinafiki lakin pia km inge memkwaza ange mind ninacho amin mjin watu wengi hawachkulii shikamoo km kitu kikubwa

Amen
Ameen na ikawe kheri kwako uje umtunze mama yako.
@@imeldabamba3779 Nashukru sana🙏🙏
Nimekuja huku baada kifo chako❤❤❤RIP
Umekuwa mzungu mamaangu grace mapunda
Grace unajua sn kuact kiuasilia. Napenda sn filamu ulizocheza. Kila moja umeitendea haki. Kunavile mlikuwa mnadate mama na mtt bila kujua, na ile ya bint mmoja alilelewa vbaya na mamake ww ukawa mamake wa kambo na ile ya chaupele. Loo! Bigup sn! Ulijua kunifurahisha!
Nakupena sana
Muigizaji “mashallah” ni zaidi ya kuigiza nashindwa kuelezea (anabebaga uhalisia/ kweli anatesa kooote).
Aminaa dada umeongea vizuri ushauri mzuri waki Mungu nakupenda sana sana sijawahi kuona ukiongea vibaya dada Ang Tesa ❤❤❤
uyu mama nimzuri kweli alafu ananoga
imeniuma sana hii aisee Mungu amlaze mahala pema peponi
Hongera yako mama. Nakupenda San. Namic gilamu za kilio sasa huwa unaniliza San ukishik uaharisia
Tessa, unajuwa kuigiza, nakupenda
Shkamoo Mama Grace umeongea mambo mazito mnoooo shkamoo tena 👁️🙌🙌
She's doing so well Mamy Grace... keep up the good work!!
Nilimpenda sana mama uyu ila punzika kw amani tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi
Uyu Dada nampenda sana, yuko vizuri toka naanza kumfatilia nikiwa na miaka 18,mpaka leo yuko hot, Allah akuweke mamy uko powa 😘❤️
Din ungempa heshima yke uyo n mama kwako n sio mambo
Mama wa kingoni nampenda saaana mama uyo❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🙏
Mwanamke ukiwa mzuri kuishi miaka mingu ni ngumu sana
Nakupenda sana mama wewe ni mama mwenye huruma busara na mungu kakujalia busara nyingi 😘😘😘😘😘😘😍
Nimependa sana da grece
Grâce mapunda huyo ana romasi sana mpaka raha.mimi ninampango yakuja huko Tanzania anifundishe❤️🥰 I am from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Too late 😢😢😢 now ni marehemu
Hongera saaana wajina upo vizur!
Khaaaaaa wew mtt wew, huyo si sawa na mama hako unamwambia mambo tena uso mkavu km kashata.......
Sema wewe wajina
😂😂😂😂
Dini kwanza hanaga haya, kwanza ujue hilo.
Kazini
Kwani shikamoo nn salamu ni salamu tuu alafu watu wengi hawapendag shikamoo mtu unamuona kbs kakuzid umri lakini hata ukimuamkia haitikii au anaziga kwa hyo shkamoo hainaga umuhimu sana japa bongo
Hongera mom.yani nakupenda yangu yote.move hulonitach nayo Zaid na sitoisaau.USIKU WA BALA 😘poleni kwa misukosuko ndani ya movie 🙏.god bless all 🙏
Mtangazaji huyu grace anakuzaa ni bora ukamsalimia shikamoo
Et mambo vip 🙄🙄
R I p
Wamama wengi hawapendi shikamoo
@@ishe_ngo8926unamwamkia tuu akiitikia kheir,pumzika mama.
@@yustersimon5104mshenzi kabisa,eti mambo vipi ,aiseee😢😢
Et leo hii marehemuu tesa jmn ww kifooo mbn umechukua kituu kizurii sanaa😢😭
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍love you mama nimependa maneno ya mwesho mungu akubariki
Nampenda Sana huyuuu mama jamani
Katesa katoto ka zuuuurii RIP.
Huyu mama alikuwa anaongea kwa upole busara istoxhe hakuwa na mambo maovu ya mitandao kuhusu maboss ya ajabu ajabu 🎉🎉
Duh huyu mama hazeeki
Nampendaga huyu mama kiukwer mungu amuweke hai
Nakupenda mama
Kumbe uyu mama mzuri ivi jamani😘😘😘
Lakini pia mikorogo, huyu mama sio mweupe wa hivi..
Ni mzuri ila make-up pia imembeba
@@annasolomon9855 ana rangi yake nzuri tu sijui kwann aliamua kujiongeza rangi
Merci maman pour ces conseils jtm fort
Walokua uku baada ya kupata taarifa ya musiba wa Tessa like tujuane
Nakupenda sana mama umeongea vizur mungu akupokee umetuacia mafundisho mazuri utuombee 😢😢😢😢
Mama nimekupata vzr sana.Mungu azidi kukuinua
Tesa wetu!! More 🔥🔥🔥
Mimi pia nipo naumia sana mungu ampumzishe
My favorite actor 💪
Actor tena?
We mtangazaji huna adabu uyo ni mama Yako kuwa na heshima
Penda sana Tesa😘😘
Nimerudi kwa kiliyo hapa😢😢😢😭😭😭
tesa nakupendaaa
Manzee we preacher surely
hazeekii jmn...yani usoni ata mtangazaji anaonekana kana kwamba ndo mkubwaa
Ni mtu mzima hiyo ni mikorogo.
@@annasolomon9855 hajichubui ni rangi yake
@@reenyaysher7639 namjua sio mweusi lakini kajiongezea usikatae..
Acha masifa bana huu ni shosho sana eti hazeeki 😢achana na mecup zake
Hongera mama unatisha
Hyu mtangazaji. Pumbavu sana maswali mengine hupaswa kuuliza huyu mama ni mtu mzm
Halaf Hana hata hekima
Sauti tuuuuu barikiwa....haina papara
Umependeza sana mama Grace nakupenda zaid ya sana
Nakupenda sana mama💕
More love mama grace mapunda
Nakupenda mama Grace Mapunda
Nakupenda xn Mama
Nimerudi tena kukusikiliza baada ya kifo chako mama yetu😢😢😢😢😢 tutakukumbuka sana .
Mama akiigiza analia wewe utapenda analia sana
Analiaga sana
Luv u my sister
Waooo! Sikujua kama Tessa unalijua neno kiasi hiki, nimekupenda bure, endelea kubarikiwa mpaka shetani ashangae.
Pumzika kwa Amani Gra ce Mapunda.
Kweli muda wa mungu umefika na kila kitu tunaona kwa machoz
nampenda akicheka Mungu amrehemu😭😭😭
Tesa aki uko sawa kwauingizaji
Uyu mama angejua ninavyo mpenda sijui angefanyaj
Jamani Grace mapunda ☺️ nampenda sana huyu mama Jamani Yani ana busara mno🥰
Uko vzr mama mrembo
Doing well mama
Daaah kumbe ni mpole maana Ni Tesa kwel nampenda
Tesa nakupenda sana mamaa
Yaani uyu mama mfano angekuwa kama raisi duu nadhanimambo yangewnda maana Kila anaposimama kwa kuhokiwa anakuwa anatoa point mpk raha jamani lakini tumekosa jembe na kupitia kifo Cha huyu mama tasnia nyingi za filamu nadhani zitachukua mfano na Huba itapiga hatua kubwa be kwakuona kuwa kumbe!!mungu awatie nguvu wanahiba wote poleni nawaonea huruma sana japo nimipango ya mungu
Tunakupenda ❤❤❤❤
Mtangazaji umeboa kwenye salam huyo ni sawa na mama yako but all of all nampenda sana huyu mama anajua kuigiza mpaka anajua tena
Hana heshima hata Mimi sikupenda
Mie pia nilitaraji neno shikamoo!! Hivi viandishi uchwala
Nmeshangaa pia et mambo hata kujishtukia lol🙌🏼
Amkia wewee mtangazaji nyoo! 😁eti "mambo"
Wamama wa siku hiz sio wote wanapenda shikamoo.
Allah akurehem mama yetu😢😢
Asante mama tesa,lots of 💕
Kazi nzuri mama
❤❤❤ saiz kaisha kwenye huba mmmmh
Eti mambo mtangazaji Adabu hakuna
Wengi wao ndowalivyo
Kabisa mamaau nikweli sana akuna kama mungu yarabi
Kuumwa kupo,na kufariki kupo.Ila wamama na wadada tuache kujichubua jamani,hizo chemicals zina madhara sana ya muda mrefu,magonjwa mengi ya ngozi na damu yanakuja kuibuka baadae,hata izo kuumwa homa za ini na mengineyo,hata hayo mapafu yanaathirika pia.Hawa wote walikuwa weusi,ukiangalia toka zamani walivokuwa na sasa,utaelewa utofauti.Hata Mtangazaji hakuwa mweupe hivi.Tujirekebishe kwenye vipodozi.
Ninakukubari sana mama upo vzr sana
We mtangazaji Huna adabu ni mama Yako huyo et unamsalimia mambo vip🤦🤦
Nampendaga mm grace mapunda jmn
Kwel dizm umetisha n mamako huyo
Yani amekosa adabu
Minpia sijapenda
Kabisa
Shikamoo sio heshima unaweza kumpa iyo shikamoo ikawa ya kinafiki lakin pia km inge memkwaza ange mind ninacho amin mjin watu wengi hawachkulii shikamoo km kitu kikubwa
Mama huyu namkubari sana
MASHALLAH UMEPENDEZA
Amini yarabi mamaau
Nakupenda. Bure. Mama. Yetu.
Nakukubal sana mama angu
Pumzika kwa Aman mama etu jaman
Hujui kusalimia dinny
Tesaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Continue resting in peace ☮️ Tesa 😢😢
SijApenda kwann hujamuAmkia
Nakukubari sana.
Mie nilijua yule alofariki Zanzibar ndiobl huyu nikaumia sana😓😓
Kwaiyo yle ujaumia
Alio farik ni mama Sonia ila huwa wanatak fanana na walikuw wote vzr upande wa mama
Pole da!
Ukitaka umtofautishe huyu na yule aliyefariki nenda kaangalie "the lost twince" aliyekufa ameigiza kule utamwona utaweza kutofautisha
Kabisa mamaa tuko
Sasa hamkai mnasimama
mom😭😭😭😭😭Grance
Grace 💔💔💔💔💔💔🪽sleep well mom
Mapunda uyo
Gosto muito das sua palavras mamãe