FRIDAY NIGHT LIVE - Msodoki asema bado ana beef na Young Dee

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 469

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 лет назад +60

    Kuhusu kufunikwa siwaz ila kuhusu janjaro na young dee mm ndo mkubwa wao wa kazi
    Shikamooo msodoki

  • @eliaspaschal6625
    @eliaspaschal6625 7 лет назад +36

    Mtoto wa kihuni 😅😅😅 || Killer hatari sanaaaa

  • @himatwallahcngam5894
    @himatwallahcngam5894 7 лет назад +70

    Young Dee aache mamb ya kununa kama demu... Young Killer ndo baba yao hanaga mamb ya kishamba.. DEE Hutaki kufananishwa au huna cha kufananishwa na madogo, Huna Tuzo, Battle huwez unaogopa, Mtonyo huna, Demu mkal huna, hata kujitupia huwez famba we... YOUNG KILLER & DOGO JANJA MOTO WA KUOTEA MBALI.

  • @allanausi5099
    @allanausi5099 7 лет назад +8

    hip hop iz nt only rap even talking skill....jaman youngkiller ni noumaaa sana....gonga like basiiii

  • @kelvin_mnene.6215
    @kelvin_mnene.6215 7 лет назад +99

    gonga like apa kama unamkubali hendsom boy asiyekuwa na matunzo. young dee anasema hataki kifananishwa sasa anaulizwa kwa kipi alichonacho hana kitu chochoteee tena amshkr sana mr t.touuch angekua yuko mtaani hana llt huyo young killer mpambanaji bhana alf anaga skendo za kijinga kama unamkubali young killer gonga like.

  • @samwelkiondo8305
    @samwelkiondo8305 5 лет назад +2

    🔥🔥🔥msodoki ni Moto wakuoteambali we kipusa nipitiembali yamusa mpe Musa hayamuhusu kaisali.😊😆😂🤣.wanangue young killer saluti kwake au mnasemaje? Kama2kopamoja gonna like ok.big up Sana kwake

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 лет назад +4

    *Kama unamkubali young killer msodoki gonga like*

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 7 лет назад +35

    WOTE WAKALI KWA NAMNA YAO..! MSODOKI MKALI KWENYE LYRICS..

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 лет назад +59

    Killer moto wa kuotea mbali ukisikiliza ngoma zake unaweza kuunguza chakula kwa utamu wa mistari yake shikamooo msodoki.

  • @Msetotz
    @Msetotz 7 лет назад +9

    Ila interview imeharibika sam umeshindwa kuwa control kam host

  • @williamchembo2014
    @williamchembo2014 7 лет назад +20

    Killer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohammedsariko9095
    @mohammedsariko9095 7 лет назад +11

    Dee hamuwezi msodoki. Akubali tuu alishindwa kutumia muda vzr

  • @khalfanmohd5807
    @khalfanmohd5807 7 лет назад +26

    #youngkiller ndio habari ya mjini

  • @shamsmussa194
    @shamsmussa194 7 лет назад +12

    killer is killer hawezi kufananishwa na hyo mla ngada,wap na wap young dee na young killer wawe sawa!,au kisa sinaga swaga na bongo bahati mbaya!😠😠😠😠😠hahaha hahahaaaaaaaaaa young killer unatisha mbaya big up sana kaka,achana na hyo mla sembe😅😅😅😅😅😅

  • @jallymsemwa
    @jallymsemwa 7 лет назад +60

    KILA MTU ANA UKALI WAKE DEE YE MKALI WA KUIGA SWAGGA ZA MBELE NDO MANA YUKO BONGO BAHATI MBAYA...KILLER MKALI WA LYRICS....JANJARO MKALI WA MAVAZI

  • @solalegahinfo4407
    @solalegahinfo4407 7 лет назад +18

    we killer unakoelekea n kuua ukwel ukwel ao watoto kweny michano n machoko tu

    • @johnjp2322
      @johnjp2322 6 лет назад

      Solalegah Info young de kashindwa kuchana kwaiyo kapata aibu

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 4 года назад +2

    Amber Lulu hapa alikua mtamu balaa. ❤️ Siku hizi kanenepa sana sijui amekuaje dooh!

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 лет назад +10

    Young dee huyu dogo mshamba sana, aiseeee

  • @kelvinngogo1819
    @kelvinngogo1819 3 года назад +5

    Young killer kanirudisha tena huku🔥🔥🔥

  • @doreenijakobo8590
    @doreenijakobo8590 3 года назад +2

    Mmependeza sana 🤘🤘🤘

  • @salumallymngumba
    @salumallymngumba 7 лет назад +19

    msodoki noma sana

  • @mnonline5661
    @mnonline5661 7 лет назад +25

    sam acha uboya kwan we ujui kama killer mkali au

  • @frankjully5457
    @frankjully5457 7 лет назад +10

    hapo kweli haina kushindanishwa muziki yao ni tofauti young dee ana chana kiswaga swaga ndomaana anajiita bongo Bahati mbaya young killer ana chana hip hop ngumu ni sawa na kumshindanisha joh makini na fid q

  • @georgeludakulo2118
    @georgeludakulo2118 7 лет назад +27

    Aaaaah young d ucpanic young killer habar nyingine uwe mpole ww

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 7 лет назад +4

    Freestyle is a special talent, not every rapper knows to do so .

  • @djtinny2694
    @djtinny2694 7 лет назад +16

    Killer till i die.....🔥🔥🔥🔥

  • @arasojahiphopculture8056
    @arasojahiphopculture8056 7 лет назад +18

    Young killer Uko perfect

  • @jaguarcomed6320
    @jaguarcomed6320 Год назад +1

    Msodoki The sun 🌞

  • @dullahmmbai9357
    @dullahmmbai9357 7 лет назад +6

    young killer hatareeee young deee unakosea tuu na matusi yko

  • @pendoyahaya1292
    @pendoyahaya1292 7 лет назад +23

    Young dee leo kapatikana

  • @kelbertkiza8233
    @kelbertkiza8233 7 лет назад +3

    Youngdeee ndo mkali bana ilanawakubali wote kipaji kimoja kwa ukali msifananishe Nama young wengine 🙏🙏🙏🤙💪🏿

  • @ivanmbilinyi6593
    @ivanmbilinyi6593 7 лет назад +4

    Kila huyo mla sembe achana nawe mmalize kwa mic tu

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 7 лет назад +12

    Sam acha kumkuza young dee wakati hana lolote, young killer ni zaidi ya ma young wote bongo

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 7 лет назад +9

    Huu niujinga unajuwa wote wana ma beef alafu unawaleta pamoja chapili sasa ule uzembe wakuto kujuwa nani mkali sasa unajuwa sasa umefaidi nini

    • @mustafaluziga5196
      @mustafaluziga5196 6 лет назад

      Sijapenda watakuja kuwatia hasara maana chupa zinatosha kumaliza vita una hakili sam

  • @shedyplatinumz4853
    @shedyplatinumz4853 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nime iona mwaka 2020

  • @cholokanji7139
    @cholokanji7139 7 лет назад +17

    kuhusu kufunikwa me siwez kuhusu janjaro na young dee me ndo mkubwa wao wa kazi killer

  • @muniyrkingsheronsheron4857
    @muniyrkingsheronsheron4857 7 лет назад +12

    young killer msodoki jamani aaaaachiwe best handsome boy alkosa matunzo halafu mtanashirt genius kwenye ubongo tallent miusation rappes

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 лет назад +15

    Tena young dee hajakosea hataki kushindanishwa coz hana cha kushindanishwa na msodoki killer anatuzo yeye hana so anaona aibu anaishia kutukana kama wew rappa unakataaje kupiga bato

  • @godfreykanelela9448
    @godfreykanelela9448 7 лет назад +41

    young d kapatikana hahahahahhaha chezea killer

  • @khafidhunchonkoly8775
    @khafidhunchonkoly8775 7 лет назад +3

    Young killer ndo kichwa cha habar hao wengine habari tu mzee baba killer is always kill it

  • @officiallynomi73
    @officiallynomi73 7 лет назад +5

    Youngkiller the perfect one 👌❤

  • @husnahassan4771
    @husnahassan4771 4 года назад +1

    Woyooooo kelele kwa killer akee🤗🤗🤗

  • @simbavevo7318
    @simbavevo7318 7 лет назад +13

    Jaman ya killer level zingine

  • @samwelimponda719
    @samwelimponda719 7 лет назад

    Mnatumalizia Mb Kwa Vtu Vya Kishamba BYThWay Mnawezqa Tusiwa

  • @emmaleejr6670
    @emmaleejr6670 7 лет назад +3

    killer we muuaji😂😂🔥🔥

  • @musasadiki3898
    @musasadiki3898 7 лет назад

    Hahaaaaaaaaaa, Lazima akimbie hapoooo. Mzaramo kakutana na michano ya kisukuma 😅😂😂😂😂😂

  • @nonenone4954
    @nonenone4954 5 лет назад +2

    Young D akubalii tu kuwa young killer ni mkubwa wake wa kazi yaishe.

  • @mwiluduuma6603
    @mwiluduuma6603 6 лет назад

    m nampenda young kiler Atari..Mungu amlinde milele

  • @sujaramazani1181
    @sujaramazani1181 6 лет назад

    killer mwanza mwanza anajizimia ndo maana anameremetaaaaaàaàa 💯💛💛💛💛💜💜💜💜💕💕💖👍

  • @michaeljeremiah634
    @michaeljeremiah634 7 лет назад +10

    Sam unaboa unajua nan mkali watu

  • @hemediphdvevo5338
    @hemediphdvevo5338 7 лет назад +18

    oyoooooo msodoki umetisha

  • @davidtumwesigye7340
    @davidtumwesigye7340 3 года назад

    Presenter is on point.Best of the best.Whats his name guys?

  • @Msetotz
    @Msetotz 7 лет назад +17

    Young dee kajinunisha et 😀😀

  • @mchoxclever3251
    @mchoxclever3251 7 лет назад +3

    Pambana na hali yako 😂😂😂😂

  • @simondaudi4197
    @simondaudi4197 7 лет назад +21

    Kutangulia kwenye game haimaanishi wewe ndo mkali unaweza ukaanza zamani wakaja wengine nyuma wakakufunika.. Killer ni zaidi ya dee na janjaro.. Kwanza hajisikii na kutukana Kama dee..

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 7 лет назад +2

      hiyo ni tabia ya MTU halafu kiubora young killer ana chana sawa kuwazidi ila muziki wake ni wabongo hapa hapa kama kina stamina mistari mingi muziki wao unaishia bongo young dee na dogo janja wana muziki ambayo unaweza vuka mipaka ya nje kama joh makin darasa yaani mistari michache nyimbo inachezeka

    • @illuminetthedon9267
      @illuminetthedon9267 7 лет назад +1

      True lakini hata killer vilevile asha anza kutoboa

  • @eliassmyamba4430
    @eliassmyamba4430 5 лет назад +1

    hahaha! Mla unga huyo analopoka nn this is a time to workup salute kwa young killer msodooooookiiii

  • @vonkale8565
    @vonkale8565 7 лет назад +8

    Young Dee hovyo kabisa yaan huyu, Unga umemuharibu mbwa koko huyu

  • @jafarieliasa8667
    @jafarieliasa8667 7 лет назад +4

    Hakuna k2 nitakuja nifrahi sana kama kukutana na young kellar daaah sitoamini penda sana huyo kijana please call me 0713354647

  • @godrichmwatindila5690
    @godrichmwatindila5690 7 лет назад +5

    hahahhaahha.dee kapanic brother😂😂😂

  • @farajamtono1450
    @farajamtono1450 7 лет назад +2

    young killer dam dam nakukubali miaka buku

  • @boazmuhoya759
    @boazmuhoya759 7 лет назад

    Uyu young d mamae anajiona special afu anajkuta mbabe sana kmbe hana lolote mafanikio ya madogo wengne yanampa stress anaishia kula sembe

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 7 лет назад +6

    young killer umejibleach aisee .amna msukuma wahivooo🐭😂😂😂🐭
    😁

  • @frankdotto1006
    @frankdotto1006 7 лет назад

    Nakuubali sana young d, ww ni zaid ya rappers

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 7 лет назад +2

    music aujifichi muziki upate mafanikio kwakile unachokifanya ..sasa dee wee ni wazaman sawa muziki umekufaidisha nini? usichukue MTU akikwambia unalala ustudio pambana kutoka Kwenye iyoo kitu .Kwa michano umuwezi killer ipo wazi zaid utapanic tuu kukosa tuzo Kwa dully ww hakukusaidii wala uyoo blue. tunataka ww ujisifie ukubwa wko mafanikio yko ulinganshwe na hao unaowaita madogo. uyoo necha unaesema hana tuzo sijui kama unakumbukumbu vzur mi nasema anayo na kapata nje ya nchi ukipata time nenda halisi record utaiona tuzo yke na anaishi kwake kwaiyoo muzik umemfanya aishi kwake acha misifa mzee komaa usilale studio ....

  • @guezvoncruz3361
    @guezvoncruz3361 7 лет назад +2

    #KILLER ndo fund mzey babaa

  • @denkimnyamweziofficial9011
    @denkimnyamweziofficial9011 3 года назад

    Imetisha

  • @ahmedallynative8510
    @ahmedallynative8510 7 лет назад +15

    dee umebwela chalii

  • @kulwacharleskatabi8105
    @kulwacharleskatabi8105 7 лет назад +6

    Killer achan na Huyo kina

  • @sadickramadhan3496
    @sadickramadhan3496 4 года назад +1

    Young killer ndio kusema Kwani iko nene

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Год назад +2

    Nimeirudia tena hii show leo 7/4/2023 Killer hana maringo kama Young D. Ila uhalisia Killer yupo juu zaidi ya Young D

  • @hamzanamoto3332
    @hamzanamoto3332 7 лет назад

    msodoki bhna tishaaaaa sna kuliko deee

  • @davidricharddavid1969
    @davidricharddavid1969 5 лет назад

    Kama una mkubar msukuma wakwetu conga like

  • @joohcloudy738
    @joohcloudy738 7 лет назад +1

    young killer nakukubal sana ila kilchonichosha kukataa beat ya ma Broh joh makn kwan bdo MNA tatzo

  • @damasbarnabas2753
    @damasbarnabas2753 7 лет назад

    Young dee unataka respect kat kwenye interview unatukana pumbavu youngkiller mstarabu sana

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 7 лет назад +3

    AF acheni hzo bhana killer hapo mnamuonea tu D nmdogo sana

  • @kingzed7763
    @kingzed7763 7 лет назад +6

    young dee toka mwanzo ashaxema diss afanyi saiv so sixhangai pesa ndo kila ktu.....

  • @ivanokillerfadhili525
    @ivanokillerfadhili525 3 года назад

    Nakubali Killer unajiamini ki Noma mukubwa wg

  • @andrewmalisa1893
    @andrewmalisa1893 7 лет назад

    ebhana eeeh ntolee hawa madogooo meen
    😂😂😂😂😂😂😂
    kapakashume kamepagawaaa
    sam so poa ujue

  • @verlentinsolomon6025
    @verlentinsolomon6025 7 лет назад +8

    Daaaaa wote mabumunda2 wanazingua aooo wshikaji

  • @safarijoseph4927
    @safarijoseph4927 3 года назад +1

    Msodoooo ni muotoo 🔥🔥🔥🔥

  • @luffajr3015
    @luffajr3015 7 лет назад +3

    killer......🔥🔥🔥

  • @aziziseleman7173
    @aziziseleman7173 7 лет назад +7

    young d sembe ina msumbua

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 7 лет назад +1

    sasa young D We Unao Mziki Gani Mpka Ujione Upo Juu

  • @mishijuma6326
    @mishijuma6326 6 лет назад +1

    Hanaga swagger kabisa. Killer killing the lyrics

  • @moshimoshi6096
    @moshimoshi6096 7 лет назад +4

    Young Daresalama kavurugwa mpeleken sober

  • @nassorlido9380
    @nassorlido9380 7 лет назад +8

    killer MTU mbaya jamani

  • @buye5436
    @buye5436 7 лет назад +1

    Ngosha. 👊

  • @jilbrtkalombo5622
    @jilbrtkalombo5622 7 лет назад +1

    Why young killer you have beef D&D

  • @kweyambamswadiku7033
    @kweyambamswadiku7033 7 лет назад +2

    Hakuna zaidi ya mxodock

  • @thomasndumila4382
    @thomasndumila4382 6 лет назад

    Young killer msodoki ni nouuma saana,Young Dee kapaniki na jani halijawahi kumuacha mtu salama. Young Dee kaharibu shoo.

  • @jamesdamian9259
    @jamesdamian9259 6 лет назад +1

    Nakubali msodoki kamuaaaaaa

  • @dotojohn8964
    @dotojohn8964 5 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂young killer n hatare we ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @raphaellucas2147
    @raphaellucas2147 7 лет назад

    Young dee dah!... uwezi free style unatakana killer is a killer!

  • @mickskillstechnology7511
    @mickskillstechnology7511 7 лет назад +5

    Nyuma mm nafila wao mbele wana Nike,, hahahhahahaha. Ila young killer kwa michano ni mkali bt kwa battle kuna watu wake wa kubattle na wamuheshimu young d kama braza wao kwenye game! Issue ya kumdharau kisa sembe siyo mpango

  • @linetgikenyi4613
    @linetgikenyi4613 7 лет назад +1

    Tunataka kusikia interview

  • @ansimelody4040
    @ansimelody4040 5 лет назад +3

    killer msodokiiiiiii 🔥

  • @baashehassan8135
    @baashehassan8135 7 лет назад +6

    Young killer umetisha big up sana

  • @hassanabdulrahman3837
    @hassanabdulrahman3837 Год назад

    Young dee boya saaana.. mwanangu waweza saaana killer

  • @abdoujuma5030
    @abdoujuma5030 7 лет назад

    Mimi nampenda young killer kuliko young dee ila janjaro iko sawa

  • @alexpatrick6780
    @alexpatrick6780 7 лет назад

    Kiukweli young killer ni mwandishi mzuri ila in music young dee kafanya kazi kubwa sana kuliko ana zile ngoma zilizo chukua headlines in tz kwa mwaka