Salama Na DJ JD SE6 EP36 | PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 38

  • @aminiismail2118
    @aminiismail2118 2 года назад +15

    Dada Salama, tunaomba utuletee Kaka Joel Nanauka hapa. utakujanishukuru sana

  • @Salu_business
    @Salu_business 2 года назад +3

    Ukifanya interview na juma nature utakuwa umetisha sanaa.

  • @millardmbaraka6114
    @millardmbaraka6114 2 года назад +1

    Hongera kwa kipindi kizuri Sana Ila siku tuletee imaam abas

  • @__B.O.B
    @__B.O.B 2 года назад +1

    Salama tuletee Joel Nanauka!!!!

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 Год назад

    jd you are my brother from onether mother my mother all so from matombo

  • @zuberiayubu5520
    @zuberiayubu5520 Год назад

    Huyu jamaa sichoki kumsikiliza All of my life station yoyote akifanyiwa interview hajawahi kukosea kujielezea,Mungu akupe maisha marefu brother John Dilinga

  • @iyakaremyeidrissa163
    @iyakaremyeidrissa163 2 года назад

    Habari yako salam! Naomba siku mja umlete Sammisago!

  • @brianrichard9022
    @brianrichard9022 2 года назад

    naipenda sana hii show mostly nkiw ajob ninarudia epsod zote ... kwa kusikiliza kutoka youtube nilikuwa nataman kumuona young dee, na sygon waje humu maana show ya mkasi ilikuwa tamu

  • @abouhafswah
    @abouhafswah 2 года назад +1

    Mbona Huyu Hujampa #Nickname

  • @joramsimon1187
    @joramsimon1187 2 года назад +1

    Binti Jabir
    We had Mkasi with Mo dewji 💥💥
    Its time for Salama Na Mo dewji

  • @edwardmachaku1661
    @edwardmachaku1661 2 года назад +2

    Merci Salama for bringing the most talented disc jockey,DJ Dilinga.

  • @powerofinspiration108
    @powerofinspiration108 2 года назад

    Salama mtafute kaka joel nanauka, ni mtu mmoj smart sanaa na utapenda akili yake na jinsi anavyoyajua mamboo. Tutainjoy sana ukituletea uyu mtu. Anahistoria ya kuvutia na nambo anayoyafanya ni makubwa sanaa dada

  • @miembeni
    @miembeni 2 года назад +1

    Daah demo iltoka kitambo nkasubir weee hatimae wacha niendelee ku stream...👊🏿✌🏿

  • @byamungulukata555
    @byamungulukata555 2 года назад

    Nataka unihoji mm from 🇺🇸

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад +1

    Huyuuu ndio mtuu Kusaga anamuheshimu

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 2 года назад +1

    old is GOLD😘😘😘😘😘😘djJD#John Dilinga maclooo♥️♥️♥️♥️

  • @arthurdonnietello9691
    @arthurdonnietello9691 8 месяцев назад

    Mwanao wa kwanza Collin kama ulitaka kumtaja ukabadilisha gia..yuko wapi, he would be 30 something years now.

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 2 года назад

    Kipindi kijacho tuletee Roy Keane

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 2 года назад

    Wa Kwanza leo

  • @jumasaria2517
    @jumasaria2517 2 года назад

    Icho kiti salama unazingua

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 2 года назад

    Salama mkalibishe Duke

  • @lucianmartin-kn9xj
    @lucianmartin-kn9xj Год назад

    Tunamuhitaj afande sele

  • @kelvinfrank8881
    @kelvinfrank8881 2 года назад

    Mwalike Jose Kusaga, Freeman Mbowe

  • @mrs2918
    @mrs2918 2 года назад

    mzee wa chombeza time saa nne usiku

  • @clarabanduka2979
    @clarabanduka2979 2 года назад

    Salama. Big up... Ungemuuliza ulizaliwa wapi tupe historia yakoo..... Ndio umwache atoe story kama ilivyokuwa interview ya Baba wa Banana zoro.

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 2 года назад

    Salama mkalibishe j mada

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад

    Sugu ana juwa mtuu huyuuu juna nature

  • @ishakamakame7509
    @ishakamakame7509 2 года назад

    Natamani ufanye na mademe lidai

  • @mickydady1384
    @mickydady1384 2 года назад

    Dada uniletee mpoki

  • @shadiidinyo1657
    @shadiidinyo1657 2 года назад

    John 14-16
    Everlasting baby

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    🔥

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 2 года назад

    3rd

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    🔥