Baadhi ya wakimbizi wa Burundi kambi ya Nyarugusu - Kigoma wagoma kurejea nchini kwao
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Baadhi ya wakimbizi wa Burundi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wamegoma kurejea nchini kwao licha ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kutekeleza ombi lao la kuongeza malipo kufikia dola 200 kwa kila mkimbizi.
#AzamTVUpdates #AzamNews
Warudiye tuko vizuri
Naitaji kufanya field hapo kwenye hiyo kambi ya nyarugusu