NDARO ATONGOZEWA DEMU NA STEVE MWEUSI UTACHEKA (Ndaro & Hajra)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 256

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi 2 года назад +77

    Lete Mzunguuuuuu

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 года назад +13

    😂😂😂 Ila Steve mweusi kafanya kazi yake jamaa ndaro kamtaka demu, na demu kaja🤣🤣👏🏼

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 2 года назад +26

    Mi nampenda huyu dada mzuri halafu anavaa stara havai uchi uchi na bado anapendeza saana

    • @shadrackjoshua9201
      @shadrackjoshua9201 2 года назад +2

      you too good I like your opinion

    • @qaseem7660
      @qaseem7660 2 года назад

      Hana ata kuvaa stara

    • @hassanrukia4776
      @hassanrukia4776 2 года назад

      Pia ni mdada mwenyee kutambua thaman ya mwili wake ndy maañ ana ustir

  • @ahmedswati
    @ahmedswati 2 года назад +13

    Stivu kaupiga mwingi
    Ila ndaro my hero siku zote✊✊

  • @adolphriwa3857
    @adolphriwa3857 2 года назад +2

    The smartest brain comedian in East Africa.Nawakubali sn .hamjawahi kufeli si kwenye stage si kwenye video.safi sn.Big up for cheka Tu kwa kuleta mapinduzi ya sanaa ya vichekesho East Africa

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +5

    Yaan ndalo wew hair hair kila kitu hair😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂na mshenga wako amekuwa mnoko jomonii kazi nzulii kwa kwel big up all of them🙏🙏

  • @Kaka-nf4bo
    @Kaka-nf4bo 2 года назад +5

    Ndaarooo ,umepigwa nzitoo ya kichwa na Steve

  • @ednahmwasyoghe7376
    @ednahmwasyoghe7376 2 года назад +2

    Ila ndaro kama hujaowa jitahid muowane na Hajra nice couple ndaro bro upo vzuri

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 2 года назад +5

    Steve : lete mzunguuuuuu
    Haujamalizaaaaa haujamaluzaaa
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bobelichi7721
    @bobelichi7721 2 года назад +2

    Maamake mwengeniheya 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 u Da best mi breda ndaro

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +3

    😂😂😂😂😂lete mzunguu na haujamwambia kitu steve jaman umuongo wew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vinsentvilumba9500
    @vinsentvilumba9500 2 года назад +7

    Umeupiga mwingi 🙌🙌🙌

  • @sylivestersimon769
    @sylivestersimon769 2 года назад +2

    ETi uniongeze au unipe 2000 dah ndaro unafeli 😂😂😂😂 usimchezee stivu nakubali

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 года назад +5

    Wanathimbaaaaaaaaaaa lete mdhunguuuuuuu😂😂😂😂😂

  • @YomboMsukuma1
    @YomboMsukuma1 2 года назад +5

    😂😂😂😂😂nimecheka sana aiseee

  • @sylivestersimon769
    @sylivestersimon769 2 года назад +2

    Mlete mzunguuu😂😝
    AsanTe njoo uku nje eti mko wangapi uku ndani

  • @1tripple9
    @1tripple9 2 года назад +6

    Ndaro umetandikwa pesa yako😂😂

  • @BeatreceFabian-uz3us
    @BeatreceFabian-uz3us Год назад

    Aah stive Karan wa sensa mlete mzunguuu 😂😂😂😂😂😜💖💖🎉🎉

  • @n.l.c.9049
    @n.l.c.9049 2 года назад +6

    uyo dada ndio mm unitesa akika n mrembo

  • @fabskim4454
    @fabskim4454 2 года назад +5

    hey huyo mrembo n mmmmwaah

  • @EreukaErasto
    @EreukaErasto 22 дня назад

    Ndaro subiri upangwe 😂😂😂😂😂 nikajiconfusion nikajitowa fusion Steven ame maliza

  • @GladnessMwanguku
    @GladnessMwanguku 6 месяцев назад +1

    Steve jaman anaongeaga kama amekabwa😂😂😂😂😂

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 года назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂 dada anashangaa mwizi anaongelea ushenga

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 2 года назад

    Style hii ya kutongoza naikumbuka kitambo daaah,Ndaro😜😜😜 lete Mzungu 👊👊👊

  • @EreukaErasto
    @EreukaErasto 19 дней назад

    Muda wa kazi ni wa kazi

  • @hamxochagaboy8816
    @hamxochagaboy8816 2 года назад +5

    Ila Ndaro Umeuwa Mwamba❤️

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 года назад +7

    Huyu Steve balaaa sana akijifanya bwege

  • @japhetlust5050
    @japhetlust5050 2 года назад +3

    Kwamba mko wangapi humu ndani😄

  • @viilangat3305
    @viilangat3305 2 года назад +2

    Steve Leo kapata fala kumliko🤣😂😂🤣

  • @footballsite11
    @footballsite11 2 года назад +2

    First one

  • @alesimakobe7168
    @alesimakobe7168 2 года назад +4

    Ila hajra ni mzuri mashallaaah

  • @samcodm6203
    @samcodm6203 2 года назад +3

    Amin huyu ajila na ndaro kuna namna hapa katikati 😄

  • @HidayaHussen
    @HidayaHussen 3 месяца назад

    Mungu anakuona steve lini umeongea hivo duh😂😂😂

  • @ramadhaninangundu
    @ramadhaninangundu 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣Steve Noma mlete mzunguuuuuuuu hiyo xtail duh 🙄🙄 noma

  • @edwinadam778
    @edwinadam778 2 года назад

    Et hiki kisteve,,,,,lakini yanaongerekaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Kudra-qu3hz
    @Kudra-qu3hz Год назад

    🎉 ondaro umetisha mwanetu

  • @jophtone_fabsillah
    @jophtone_fabsillah 2 года назад +2

    Hapo Sawa Ndaro Umenichekesha Kwer

  • @EreukaErasto
    @EreukaErasto 22 дня назад

    Ndaro hiro 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lalylaabdi2572
    @lalylaabdi2572 Год назад

    Steve Jamani let mzuguuuu biashara kanoga😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chaildaliyoung
    @chaildaliyoung 2 года назад +3

    Mlete mzungu mshenga😂😂😂

  • @chidyboy4187
    @chidyboy4187 2 года назад +2

    Steve unachekesha asee🤣🤣🤣

  • @everythingeasy6278
    @everythingeasy6278 2 года назад +5

    Good job 👏 bro ndaro tz

  • @rabanmsumbwamwendokasi597
    @rabanmsumbwamwendokasi597 Год назад

    Sitv umesomea shure uongo aiseee hichokingreza😂😂😂😂mrete mdadaaaaa stv

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 2 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mlete mzung ila Steve

  • @Rajab-Raj
    @Rajab-Raj 2 года назад +5

    😂😂😂😂😂...part 2 waiting

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Год назад

    Nyie hiki kisteve Ndaro banh 😂😂

  • @hosea8296
    @hosea8296 2 года назад +3

    Hujamalizaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fredrickerasto349
    @fredrickerasto349 2 года назад +5

    Well done ✅

  • @pascokibesa918
    @pascokibesa918 2 года назад +4

    Steve iyo treak uliyotumia nimeipend xn🤣🤣🤣

  • @herochibu5509
    @herochibu5509 2 года назад +3

    MJESH KIKOFIA VP KAKA🤣😂😂😂😂😂

  • @nesphorsesi5777
    @nesphorsesi5777 Год назад

    Mpo vizuri Sana jamani yani tunacheka sana

  • @jenniferzakaria3884
    @jenniferzakaria3884 Год назад

    Hy mshenga ungejua alichokiongea kule mmmh 🤣🤣🤣

  • @sonbenxon9505
    @sonbenxon9505 Год назад

    I appreciate your from Kenya

    • @sonbenxon9505
      @sonbenxon9505 Год назад

      I appreciate your work from Kenya steve mweusi and ndaro

  • @Pierre-f8c
    @Pierre-f8c Год назад

    Unyama kaka💪💪

  • @bobelichi7721
    @bobelichi7721 2 года назад +1

    Steve muongo kinyama 🤣🤣🤣🤣

  • @saimondaudi39
    @saimondaudi39 2 года назад +3

    Do kwali mzungu katisha

  • @vanachaplin3247
    @vanachaplin3247 2 года назад +3

    Ndugu zangu 🙏🙏 Mimi naitwa vanadium ni comedian chipukizi naombeni yenu 🙏🙏😔

  • @fareboyeverest1997
    @fareboyeverest1997 2 года назад +4

    Aho mulibhene bhasa mwamba

  • @SarahArone
    @SarahArone Год назад

    Stivu hajira anakufaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤atakamamnaigiza

  • @clairnekesa8572
    @clairnekesa8572 Год назад

    Mweusi Leo umeweza "leet mzungu"

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 2 года назад +3

    Ndaro pol🇧🇮🇧🇮🙏🙏

  • @bobelichi7721
    @bobelichi7721 2 года назад

    Dingoo uyo chal ako ni muwaki kinyama eroo 🤣😂😂😂

  • @irbanytz9559
    @irbanytz9559 2 года назад +1

    Nakubali 🔥🔥🔥🔥

  • @eltonchalamila602
    @eltonchalamila602 2 года назад +3

    Mnafurahisha sana

  • @freyjoh1740
    @freyjoh1740 2 года назад

    Steve kwanini hufanyagi stand-up comedy mzee

  • @fadhilaiddi535
    @fadhilaiddi535 2 года назад +2

    Steve huko uliko rudisha mzungu wa ndaro bhna☹️

  • @DJSEVEN777
    @DJSEVEN777 Месяц назад

    HAHAHAA KAKA HAYA MANENO SIO YAKO. SWAGA ZA KAKA MKUBWA leo 😂 ila umepita vizuri

  • @jumamitango5189
    @jumamitango5189 2 года назад

    😂😂😂🤣😂Steve Steve...😂😂😂Mweusi

  • @modricempire1179
    @modricempire1179 2 года назад +2

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌hatar

  • @freyjoh1740
    @freyjoh1740 2 года назад

    9:42 🤣🤣😂
    Ndaro khaa
    Hajira duuh

  • @isackghambi8120
    @isackghambi8120 Год назад

    Best comedians ❤❤🎉🎉🎉

  • @hajramuhammed5334
    @hajramuhammed5334 2 года назад

    Aaaa wajina Wang huyoo mashallah

  • @rabanmsumbwamwendokasi597
    @rabanmsumbwamwendokasi597 Год назад

    Nunua suti ndaroooi😂😂😂

  • @mohamedmwasefu2359
    @mohamedmwasefu2359 2 года назад +4

    Steve hii umeweza

  • @JaphetKanyamugenge-tw7ke
    @JaphetKanyamugenge-tw7ke Год назад

    Kanyobya Rwanda

  • @noellysamwely4113
    @noellysamwely4113 2 года назад

    Mnatisha kinyama man

  • @SarahArone
    @SarahArone Год назад +1

    Stivu hajira anakufaa

  • @OscarDzombo
    @OscarDzombo 2 месяца назад

    Why do you you licence 😂😂😂😂usimchezeee kumbee waenda kuongea ya census

  • @mbogelaglad3557
    @mbogelaglad3557 2 года назад

    Ndarooo iv unajua stive mmekutana

  • @Kaka-nf4bo
    @Kaka-nf4bo 2 года назад +3

    Hahahaha ety leetee muzunguu

  • @Gtwice
    @Gtwice 2 года назад

    Hahahaha ndaro umekuja kuua hajira alivokuja hahahha acha ncheke mamae

  • @JonathanNzogela
    @JonathanNzogela Год назад

    Inchi Kuna Mambo🇹🇿

  • @limbejr
    @limbejr 2 года назад +1

    hahahahahahaha mlete mdhunguuu mlete mdhungu hatujamalizaaaaaa

    • @ndarotz742
      @ndarotz742  2 года назад

      Leteeee mzunguuuu😂😂😂

  • @clintony327
    @clintony327 Год назад

    Steve noma Sana kaka nakupenda

  • @fasaboy5515
    @fasaboy5515 Год назад

    Hyo ndo njia ya kuwakomesha mazege

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 года назад

    Hlo jicho la hajra

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 года назад

    Li Steve na lenyewe liko vizuri sana

  • @SteveKaundama-et6ts
    @SteveKaundama-et6ts Год назад

    Dem mzuri duuu

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 10 месяцев назад

    Ndaro ANAHITAJI KUFIKIRIA ZAIDI KWENYE SCENERIO ZA HIVI, OVERTALKATIVENESS INACHUKIZA

  • @Marioo_official
    @Marioo_official 2 года назад +1

    kwa kina abduli😂

  • @ommyguy1645
    @ommyguy1645 2 года назад +1

    Ndaro nomaaa

  • @hamxochagaboy8816
    @hamxochagaboy8816 2 года назад

    Lete Mzungu😂😂😂😂😂😂

  • @AlmasDonard
    @AlmasDonard 8 месяцев назад

    Steve hovyo duuh mnafurahisha san ongela

  • @jospehfabian7856
    @jospehfabian7856 2 года назад

    Ndaro naanza kukuelewa mzee

  • @mtukiface5655
    @mtukiface5655 2 года назад

    Ujamaliza leta mzungu

  • @Yubyplanet
    @Yubyplanet 2 года назад +4

    Tim ndaro tujuane....

  • @bobelichi7721
    @bobelichi7721 2 года назад

    Tz nakpnda kwa moyo wote 😂🤣🤣🤣

  • @ommyguy1645
    @ommyguy1645 2 года назад +3

    Ndaro fundi

  • @belthonkakuru2666
    @belthonkakuru2666 2 года назад +3

    Steve sijawahi kukuelewa

  • @emmanuelikisonongo3047
    @emmanuelikisonongo3047 2 года назад

    Yuko vzr