Asante sna mumy, nabarikiwa sna na mapishi yako, na ukisoma comment za watu ni baraka nyingi unapewa. Nami nakuombea baraka nyingi kwani siyo mchoyo, wengine huficha.
Shukran sana,Mimi nilikuwa naweka presteg+sukar+mayai ndo naweka improve.Zilikuwa zina tata kwenye vikopo kila siku ni hasara hadi niliacha kupika ila leo nimejifunza ntapika tena bi inzillah🙏
Umzima mpendwa samahani bado una daras a la keki mpendwa na kama bado unalo ada ni bei gani mpendwa au naomba namba yako tuwasiliane kama hutojali asante
Ahsante sana mwl leo nimeweza kuchanganya vzr cake gel kwa maelekezo yako mpk ukafura mwazoni nilikuwa nakoroga lkn haufurii kumbe nilikuwa situmii muda mrefu
Ubarikiwe upo vizur nimejua kupika keki kupitia wewe nasasa nafanya biashara ya keki shukran
Hellow dr
Nakushukuru saana kipenzi nmejifunza hapa kwako na sasaq natengeneza na kuuza na wateja wamezipenda keki zangu,ubarikiwe saana
Shukran dada vipimo hujatuandikia I ulivyotumia tutashukuru tukijua vipimo
Asante sana naomba utuoneshe kipimo tafadhari kwa mfano keki ya kg moja natamani sana kujua namna ya kuitumia kivipimo
@Mziwanda Bakers
Hi Mziwanda bakers, am a new baker and i wanted to know whats cake preservatives you use. Thanks
Asante sana hizi ni tips za muhimu sana, ubarikiwe
Asante sna mumy, nabarikiwa sna na mapishi yako, na ukisoma comment za watu ni baraka nyingi unapewa. Nami nakuombea baraka nyingi kwani siyo mchoyo, wengine huficha.
Shukran sana,Mimi nilikuwa naweka presteg+sukar+mayai ndo naweka improve.Zilikuwa zina tata kwenye vikopo kila siku ni hasara hadi niliacha kupika ila leo nimejifunza ntapika tena bi inzillah🙏
Hi
Hongera dada kazi ni nzuri sanaaaaana
Asante kwa someone mimi niliweka improver ila niliona cake ina harufu kidogo tofauti au nilikosea
Mi natumiaga tu hata sijuiagi kama napatia au la,asante kwa upendo wako. Tunaomba hata summary ya recipe,maana Mimi napenda kujipikilisha.
Amazing 😍
Asante umeniinua na darasa lako nimepiga hatua kubwa sana
We Dada ninakupenda mno sio mchoyo ,Mungu akuinue kwenye kila ufanyacho ufanikiwe
allah akuhifadhi ukitumia imrover kwenye kg1 unaweka kiasi ganì na mayai mangapi na sukari kiasi gani
Tunaipataje hii improver bei gan dada
Kaxi nzuri sana dada ila sijasikia umesema mayai mangapi au sukaru kias gani na improver kiasi gani wala siagi pleas tunaomba vipimo
Vipimo tunaomba dada nami nataka niamze biashara ya cup cake
Mungu akuongezee maarifa kipnz asante
Waoo Asante mumy lakin mm nikitumia haipandi hivo
Shukran sana kwa kutuelimisha
Mungu azidi kukuinua ubarkiwe sana
Asante nimejifunza
Shukrani dada nimekupenda bure
Nimependa
Asante Sana naomba recipe ili niweze kufanya zoezi
Hizi improver zinapatikana madukani
Mziwanda Ur the best My Dear, God bless u in ur handwork, Tunapata kitu kikubwa chakukuza Biashara zetu
Amiin dear
@@mziwandabakers8297 hello Mziwanda jamani hujaweka Vipimo naomba tuwekee vipimo dear,Ubarikiwe Sana🙏
Vitu vingine vip dada yake hapo
Mayai mangapi na sukari grm ngapi plz
Assalamu Aleykum Khery. Video IPO Vzr Ila Tatizo Vipimo Msaada Plzz
What do u use to make your cakes stay fresh?
Asante Sana kwa darasa zuri lakini haujatupa vipimo leo dada
Aslmkm nilikuwa naomba unionyeshe jinsi yakutengeneza buttercream
Yani asante jamani mungu akubariki sanaaa
Asnt sana dada kwahyo ukieka improver hueki banking powder
Unaweka
Wow thanks daling this is absolutely perfect.
Thanks
Ukipenda unaweza kutumia maziwa?
ni kitu gani ninachotakiwa kuweka kwenye keki za biashara ili zisiharibike.
dada huwezi tumia mashine tofauti, kwa mfano sina mixa hiyo naweza tumia mbadala upi
kazi nzuri jamani vipimo
Hi naitaj uwe mwalim wangu jaman
Asante kipenzi
Niunganishe kwenye group lako
Asante
Kwa biashara kimoja bei gani
Ni 500
Heeeeeeee kumbe tenaa🙆🙆 asantee hiyo ndoo ya improvel n sh.ngap
Samahani dada angu naomba ukiwa unaweka vitu useme vipimo please
Da mziwanda cup cake kl mbili improve kiasi gn na naomba nijiunge darasa la online kama lipo
Kuna improver kopo dogo au nihayo makubwa tu?
Asante sana unafundisha vzr sana tunaelewa je unaweza tengenezea keki za kawaida!? Nakupenda jmn😍😍😍😍
Asante dada tuaomba vipimo jmn😢
Inauzwa Bei yake mpenz
Mashallah asnte dda nakupenda hutuhini
Hello naomba recipe ya alfu cake unga kilo moja tu
Shukran Sana, ila tufanyie na cake za kawaida (za birthday) tuone inatumikaje
Thanks very much ♥️
Wafunga cake how many pieces?
Inapatikana wapo Improvel
Umzima mpendwa samahani bado una daras a la keki mpendwa na kama bado unalo ada ni bei gani mpendwa au naomba namba yako tuwasiliane kama hutojali asante
Asante mpendwa,ila naomba kuuliza hii improve unaweza kutumia kwenye kake ya kawaida kama za happy birthday
Tunaomba vipimo please
Masomo manzur
Tunaombaa tufanyiee hiyo improval kwenye birthday cake 🙏🙏
Mbona hujasema umeweka mayai kiasi gan?
Naomba kuuliza mpendwa dar una darasa la keki na kama ndiyo darasa ni bei gani kipenzi
Inatumika kiasi gani?
Ubarikiwe dada kazi nzuri sana. Umetupa idea nzuri sana
thanx dear kam kuna darasa online tupe namba
et keki improver gel na improver powder inatumika xawa?
Dada samahani naomba vipimo
Miongoni mwa walimu wangu wanaonipa ujuzi wa bila konakona we ni kiboko yao. Nakuelewa harafu nakuelewa tena
Tunaomba vipimo ulivyo Tumia mayai mangapi magarinie kiasi gani sukarii plzzzz 🙏
Naomb unisaidie kuingia kwenye dalasa lako dada
Naweza tumia hand mixer mamy wangu kufanya mchanganyiko huu wa improver
iyi improver inapatikan wapi dad
👌👌 asante kwa somo can't wait kuona kwa size ya keki kubwa moja
Naweza ipata wapi niko Kenya mimi
Naomba namba
hi dada napenda mno contents zako
naomba vipimo kwa hii video ya kutumia cake improver
Ahsante sana mwl leo nimeweza kuchanganya vzr cake gel kwa maelekezo yako mpk ukafura mwazoni nilikuwa nakoroga lkn haufurii kumbe nilikuwa situmii muda mrefu
Nimefurah Sana jaman kuona hiyo cake gel
Plz msaada nahitaji izo baking za star 🌟 kwaajili ya keki za biashara plz naombeni mnisaidie
Samahan maadam wanasema improver kuwa keki haiwi tamu
Please, we need a good English translation. It look so good
Unaweka vipimo mamy tuwekee please
Asante dada nami nimeelewa
Karibu
Yn kujifunza tu
Inauzwaje cake improver?
Asante kwa somo mi nnayo lkn sio nyeupe sana IPO km maji
Ooh hii ni gel
Madam kuna tofauti kati ya gel na improver
Samahani dear Stand mixer yako ni lita ngapi
15 kwenye vdeo imeandikwa
Mama naweza pata recipe ya hizi cupcakes online
Una dalasa what up
Mziwanda no yangu no yako inapita kwa hapo juu sion vizur
Vipimo my
Asant dd ira mm sijaona vipimo😔😔🇧🇮
Habari,kama sina iyo mixer kubwa,naweza tumia hand mixer?
Kwa idadi ndogo unaweza tumia
Hongera sana. Namba za simu.
Cake zakawaida je
Margarine unaweka kiasi gan kwenye kwenye unga kilo moja
Hiyo oven unaipata kwa bei gani
Naomba utuwekee vipimo hasa kwenye cake za biashara kwa kg 1
Sasa unga kilo moja natumia Impover kias gani?
❤
Huweki receipt mbona
asante Sana dada mziwanda tunakushukuru sana nimeshajaribu keki zako ni balaa vipimo amazing na cake tamu
Shukran sana kwa mrejesho
Asante sana ayamafuta yanapatikana wapi kwa mimi nipo arusha
asante my
Waoo ubarikiwe mi nina swali vp kwenye jiko la mkaa huwezi kupokea?
Unaweza kuokea vizuri tu