Ccter,ccter,ccter ninavyokukubali Mwenyez Mungu ndie anaejua ndani ya moyo wangu naomba tu utuorodheshee vitu vinavyotengeneza fondant ili nitaenda kuvitafuta ata supermarket jomon
Mashalla najifunza vingi sana kwa account yako sijutii kuijua. Ila naomba msaada mm apo kwenye kufunika nikishafunika nikiwa na sawazisha inakua inakatika inaachia sijui nakosea nini?
Habari, samahani naomba kuuliza Mimi huwa nikifunika huwa hii buttercream ya ndani huwa inakuwa Kama inayayuka unaiona inakuwa Kama inachuruza huku chini mwisho je nakosea wapi? Naomba msaada dada
Madam...naona huwa nanunua huwa nakuta haziwi ngumu.. muda wote nikifungua huwa laini tu...hapa ipoje naona zingine zikikaa huwa hivyo ka jiwe..hata nikitengeza mm huwa ngumu
Dada ubarikiwe sana wewe super
Ameen iwe kwetu sote
Asante dada unafundish vizuri sana
Shukran kwa somo zuri, Allah akubarik sana
Amiin
Ma sha Allah...31st birthday ya binti yangu nitampikia nimpambie in sha Allah kama hii😋😋👌👌ma sha Allah nzuri sanaaaaa 😍
🥰
Masha Allah unaaelekeza vzr Allah akubarik hbbty ❤️
Kwa kweli umenifundishs viziuri sana ila Nina ombi Moja utufundishe jinsi ya kutengeneza fondanti na bat cream
Ahsanteee umenisaidia naanza kujifunza kupamba
MashaAllah!...shukran habibty...
Afwan habibty
Mola akuhifadhi kipenz shukran kwa elim barikiwa mamaa
Jazakal Allah Kheri
Safi sana na hongera mno
Shukran dear nikipata hizo pasi nitajaribu inshallah
Oo nimeipenda asante dada
Dada mwenye kisauti chako kizuri Masha Allah... Allah akuzidishie riziki 😘
Amiin Yaa Rabb 😘
@@mziwandabakers8297 Màshaallah, jazakallah asante sn mpenzi
@@mziwandabakers8297 nahitaji kujifunza uko wapi
Mamu nmefrahi sana kazi yako naomba naomba zako kunakitusjajua
Mashallah we dada mungu azidi kukubariki
Amiin sote pia
Asanter sana kupitia wewe kila siku nabadilika najifunza zaidi.
🙏
nzur enjoyed much
Upo vzr
mashallah mashallah hodari sana... Mungu akutilie barka.
Much love ❤️ 😍
Nimependezwa na kazi Yako dada naomba namba tuwasiliane❤
Nzur kwel
Mungu akubariki dada
Amiin 🙏🙏
Asante kwa somo
Waoo Leo nimekuwa wakwanza kukoment,nashukuru
😘😘😘😘😘
Asante sana naomba kuuliza hicho kikombe ulicho pimia ice sugar ni kipimo kipi katika gram
Thank you.
Keki ttiming
Trimming
Salamalekhu.nimependa
Asante mamii love you
Thanks
Maa shaa allah jaman naomben namba yenu please
😍😍
Mm fondat ht siijui wallah na sijaw kuiona
ulizia madukani dear
Dada zipo fondant special dukan yan zimeshatngenezwa?
Hellow samahan una darasa la wanafunz na unalipwajee??
Utufundishe kutengeneza fondant
Somo zur
Habari dada naomba unifundishe kwa vitendo je unafundisha na ni beigani. Shukran
Tufundishe kutengeneza fondant
Ccter,ccter,ccter ninavyokukubali Mwenyez Mungu ndie anaejua ndani ya moyo wangu naomba tu utuorodheshee vitu vinavyotengeneza fondant ili nitaenda kuvitafuta ata supermarket jomon
Shukran dear hii ni Fondant special inauzwa madukani iko hivyo hivyo
For recipe ya Fondant check jinsi ya KUTENGENEZA Fondant Rahisi sana
Trim
Cake terming
Mm
Naomba niwe mwanafunzi wako napenda Sana hiyo kazi
I want to learn more
0768859358
Foundant inauzwa au unatengeneza mwenyewe?
Unaweza tengeneza ama kununua pia
Nimependa sana mafunzo yako
Karibu sana
je mnafundisha uso kwa uso
Ndio karibu ,huwa tunatangaza madarasa Instagram Mziwanda Bakers
Darasa kuja kujifunza bei gan dada
Kaki trim
Habari mpo wapi
Mashalla najifunza vingi sana kwa account yako sijutii kuijua. Ila naomba msaada mm apo kwenye kufunika nikishafunika nikiwa na sawazisha inakua inakatika inaachia sijui nakosea nini?
Unachelewa kuikandamiza kwenye keki
Mziwanda Bakers du maana ni mara ya pili inanifanyia ivo
Mash Allah,keki hizo umeziunganisha na nini?
Na Butter cream
Naomba link naitaji darasan
Hello mziwanda bakers nataka kujua hizo tools zenye nafaa kua nazo ndo nibake
Naomba mawasiliano nahitaji practical dada
Nakutumiaje picha uone nimejaribu kupamba leo
Hiyo fondant inapatikana super market au
Maduka ya vifaa vya keki zipo
Katika watu ninaowaelewa na naendelea kujifunza ni wewe nipe namba pls
Samahani dada hiii fondat
Ndio ni yenyewe
Nimependa sana na ningependa kua mwanafunzi wako
Cake treaming
Samahani je nikitaka kuja kujifuza ni shingapi adayake na mnapatikana wapi
Keki triming
Eti Dada mziwanda hiyo bodi ya kuwekea keki ipo nyeupe umeivisha nini bodi ikawa nyeupe pee nisamehe kwa maswali lakin ccy napenda nielewe
Maswali ndo nayapenda yenye kukujenga
Hizi bodi zinabandikwa stika za rangi tofauti kadri ya mapendekezo yako
Pia zipo zimeshabandikwa hivyo tunauza
@@mziwandabakers8297 oooh asante sana sana vip Pan zineshafika
Fondant unapatikana wapi?
Napata wapi namba zako nijue jinsi ya kujiunga na darasa lenu
Beautiful. What's the filling
Butter cream filling
Mashaallah mashaallah hii fondant tenenza au nunuwa
Dada sijajua kama nimesha kupata?
Hii fondant inaliwa pia
Ndio ni tamu
Foundat inauzwa au unatengeneza mwenyewe?
Dada nimependa kazi yako na Mimi nataka niwe mwanafunzi wako , je unapatikana wap, na ghalama zipoje
Iy bat cream inatengenezwaje??
Nitafundisha tena usijali
Dada unapatikana wap
Kwa kilo moja ya foundant unaweza kutumia kwenye keki ngapi na za kilo ngapi?
1kg ina cover cake kiasi ngani?
Habari, samahani naomba kuuliza Mimi huwa nikifunika huwa hii buttercream ya ndani huwa inakuwa Kama inayayuka unaiona inakuwa Kama inachuruza huku chini mwisho je nakosea wapi? Naomba msaada dada
Karibu,unaweka Butter cream nyingi bila kukauka pia ndo maana inajichuruzisha
@@mziwandabakers8297 ok so kukauka inatakiwa niiche kwa muda gani? At least?
Foundant isiyotumia butter cream
Naomba kuuliz jaman kuhusu hiyo fondant je, mda wa kukata keki ukifika inavuliwa au inaliwa hivohivo coz nimeon kama inavutika
Wapo waokula Fondant pia
Naomba namba yako
Naomba namba ya group la mambo ya keki
Fondakty ni Nini?
Mpendwa natamani kujua kupika keki, nifanyaje
Karibu darasani Kuna online na live jikoni
Niunge na online live ya jinsi ya kupika na kupamba
Mnapatikana wapi
Na hii foundert inapatikana wapi
Nahitaji darasa mpendwa
Unaweza fanya jinsi ya kutengeza black fondant.
Yeah I will
Fondant kg 1 unetengengenezea cake ngap dear?
Za 7 inch keki 5 dear
Madam mimi nikifunika cake na fondat mfano ni usiku nikiamka asubuh inakua inamafuta mafuta ile fondat haikauki nakosea wap
Fondant huwa inakuwa kavu ama unyevu kama hali ya mvua ila haitakiwi kuwa ngumu
Unaelekeza vinzuri napenda kuwa mwanafunzi wako
Madam...naona huwa nanunua huwa nakuta haziwi ngumu.. muda wote nikifungua huwa laini tu...hapa ipoje naona zingine zikikaa huwa hivyo ka jiwe..hata nikitengeza mm huwa ngumu
Hizo fondati inauzwa wapi uudugu
Kwenye maduka ya vifaa vya keki
Dadaa Fondant yapatikana wapi
Check mziwanda_tools
Minaomba namba zako nataka nije kujifuza
Samahani naomba niulize unaweza kupamba keki kwa buttercream Pekeake na fondant pekeyake au vyote kwa pamoja?
Vyote kwa pamoja inafaa
BUTTER cream peke ake inafaa
Ila fondant peke ake haiwezekani lazima uanze na butter cream
Fondant recipe yenye unatumia, yangu inachanika sana
Hii ni readymade nimenunua special
Je?hii special mtu unaweza ipata wapi inakouzwa
Special inauzwa bei gani madam
Unapatikana wapi nataka nije nijifunze
Naomba mawasiliano yako ya whatsapp
MashaAllah!...shukran habibty...
Karibu dear
Darasa la kupamba unafanya sh ngapi?
Salamalekhu.nimependa
Fondant ya kilo unafunika keki ngapi?
Za 7" unafunika 4 mpaka 5 inategemea na utumiaji wako pia