Nzuri sana kw kweli.. swali langu icho kikombe cha unga kimoja ni cha kias gan cha gram kimechanganyikiwa hapo huko kwa vikombe vi3 vya robo nimeelewa kabisa??na kwenye cocoa naweza kukorogea maziwa ya moto badala ya maji ys moto?
soorry madam inaman ppf ni mwepes zaid na unga mwengin ndio maan nikipika cake nikipima kwa kikombe cake yangu inakua na mafuta na nafata vipimo hivo hvo so inawez kuw shida ni unga
Ladha unatumia za kampuni gani jamani? Maana huwa natumia ladha zile za vichupa vidogo vidogo yaa hazinaga harufu kabsaaaa. Na je naweza pia pata ladha ya nazi?
Nimejaribu kuipika cake lakini ina kama kiukali kwa mbali cha cocoa je hiyo ni kawaida? Na nimejaribu kuwapa watu waonje, wamesema hiyo radha ya cocoa inawakera. So Mwalimu nifanyaje kuitoa hiyo radha? Naomba unisaidie
Nimependa sana unavyofahamisha, unafahamisha kwa kutaka mtu afahamu hasa. Shukran sana kwa recipes zako!
Allah akuzidishie.umenifanya nipende kujifunza zaidi
Nimejaribu hii keki ni nzuri, laini na tamu sana…halafu rahisi sana kutengeneza. Asante kwa somo zuri darling.
Karibu sana, nimefurahi kwa feedback
Asant sana naenda kujaribu nione matokeo
Mashaallah nirahisi sn unajua kufudisha
Thnks dada nmeelewa somo
MashaAllah😋😋😋
Mimi naomba vipimo vya gram
mashaallah😊😊
Nice nimependa
Jmn nataman kujua zaidi
I love you dia, u r just perfect ata slow learner yuaeza kukuelewa 😍😍
Thank you dear 🥰🥰
Mashaalla shukraan tunasubr na rojo lake tuone 👌😋
Napenda kujuwa kupamba je nataka darasa inakuwaje
Mashallah mziwanda bakery samahn tuelekez nailo rojo kipenzi
Asanter mzuri very simple ubarikiwe tuu
Amiin
Uko vzr.dada
Shukran sana mami
❤
shukran nitaijaribu .hio ladha ya maziwa inapatikana wapi?
kwanza imetoka vzr pili garama nafuu mayai wengine kipimo hicho mayai 6 kisha blue band ni ghal umeweka mafuta ya chakula mashallah asante
Karibu
Masha Allah paambe nimependa nanitajaribupia
😍
MashaaAllah shukran mpenzi
😘
😊😊
Mbona rojo yake hujaonyesha jinsi inavyotengenezwa my dear.
Iko vzr sana hii ukitaka kuuza kwa contena hivo ni sh,ngapi dear?
Waaaoh nzuri sana
Nis
Hongera Sana nailo rojo ningependa kujua linatengenezwaje dear
Tayari lipo hewani
𝒉𝒊.. 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒆𝒌𝒊 𝒊𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒌𝒊𝒂𝒔𝒊 𝒈𝒂𝒏𝒊
Mashallah
We are learning good idea
Karibu
Asante sana
Masha Allah nimecheka ya moto inakatika 😀 shukran habibty tutajifunza tu tutaelewa
Uroho wangu unakuwaga 100%😂😂
Duh yaani kitu kimefika hatari 😋😋😋👌👌lemme watch 👀
👌👌🥰🥰😋😋😘😘
Asante kipenz 😋😋
Nikitaka kuwasiliana na wew nakupataje
Mziwanda Bakery una madarasa mazur sanaaa na unaeleweka hauna account Tik tok dada
Ooh kule mnahitaji pia?
Naona kam kule itakuwa vzur zaid! Lkn pia oven yangu mie cjui n mbovu inatumia muda mrefu kubake na haziiv katkat cake zangu shda nn
Mummy kwenye kumix naweza kutumia mashine
Shukran kwa somo
🙏
Msaada kwa gram na MLS dear ,
Ma sha Allah nzuri.. naomba recipe ya Hilo rojo lake😋😋👌
Next video ni rojo
@@mziwandabakers8297 in sha Allah
Nzuri sana kw kweli.. swali langu icho kikombe cha unga kimoja ni cha kias gan cha gram kimechanganyikiwa hapo huko kwa vikombe vi3 vya robo nimeelewa kabisa??na kwenye cocoa naweza kukorogea maziwa ya moto badala ya maji ys moto?
Ni kikombe cha 1 cup kawaida dear measuring cups set kipo kimeandikwa
Rojo ya cocoa unachanganya vipi kumwagia juu
Ningepende kujifunza kwa vitendo je unapatikana wapi
Ma sha Allah
🙏
Nimekielewa vizur mziwanda,,naomba kuuliza swali,,Keki hii haitumii blue band?
Ndio mpendwa
Asante madame
Naomba kujuwa jis ya kuandaa rojo ya kumwangia kwajuu
Hongera sana Mziwanda mi nakuelewa mno lkn natamani siku moja nikutembelee sijui unatika wapi?
Karibu sana binafsi nipo Tabora
Madam kazi ya baking soda kwenye cake ni nini??na kwanini kwenye vanila cake haiwekwii?
Yummy mashallah
😋😋
Dada unapatikana wapi
Ujaweka siag mbn au sy lazima
Asante
Kwan iyo radha na vanilla ni vitu viwil tofaut?
Vanilla nayo ni ladha
Unapatikana wp dada
Samahani DEAR hiyo coco uliyo changanya na maji ya moto uliweka ikiwana umotomoto au ilipoa ndio ukaweka
Dada mm naomba utuwekee video yakueka nozel tofaut tofaut mauwa
Sawa dear
Kunatofauti gan Kati ya chocolate fudge na chocolate syrup
Yummy
Wow! Kikombe kimoja ni sawa na gram ngap icho cha unga
Kwa gram inategemea na aina ya unga ila ni 200g kwa aina nyingi ama 180g kwa ppf
Asante sana ubarikiwe mpendwa
soorry madam inaman ppf ni mwepes zaid na unga mwengin ndio maan nikipika cake nikipima kwa kikombe cake yangu inakua na mafuta na nafata vipimo hivo hvo so inawez kuw shida ni unga
Tunaomba kujua na ilo rojo lake mamy
Linakuja dear 😋😋
vipimo kwenye description box sivion mwl wangu
Sikuweka kwenye description dear vipo kwa video
Naomba nijue rojo lake
should the cocoa mix be cold while adding it to the butter?
😘
😘
Iyo ladha ya maziwa kma arki my au
Ndio
Kaoven kangu
Cocoa inatakiwa itoe kabisa ndio uchanganye kwenye bakuli la mchanganyiko mwengine
Unaweza kuyeyusha chocolate na kuweka kama hutaki hyo cocoa powder
Ladha unatumia za kampuni gani jamani? Maana huwa natumia ladha zile za vichupa vidogo vidogo yaa hazinaga harufu kabsaaaa. Na je naweza pia pata ladha ya nazi?
First to watch yeeeeee
Wacha weee💃💃💃💃
Nimejaribu kuipika cake lakini ina kama kiukali kwa mbali cha cocoa je hiyo ni kawaida?
Na nimejaribu kuwapa watu waonje, wamesema hiyo radha ya cocoa inawakera. So Mwalimu nifanyaje kuitoa hiyo radha? Naomba unisaidie
Cocoa ladha umeweka au unga wa cocoa ndo mtihani? Basi jaribu kupunguza kiwango cha cocoa Powder au badili kampuni ya cocoa
Ada ya mafunzo yko ni sh ngp nahtj nije drsn
Naomba km itawezekana uwe unatutajia uzito unaotakiwa ktk hizo ingredients instead of ujazo. Mm naona bora kutumia mzani kuliko hivyo vikombe et😢😢😢😢
Yani kama hauna kikombe km hicho uko namizan je kikombe km hicho nisawa nagramu ngapi