WAZIRI SILAA ASIMAMISHA KAZI MAAFISA ARDHI DODOMA, WAUZA MAENEO YA KANISA, ATOA NOTICE WATU KUHAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2023

Комментарии • 69

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 6 месяцев назад +1

    Asante mungu asante mm samia kwa kumchagua waziri wa ardhi yuko makini sana

  • @marypeter7209
    @marypeter7209 6 месяцев назад +1

    Kwa kweli nakuomnea mungu akupe maisha marefu mtetezi wa wanyonge

  • @dennymkumbala5748
    @dennymkumbala5748 6 месяцев назад +4

    Nafikilia San waliojenga daaa na maisha yalivo magumu sijui unaweza kufa😭 mweshimiwa waangalieni wananchi wenu kama ina wezekana kanisa wapewe sehem nyingine na hao wafanyakazi wezi wafukuzwe kazi maoni yangut🙏

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 6 месяцев назад

      Apana tutakua tunalea wiz thuluma awa walio jenga ni viongoz ndio maana jamaa anakua na nguvu

    • @selector728
      @selector728 4 дня назад

      Nafikiria sio nafikilia

  • @mathiassalamba7328
    @mathiassalamba7328 6 месяцев назад +1

    Yaani wewe waziri Mungu akubariki sana njoo na Shinyanga kuna dhuruma ya viwanja

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 месяцев назад

    Tunafurahi hii mitandao ya Jamii inasaidia sanaaaa kila kitu hadharani Mungu ahsante na bado wengi watajiondoa wenyewe Ccm kwa kuuza bandari zetu za bara na ahsante Ssuti ya watu ambayo ni Sauti ya Mungu Tec na Sauti ya Watanzania Dr Slaa Nwambukusi Mdude na wengineo pamoha wameteswa sanaaaa Mungu atatoa jibu tu

  • @jeniphagabriel7262
    @jeniphagabriel7262 5 месяцев назад

    Mungu akutunze na akuweke viwango vya juu zaidi.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 6 месяцев назад +1

    Mungu akusaidiyi Mheshimiwa slaa . Endelea kushughuli na wa ovu

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 2 месяца назад

    ndugu yangu jerry uko sawa sana sana ila watu hawapendi jilinde ndugu yangu nchi hizi ni hatari ila safi sana una umagu kwa mbali

  • @WatsonMwaigaga-uy5jk
    @WatsonMwaigaga-uy5jk 6 месяцев назад +1

    Tunashukuru MUNGU awabariki

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 6 месяцев назад

    Mungu akutangulie Daima Mungu Akutangulie

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 6 месяцев назад +1

    Huyu ni mbunge wa ukonga lakini kule kivule frem kumi ambapo kuna hospitali ya wilaya ya amana barabara ni mbovu mbovu sjui anatusaidiaje

  • @lameckbuya7569
    @lameckbuya7569 6 месяцев назад +1

    Huko chunya hii ndio kawaida Yao Ani viongozi wanagawana na kutunukiana viwanja vya raia kama maembe 2 my country people

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 6 месяцев назад +1

    Sasa wameamia Dom Maafisa Ardhi dhulma sana wametudhulumu Ardhi sana Dar sasa zam ya Dom

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 месяцев назад

    Kazi kutujazia Waarabu waliwatesa Mababu zetu kwenye uyumwa sasa wanataka turudi utumwani tena wakawapeleke Hukohuko zanzibar Utwala gani huu

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 месяцев назад +1

    IGNORANCE OF LAW IS NOT EXCUSE!

  • @eazyentertainment5570
    @eazyentertainment5570 6 месяцев назад +3

    asante Mh ila hapo naona hauja solve tatizo la huo mgogoro ulichofanya ni kuhamisha kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hao jamaa wamenunua kihalali kwahio watawka injuction na hakutakuwa na mmiliki halali mgogoro utaendelea

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 6 месяцев назад

      Of point kabisa, hiyo ARDHI ILIKUWA ya hao walalamikaji kisheria na haikufutwa kisheria so hao wamepoteza hiyo HAKI ya kumiliki hawatakuwa na MGoGORO wowote, MWENYE HAKI kisheria ya kufuta hati ya ARDHI ni rais tu

  • @anthonykyoma294
    @anthonykyoma294 6 месяцев назад +1

    Tumuombee kiongozi huyu maana yeyote anayejaribu kusimamia haki Huwa na vita Kali sana tusifurahi tu tumwombee

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 месяцев назад +1

    kila Sekta hovyo kabisa tumeichoka awamu hii ajabu kazi kujaza mijizi tu ya awamu ya nne

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 месяцев назад

    Mnakumbuka shuka kumekucha Serikali yetu kiboko warudishieni Wamasai Ardhi yao ya Loliondo dhuluma zimezidi kila srkta Tutamkumbuka sanaaaa Hayati Magufuli mmewashika watu wasema ukweli wanasheria kuwatesa kuwaua kuwasingizia kesi za kila aina sasa mnaona uchaguzi unakaribia ndiyo mnaanza kufuatilia inshallah Mungu atawalani tu tu na uonevu wenu wa Haki za Binadamu

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 6 месяцев назад +2

    Rukuvi alikuwa Moja na mafuru

  • @shukranitawa4668
    @shukranitawa4668 6 месяцев назад

    Mungu una ishi.

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 6 месяцев назад +1

    Mafuru hastahili kuendelea kuishi

  • @user-xy9tn1rr3d
    @user-xy9tn1rr3d 6 месяцев назад

    Muheshimiwa tumevunjiwa nyumba zetu kimara stop over kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara leo hii anapewa mtu eneo anajenga shell je hiyo ni sheria

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 6 месяцев назад

    Wataalam wako sahihi.... Mae neo mengi yamehodhiwA na taasisi za kidini na zimekaa wazi pasipo matumizi.... Matumizi yaweza kubadilishwa na wataalamu.... Nini maana ya taaluma..... Shida ni uwazi haupo maofsini na ushirikishwaji wa wananchi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 6 месяцев назад

    Saaaaafiiiii saaaaaana waziri nyoooosha rula

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 6 месяцев назад

    Kama sehem imeshajemgwa na Raia amekaa serekali itumie hekma na kuona kua kuna namna ya kufanya ili watu wasiharibiwe mali zao maana mkosaji hapa ni serekali wenyewe

  • @gililwise
    @gililwise 6 месяцев назад

    Jamani naombeni no za Mh Aweso.kuna ubadhirifu Morowasa wamekarabati tank la wananchi tulilojenga kwa nguvu zetu na pia wamearibu miundombinu ya maji kata ya bigwa Morogoro wakati tuna vibali halali vya kumiliki maji.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 6 месяцев назад

    Dodoma kuhusu ardhi mweshimiwa nishida.Watu wanabadilisha hti kwenda kwamtu mwingine,

  • @user-fg2he3dc8s
    @user-fg2he3dc8s 3 месяца назад

    Kwani haiwezekan hao watu waliojenga apo wakajichanga na kununua Eno jingne kwaajili ya kanisa maaana kubomoa izo nyumba 😢

    • @charlesbii6749
      @charlesbii6749 2 месяца назад

      Mbona hao wawekezaji hawakutafuta pahali pengine?

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 6 месяцев назад +1

    Sasa wao wanakosa gani kumilikishwa???

  • @HisaniMsigwa-lc6zk
    @HisaniMsigwa-lc6zk 6 месяцев назад +1

    Hilo ni Kanisa piga hesab watu wa hali ya chin

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 2 месяца назад

    kunyooosha watu kwenye mstari tungekuwa na mawaziri kama sita tuu nakuhakikishia watu wanaweza wakasema nchi isiwe na raisi iwe inaongozwa na mawaziri wanasimamiwa na waziri mkuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 месяцев назад

    Viongozi wameiharibu Ccm chama cha Mwalimu nyerere na karume inejaa mijizi tu tumeichoka kabisa

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 6 месяцев назад

    Kwa huo uamuzi mgogoro haujaisha. Waliojenga wana ramani nyingine na waliodhulumiwa na wana ya kwao.

  • @truehope2746
    @truehope2746 6 месяцев назад

    Bado fuatilia na kanisa la viziwi ihumwa ambayo ni jamii maalumu lakini wameuza wakishirikiana na mkurugenzi mafuru.njoo na ndachi uone

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 6 месяцев назад

    Tatizo mnawasimamisha na kuwahamishia sehemu nyingine, sasa mnategemea nini?😂😂😂😂😂

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 6 месяцев назад

    Tabia ya rushwa na dhuluma ni tabia ya watendaji karibu wote wa serikali ya ccm

  • @danielkanso
    @danielkanso 6 месяцев назад

    Viongozi wengi wanalindana huko hivyo hata hiyo eneo la kanisa wamehusika wengi wao

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 6 месяцев назад

    ASITOE AGIZO LA MDOMO ATOE LA BARUA ILI AJIKOMITI.HATA WATAKAO ENDA MAHAKAMANI.WAWE NA NGUVU.

  • @user-pt7lc4xu3d
    @user-pt7lc4xu3d 6 месяцев назад

    Mwashimiwa yupo fadhili WA mkuu WA idara ni mtuu Atari Kwa wilaya ubungo

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 6 месяцев назад

    Ardhi shida bado ipo pale pale hapo dar ndio usiseme nenda Rudi mpk basi, tunammis Dana Lukuvi

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 6 месяцев назад

    Dah apa nimemukumbuka muzee wetu rukuvi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 месяцев назад

    Mh. Ni kufuuzwa kazi. Kanisa wape eneo linguine watusiwatie hasara . Fukuda.kazi hao watumishi wa.ardhi

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 6 месяцев назад

    Damage ya mtu mmoja tuu

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 6 месяцев назад

    Hao ni watendaji wenu kama serekali mliwaamini kama wameharibu serekali inatakiwa iwajibike maana wao ndio wameweka watu wasio sahihi mimi kama raia nimenunua kiwanja na kupewa hati miliki serekalini sasa mnaniambiaje nilipojenga sipo sahihi

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 6 месяцев назад

    Kumfukuza mtu kazi mpaka uite press?

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 6 месяцев назад

    Yasiwe hivii Kwa uchaguzi kukaribia tu

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 месяцев назад

    HUU UCHAFU ULITAKIWA UFANYIKE MIKOANI NA SI IKULU. "IKULU NI MAHALI PATAKATIFU."

  • @josephatjohn655
    @josephatjohn655 6 месяцев назад

    Uyo jamaa kajenga gorofa kabisa ukute alionga kukipata kiwanja sasa anaenda kuvunja sasa gorofa lote

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 6 месяцев назад +1

    Katika hili tutamkubuka sana Rukuvi

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 месяцев назад

    NA HAPA NDIPO SERIKALI YA MAMA SAMIA INAPOKAA, LAKINI HUU UCHAFU UNAFANYIKA HIVYO!

  • @benezethbaruti1463
    @benezethbaruti1463 6 месяцев назад

    Nayeye asimame kazi maana maeneo yote katika jimbo lake barabara hazipitiki magole, mwana gati, kitunda, kivule msongola,, bomba mbili sasa hivi nauli daradara 2,000.

    • @AlfarouqIslamic
      @AlfarouqIslamic 6 месяцев назад

      Sio daradara ndugu,ni daladala

    • @benezethbaruti1463
      @benezethbaruti1463 6 месяцев назад

      @@AlfarouqIslamic asante ndugu, ujumbe ufike huku tuna teseka.

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 6 месяцев назад

    Mabula was incompetent

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 6 месяцев назад

    Dodoma ni fujo tupu ya ardhi

  • @user-zs2gx2xh9j
    @user-zs2gx2xh9j 6 месяцев назад

    Haki imetendeka

  • @methuselamiligo614
    @methuselamiligo614 6 месяцев назад

    Hawa jamaaaaaaaaaaaaa wameona tunakaribia uchaguz ndio wanakomaaaaaaa

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 6 месяцев назад

      Kwa hiyo Ulikuwa unashauri waache huu upuuzi uendelee?

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 6 месяцев назад +1

    Mbona unatoa mamuzi apo kwaapo kwengine autowi mamzi unaupendereo nyau wewe

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 6 месяцев назад

    Wizi mtupu huo cjui wanapataje usingizi kwa dhuluma kwakweli