DW Kiswahili Habari za Ulimwengu| Mei 17, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • 17.05.2024 #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #HabariLeo
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Mei 17, | Jioni | Swahili Habari leo | Waandamanaji wa Israel walishambulia lori wakizuia kuingizwa msaada huko Gaza. #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.

Комментарии • 7

  • @user-bv4qw9qm4g
    @user-bv4qw9qm4g 22 дня назад

    Mungu ibariki Israel ishinde vita hii Kwa utukufu w jina lako. Mungu ibariki pia Tanzania.

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад

    Laanahtullah Israel kua raia Mungu, atusaidie kuazibu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад

    Uwe una sikiliza Habari,ushabik acha, Habari,uliza kama hujui,

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад

    Et kamasi hizo vifaru vya Abraham vya Marekan na Leopard ujeruman challenge n uingereza na shardor patriotic America ndio zinatumika Ukraine, America wanalalamika nchi inafiliska raia walia we u

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 23 дня назад

    MWANAUME MMOJA TU WA URUSI AMERICA NA WAJINGAWAKE WASHIRIKA WANAMTETEMA😂😂😂. MNAMFUNGIA VYOMBOVYAKE VYAHABARI SABABU NIKWAMBA WAMAGHARIBI UCHAWIWAO WASIOUTAKA NI UKWELI NA JAQI. HIYO NDIO INAWABOMOA WAMAGHARIB.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 23 дня назад

      Mbona putin kashindwa na ka nchi kadogo ukraine kukateka hadi leo anatolewa kamasi.

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад

      America anavyotoa msaada w vifaru vya Abraham patriotic, challenge n uingereza na shardor na Leopard ujeruman sasa we hujui Habari uliza hio vita n America,n ulaya, na Urusi,c Ukraine,