WAZIRI PROF. MBARAWA MBELE YA WABUNGE AFAFANUA KIWANGO CHA JUU CHA MWENDOKASI WA TRENI ZA SGR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024

Комментарии • 8

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 13 дней назад

    God job angalizo asije kutokea mtu akataka kuujumu huu mladi.

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 12 дней назад

    Mchongoko amtest mmekalia maneno tuuu

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 13 дней назад +3

    Yeah! Hiyo ya reli ya dar Dodoma imekamilika tunataka kujuwa hali ya ujenzi makotopora tabora kasi ikoje ubora na lini itakuwa tayari?pia tabora isaka muhimu sana .

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 13 дней назад

    Safi sana TRC munaweza anzisha kiwanda cha kujenga Train na ijini pia Mabewa hapa TZ inawezekana tuna wahandisi wengi na misimamiebvizuri.

  • @barnythetravellerke
    @barnythetravellerke 12 дней назад

    Mnaanza usafirishaji lini?

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 13 дней назад +1

    Hongera trc hongera Tanzania lakini he reli ni priority kwa sababu umasikini iko juu sana jana nime ona report imf sisi ni nchi 31 duniani kwa umaskini ata zambia na Ethiopia watu wana hali nzuri kuliko sisi,,,,na uliza priority zetu ziko sawa

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 13 дней назад

      Thibitisha

    • @UnitedAfrica-uw9ct
      @UnitedAfrica-uw9ct 12 дней назад

      Wewe unataka kufanya nini tukope pesa , halafu tuwape Watanzania Mkononi kila mtu na zake au iweje..?...mimi ninavyoelewa hii miradi ya Reli kama unavyoiona kote Africa inaendana na AFRICAN UNION AGENDA 2063 , Ambayo lengo lake kubwa ni kuhakikisha miji mikuu yote ya Africa imeunganishwa kwa Reli nahivyo kufanya , malengo yaliyopo kwenye African Continental Free Trade Area (AcFTA) yaweze kufanikiwa nikiwa na maana Nchi za Afrika kufanya biashara zenyewe huku ndani badala ya kutegemea nje, Biashara ya ndani ya Africa ni 15% tu, ya export zote hiki ni kiwango cha chini sana, biashara haiwezi kufanyika kama huuna miundo mbinu ya kusafirisha bidhaa, usiangalie Tanzania pekee yake angalia Africa miaka 40 mpaka 50 kuanzia sasa hivi.