Ma Sha allah ma shaa allah ma sha allah hawa ndio maustadh wanaotakikana katika jamii ya saii.ametufafanulia Kila kitu hata cc amabao hatukusoma tumepata faida alhamdulilah.allah akupe afya na nguvu na UMRI mrefu upate kutupa faida.
Nilikua naikosa Arafa kisa kupotoshwa tuu, Alhamdulillah for tuday nimeijua ukweli na nikafunga,Bachu may Allah reward you for these knowledge jazzak Allah kheir
Tunayakubali yote hayo Sheikh ni kweli 100%, kwa sisi ambao tuna "access" leo kuwaona waliopo Makka. Swali ni kwamba huu ni mwaka 1445 AH, je waliopita miaka 100 tu iliyopita Masheikh wetu walitekeleza vipi ibada hii. Waliikosea? Walisameheka? Haikuwahusu?
ametakasika m/mungu aliye iteremsha quran kwa hakika hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa ila yeye ❤❤❤ ametakasika m/mungu aliyemumba Muhammad bachu kwa hakika hakuna mungu ilayeye.. Muhammad bachu mfalime wa ghutuba
Wallahi hadi mwili umesisimka.. Na kuombea Sheikh Allah Akuzidishie Afya na Umri ili uzidi kutufungua macho.. Unachukiwa sheikh sabb unasema ukweli.. Na kuombea Allah akulipe kila lakheri na akuhifadhi nakila la shari Aamin Wanaopinga hili hatupati ufafanuzi mzuri uliowazi kama huu.
Assalam Alaykum jaman Sheikh Muhammad hajafukuzwa Zanzibar ila amefungiwa asitoe mawaidha kwa miaka 3 cjui 2 km ivo lkn hajafukuzwa kaondoka coz mda mwingi huo kukaa bila ya kufanya daawaah lkn kurud cjui vepe
❤❤😂.wagonge tu..Bachu mmojatu..ipo siku watatuambia hija ipo jamaika...tunakuelewa shekh..,,,tatizo milio ya madufu inatusumbua vichwani..na damu ya minyama tunayoimwaga kwa vichinjo vya maulidi.❤
Allah akulipe maana kila anayetangaza dini sawasawa lazima atapata wapinzani watakaokuwa wanataka iwe vile waavyotamani wao na hayo ni matamanio ya nafsi. ushabiki sio.mzuri haki itatusaidia wenyewe bali ushabiki utaishia kutukana watu nankupata dhambi na kubaki huwezi kuiona haki. alhamdulillaahi watu wanaamka kila siku na miakaya juzi juzi tulikuwa tunanyanyasika leo alhamdulillaah tunaeleweka katka daawa yetu.
Allah akuzidishie Elimu. Arafa ni Ile siku wanayosimm mahujaj,kisha Allah awasamehe hali kua wanarudi makwao hawana madhambi,kumbe ndio siku huo nasi twatakiwa kufunga? Kweli sheikh umetofautisha baina ya tarehe zetu Tz na siku hio.
Ewe Allah mrhemu baba yake kwa malezi bora Sasa utumikia humma ee mola😢ee mzidishie elimu na hekima na mwisho mwema na uwajalie yeye na wazazi wake jannatulfidaus
Wewe dunia haiko hivyo dunia imepishana saa na nyakati masalafi mambumbumbu kweli dunia iko tofauti kuna wengine mchana wengine wako usiku hata arafa inazingatiwa machomozo acha kudanganya hawa wafuasi wako.zingatia dunia imetofautiana hiyo aya inaonyesha mtiririko wa nguzo za wiislam si kama unavyoelewa bachu acha kukurupuka. 12:47
@@mkalifanny4555 kasome kitabu cha ibn rushd Alqurtubiy al anndalusy mujelled wa 2 akizungumzia mas asal hayo akisema yana ikhtilaaf ala wewe ndo upime kwenye mizani utapata kitu bora zaidi. Shukraan
Wewe muhammad machu ni mjingaa tu huna elimu kama ungekuwa na elimu basi ungefunga domo lako kazi kutumia membar za misikiti kudanganya waislamu huna jengine,yaani tokea wake Hawa masalafi imekuwa keroo . Yaani hoja zako za kipuuzi hasaa
@@SoudShuraim hoja gani alotoaa yenye maaana hapoo ? Nyinyi munawasema watu wa maulidi ni wazushi Sasa na nyinyi hilii mulilolizushaa la mwezi wa kimatifa mumetoa wapi ?? Nyinyi ni wapuuzi tu hoja zenu za kitoto ,kama kweli basi leteni dalili ya wazi inayosema mtume lifuata mwezi wa mataifaa !
Haha Allah ndie ajuwae zaidi nani mpotishaji Zaid fuateni bachu muwaache waliokuwa wakweli kwa mujibu wa khadithi za Mtume SAW taabu kuwa na elimu ndogo na kuwafahamisha walokuwa hawana hata msingi wa hiyo elimu ndogo Subhanallah Mtume SAW katahadharisha sana wate wenye elimu ndogo katikati wakati wa akheer dunia Allah atunusuru na kufuata uwongo tukaacha ukweli fateni bachu na akina bachu kwa ushabiki na tutawafuata Masheikh wetu wanaowakariri Maulamaa waliotangulia kama kina Ibnu Taymia Bin Baaz na hata Sheikh Ahmed Bin Khaliliy na wao Masheikh wa Makkah Mukarama wanaosema ukweli kutokana na khadithi zao sahihi kuwa Mtume SAW akifunga mwezi tisa kabla kuja hija ila ukiwa unapenda utukufu wa duniani Allah atakupa wafuasi wengi waso umakini na wale wanaotaka Akhera yao Allah atawasalitisha na wanaofafanuwa kwa umakini sio kuvamia wazayuni wamewaweza kuzidisha kutengana Waislam kwa Waislam katika Ibada za Sunna na sio faradhi Allah atunusuru na siku ya malipo
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu Mimi sijapenda kichwa cha habari kinajenga chuki na kutugawa waislamu. Ikiwa upo sahihi na kichwa cha habari kipo sawa thibitisha kua nyie ni waislamu sisi sio waislamu ni makafiri. Sheikh Mohammed bachu nakuheshimu ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe ni mtu wa kuwatenga waislamu tena kwenye ibada Kama hii Allah akuongoze ila ukweli haujengi umma bali unaubomoa nilikua mfuatiliaji mzuri wa mawaidha yako ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe si mwema na wala mwadilifu tena mwenye kuleta kutengana waislamu kwa waislamu. Ikiwa unahitaji mawaidha yako yawe yanafutiliwa basi usitumie vichwa vya habari kama hiki. Shikamaneni katika dini ya Allah wala msitengane. Wallah a'lam.
Nisingemuasi Mtume s.a.w ningemfuata ila kwasasa Mtume hayupo tunapata mafundisho kutoka kwa wanazuoni wanatuelekezaje Rasul alituelekeza tuwafuate wanazuoni kwasababu Wanazuoni ni warithi wa Mitume.
Km utakua unasima comment sheikh Muhammad nisaidie swali langu huu mwezi kuitwa dhul hijja ,hii ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa hijja unaitwa dhulhijja au baada ya kufaradhishwa
Sisi wanadamu wa zama hizi tumekuwa tunajua zaidi technology sio Dini ya Allah, utandawazi umekuja kuongeza vitu vingi ambavyo ni msiba kwa waislam 😢 Swali, Je Iddy al adha Haikuwepo kabla Ya Hijja? 😢 mwenye ufahamu anijuze hapa?
Acha kudanganyika arafa ni tarehe 10 hijiria ko inategemea na muandamo wa mwezi na muandamo wa mwezi unatakiwa uushuhudie katika aga la nchi yako, mm Niko Imani Tena karibu na saudia lakini arafa tunafunga jumamosi sababu mwezi ulichelewa kuandama tofauti na saudia. If you know you know
@@TreasureMagumba hakuna hadithi wala aya inayosema mwezi uonekanwe katika nchi yako, kwanza uislamu haukuwa unatambua nchi hizi zilizokatwa na wazungu, uislamu unatambua miji mfano Makka, Kismayoo au Daressalam
@@mussakhamis3070 Mimi Niko Oman, mwaka jana mwezi uliandama sawasawa na saudia so arafa ilikuwa siku moja lkn mwaka huu Oman mwezi ulichelewa kuandama so tumefunga Leo funga ya arafa nchi nzima ya Oman kesho jumatatu Eid so ukitumia akili hata ya kuzaliwa utaelewa tu
Na mukitaka kujua kama Hawa masalafi ni wamichongo tu basi angalia kwenye mwezi wa ramadhani hawatoi raadi Kwa sababu ni waongoo hatari wnogopa funga zao zisibatilike 😂😂😂
Aliokuwa hataki kufahamu na akatae tu. Kila kitu kipobwazi Hadithi imetolewa ya Mtume Muhammad swalla llahu alyhi inasema wazi . Ww tafuta Arafa yako ambayo haina ushahidi
Shekh swali linalotusumbua ni hili;-siku za nyuma hakukua na mawasiliano ya vyombo vya habari. Mfano muislam yuko porini au baharini tangu mwezi mosi mawingu yametanda mvua inanyesha hadi mwezi kumi dhull hija, utaratibu gani utatumika kuifunga siku ya Arafa na kuswali Idd.
Swali jepesi ilo sababu kabal mawasiliano ata Tanzania moja watafunga arafa tatu cz kuna mikoa wataona kuna mikoa hawatoona Tanzania hii hii ,hat juzi Tanzania mwezi haukuonekana umeonekan kenya ssa bl mawasiliano Tanzania tusingejua kitu shekh
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,ndg zang tuache ushabiki ktk dini ya Allah,ikiwa hoja ni kila watu kufuata muandamo wao bas ndan ya Tanzania yenyewe huko nyuma kabla ya maendeleo ya sayans na teknolojia miji yetu ilitofautiana kulingana na tofaut za kuonekana mwez bas kipi kilichosababisha leo iwe taarifa ya mtu mmoja iwe sababu ya miji yote tanzania kufuata na kuacha asili ilivyokua???
Umeuliza swali la kiakili sana ila nasikitika huwezi pata jibu la maana, dini tumeifanya kama vilabu vya mpira kuwa mimi Simba wewe Yanga kwahiyo kila mtu anatetea upande wake hata kama haki imedhihirkika
Mbona siku ya wanawake duniani Dunia nzima mumeifanya moja tu? Kwann siku ya wazee ni moja? Kwanin siku ya wafanya kazi ni moja tu? Kwann siku ya watoto ni moja tu? Kwann masherehe yenu ya mapinduzi siku ni moja tu? Kwann dini ya Allah muichezee nyinyi wahuni wa dini? Hii ni dini moja na Eid ni moja tu acheni uhuni masufi
Hakunq ushabiki katikq dini bali tunafuata dini jinsi inataka,,umetolea mfano siku za nyuma ambayo watu wengi hatukua na elimu wengi aiku hizi watu wengi wameingia darasan na wakajua haki so acha watu watoe elimu kwa qadri Allah amewajaalia cha msingi wew ni kusikiliza kila pande halafu utachuja hoja na utaelewa nin ufanye
Mimi Allah amenijaalia kufanya uchunguz kias nilichofanya nathubutu kusema baadhi ya masheikh si waadilifu wanafanya ushabiki mkubwa unaopelekea watu kuacha haki na kushika batili
@@AliJussa alopotea huwezi muongoza ww isipokuwa allah na mtu akichaguwa upotevu hawezi kuona kweli na akaikubali hata akiona hii ndo hakki atapinga kwavile wa kumuongoza mtu ni Allah hta mtume aliambiwa na allah hutoweza kuwaongoa walopotea ww wafikishie habari ya kuongoa mtu ni ya mwenyezi mungu akikupa tawfiki utaongoka akikucha kupotea hata uone haki kweupe utaipinga tuuh! Huoni wakristo wana kuambia Yesu ni mungu pamoja tunawabainishia issa ni mtume bado wanakaidi na wanaona ile alipo ndo hakki na ubiisha kabisa ndo hata kwetu huku kunawatu hakki wanaiona kweupe kabisa hawataki kufata watajenga hoja zisizo na msingi ili apinge tuu
MTUME s.a.w alisema tufunge yaumu Arafa. Hakusema tufunge Yaumu wuquf yaumu Arafa.. so Yaumu Arafa ni 9 Dhulhijja. Na MTUME s.a.w alisema kila mtu atizame muandamo wake. So Arafa yetu Sunday na IDD yetu Monday
Hakuna watu ninao wachukia kuliko masufi na makhurafi shida inayowasumbua ni njaa tu si kwamba hawajui wanajua jumapli ndo idi ya kiislamu hiyo ya jumatatu ni marudio tu
Bachu mwaka jana umezungimzia Afara mwaka huu Arafa na mwaka ujao Arafa Sasa ktk kuzungumza kwako huko yapi ya kuchukuliwa yapi ya kuachwa. Au maneno yako yana تناقضات?
@@binseif2216 Hakuna nchi duniani inayopishana kwa masaa 24 ,bali zinapishana kwa masaa kadhaa lakini siku zinakutana tu , hoja yako kwasababu nchi zimepishana kwa masaa kadhaa nyie mukaona bora musifunge kabisa muanze siku nyengine
@@binseif2216niambie wewe upo china au tanzania, je tanzania na saudia zimepishana kwa masaa mangapi ? kwanini wewe usifunge sawa na saudia hakiyakua wewe hupo china upo Tanzania
@salimsaleh9354 Nyoosha maelezo usilete kigezo cha kuweko TZ nyie mshasema mwezi wa kimataifa manake hata walokuwa usku kwao inawahusu arafa muda huo Ndomana nikasema mkiweza kujibu hili swali ntatoa na zawadi
Yani mawahabi majahili kweli. Yani bachu mda wote alozungumza lkn hana point hata moja.kama ni fadhila za siku ya arafa kila muislam anazijua ndiyo maana tuna funga. Swali lililopo ni hiyo arafani lini? Ni tarehe 9 pale ulipo au ni tarehe tisa makkak? Na hilo bachu kashindwa kulijibu. Kazunguka tu na porojo nyingi. Sisi tunajua kisisimamo cha arafa ni tarehe 9 ya saudia lkn saumu ya arafa ni tarehe ya pale ulipo.
Siku ya arafa ni moja tu mbona ramadhani ni moja hii dini mnaigawa makundi kwa uzushi wenu na kujifanya wabunifu kwenye dini sisi tunamwangalia mtume labda mna mtume wetu
Kuna watu wa2 WA3 ndio husema Wana ARAFA Yao na Viwanja vyao ARAFA. SASA watuoneshe Viwanja vyao na Sisi tukasimame huko. Ama mara hii wameishiwa na kila kitu. Hadithi hawazitaki tena wanaziogopa. Yule kofia nyekundu alizikwepa, na huyu hapa mmoja Zanzibar Mwarab Naona hajui hata anachokizungunza
Babu mimi kwenye maulid nakubali umewakalisha jamaa, na nimeacha maulid. Lakini kwa ishu ya mwandamo wa mwezi na funga ya Arafa, hauna hoja za msingi. Hujajibu hata hoja moja zinazotolewa.
Lkn swal la kujiuliza ni moja tu ikiwa arafa ipo makka na ikiwa lengo la finga ni kupata ujira kw ajl ya kuwakilisha waliofunga bx ni waz arafa ni 1 tu isipokua wengine wao hawafung arafa bali wanafunga mwez 9 kw iyo sisi tushakuelewen vzr tu na ndio maana hamutupi tabu mutaelewa kdg kdg tu...
Hapo ndio penye suala hawalioni hilo wao wako katika kushabikia ubinafsi badala ya kwenda kusoma kwa Masheikh mbali mbali haijhusiana kisimamo cha matendo na ukhalisia wa ibada ilofanywa na Mtume SAW kabla ya hija tunawaombea vijana wanaoshabikia bachu kwa kuwa ni kijana mwenzao na hata watu wazima walokuwa ufahamu wao finyu Allah awape Ilhaam ya kutafuta haki na awatoe kwenye batili
Kwakwel hawa jamaa walkuwa wa buruzawatu san na ukiwa skilza kwa kwel hawana hoj zto kuhusu hja ndo man kila mwaka twa wakimbia wapo masuf weng walkula idi sku ya juma2 kuonesha kama wamejuwa hak ipo wap
Sheik kweli we ni mjanja,Leo hi unasema wanawazuoni wamepishana kauli kwenye siku ya aarafa,Lakini kwenye makala zako unalazimisha watu wawafuate mahujaji kule maka!.
Swali la msingi la kujiuliza kwa wenye akili timamu wasio fata mkombo au ushabiki ni wakati ibada ya hija inaanza kutekelezwa walikuwa wanaitekeleza kwa kuzingatia vigezo gani??? Anayefahamu aje ajibu kwa hoja na sio ushabiki wa kidini na mihemko
Shekhe Wetu Farid Naona hajatambuwa kuwa funga ya siku ya ARAFA haina Khitilafu ktk Vitabu. Labda ya Ramadhani. SASA Akasome tena ibada zenye Ikhtilafi. Sio ARAFA. Na hapa sio yeye Tu Wapo wingi kama yeye
Yani mawahabi vichwa mchunga hawaelewi kitu masikini. Unasema funga ya arafa haina hitilafu soma fatwa ya uthaymeen utaona watu waangalie mwezi wa mji wako
Na wale ambao jioni ya Arafa katika nchi zao ni usiku Allah hawashukii wao? Kwa iyo unaweza kufunga Arafa mwezi 8? Sheikh kua na Inswaaf... Arafa ni mwezi 9 usipotoshe umma utakwenda kuulizwa
Ujue Hawa masufi ni Bora kumsikiliza mbwa kuliko kumsikiliza Sufi SI kwamba hayajui arafa ni jumamosi yanajua vzr ila njaa na tamaa wameweka mbele kuliko dini ila idi ya jumattu n marudio tu.
Bachuu bado hajatoa hoja kwa nn Arafa iwe Jumamos...Na wala hakuna hadithi inayosema kwamba sisi tufunge kwa kuwaunga mahujaji... Haya maneno Mtume hajawi kusema
Ma Sha allah ma shaa allah ma sha allah hawa ndio maustadh wanaotakikana katika jamii ya saii.ametufafanulia Kila kitu hata cc amabao hatukusoma tumepata faida alhamdulilah.allah akupe afya na nguvu na UMRI mrefu upate kutupa faida.
Nilikua naikosa Arafa kisa kupotoshwa tuu, Alhamdulillah for tuday nimeijua ukweli na nikafunga,Bachu may Allah reward you for these knowledge jazzak Allah kheir
Bachu anawapotosha
@@saba-gv3mj kwani pia wewe ukona Arafa yakoo?
@@saba-gv3mjViwanja vya saba saba hakuna Arafa.
@@Sheba4651 ahh maswali yakisenge wauliza arafa makkah utauliza vp saba saba ama ww koko
Maneno kama hii ndio inaudhi masufi....may Allah guide them
Ukiwa humuelewi professor sh Muhammad bachu basi wewe tafuta doctor haraka sana ndugu yangu muislamu
Mwanazuoni mkubwa WAKIWAHABI sheik nasrdin Albany kasema haifai kufunga suna siku yajumamosi peke yake,sasa nyie mnapingana na Wanawazuni wenu
@@IsmailSangakama shetani amekutawala wewe sisi tuko sawa alhamdulillah, wewe poteza fadhila ya jaahil
@@mohagurey2214 Labda atakua kakutawala wewe, ndo maana itikadi yenu damu za waislaam wenzenu nihaki kwenu.
@@IsmailSanga we funga arafa yako, usijaribu kutuweka wasiwasi wako sisi, and don't change the topic ya Sufi qubuuri
Tunayakubali yote hayo Sheikh ni kweli 100%, kwa sisi ambao tuna "access" leo kuwaona waliopo Makka. Swali ni kwamba huu ni mwaka 1445 AH, je waliopita miaka 100 tu iliyopita Masheikh wetu walitekeleza vipi ibada hii. Waliikosea? Walisameheka? Haikuwahusu?
MashAllah Huyo ndio bachu sasa.. Hutba imeshiba kabisa
ametakasika m/mungu aliye iteremsha quran kwa hakika hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa ila yeye ❤❤❤ ametakasika m/mungu aliyemumba Muhammad bachu kwa hakika hakuna mungu ilayeye..
Muhammad bachu mfalime wa ghutuba
Wallahi hadi mwili umesisimka..
Na kuombea Sheikh Allah Akuzidishie Afya na Umri ili uzidi kutufungua macho..
Unachukiwa sheikh sabb unasema ukweli..
Na kuombea Allah akulipe kila lakheri na akuhifadhi nakila la shari Aamin
Wanaopinga hili hatupati ufafanuzi mzuri uliowazi kama huu.
Allah amrehem mzee wak hakika amekufanya uwe kijan bora zaid allah akuulinde n akufanye uwe thabit🎉🎉🎉
Allhahumma amin
Muogope Allah Mohd
Masha Allah Allah akulinde na shari itakayokuandama
Mulioko Zanzibar na huyu jamaa, mmmh mnaraha sana wallah ❤❤
Wamemfukuza uyo yupo Kenya sku iz Zanzibar ukiongea ukwel tu huna lako
@@AbuuZalmay 🙄🙄🙄
Wamemfukuza washenz wa ccm
Assalam Alaykum jaman Sheikh Muhammad hajafukuzwa Zanzibar ila amefungiwa asitoe mawaidha kwa miaka 3 cjui 2 km ivo lkn hajafukuzwa kaondoka coz mda mwingi huo kukaa bila ya kufanya daawaah lkn kurud cjui vepe
Mola akulipe mema sheik
Maashaa Allaah, lete bayana Shekhe Allaah akuweke na akuzidishie maarifa na istiqaamah
Masha-allah Shehe na mwalimu wangu
Jazaak Allaahu khayran sheykh Muhammad bachu.
Allah akupe umri mrefu
maasha allhs shekh muhammadi nassor bachu allha akilipe kila la kheri
Allahumma ghufrahu warhamni.wasikana firjanna..ALLAH Alifanye kabur lako liwe firdaus inshaallah
❤❤😂.wagonge tu..Bachu mmojatu..ipo siku watatuambia hija ipo jamaika...tunakuelewa shekh..,,,tatizo milio ya madufu inatusumbua vichwani..na damu ya minyama tunayoimwaga kwa vichinjo vya maulidi.❤
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh asiekuwa kwahili niwale masufi sisi inatutosha
Watu kama hawa duniani Allah anawaleta wachache tu alianza sh nasoro bachu kaja msellem bin aly sasaiv kuna muhhamad bachu
Allah azidi kukuthibitisha na kukupa nguvu na tazkiatu nafsi zaidi tunafaidi na tunasoma maasha Allah
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
Wambie watu wa bidah
Watu wa bidah wanataka harafu ziwe mbali lakini Ijumaa iwe moja duniani
Nawashangaa
Mungu akubaliki sana akuzidishie elimu na umli
Shukrani.sana.shekhe
Bachu.Allah.atakulipa.ijira.wako.
Wamezusha siku nyingi sana ukweli unabainika sasa alhamdulillah tunajua allah mlinde shekhe watu bacho
Mwenyezimungu amrehemu sheikh Nasoro Bachu nami pia anijahlie mtoto mwenye elimu kama Mohammed Bachu.
Mashaallah Allah akuongoze shekh
❤❤❤ Allah akupe nguvu nying na afya tele inshallah,,
Allah akulipe maana kila anayetangaza dini sawasawa lazima atapata wapinzani watakaokuwa wanataka iwe vile waavyotamani wao na hayo ni matamanio ya nafsi. ushabiki sio.mzuri haki itatusaidia wenyewe bali ushabiki utaishia kutukana watu nankupata dhambi na kubaki huwezi kuiona haki. alhamdulillaahi watu wanaamka kila siku na miakaya juzi juzi tulikuwa tunanyanyasika leo alhamdulillaah tunaeleweka katka daawa yetu.
Kwamaelezo haya mtu akaikosa siku hii kafanya kusudi nakama hajaelewa ndio akaikosa baada kusikia haya allah atufahamishe atusamehe
بارك الله فيك❤❤❤❤
Maashaa Allah Maashaa Allah ❤
Allah akuzidishie Elimu.
Arafa ni Ile siku wanayosimm mahujaj,kisha Allah awasamehe hali kua wanarudi makwao hawana madhambi,kumbe ndio siku huo nasi twatakiwa kufunga?
Kweli sheikh umetofautisha baina ya tarehe zetu Tz na siku hio.
Allha akuhifadhi undele kugonga sapana watu wa bida wana haribu dini
Ewe Allah mrhemu baba yake kwa malezi bora Sasa utumikia humma ee mola😢ee mzidishie elimu na hekima na mwisho mwema na uwajalie yeye na wazazi wake jannatulfidaus
Allah bless you 🙏🏽
Hivi , MIMI tu namuelewa huyu mwalimu au Kuna na wenzangu , MAAANA HUA NIKI MSIKILIZA AKILI YANGU HUA INA SEMA FACT FACT FACT Mashallah
Hakika tunaelimika wengi na wale wasiotaka hawalazimishwi kwa sbb kuongoka yategemea mtu mwenyewe
Wewe dunia haiko hivyo dunia imepishana saa na nyakati masalafi mambumbumbu kweli dunia iko tofauti kuna wengine mchana wengine wako usiku hata arafa inazingatiwa machomozo acha kudanganya hawa wafuasi wako.zingatia dunia imetofautiana hiyo aya inaonyesha mtiririko wa nguzo za wiislam si kama unavyoelewa bachu acha kukurupuka. 12:47
Kasome kwanza ndug yngu
Ajabu KUBWA SANA WAISLAMU katika Mas ala ya kama haya kuwekeana chuki Wakati ktk Misingi Ya Sharia Tunakubaliana
Ajabu sana WALAAHY
Usiwaze chuki shekh cha msingi sikiliza hoja za pande mbili halafu tia kwenye mzani na utapata kitu bora
@@mkalifanny4555 kasome kitabu cha ibn rushd Alqurtubiy al anndalusy mujelled wa 2 akizungumzia mas asal hayo akisema yana ikhtilaaf ala wewe ndo upime kwenye mizani utapata kitu bora zaidi. Shukraan
Wewe muhammad machu ni mjingaa tu huna elimu kama ungekuwa na elimu basi ungefunga domo lako kazi kutumia membar za misikiti kudanganya waislamu huna jengine,yaani tokea wake Hawa masalafi imekuwa keroo . Yaani hoja zako za kipuuzi hasaa
Pia wewe mjinga mkubwa,hoja zipo wazi huelewi zombi wewe
@@SoudShuraim hoja gani alotoaa yenye maaana hapoo ? Nyinyi munawasema watu wa maulidi ni wazushi Sasa na nyinyi hilii mulilolizushaa la mwezi wa kimatifa mumetoa wapi ?? Nyinyi ni wapuuzi tu hoja zenu za kitoto ,kama kweli basi leteni dalili ya wazi inayosema mtume lifuata mwezi wa mataifaa !
@@SoudShuraim kazi kuburuzwaa tuu nyinyi ni wanafik hamuna dini mojaa kazi kuvaa vikanzu vifupi mutfikiri munavuka mto hamuna jengine
Asante🙏
Wanajitoa fahamu tuuu
Kwanza tv kharaaaam ,"alisikika jamaa mmoja hivi"
Sheikh mkosa adabu
Mkosa adabu ni wewe na wazazi wako
Masha Allah
😂sasa kwanini waswe kwaotu mungu angefika
❤❤❤❤nice
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ well said # Masha Allah
Huyu vitina tu ukatae ukubali
Sasa tukana maana ndio madheheb yenu
MashaAllah alhabiby
Haha Allah ndie ajuwae zaidi nani mpotishaji Zaid fuateni bachu muwaache waliokuwa wakweli kwa mujibu wa khadithi za Mtume SAW taabu kuwa na elimu ndogo na kuwafahamisha walokuwa hawana hata msingi wa hiyo elimu ndogo Subhanallah Mtume SAW katahadharisha sana wate wenye elimu ndogo katikati wakati wa akheer dunia Allah atunusuru na kufuata uwongo tukaacha ukweli fateni bachu na akina bachu kwa ushabiki na tutawafuata Masheikh wetu wanaowakariri Maulamaa waliotangulia kama kina Ibnu Taymia Bin Baaz na hata Sheikh Ahmed Bin Khaliliy na wao Masheikh wa Makkah Mukarama wanaosema ukweli kutokana na khadithi zao sahihi kuwa Mtume SAW akifunga mwezi tisa kabla kuja hija ila ukiwa unapenda utukufu wa duniani Allah atakupa wafuasi wengi waso umakini na wale wanaotaka Akhera yao Allah atawasalitisha na wanaofafanuwa kwa umakini sio kuvamia wazayuni wamewaweza kuzidisha kutengana Waislam kwa Waislam katika Ibada za Sunna na sio faradhi Allah atunusuru na siku ya malipo
Shekhe wangu uyo anathema cheche😂😂
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu
Mimi sijapenda kichwa cha habari kinajenga chuki na kutugawa waislamu.
Ikiwa upo sahihi na kichwa cha habari kipo sawa thibitisha kua nyie ni waislamu sisi sio waislamu ni makafiri.
Sheikh Mohammed bachu nakuheshimu ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe ni mtu wa kuwatenga waislamu tena kwenye ibada Kama hii
Allah akuongoze ila ukweli haujengi umma bali unaubomoa nilikua mfuatiliaji mzuri wa mawaidha yako ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe si mwema na wala mwadilifu tena mwenye kuleta kutengana waislamu kwa waislamu.
Ikiwa unahitaji mawaidha yako yawe yanafutiliwa basi usitumie vichwa vya habari kama hiki.
Shikamaneni katika dini ya Allah wala msitengane.
Wallah a'lam.
Ingekuwa mtume Swallahu Alaihi Wasalaam yuko hai makkah au madina ungelimuasi? we waangalia kichwa au miguu swali hilo.
Nisingemuasi Mtume s.a.w ningemfuata ila kwasasa Mtume hayupo tunapata mafundisho kutoka kwa wanazuoni wanatuelekezaje
Rasul alituelekeza tuwafuate wanazuoni kwasababu
Wanazuoni ni warithi wa Mitume.
Hicho kichwa cha habari msimlaumu bachu nu tatuzo ni watu wa midia ndio wakorofi
Anachokifanya sheikh bachu ni kuelimisha imma ufuate usahihi ktk dini sio kuwagawa waislam wewe umemuelewa vibaya
Yaan nawe kichwa cha hbr unamlaumu bachu dah kweli tuna safari ndefu sana
Waelimishe shk wanapotosha lkn wengi wanafahamu Arafa nimoja ati wao wana arafa jpili poleni sana mutakwenda kuulizwa muoneshe arafa yenu
Km utakua unasima comment sheikh Muhammad nisaidie swali langu huu mwezi kuitwa dhul hijja ,hii ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa hijja unaitwa dhulhijja au baada ya kufaradhishwa
Sisi wanadamu wa zama hizi tumekuwa tunajua zaidi technology sio Dini ya Allah, utandawazi umekuja kuongeza vitu vingi ambavyo ni msiba kwa waislam 😢 Swali, Je Iddy al adha Haikuwepo kabla Ya Hijja? 😢 mwenye ufahamu anijuze hapa?
Arafa nimojatu mutake msitaka arafa nipale wanaposimama mahujjaj ktk viwanja vya arafa bas mutake mustaka
Acha kudanganyika arafa ni tarehe 10 hijiria ko inategemea na muandamo wa mwezi na muandamo wa mwezi unatakiwa uushuhudie katika aga la nchi yako, mm Niko Imani Tena karibu na saudia lakini arafa tunafunga jumamosi sababu mwezi ulichelewa kuandama tofauti na saudia. If you know you know
Arafat ni moja lakini saimu ya Arafa ni mwezi tisa.
@@TreasureMagumba hakuna hadithi wala aya inayosema mwezi uonekanwe katika nchi yako, kwanza uislamu haukuwa unatambua nchi hizi zilizokatwa na wazungu, uislamu unatambua miji mfano Makka, Kismayoo au Daressalam
@@mussakhamis3070 kasome Tena🤣🤣🤣
@@mussakhamis3070 Mimi Niko Oman, mwaka jana mwezi uliandama sawasawa na saudia so arafa ilikuwa siku moja lkn mwaka huu Oman mwezi ulichelewa kuandama so tumefunga Leo funga ya arafa nchi nzima ya Oman kesho jumatatu Eid so ukitumia akili hata ya kuzaliwa utaelewa tu
Mashallah
Sheikh vipi kwa ndugu zetu ambao wakati mahujaji wamesimama kwao niusiku inakuwa vipi?
Mm haunidanganyi wala haunishawishi
Naona umehama Zanzibar kwemaaa amii
Wamemfukuza ccm kwsbb anastrong fact
Mnaopongezana nyote ni mawahabi na nyote mola amewanyima ufahamu,poleni sana
Wewe funga arafa yako na ngoja majuto
Hawa masufi nyoyo zao Zina maradhi Allah Awaondolee waijue hakki
Yaani maelezo yote hayo makhurafi hawaelewi yaani mpaka unashangaa kitu gani kinawafanya wasielewe mpaka wanashika dhalat za wanachuoni
We MUHABI hujielewi!, Kamsome sheik Albany amabae ni mwanazuoni wakiwahabi anasema nini kuhusu kufunga jumamosi suna pekeyake,Hujitambui wewe.
watu wana malengo yao
Na mukitaka kujua kama Hawa masalafi ni wamichongo tu basi angalia kwenye mwezi wa ramadhani hawatoi raadi Kwa sababu ni waongoo hatari wnogopa funga zao zisibatilike 😂😂😂
Aliokuwa hataki kufahamu na akatae tu.
Kila kitu kipobwazi
Hadithi imetolewa ya Mtume Muhammad swalla llahu alyhi inasema wazi .
Ww tafuta Arafa yako ambayo haina ushahidi
Shekh swali linalotusumbua ni hili;-siku za nyuma hakukua na mawasiliano ya vyombo vya habari. Mfano muislam yuko porini au baharini tangu mwezi mosi mawingu yametanda mvua inanyesha hadi mwezi kumi dhull hija, utaratibu gani utatumika kuifunga siku ya Arafa na kuswali Idd.
Swali jepesi ilo sababu kabal mawasiliano ata Tanzania moja watafunga arafa tatu cz kuna mikoa wataona kuna mikoa hawatoona Tanzania hii hii ,hat juzi Tanzania mwezi haukuonekana umeonekan kenya ssa bl mawasiliano Tanzania tusingejua kitu shekh
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,ndg zang tuache ushabiki ktk dini ya Allah,ikiwa hoja ni kila watu kufuata muandamo wao bas ndan ya Tanzania yenyewe huko nyuma kabla ya maendeleo ya sayans na teknolojia miji yetu ilitofautiana kulingana na tofaut za kuonekana mwez bas kipi kilichosababisha leo iwe taarifa ya mtu mmoja iwe sababu ya miji yote tanzania kufuata na kuacha asili ilivyokua???
Umeuliza swali la kiakili sana ila nasikitika huwezi pata jibu la maana, dini tumeifanya kama vilabu vya mpira kuwa mimi Simba wewe Yanga kwahiyo kila mtu anatetea upande wake hata kama haki imedhihirkika
Mbona siku ya wanawake duniani Dunia nzima mumeifanya moja tu? Kwann siku ya wazee ni moja? Kwanin siku ya wafanya kazi ni moja tu? Kwann siku ya watoto ni moja tu? Kwann masherehe yenu ya mapinduzi siku ni moja tu? Kwann dini ya Allah muichezee nyinyi wahuni wa dini? Hii ni dini moja na Eid ni moja tu acheni uhuni masufi
Hakunq ushabiki katikq dini bali tunafuata dini jinsi inataka,,umetolea mfano siku za nyuma ambayo watu wengi hatukua na elimu wengi aiku hizi watu wengi wameingia darasan na wakajua haki so acha watu watoe elimu kwa qadri Allah amewajaalia cha msingi wew ni kusikiliza kila pande halafu utachuja hoja na utaelewa nin ufanye
Mimi Allah amenijaalia kufanya uchunguz kias nilichofanya nathubutu kusema baadhi ya masheikh si waadilifu wanafanya ushabiki mkubwa unaopelekea watu kuacha haki na kushika batili
@@binuqaasha675Yani we zero brain ko unaifananisha siku ya arafa na vitu vya ajabu😂😂😂 eti siku ya wanawake ni moja
Doctor gani kashidwa kwao zanzibar.....rudi usome lugha yenyew kaikosa pia kwenye ii hutba ...😅😅😅😅😂
Chuki sisi tunamuelewa mbuzi wewe
Huyu sio sheikh
sawa basi babako tumpe usheikh ili atufundishe
@@abdurashidinasorodini in shaa Allah
Ila Allah amrehemu Babangu aliko ktk maisha ya barzakh
@@abdurashidinasorodini nimependa sana wazo lako akhuy Abdulrashidinasorodini
Shekh ni ww na hatukuoni
Nyinyi ndio wale ALLAH ANASEMA SUMUH BHUKMUN HUM LAYARIJUN...MIOYO YENU ISHAPIGWA MIHURI NA KUWEKWA VIZIBO HAMUONI NA HAMSIKIII , SUBHANALLAH
Kuna watu wanatusindikiza kufunga arafa si tunapata hiyo fadhila wenyew wanasubiri arafa ya peke yao mtihani kweli
Ulipata Il ham kutoka kwa Mungu? 😢 dini sio mtu bali ni Mungu mwenyewe,
@@AliJussa alopotea huwezi muongoza ww isipokuwa allah na mtu akichaguwa upotevu hawezi kuona kweli na akaikubali hata akiona hii ndo hakki atapinga kwavile wa kumuongoza mtu ni Allah hta mtume aliambiwa na allah hutoweza kuwaongoa walopotea ww wafikishie habari ya kuongoa mtu ni ya mwenyezi mungu akikupa tawfiki utaongoka akikucha kupotea hata uone haki kweupe utaipinga tuuh! Huoni wakristo wana kuambia Yesu ni mungu pamoja tunawabainishia issa ni mtume bado wanakaidi na wanaona ile alipo ndo hakki na ubiisha kabisa ndo hata kwetu huku kunawatu hakki wanaiona kweupe kabisa hawataki kufata watajenga hoja zisizo na msingi ili apinge tuu
Una uhakika wa Hilo . Soma sana ndugu
@@NassirAli-ol8fm nifate bidaa ndo utajuwa nimesoma au utakufa na bidaa zako
Kulazimisha kufunga saumu ya arafa kufata makka ni bidaa. Wapi mtume alikuwa akiulizia mwezi wa makka kabla yakufunga madina?
MTUME s.a.w alisema tufunge yaumu Arafa. Hakusema tufunge Yaumu wuquf yaumu Arafa.. so Yaumu Arafa ni 9 Dhulhijja. Na MTUME s.a.w alisema kila mtu atizame muandamo wake. So Arafa yetu Sunday na IDD yetu Monday
Sasa wewe nduguyangu unafikiri kwamba wale watu ambaye wanafanya wuquufi pale Arafa, wanafanya sikuzi gani?
Hakuna watu ninao wachukia kuliko masufi na makhurafi shida inayowasumbua ni njaa tu si kwamba hawajui wanajua jumapli ndo idi ya kiislamu hiyo ya jumatatu ni marudio tu
Mpotoshaji mkubwaa
Kwahioo mungu kashuka umemuonaa
Mashekhe wengi wanaigawa dini ni wazushi sana
Mm nahisi bachu bora utulize akili yako vzr,,Allah wakati anashuka watu wa marekani ni usiku wao hawataki msamaha wa Allah
Mmeambiwa usiku muake mfanye ibada hata kidogo sasa unalalaje kama petro au jacob
siku inakuwa ni ileile, hakuna nchi hata moja yenye tofauti ya siku nzima (24 hrs)
Masalafy lazma wataunga mkono upotofu
Bachu mwaka jana umezungimzia Afara mwaka huu Arafa na mwaka ujao Arafa Sasa ktk kuzungumza kwako huko yapi ya kuchukuliwa yapi ya kuachwa. Au maneno yako yana تناقضات?
Mbona hao wengine pia wanazungumzia arafa Kila mwaka huwaoni?
Ww una yako machu atazungumza mpaka atakapo athimika upo
good
Akinijibu hapa muwahabi ntampa zawadi ikiwa China saa Saba usku na saudia waneamkia ARAFA hawa wa china inakuwaje kwao?
Ikiwa utofauti ni masaa , je Saudia akiswali swala ya Adhuhur China hataswali ?
@kanzucentre3468 Atasubiri kwake imfikie Adhuhur ndo aswali kwahiyo kwa akili yko unamaanisha saudia akiswali Adhuhur na nchi zilizo usku au asbh wasaswali kisa saudia anasali huo muda🤣🤣
@@binseif2216 Hakuna nchi duniani inayopishana kwa masaa 24 ,bali zinapishana kwa masaa kadhaa lakini siku zinakutana tu , hoja yako kwasababu nchi zimepishana kwa masaa kadhaa nyie mukaona bora musifunge kabisa muanze siku nyengine
@@binseif2216niambie wewe upo china au tanzania, je tanzania na saudia zimepishana kwa masaa mangapi ? kwanini wewe usifunge sawa na saudia hakiyakua wewe hupo china upo Tanzania
@salimsaleh9354 Nyoosha maelezo usilete kigezo cha kuweko TZ nyie mshasema mwezi wa kimataifa manake hata walokuwa usku kwao inawahusu arafa muda huo Ndomana nikasema mkiweza kujibu hili swali ntatoa na zawadi
Yani mawahabi majahili kweli. Yani bachu mda wote alozungumza lkn hana point hata moja.kama ni fadhila za siku ya arafa kila muislam anazijua ndiyo maana tuna funga. Swali lililopo ni hiyo arafani lini? Ni tarehe 9 pale ulipo au ni tarehe tisa makkak? Na hilo bachu kashindwa kulijibu. Kazunguka tu na porojo nyingi. Sisi tunajua kisisimamo cha arafa ni tarehe 9 ya saudia lkn saumu ya arafa ni tarehe ya pale ulipo.
Siku ya arafa ni moja tu mbona ramadhani ni moja hii dini mnaigawa makundi kwa uzushi wenu na kujifanya wabunifu kwenye dini sisi tunamwangalia mtume labda mna mtume wetu
Labda MNA mtume wenu nyie wapinzani wa mtume tumfuate mtume sisi Shekhe bacho tumekuelewa sana
mashallah, kama una D NA F HUWEZI KUELEWA
Mche Allah
Binafsi Niko na F na D nimeelewa haswa......lkn pia naishi na watu Wana A nyingi na B kidogo Bado hawajaelewa hili
maashaAllah @@MbaroukAmour-fs8hb
Kuna watu wa2 WA3 ndio husema Wana ARAFA Yao na Viwanja vyao ARAFA. SASA watuoneshe Viwanja vyao na Sisi tukasimame huko. Ama mara hii wameishiwa na kila kitu. Hadithi hawazitaki tena wanaziogopa. Yule kofia nyekundu alizikwepa, na huyu hapa mmoja Zanzibar Mwarab Naona hajui hata anachokizungunza
Hivi nikulize suali ...ww ukiwa zanz unasimama arafa na ww hua hata kama unafuata saudia .???
Masufi elimu hawana kwakweli zaidi ya vitabu vyakulia ubwabwa tu na vitabu vya shirki ndo elimu walio nayo
We MUHABI hapo ulipo unawaza KUJILIPUA tu,Huo ubwabwa nani asiekula.
Balegh ya elim kweli
Ukkishakuwa na hoja za msingi tu wala hulaszimishwi
YOTE KWA YOTE WAISLAAM WALIOKUA WANAISHI NJE YA MAKA KIPINDI HAKUNA MAWASILIANO KAMA LEO,JE WALIKUA WANAJUAJE LEO WATU WAPO VIWANJA VYA AARAFA!?
Nyi masalafi mnafata teknolojia iyo ni bidaa funga inafungw Kwa kuwandama mwezi na sio mitandani acheni bidaa
Kumbe arafa nisiku siyo kitendo kkk ufaham pia nirizk
Kamckilize Mbaraka Awesu Arafa n sehemu, Arafa n kitendo arafa n funga nenda kamckilize
Babu mimi kwenye maulid nakubali umewakalisha jamaa, na nimeacha maulid. Lakini kwa ishu ya mwandamo wa mwezi na funga ya Arafa, hauna hoja za msingi. Hujajibu hata hoja moja zinazotolewa.
Hahaha ww utaelewa kdg kdg tu km ktk maulid umeeliwa bx na ktk arafa pia utaelewa
Lkn swal la kujiuliza ni moja tu ikiwa arafa ipo makka na ikiwa lengo la finga ni kupata ujira kw ajl ya kuwakilisha waliofunga bx ni waz arafa ni 1 tu isipokua wengine wao hawafung arafa bali wanafunga mwez 9 kw iyo sisi tushakuelewen vzr tu na ndio maana hamutupi tabu mutaelewa kdg kdg tu...
Unafaa tukuite kitatange😂
Mimi pia....maulid amesema kweli lakini ya Arafat sikubali bado
Kaka Umechemka Sana Hapa Kwa Arafa wallhy
Haha😂na vip watu wa australia ambao wako mbele ya saudia kwa hiyo wamekosa hiyo arafa?
Hapo ndio penye suala hawalioni hilo wao wako katika kushabikia ubinafsi badala ya kwenda kusoma kwa Masheikh mbali mbali haijhusiana kisimamo cha matendo na ukhalisia wa ibada ilofanywa na Mtume SAW kabla ya hija tunawaombea vijana wanaoshabikia bachu kwa kuwa ni kijana mwenzao na hata watu wazima walokuwa ufahamu wao finyu Allah awape Ilhaam ya kutafuta haki na awatoe kwenye batili
@@w4058 allahuma amiin
Kwakwel hawa jamaa walkuwa wa buruzawatu san na ukiwa skilza kwa kwel hawana hoj zto kuhusu hja ndo man kila mwaka twa wakimbia wapo masuf weng walkula idi sku ya juma2 kuonesha kama wamejuwa hak ipo wap
Sheik kweli we ni mjanja,Leo hi unasema wanawazuoni wamepishana kauli kwenye siku ya aarafa,Lakini kwenye makala zako unalazimisha watu wawafuate mahujaji kule maka!.
Analazimisha hhhh
@@NassirAli-ol8fm Vituko juu ya vituko hhhhhh
Swali la msingi la kujiuliza kwa wenye akili timamu wasio fata mkombo au ushabiki ni wakati ibada ya hija inaanza kutekelezwa walikuwa wanaitekeleza kwa kuzingatia vigezo gani??? Anayefahamu aje ajibu kwa hoja na sio ushabiki wa kidini na mihemko
Shekhe Wetu Farid Naona hajatambuwa kuwa funga ya siku ya ARAFA haina Khitilafu ktk Vitabu. Labda ya Ramadhani. SASA Akasome tena ibada zenye Ikhtilafi. Sio ARAFA. Na hapa sio yeye Tu Wapo wingi kama yeye
Yani mawahabi vichwa mchunga hawaelewi kitu masikini. Unasema funga ya arafa haina hitilafu soma fatwa ya uthaymeen utaona watu waangalie mwezi wa mji wako
Bachu kakosa elmu na hekma pia ila balbala nyingi TU ndugu zangu kaeni kitako musome businabaishwe na bachu
Wewe umesoma wapi?kasimame kwenye membar km unaweza
Yaani masufi ni wajinga sana Bora nimsikilize mbwa kuliko kumsikiliza mtu wa bidaa sheikh muhammad Allah atakulipa mashllah
Allah akuongoze katika haki na uongofu!!!
Na wale ambao jioni ya Arafa katika nchi zao ni usiku Allah hawashukii wao? Kwa iyo unaweza kufunga Arafa mwezi 8?
Sheikh kua na Inswaaf... Arafa ni mwezi 9 usipotoshe umma utakwenda kuulizwa
Haya makhuraf mthn
Ujue Hawa masufi ni Bora kumsikiliza mbwa kuliko kumsikiliza Sufi SI kwamba hayajui arafa ni jumamosi yanajua vzr ila njaa na tamaa wameweka mbele kuliko dini ila idi ya jumattu n marudio tu.
Kwanza haya masufi yatafute sehemu yakwenda kuhiji yasiende Makkah kwasababu yanaenda ni bidaa zao yanachafua tu mji mtakatifu
@@hasaniSwalehe Ao masheikh zenu ndio Mbwa mana ndio munaowasikiliza...Arafa inapatikana kwa kuzingatia muandamo
Hawa jamaa washangaza..hivi itaitwaje siku ya Arafa kisha iwe sio siku ambayo mahujaj wasmama arafah?!
Siku ya arafa ilikuweko kabla ya haji kufaradhwiwa
Bachuu bado hajatoa hoja kwa nn Arafa iwe Jumamos...Na wala hakuna hadithi inayosema kwamba sisi tufunge kwa kuwaunga mahujaji... Haya maneno Mtume hajawi kusema
The sun does not rise or set upon a day that is more virtuous than it.
Hadith | Tirmidhi
You must be blind, may Allah guide you kama umeandikiwa maongofu