Allah akupe umri mrefu sheikh, hakuna kurudi nyuma kaza kamba na mitihani ni mengi utapata lakini usivunjike moyo allah yuko na wewe shikilia hapo hapo katika haki
@@binaamour318 sio ushabiki ushabiki uko kwa watu wa bidd'ah ashikilie kamba sababu ya kejeli nyingi za watu wa kisufi, sababu anasema haki na haki siku zote itabaki juu
@@Mohamedharith-wb4op ikiwa yeye anasema haki wanachuoni waliotangulia wamesema nini? Ibn rushd mwanachuoni wa karne ya sita asema mas ala hayo yana ikhtilaaf je kaul yake hiyo sio haqq?
Shekh watakomaaa masuuf mm nikuambie tu Dawa hii inapekenya kisawswa ! Huku kwetu sasa hiv 1- madugi yamepungua kias kikubwa san! Vijana kila kona ujoki mashekh zao juu ya qadwida dufu n.k 2- Kufunga - fungua ramadhan n mwex wa kimataifa kila mtu huku mikoani 3- Arafa ni mahala watu weng wameanza kuelewaa mashekh msovhoke Dawa zinavika wallah zinawafika . Allah awahifadhi
Wallahi wale mashehe wa kisufi wanaopoteza ummah na kufanya maelfu kukosa fadhila ya yaumul arafa watakuwa na mzigo kubwa ya kubeba mbele ya Allah siku ya qiyama
ALLAH akulipe kheli na akulinde navijicho vyawanafiki ambao hawataki uyafata mafundishoyako kwawema na tunajivunia kua nashekhe Muhammad bachu enyimasufi munyamanze kwasababu hamna elim kama elimu yamuhammadi bachu (masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnatia uzuni😢😢😢😢😢😢😢😢 kwamafundishoenu) na kwamafundishoenu mnachekesha😂😂😂😂😂 ewe Muhammad bachu tunakupenda kwajili ya ALLAH NA tunamuomba mungu atujalie tufufuliwe nyuma yamtume muhamad s w w tukiwa pamoja nabachu amiin
Sifa za Hawa masufi hata washindwe kwenye hoja wao hawajlali wanaendelea na bidaa zao tu na kupotosha watu. Allah akulinde shekh wetu muhhamd. Hilo swala la arafa sio lkuhitj elimu kubwa San lipo wazi wazi.
@@IsmailSangana kwa wale walio mbele ikiwa makka ni saa 2 uck ktk uck wa arafa wao watakuwa alfarij ya siku ya arafa wao watatangulia kufunga 7bu funga inaanza alfajir haianzi muda wa kisimamo hata wale walio makka ambao hawahij wanatangulia kufunga kabla ya kisimamo coz tume ameabiwa tufunge siku ya arafa sio masaa ya kisimamo cha arafa na hiyo sikuu ina masaa 24
Tizama mashabiki wa Shari, Hana lakukosoa Ila alazmisha tu!! Allah atuongoze wallahi Yani watu hawafati usawa hata ubainishwe vp wazidi kushabiki upumbavu Yani dini yafanywa Kama Simba na yanga muandae majibu yakwenda kumjibu Allah
Sheikh nimekusikilza vizuri. Naona hoja zako zote hazijanitosheleza. Na huwezi kusema kuwa watu wanapotoshwa na bakia na msimamo wako na waachie na wale wenye msimamao wao ALLAH ndie mlipaji kila 1 ametegea kwa ufahamu wa masheikh zao. Asante
Ustadh Allah akuhifadhi inshaallah na uendelee kufanya haya kwa ajili ya Allah na wachafu wote waiskie haki wakufuata sawa wakukataa atakua ashaapata dozi yake sababu waalimu wengi ila wengine wapotoshaji Allah akulinde
Ufafanuzi wote huo kuna watu yanawaingiya sikio lakushoto nakutokya sikio la kuliya, watakuja hapa kukusema ww shekh Muhammad wakati ww haukusema mwenyew umenukuu vitabu vya wanazuoni wallah Allah akuhifadhi
Sheikh Muhammad Nakupenda kwa ajili ya Allah Sasa hivi ni mwendo wa kuwarudi masufi lau kama wanasunna wengine maduati wangekuwa kama wewe Wallahi Sunna ingekuwa na uimara zaidi sana unajitahidi sana maana masufi wanahaha sana 😂😂😂 Allah akuhifadhi
KAMA HUZINGATIWA ARAFA KWA KITENDO CHA KUSIMAMA MAHUJAJI ENEO LA ARAFA BASI JEEEEE KAMA HAKUNA HIJJA KWA DHARURA YOYOTE ILE NDIO MAANA HAKUNA TENA SAUM YA ARAFA KWA KUWA KISIMAMO KIMEKOSEKANA .... ENDELEA KUPOTOKA NA KUPOTOSHA
Miaka miwili ya corona hakukuwa na hijja kwa hiyo hakukuwa na visimamo arafa. je watu hawakufunga arafa na kama walifunga walifata mahujaj wapi au walijuaje hio siku
Kasome wacha porojo yakupoteza watu wafuwasi wako maskini awana ilmu wazidi kukupoteza na ww mungu atawaogoza kama alivyo muongoza mwalimu wako inshaaliah
@@dulividuli5237 Hao wengine wamesoma vitabu vilivyo andikwa na waarabu kisha wakavipasisha kuwa nie mwongozo badala ya Qur'an, na ndio maana hawaingii ndani ya Qur'an , wanafuata mawazo na fafanuzi za waarabu. Na ndio maana kila mtu anasema lake. Mimi elimu yangu ni moja kwa moja nafasiri Qur'an. Sio hivyo tu najibu maswali yote ambayo yanayo hitaji majibu papohapo. Na nilitangaza njooni kwangu mimi ni Mwalimu , nikishindwa mnipige mawe, nikiweza mshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kujikurubisha kwake kwa wingi. Maana hii nie haki imekuja kuitetea haki ili mpate kujuwa, kusije kuwa na hoja siku hiyo kuwa HATUKUJUWA.
@@dulividuli5237 Kama elimu zao zinatoka kwa Mwenyezi Mungu mmoja, vipi wahitirafiane? Kila mtu anasema lake, hawana muafaka Tatizo wameiacha Qur'an hawa, wamefuata vitabu vilivyo andikwa na waarabu wanadhani ni mwongizo, kumbe wanapoteza wenyewe na kuwacha waumini hewani. Huu ndio ukweli.
Mashallah Sheikh mm naomba niulize tuu nipate maarifa kwa mfano muda huu natoa comments USA state ya Honolulu ni saa1:00 usiku na saudi nisaa8:00 asubuh mm now nipo usiku huku je nitafanje siku ya watu kusimama makka mm itakuwa nimelala so naomba hapa cause mm nikiamka itakuwa Saudia ni jiona tyr ya swala ya magharibi tyr
Siku ina masaa 24 kwahiyo 12 jion siku ya arafa imeingia makka ikifika asbh ya siku ya arafa ww utakuwa ktk uck wa siku ya arafa ukifika alfajr utaamka na funga Maka itakuwa ni jion ya siku ya arafa ww ni asbh ya siku ya arafa
Sheikh Bachu naomba utengeze video kuhusu Arafa kwa mataifa yenye kutafautiana na tauqit ya Makkah kwa muda wa zaidi ya saa 12. Magharibi na Mashariki ya Mbali.
Kukusaidia ndugu yangu tumeambiwa tufunge siku ya arafa siku ina masaa 24 kma vile tukisema siku ya ijumaa ina masaa 24 lkn kwenye masaa 24 Kuna mda maalum inapatikana swala ya ijumaa
Kwahiyo nchi zilo tangulia mbele ni masaa 10 tu lkn tufanye hayo 12 inamaana wao watàaanza fasi kufunga 7bu alfajr kwao inachomoza kwanza makka watakuwa ktk uck wa siku ya arafa wao watakuwa asbh ya siku ya arafa
@@warshysaid8564 Arafa ni kisimamo cha masaa sasa ikiwa nyinyi mko mbele au nyuma kwa masaa itakuaje wakati wakati ukiwafutu ikiwa waliosimama katika uwanja wa arafa kwenu ni wakati wa usiku?
kazi imefanyika vizuri Allah akuhifadh hoja yao kubwa eti wengine inakua usiku sasa ndo nini ?kwani sisi afrika mashariki inakua usiku ? tatizo wamepoteza watu mda mrefu hawataki kujirudi wakatulia ktk njia ya sawasawa
Arafa watu wapo hija na sisi tupo sehem ingine.muhim sana kufata mwezi.tusikurupuke kuwafata suudia.hamjuwi mambo yao yapo vipi muhim sio kufata mkumbo kila mtu atizame mwezi aliopp😊
Kwani shekh 1) hija imeanza mwaka gani? 2) mtume amefunga arafa marangapi? 3) je mahujaji wamekatazwa kufunga arafa 4) je kuna mafungamano kati ya idi hii na hija ? 5 ) je swaumu hii inahusiana na idi hii au na hija? Ukijibu hapo wewe mwenyewe utakua umeelewa na kuna maswali kama 5 ya kuku fungua zaidi
huyo hawezi jibu apo funga lazima iambatane na tarehe na tumeambiwa arafa ni mwezi tisa mfunguo tatu manake nini mfunguo pili ukiisha tunaangalia tatehe mosi imeanza lini hivyo tutafuata mwanzo wa tarehe mosi mpaka tisa. sasa yeye anasema tuwafate mahujaji tuwaangalie wapo arafa au la ndo sie tufuate mmh katika hilo hana mashiko
Jabir mbona haki iko wazi, wewe mwenyewe soma usisubiri kusomewa kama uko kanisani. Kazi ni kwako kuingia kwenye Nuru au kubaki kizani...maamuzi ni yako mwenyewe...muhimu ushafikishiwa kwa dalili za Aya.
Mwenyewe Bachu kajitia mtegoni..MashaAllah umeelezea Arafah kwa uzuri saana..kwamba mahujaji wako kisimamo cha arafat wanamuomba mungu..mungu yuwashuka mpaka mbingu ya kwanza..Hapo umepata..Sasa umejipiga fimbo yako mwenyewe mbele..kisimamo cha arafah chaanza saa ngapi..na swali je wale watu ambao masaa ya kwao ni usiku na wakiamka arafah kwao ishaisha je wao hawana ujira??wajua bachu ukitoka hoja yako..unganisha na hoja ingine kisha ueleze watu vizuri..musituweke kwenye hewa..
Naomba jibu, Je waliotofautiana katika kufunga nawale walio chelewa ikiwa Kule makka yan siku ya arafa kwao ni tisa walochelewa ninane je itapomoka funga yatisa kwasabab walipata arafa?
Hata Ibilis alikuwa Mwanawazuoni Mkubwa mwenye elimu KUBWA kuliko Malaika ila alipungukiwa busara,hekima,heshima,alijawa kiburi na kujiona yeye ni Bora kuliko kiumbe mwingine yeyote.Nayaona mapungufu makubwa Kwa Bachu.Tumsamehe kwani yupo kwenye baleghe ya Elimu.Kipindi Cha baleghe kijana hujiona amekua na anajua Kila kitu.😂😂😂
Unasema ibilisi alikua mwanazuoni mkubwa ikisha alikua na kiburi sasa mambo haya mawili yanafungamana vipi Kwasababu tunafahamu fika kua mwanazuoni hawezi kua na kibur na m/mungu anasema kua hawapendi wale ambao wanaviburi na kujifagharisha
Ndugu yangu naomba unisaidie kufasiri hii hadithi kutokamana na hiyo huku uliyoitoa نَّ اللهَ أخذَ الميثاقَ مِن ظهرِ آدمَ بِ ( نعمانَ ) يومَ عرفةَ ، و أخرجَ من صُلبِه كلَّ ذريةٍ ذراها فنثرَهمْ بينَ يديهِ كالذَّرِّ ، ثمَّ كلَّمَهُم قَبَلًا قال : أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى الراوي : عبدالله بن عباس | المحدث : الألباني | المصدر : صحيح الجامع الصفحة أو الرقم: 1701 | خلاصة حكم المحدث : صحيح التخريج : أخرجه أحمد (2455)، والنسائي في ((السنن الكبرى)) (11191)، والحاكم (75
Kumbuka hidaya hutoka Allah na weeeengi watakuwa upande wa upotovu na kukosa fadhila ya yaumul arafa, lakini yako ni kufikisha na umefikisha na sisi ni shahidi
Alokuaambia wislamu unaongozwa na geography nan wew ndug wislamu unaongozwa na Aya na khadidhi saw nahapo bachu anatumia Aya na khadidhi saw so qwamtazamo wangu nakimtazamo wa din Bach ako saw nawala so maneno yake
Pia naomba kuuliza ktk kuwafikiana ktk kuchinja je ktk miji yote je hatuwezi kuchinja sababa cause now Japane ni saa8:21 mchana na saudi ni saa2:21 asubuh. Je kuwafikiana ktk kuchinja ni kwa miji yote au kwa miji inayo enda kwa muda naomba ufafanuzi cause pia na china now ni saa7:25 mchana so je tutakuwa sw sote au sehemu nyengine watakuwa tofauti na tutakuwa tupo sahihi ktk kuchinja
Allah akupe umri mrefu sheikh, hakuna kurudi nyuma kaza kamba na mitihani ni mengi utapata lakini usivunjike moyo allah yuko na wewe shikilia hapo hapo katika haki
Hio sio dini dini ni nasuha et shikilia kamba hivo hivo huo ni ushabik simama kwenye hoja
Mm nasema akaze kamba vitu vinaeleweka ww ambaye hutaki shehe akaze kamba itakase nafsi yako ukisikiya haki na haina chenga tukwambieje uwelewe?
@@binaamour318 sio ushabiki ushabiki uko kwa watu wa bidd'ah ashikilie kamba sababu ya kejeli nyingi za watu wa kisufi, sababu anasema haki na haki siku zote itabaki juu
Muache yeye akaze kamba kisha wewe unatakiwa ujue mwisho wa kamba kukaza kamba ni kukatika.
@@Mohamedharith-wb4op ikiwa yeye anasema haki wanachuoni waliotangulia wamesema nini? Ibn rushd mwanachuoni wa karne ya sita asema mas ala hayo yana ikhtilaaf je kaul yake hiyo sio haqq?
Shekh watakomaaa masuuf
mm nikuambie tu Dawa hii inapekenya kisawswa !
Huku kwetu sasa hiv
1- madugi yamepungua kias kikubwa san! Vijana kila kona ujoki mashekh zao juu ya qadwida dufu n.k
2- Kufunga - fungua ramadhan n mwex wa kimataifa kila mtu huku mikoani
3- Arafa ni mahala watu weng wameanza kuelewaa mashekh
msovhoke Dawa zinavika wallah zinawafika .
Allah awahifadhi
Wallahi wale mashehe wa kisufi wanaopoteza ummah na kufanya maelfu kukosa fadhila ya yaumul arafa watakuwa na mzigo kubwa ya kubeba mbele ya Allah siku ya qiyama
Thubutisha kwamba hawa wanaongoza
Maashallah sheikh Muhammad bachu, May Allah grant us a jannah, Ameen
Maashaallah ALLAH azidi kukupa nguvu ya kuweka wazi umma uliopotea Wallah nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH na daima najivunia kua na sheikh kama ww
Masha allah allah akulipe kheri kwa kutuelimisha kwa hakika kunawatu wengine ni masikio yakufa hayaskii daawa hata ufanyeje
Allah akuifadhi sheikh Bachu ❤❤❤
Hayyaakallah Muhammad bachu
Mashaa Allah Allah akuhifadhi
Allah Akuzidishie afiya utufundishe elimu ya kisalafi
Maashaa Allaah watakuelewa tu Bi idhnillaah
Sheikh wetu Allah akupe umri mtefu inshaAllah... Unatuheshimisha kwa kweli
Mashallah Allah akuhifadhi
ALLAH akulipe kheli na akulinde navijicho vyawanafiki ambao hawataki uyafata mafundishoyako kwawema na tunajivunia kua nashekhe Muhammad bachu enyimasufi munyamanze kwasababu hamna elim kama elimu yamuhammadi bachu (masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnatia uzuni😢😢😢😢😢😢😢😢 kwamafundishoenu) na kwamafundishoenu mnachekesha😂😂😂😂😂 ewe Muhammad bachu tunakupenda kwajili ya ALLAH NA tunamuomba mungu atujalie tufufuliwe nyuma yamtume muhamad s w w tukiwa pamoja nabachu amiin
Wallaahi!!! SHEIKH MUHAMMAD NASSORO BACHO UMENISHIBISHA SANA,UMENIKINAISHA SAAANA KATIKA JAMBO HILI LA زادك الله علما وشرفة ورفعة.
الأمر واضح جداً
MashaAllah Allah yahfadhuka yaa shekhuna
Allah akujazi kher na thawabu nyingi Ustadh Bachu,maelezo yako yana dalili za vitabu na hadith!
Shukran sheikh letu
Tunakupenda ndugu zako unajuwa kufahamisha vyema kwakutumia vitabu vikubwa lkini wao hwana vitabu hao wana nahau nyingi tu ns ngojera
Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu shekh Muhammad bachu uzidi kutupa elimu na kuwelimisha umma
Allah akuhifadh sheikh bachu ❤❤❤
Sheikh Mohammed Bachu, Allah azidi kukuwezesha na kukupa elmu utupe nasisi na Allah akujaalie hekma.
Jazakallah kheir Allah akukinge kwa kuifuata sunnah na vile vile kuifundisha umma
Sifa za Hawa masufi hata washindwe kwenye hoja wao hawajlali wanaendelea na bidaa zao tu na kupotosha watu. Allah akulinde shekh wetu muhhamd. Hilo swala la arafa sio lkuhitj elimu kubwa San lipo wazi wazi.
Ndio mizushi ilivyo
Sasa wewe muhabi embu nijibu hili swali,Mchana mwa saudia je ni nchi zote duniani kwaopia ni mchana ili waipate hiyo siku?.
@@IsmailSanga siku ni masaa 24 mchana wa arafa makka nchi zilizo nyuma itakuwa saa 9 za uck wa siku ya arafa
@@IsmailSangana kwa wale walio mbele ikiwa makka ni saa 2 uck ktk uck wa arafa wao watakuwa alfarij ya siku ya arafa wao watatangulia kufunga 7bu funga inaanza alfajir haianzi muda wa kisimamo hata wale walio makka ambao hawahij wanatangulia kufunga kabla ya kisimamo coz tume ameabiwa tufunge siku ya arafa sio masaa ya kisimamo cha arafa na hiyo sikuu ina masaa 24
برك الله فيك
Hujui kiarabu
Tizama mashabiki wa Shari, Hana lakukosoa Ila alazmisha tu!! Allah atuongoze wallahi Yani watu hawafati usawa hata ubainishwe vp wazidi kushabiki upumbavu Yani dini yafanywa Kama Simba na yanga muandae majibu yakwenda kumjibu Allah
Sheikh mm nakupenda kwajili ya Allha MZ
Allah aendelee kukupa moyo wa kupambana na Hawa ahlu bida'a mana mitaani pachafu Sana hasa kwetu Zanzibar
Masha-allah 🙏🏽
Wape watu majina bt maswali utajibu ww
Wallahy watu wa zanzibar hawajui walichokipoteza....tumewapa Uthmaan Maalim na wakatupa Muhammad Bachu
Kwanza natanguliza Shukran kwa sheikh kwa juhudi anazofanya kuto taaluma. Allah amlipe kheri kwa rehma zake
Masufi wote kwa ujumla wameungana wametoka kwa wale kina humeid sasa wameungana kwa Sheikh wetu Bhachu Allah awaongoe na amhifadhi Sheikh Bachu
Jazaka llahu khayra
Mashaallah unatufanya vijana tutafete elimu 🇲🇫
Piga goto utafute elimu kijana Kwa masheikh waliopiga goto Kwa masheikh , masheikh wa Google watakupoteza
Piga goti*
الله يحفظك الأخ محمد باتشو
Sheikh nimekusikilza vizuri. Naona hoja zako zote hazijanitosheleza. Na huwezi kusema kuwa watu wanapotoshwa na bakia na msimamo wako na waachie na wale wenye msimamao wao ALLAH ndie mlipaji kila 1 ametegea kwa ufahamu wa masheikh zao.
Asante
Uwazi upo sasa ni mbishi wa kijinga tuu
Maa Sha Allah. Elimu bila mipaka
Ustadh Allah akuhifadhi inshaallah na uendelee kufanya haya kwa ajili ya Allah na wachafu wote waiskie haki wakufuata sawa wakukataa atakua ashaapata dozi yake sababu waalimu wengi ila wengine wapotoshaji Allah akulinde
Ufafanuzi wote huo kuna watu yanawaingiya sikio lakushoto nakutokya sikio la kuliya, watakuja hapa kukusema ww shekh Muhammad wakati ww haukusema mwenyew umenukuu vitabu vya wanazuoni wallah Allah akuhifadhi
Allah subhana wata'ala akulipe kher shekh, kwa kutukumbusha jambo la muhimu. nas atujaze mazingatio tupte mwisho mwema in Shaa Allah
Allah akupe kheri nyingi inshallah tuko pamoja
Sheikh Muhammad Nakupenda kwa ajili ya Allah Sasa hivi ni mwendo wa kuwarudi masufi lau kama wanasunna wengine maduati wangekuwa kama wewe Wallahi Sunna ingekuwa na uimara zaidi sana unajitahidi sana maana masufi wanahaha sana 😂😂😂 Allah akuhifadhi
Mashaallah mungu akuhifadhi inshaalah.
Bachoo anatumia saa zima kusoma vitabu hivi nyinyi hamna vitabu vichwa vitupu muda wa kudanganywa umeisha Sunna itasimama inshaalla
mashaallah sheikh upo sahihi sana baarakallahu fika.
Aah! Binaadam hata sijui waeleweshwe vipi hata waelewe! Umejitahid Allah atakulipa kwa juhudi yako Sheikh!
KAMA HUZINGATIWA ARAFA KWA KITENDO CHA KUSIMAMA MAHUJAJI ENEO LA ARAFA BASI JEEEEE KAMA HAKUNA HIJJA KWA DHARURA YOYOTE ILE NDIO MAANA HAKUNA TENA SAUM YA ARAFA KWA KUWA KISIMAMO KIMEKOSEKANA ....
ENDELEA KUPOTOKA NA KUPOTOSHA
Hojambov
@@yusufsingano6202 wanaadamu pekee ndo wanaofanya ibada?
Ww tumiaakili Kusikiliza achahawaa zamashehe zako
Miaka miwili ya corona hakukuwa na hijja kwa hiyo hakukuwa na visimamo arafa. je watu hawakufunga arafa na kama walifunga walifata mahujaj wapi au walijuaje hio siku
@@makenaOGwewe muongo corona gani hakukuwa na hajj?
Kasome wacha porojo yakupoteza watu wafuwasi wako maskini awana ilmu wazidi kukupoteza na ww mungu atawaogoza kama alivyo muongoza mwalimu wako inshaaliah
Marshall Mashallha shehe
asiyekuelewa sheikh ni mtu wa bid,aa tu lakini sheikh unafahamika sana mashaallah.
ALLAH BARYK YA AKHY KARIM
Wote masheikh njooni kwangu mimi ambaye elimu yangu haitokani kwenu. Inatokana moja kwa Mwenyezi Mungu.
Vitabu vingi ndio vinawagawa.
Sjakuelewa kusema wewe elimu Yako inatoka Moja Kwa Moja Kwa Allah kivipi
Kwaiyo wengine elimu zao zinatoka kwa shetani au
@@dulividuli5237 Hao wengine wamesoma vitabu vilivyo andikwa na waarabu kisha wakavipasisha kuwa nie mwongozo badala ya Qur'an, na ndio maana hawaingii ndani ya Qur'an , wanafuata mawazo na fafanuzi za waarabu. Na ndio maana kila mtu anasema lake.
Mimi elimu yangu ni moja kwa moja nafasiri Qur'an. Sio hivyo tu najibu maswali yote ambayo yanayo hitaji majibu papohapo.
Na nilitangaza njooni kwangu mimi ni Mwalimu , nikishindwa mnipige mawe, nikiweza mshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kujikurubisha kwake kwa wingi. Maana hii nie haki imekuja kuitetea haki ili mpate kujuwa, kusije kuwa na hoja siku hiyo kuwa HATUKUJUWA.
@@dulividuli5237 Kama elimu zao zinatoka kwa Mwenyezi Mungu mmoja, vipi wahitirafiane? Kila mtu anasema lake, hawana muafaka
Tatizo wameiacha Qur'an hawa, wamefuata vitabu vilivyo andikwa na waarabu wanadhani ni mwongizo, kumbe wanapoteza wenyewe na kuwacha waumini hewani. Huu ndio ukweli.
Mashallah Sheikh mm naomba niulize tuu nipate maarifa kwa mfano muda huu natoa comments USA state ya Honolulu ni saa1:00 usiku na saudi nisaa8:00 asubuh mm now nipo usiku huku je nitafanje siku ya watu kusimama makka mm itakuwa nimelala so naomba hapa cause mm nikiamka itakuwa Saudia ni jiona tyr ya swala ya magharibi tyr
Siku ina masaa 24 kwahiyo 12 jion siku ya arafa imeingia makka ikifika asbh ya siku ya arafa ww utakuwa ktk uck wa siku ya arafa ukifika alfajr utaamka na funga Maka itakuwa ni jion ya siku ya arafa ww ni asbh ya siku ya arafa
kiboko ya masufi,namkubali sana
Allah akuhifadhi ❤achana nahao wasio jitambua
❤❤جزاك الله خيرا❤❤
Kila la heri mualimu wa walimu
Maalim wangu
Naomba kuliza na piya naomba unisaidiye hili jibu
Jumamosi imekatazwa kufunga Sunna
Vipi hi arafa unaenda kupatiana jumamosi naomba ufafanuzi apaa biidhillah Allah ataniwezesha kukuelewa
Thibitisha hilo kwanza limesemwa wap na nani? Let ushahidi
Uko vzr shekhe Allah akuhifadhi tuendelee kunufika nawe
😂😂😂 mashallah mashallah tunakupenda sana Shekhe kipenzi wetu
Tutaelewana tu inshaaallah
Masufi inawauuumaaa kwasababu HAKI IMEJITENGA NA BATILI
Uposawa
Alha akulipe mwalimu
Sheikh Bachu naomba utengeze video kuhusu Arafa kwa mataifa yenye kutafautiana na tauqit ya Makkah kwa muda wa zaidi ya saa 12. Magharibi na Mashariki ya Mbali.
😂
Subutu 😂😂😂😂
Kukusaidia ndugu yangu tumeambiwa tufunge siku ya arafa siku ina masaa 24 kma vile tukisema siku ya ijumaa ina masaa 24 lkn kwenye masaa 24 Kuna mda maalum inapatikana swala ya ijumaa
Kwahiyo nchi zilo tangulia mbele ni masaa 10 tu lkn tufanye hayo 12 inamaana wao watàaanza fasi kufunga 7bu alfajr kwao inachomoza kwanza makka watakuwa ktk uck wa siku ya arafa wao watakuwa asbh ya siku ya arafa
@@warshysaid8564 Arafa ni kisimamo cha masaa sasa ikiwa nyinyi mko mbele au nyuma kwa masaa itakuaje wakati wakati ukiwafutu ikiwa waliosimama katika uwanja wa arafa kwenu ni wakati wa usiku?
Mashallah kka
Tunakuombea ulinzi mkali sana wa Allah maana wafuga majini watakuandama
Bachoo nimekuelewa ingeambiwa Baaresa anatoa milioni kumi siku ya ijumaa basi watu wasinge kwenda siku jumamosi hata mmoja
😂😂😂 wao hwana elimu hao shekh nassor mungu akujaalie janna ns cc waislamu sote
kazi imefanyika vizuri Allah akuhifadh hoja yao kubwa eti wengine inakua usiku sasa ndo nini ?kwani sisi afrika mashariki inakua usiku ? tatizo wamepoteza watu mda mrefu hawataki kujirudi wakatulia ktk njia ya sawasawa
Arafa watu wapo hija na sisi tupo sehem ingine.muhim sana kufata mwezi.tusikurupuke kuwafata suudia.hamjuwi mambo yao yapo vipi muhim sio kufata mkumbo kila mtu atizame mwezi aliopp😊
Ww unatizama mwezi ulipoo?
Jiulize kwann hadithi ya tufunge siku ya arafa imekuja baada ya kufarazishwa hijja isije kabla
Arafa na hija kipi kilikuepo mwanzo?
Siku ya arafa ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa alhaj
We wacha kuupotosha umma
Masharifu ndio wapotoshaji wakubwa wa umma
Kwani shekh
1) hija imeanza mwaka gani?
2) mtume amefunga arafa marangapi?
3) je mahujaji wamekatazwa kufunga arafa
4) je kuna mafungamano kati ya idi hii na hija ?
5 ) je swaumu hii inahusiana na idi hii au na hija?
Ukijibu hapo wewe mwenyewe utakua umeelewa na kuna maswali kama 5 ya kuku fungua zaidi
huyo hawezi jibu apo funga lazima iambatane na tarehe na tumeambiwa arafa ni mwezi tisa mfunguo tatu manake nini mfunguo pili ukiisha tunaangalia tatehe mosi imeanza lini hivyo tutafuata mwanzo wa tarehe mosi mpaka tisa. sasa yeye anasema tuwafate mahujaji tuwaangalie wapo arafa au la ndo sie tufuate mmh katika hilo hana mashiko
Jibu swl usifanye fujo
Au tuambie unamfanyia raid ibn uthaimin uthaimin
Kwa kweli bachu hufanya kusudi kupotosha maana analazimisha vitabu vyote vinazungumzia kisimamo yeye anadanganya mawahabi wenziwe nao wametulia
Jabir mbona haki iko wazi, wewe mwenyewe soma usisubiri kusomewa kama uko kanisani. Kazi ni kwako kuingia kwenye Nuru au kubaki kizani...maamuzi ni yako mwenyewe...muhimu ushafikishiwa kwa dalili za Aya.
Mwenyewe Bachu kajitia mtegoni..MashaAllah umeelezea Arafah kwa uzuri saana..kwamba mahujaji wako kisimamo cha arafat wanamuomba mungu..mungu yuwashuka mpaka mbingu ya kwanza..Hapo umepata..Sasa umejipiga fimbo yako mwenyewe mbele..kisimamo cha arafah chaanza saa ngapi..na swali je wale watu ambao masaa ya kwao ni usiku na wakiamka arafah kwao ishaisha je wao hawana ujira??wajua bachu ukitoka hoja yako..unganisha na hoja ingine kisha ueleze watu vizuri..musituweke kwenye hewa..
Tulia dawa ikuingia na wewe unafahamu vizur sana lkn unajipumbaza
@@jumamahmoud9271 sawa boss
Naona swali la shekhe uthaymeen umelikwepa,sasa hiyo sio amana katika elimu ulibambanya inakupasa ubainishe halafu ndio utuletee maneno mengine
Bachu muongo
Arafa na Hajj ipi imekuja mwanzo????
Kipotoshaji kumekucha
Mashallah
Naomba jibu,
Je waliotofautiana katika kufunga nawale walio chelewa ikiwa Kule makka yan siku ya arafa kwao ni tisa walochelewa ninane je itapomoka funga yatisa kwasabab walipata arafa?
Shikiilia apoapo
Waeke Sawa hawajielewi
Hata Ibilis alikuwa Mwanawazuoni Mkubwa mwenye elimu KUBWA kuliko Malaika ila alipungukiwa busara,hekima,heshima,alijawa kiburi na kujiona yeye ni Bora kuliko kiumbe mwingine yeyote.Nayaona mapungufu makubwa Kwa Bachu.Tumsamehe kwani yupo kwenye baleghe ya Elimu.Kipindi Cha baleghe kijana hujiona amekua na anajua Kila kitu.😂😂😂
Wewe wivu ndiyo yakusumbuwa Allah amuepushe bachu na fitina zako
Wivu wakati tulishamnyoosha kule kenya kwa ilimu gani?
Kama walivokua kwenye baleghe mashehe zako
Izudin
Abuidi
Saidi hasani
Badawi mwenye baba
Na masufi wengine na mtakula nondo sana?😂😂
Unasema ibilisi alikua mwanazuoni mkubwa ikisha alikua na kiburi sasa mambo haya mawili yanafungamana vipi Kwasababu tunafahamu fika kua mwanazuoni hawezi kua na kibur na m/mungu anasema kua hawapendi wale ambao wanaviburi na kujifagharisha
@@jamalAlly-p2y Kenya swali hamukujibu je ni kweli samaki paka ngombe waliongea mimba ya mtume ilipoingia Mpaka leo hakuna sheikh aliyejibu hoja zake
Assalamu alaykum, sheykh wangu kabla ya simu na tv watu walikuwa wanajuwaje kama leo ndio arafa makkah,,... au ndio dini yako inabadilika kila mara
Walikuwa wakiangalia muandamo wa sehem walipo
Je ww sahv unafuataa mwandamo wa sehem ulipoo,?
Twazungumzia swaum ww unazungumza kusimama arafa
😂😂😂 nyie ndo manaskilizia kwenye miguu na una comment kabla hujaskiliza video hadi mwisho ukaelewa
Kisimamo ndicho kilicho zaa siku ya arafa
Asalaam Alaykum shekh ujulishe kwànzà mwaka gàni kumefaradhishwà Ramadan nà mwàka gani hidja?
Mutume anasema hajj ni arafah na arafah niki simamo nawatu wana simamatu arafah Makkah basi akunaga tena sehemu nyingine. Arafah nimoja dunia nzima 🇿🇲
Ndugu yangu naomba unisaidie kufasiri hii hadithi kutokamana na hiyo huku uliyoitoa
نَّ اللهَ أخذَ الميثاقَ مِن ظهرِ آدمَ بِ ( نعمانَ ) يومَ عرفةَ ، و أخرجَ من صُلبِه كلَّ ذريةٍ ذراها فنثرَهمْ بينَ يديهِ كالذَّرِّ ، ثمَّ كلَّمَهُم قَبَلًا قال : أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى
الراوي : عبدالله بن عباس | المحدث : الألباني | المصدر : صحيح الجامع
الصفحة أو الرقم: 1701 | خلاصة حكم المحدث : صحيح
التخريج : أخرجه أحمد (2455)، والنسائي في ((السنن الكبرى)) (11191)، والحاكم (75
Nyie gombaneni tu kila siku, sjui mnapata faida gani
Nikikuskiliza nafsi yangu inatulia kabisaaa kwa amani kwa sababu unaongea kwa dalili
Ndugu yangu Abdulrahman kua msikivu usiwe kichwa kibovu bachoo anasoma vitabu wewe ukiambiwa njoo ijumaa ukija jumamosi itakuwa sawa
Kumbuka hidaya hutoka Allah na weeeengi watakuwa upande wa upotovu na kukosa fadhila ya yaumul arafa, lakini yako ni kufikisha na umefikisha na sisi ni shahidi
Sheikhe Bachu..usitukoroge..na usiende ma maoni yako..Arafah ya Kisimamo na funga ya Arafah ni vitu tafautii..usidanganye watu..
Toa dalili amedanganya Nini sio ameonesha Hadith na ww tuoneshe
Kwaiyo Arafa zipo mbili?
Bachu hujui jiografia, Hilo ndo tatizo lako !!😅😅
Alokuaambia wislamu unaongozwa na geography nan wew ndug wislamu unaongozwa na Aya na khadidhi saw nahapo bachu anatumia Aya na khadidhi saw so qwamtazamo wangu nakimtazamo wa din Bach ako saw nawala so maneno yake
Nyinyi mashekhe hamuna kazi yakufanya,killa mtu afate kisomo chake wacheni kutubabaisha,killammoja ajiona ye ndoshekhe wakisawa msitupotofhe.
Sheikh haya masala huwezi kuyajuwa mpaka ujuwe kwanza mtume alifunga arafa miaka mingapi na mtume alihiji miaka mingapi.
Pia naomba kuuliza ktk kuwafikiana ktk kuchinja je ktk miji yote je hatuwezi kuchinja sababa cause now Japane ni saa8:21 mchana na saudi ni saa2:21 asubuh. Je kuwafikiana ktk kuchinja ni kwa miji yote au kwa miji inayo enda kwa muda naomba ufafanuzi cause pia na china now ni saa7:25 mchana so je tutakuwa sw sote au sehemu nyengine watakuwa tofauti na tutakuwa tupo sahihi ktk kuchinja
Hapo inazungumzwa siku na siku ina masaa 24 kwahiyo masaaa yanatofauti Yana lkn siku ni moja inawafikiana dunia nzima
Kikojozi kaingia mitini suala la Sheikh Uthaymin , kajifanya kasahau , tupe maelezo umeekwa sawa mbona umeruka ...😂😂😂😂
We weka munaqasha tu juu ya hili tukunyooshe tena sharif sayyed Muhammed alahdal yupo kenya na zijana wake maana hua husikii
Yule Dj?
Kila wakijibu baadae hujuta
😂😂😂
😂😂😂 siku ya arafa ni mwezi 9
Vp kiarabu ya kuongea na kuandikwa ni tofauti je unajua hlo ama mbona cjasikia majibu yko bwa shekhe😂😂😂😂😂😂😂😂#freedom Palestine 🇵🇸