Diamond Asimamisha Rolls Royce Mtaani Kusalimia Bodaboda Wamfata Anakoenda na msafara wake

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 390

  • @sadimaliki7811
    @sadimaliki7811 3 года назад +202

    kama unamkubali diamond piga like

  • @salumumakombo9136
    @salumumakombo9136 3 года назад +43

    unajua ukipendezewa na mafanikio ya mwenzako ..hata wewe mungu atakunyoshea baraka

  • @davidmunishi5084
    @davidmunishi5084 3 года назад +123

    Aliyesikia Harmonise akambake Linah 😅 Gonga like hapa

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 3 года назад +18

    Mlinzi ni mungu tu ..ona mlinzi alitoka mbio kiasi ya kumfikia boss wake kama n kitu kibaya c ashafanyiwa

  • @elnabilbentaleb7008
    @elnabilbentaleb7008 3 года назад +36

    Anaetaka Ukose Chapaa Ukipata Unampa Akumbuke 🙌 KOMESHA BABAA UMEPAMBANA

  • @tumainimrema8073
    @tumainimrema8073 3 года назад +24

    Acheni kumwonea wivu diamond .yuko vizuri,

  • @deusmichael2290
    @deusmichael2290 3 года назад +24

    Acha Jamaa aenjoy kwa raha zake, amesota sana kuzisaka...big up sana Jamaa D

  • @abdulbagayan614
    @abdulbagayan614 3 года назад +33

    Piga kelele kwa diamond wake weweeeeeee

  • @viny__
    @viny__ 2 года назад +6

    Rolls royce... big up simbaa👍💥

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 года назад +7

    Jipige pige kifua sema "Hata mimi ni tajiri kwasababu ninao uhai, ambao ndio chemchem ya mambo yote ya mwilini". Ukiwa hai hakuna linaloshindikana, muombe tuu mwenyezi Mungu akupe hekima kabla ya mali, ili ukishakuwa nayo hekima hata mali atakayokupa utaitumia kumtukuza Yeye na kuwaheshimu wale ambao wakati wao wa kubarikiwa haujafika !! Endelea kuchapa kazi muweke Mungu mbele na umheshimu naye atakupa heshima unayoistahili, wala usifedheheshwe na anachomiliki mtu mwingine kile ni chakwake kwa wakati alicho nacho, na wewe amini kuna wakati utakuwa nacho !! Amin Amin Amini nakwambia wewe unayesoma hii na una muamini Mungu na kufanya kazi kwa bidii !!

    • @vivianedwin2447
      @vivianedwin2447 2 года назад

      Hongera sana kwa kuwa experience ya hali ya juu.

  • @issahakizimana1764
    @issahakizimana1764 2 года назад

    Diamond platnumz simba baba lao africa

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 2 года назад +2

    Nampenda Diamond

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 3 года назад +18

    Bodaboda mnanivunja mbavu mtaends nae hadi wapi

  • @tonyadede2581
    @tonyadede2581 3 года назад +2

    Mungu nisaidie kuelewa jinsi msafara huu umejengwa na kipaji Cha sauti tu

  • @stellamsokwa7030
    @stellamsokwa7030 3 года назад +16

    kazi ya mungu ni kuinua vinyonge,big up simbaaa

  • @yakubually6654
    @yakubually6654 3 года назад +1

    Namuona simba anendesha kavua shat au power staring mbovu

  • @chazgervas7762
    @chazgervas7762 3 года назад +14

    Nilikua sijui kutamka rolls Roy's hila toka imekuja bongo hainishindi tena

  • @alawyyussuf2598
    @alawyyussuf2598 3 года назад +6

    Mbn hiyo gari iko tofauti sana na Roll Royce ninazoziona kwenye miatandao. Hiyo imekaa kama Rava4. Asante Simba kwa kumodify Rava4 ukawaambia manufactures wakuandikie jina la Roll Royce

    • @joseholoo3026
      @joseholoo3026 3 года назад

      Hiyo Ni type mpya ya RR inaitwa RR cullinan zile unazofahamu Ni phantom,ghost,wreith.

    • @edwardiha8018
      @edwardiha8018 3 года назад

      Kutojua kumbe Kweli usiku wagiza ya rolls Royce na rav 4 kweli wapi na wapi,😂😂😂😂simakosa Yako

    • @frankkikambako9281
      @frankkikambako9281 3 года назад

      Roho inakuuma eeh🤣

    • @catherinesamson9239
      @catherinesamson9239 2 года назад

      Una kaasili ka uchawiuchawi

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 3 года назад +12

    Wala si mshamba anakula mema aliepewa

  • @abdulnassir7836
    @abdulnassir7836 3 года назад

    Africa ni Africa tuu..Christiano Ronaldo analo RR lakini huoni ivi vitu but wanyamwezi ni shidah.

  • @humbleguy3756
    @humbleguy3756 2 года назад

    Enyewe huyu ni star🤗nakubali kbsa

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 3 года назад +16

    HAYA NDIO MAISHA YA KISTAR🔥🔥🔥🔥

    • @sadikidaudi1223
      @sadikidaudi1223 3 года назад +1

      Sio unamskia star eti anapesa lakini hataki kujionyesha😀😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 года назад +2

    Mungu akujalie akulinde pia

  • @mabawaplatnumz5139
    @mabawaplatnumz5139 3 года назад +32

    nahisi hicho ndo kiwanja chake anacho jenga nyumba yake ya ndoto, dondosha like kama tuko pamoja

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 года назад +5

    Mnyama Simba 🦁

  • @kaburaakbar7069
    @kaburaakbar7069 3 года назад +3

    Simbaa baba lao

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 года назад

    Mmmmmh. Jaman haya tunayaacha dunian. Tulinde roho zetu kwa kutubu dhamba zetu na kuokoka

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 3 года назад +9

    Cruiser Vx mbili mil mia6, +Prado Tx moja mil250,+ Cadillac Mbili Mil 900+ Rolls Roys Bil 1.9=

    • @sanjafarmmachinerystractor4205
      @sanjafarmmachinerystractor4205 3 года назад +1

      Saws

    • @zakayomepuyinywe1400
      @zakayomepuyinywe1400 3 года назад +1

      Umekosea chief prad mil 129, cardiac mil 600+ na RR ndo imefunika mil 8+ siyo 1.9 b no

    • @petershedrack4668
      @petershedrack4668 3 года назад +1

      @@zakayomepuyinywe1400 kuna jmaaa jana nilimsikia akihojiwa huyo ni wakala wa magari Tanzania alisema hiyo RR inagharimu dola laki 6.5,ambayo ni sawa na b 1.5

    • @cneamses3645
      @cneamses3645 3 года назад +1

      @@zakayomepuyinywe1400 hiyo 800M ni kabla ya ushuru na takataka nyingine zote.

  • @ndtiwepetrus6506
    @ndtiwepetrus6506 3 года назад +14

    I think Harmonize he may never think of competing with Simba

    • @KAlly-dp4yy
      @KAlly-dp4yy 3 года назад

      I don’t think Harmo is that stupid 🤣🤣 Diamond is untouchable period 🥰🥰love from 🇨🇦

    • @joelkoross7476
      @joelkoross7476 3 года назад

      Watz kizungu inawalemea haha

    • @KAlly-dp4yy
      @KAlly-dp4yy 3 года назад

      @@joelkoross7476 ;)

    • @masikareagan5166
      @masikareagan5166 2 года назад

      Underground 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @carenmikky3230
    @carenmikky3230 2 года назад

    Very nice 👍 amuniza

  • @smokeedaisy2252
    @smokeedaisy2252 2 года назад +1

    Much love from Planet Bongo Fashions Kampala Uganda

  • @alhamduharuna7985
    @alhamduharuna7985 3 года назад +3

    mm nimshabiki wa alikiba ila kwasasa dogo nakukubali nasubili unipigie nyimbo hata 1 brother lil wayney hapo nasaini kuja kwako

  • @benardmamboleo5739
    @benardmamboleo5739 3 года назад

    Zari help diamond to buy thirty car 🚗 rolls royce

  • @SammyOmari254
    @SammyOmari254 3 года назад +13

    Sasa wale ambao wanamkejeli Harmonize wao wako na nini, wanafaa kuenda kwanza kuenda kubishana na Harmonize wakimshinda ndio wakuje hapa kusema ati kua yeye hana kitu

    • @addifela9309
      @addifela9309 3 года назад +4

      Ukweli kabisa... wanaongea na piki piki ya mkopo

    • @karimhamisi4627
      @karimhamisi4627 3 года назад +2

      Ni chuki na roho mbaya tu

  • @fathiafathia8701
    @fathiafathia8701 3 года назад +13

    Maskini akipata lazima atambe na si ushamba tamba simba

  • @jackidi274
    @jackidi274 3 года назад +1

    Kwa wale wanao sema eti nifeki wambie baba zao waka wanunu leye nao gari feki diamond wewe noma sana 👌👌👌❤️❤️🔥🔥🔥🔥

  • @husseinmoshe6630
    @husseinmoshe6630 3 года назад +1

    Gari nzuri kabisa

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 года назад +7

    Uyu bodaboda wanampakua sijui sa Harmonize kqingia VP Apo 😂😂

  • @edwardmdee2002
    @edwardmdee2002 3 года назад +4

    President of music Africa

  • @peridamtweve7152
    @peridamtweve7152 Год назад

    Safi sana kijana onesha mfano kwa vijana wenzako

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 3 года назад +12

    Kula maisha mdgo wangu mond, ss ngoja tunywe kawa2

  • @mzenjikichaa8695
    @mzenjikichaa8695 3 года назад +30

    Naskia hamo mchumba tu

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 3 года назад

      Za kukodi hizo! Ndo maana hajasajiri! Awadanganye wajinga! Mzee wa kiki huyo! Mwambie azisajiri tuone!

    • @mzenjikichaa8695
      @mzenjikichaa8695 3 года назад

      @@danieljoseph1610 mwambie mamaako nae akodi basi tuvimbe au vp

    • @lulually5209
      @lulually5209 3 года назад

      @@danieljoseph1610 kafanya hivyo kuzima tuzo za bet aibu alijimwamba fai sana kuwa atachukua kakosa kaona aje na style hii

  • @MWENDA-vv5im
    @MWENDA-vv5im 3 года назад +2

    Kwani TZ mnatumia side ipi kuendeshea gari, right ama left?

    • @kathuri44
      @kathuri44 3 года назад

      Right but RR n left hand

    • @ultimatekelzy617
      @ultimatekelzy617 3 года назад

      Only left

    • @tradamus4158
      @tradamus4158 3 года назад

      Sisi tuna tumia zote tu ilimladi kuwa makini usikamatwe na police 😂

    • @MWENDA-vv5im
      @MWENDA-vv5im 3 года назад

      @@ultimatekelzy617 Kwa hivyo, hilo gari jipya la Diamond ni haramu TZ? Nimeona steering wheel iko upande wa kushoto kumaanisha linafaa kuendeshewa upande wa kulia.

    • @ultimatekelzy617
      @ultimatekelzy617 3 года назад

      @@MWENDA-vv5im ni suspect haswa...

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 3 года назад

    Nakubr Sana brother

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 3 года назад +4

    Mwacheen mond ndio muda wake mow

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 года назад

    Kweli mondi Mungu akishikilie uishimika mingi ili nass tujifunze kupitia ww

  • @yahayamaulana8951
    @yahayamaulana8951 3 года назад +1

    Huyu anayemtaja vibaya Harmonize anafirwa

  • @kingdinho9392
    @kingdinho9392 3 года назад +6

    Much love all the way from Liberia bro

  • @abdulbagayan614
    @abdulbagayan614 3 года назад +3

    Diamond namkubali bana

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 года назад +5

    Kuna Boya analazimisha kuongea mambo ya Harmonize...
    Tutafute Pesa...

  • @ommygabdul3367
    @ommygabdul3367 3 года назад +1

    Acha kudanganya watu 2.7b unaijua ww hyo gar sio bei hyoo 555.721 think like that

  • @eaglecherish9749
    @eaglecherish9749 3 года назад

    Simba my number one(Diamond Platnumz).....

  • @mohamedabdallah4667
    @mohamedabdallah4667 2 года назад

    Naona hajabandika Ata plate number

  • @hadijatambwe9194
    @hadijatambwe9194 3 года назад +2

    Wa tz hamna kazi kweli .Je mtume Muhammed akija mtafanya ajee

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 3 года назад

      Subili akishakuja ndio utaona ss tzd tutakavyofanya 🙏

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 года назад

      kwani mtume ninani Mohamed ninani seem yesu akija

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 3 года назад

      Mohammad asakufa atakuja wapi sema yesu yuaja

    • @monicaboniphace15
      @monicaboniphace15 3 года назад

      Mtume Muhammed ndo kitu gan yeye mwenyewe anasubir ufufuo ni mfu we akija utafanya nn?

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 года назад +2

    Kama nimeona escalade SUV kwa nyuma mnymaa simbaaaa salute

  • @Leftethegreat
    @Leftethegreat 2 года назад

    the convoy it self , its worth a lot.

  • @zawadimasula6253
    @zawadimasula6253 3 года назад +1

    Linaha na konde ni Kiki mtateseka Sana mashabiki

  • @samatambwana516
    @samatambwana516 3 года назад

    Namkubali mond wew ni mpambanaj

  • @zou7470
    @zou7470 3 года назад +5

    Dunia hiyi haya aca nikae kimwa🤐🤐🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @vivianomasawe473
    @vivianomasawe473 2 года назад +1

    🤝🤝

  • @shukuruwiliamunicksoni1352
    @shukuruwiliamunicksoni1352 3 года назад +2

    Simbaaaa respect baba lao

  • @chamandaayolaiza794
    @chamandaayolaiza794 3 года назад +2

    XIKIA MJOMBA XXI TUNATAKA ATUONYEXHE VIBALI NARIXITI KAMA ALIVYO FANYA DAVIDO ALIPO NNUA KARI DAVIDO ALIONYEXHA MPKA KAMPUNI ALIO NNU LILEGAR

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 3 года назад +3

    Wa Amma Biniimat Rabikka Fahadith...!!

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 года назад

    Eti gari lenyewe used Alo li use nani???? Baba Ako?????

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 3 года назад +11

    Much respect

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 3 года назад +1

    #aboi_4rm_makambako hao mangoko mbn wanapelekeshwa kama pia babeki haha njaaa hizi

  • @TOMMYWIZZY-d8c
    @TOMMYWIZZY-d8c 3 года назад +4

    Hatari Simba💥💥

  • @issahakizimana1764
    @issahakizimana1764 2 года назад

    Diamond platnumz the king of africa

  • @elizabethkajana9528
    @elizabethkajana9528 3 года назад +1

    Wachapeee kwa vitendoo Simbaaa

  • @Mastoryy
    @Mastoryy 3 года назад +1

    Alie sikia harmonize si mchumba tu🙊

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 3 года назад +1

    Gari lenye left hand mmmhh

  • @mohamedmatogoro4067
    @mohamedmatogoro4067 3 года назад +4

    Mpk waombe poo wakuite mshamba mkiwanja ss fujo tu mjn hapa maana mji ulipoa huu

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 3 года назад +2

    Amaaaaah kwel jiji limezizima

  • @zaituneadremaneadremane5698
    @zaituneadremaneadremane5698 2 года назад

    platnumz

  • @Luciana-of6uz
    @Luciana-of6uz 2 года назад

    Ako na masifa yaki ushoga 😏😏 akwende zake ata mara mia harmonize 🤗🤗

  • @salimmohammad3627
    @salimmohammad3627 2 года назад

    Congratulations sir ...

  • @bonifasmassawe9298
    @bonifasmassawe9298 2 года назад

    Asa hapo Harmonize anahusika vp

  • @abiyasin3166
    @abiyasin3166 3 года назад +1

    Mond Makin sanaaa endelea kuwakela tim konde

  • @abdiqafarmaalim505
    @abdiqafarmaalim505 3 года назад +1

    Aliyesema harmonize Hana lolote...eti ana mitumba ni MSHAMBA

  • @abubakarzanzibar4529
    @abubakarzanzibar4529 3 года назад +1

    Kwetu zanzibar hatuna ushamba kam UW what wanapesa hataree n hawapo ivoooo

  • @andrewyona2552
    @andrewyona2552 3 года назад +7

    Unaweza ukatamani hiyo Rolls Royce ikugonge ili uondoe nuksi maana sio kwa kuilingishia huko 😀😂

  • @stephanoedouardkinoissalva4388
    @stephanoedouardkinoissalva4388 3 года назад +2

    Kwa ushamba tuna wakubali wa bongo

  • @power.truckxd9957
    @power.truckxd9957 3 года назад +1

    Hivi anapata wapi ruhusa ya kutembeza gari bila number plate.au ndio kinasabaya

    • @ramadhanmajji5013
      @ramadhanmajji5013 3 года назад

      Kuna gar za kuweka plate number 😂😂 hizo ni moja moja hakuna tatizo

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 3 года назад +10

    No professionalism in the body guard opening the door with out considering other road users ..

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 3 года назад +1

    Wameenda shoot video ya wimbo unaitwa iyo

  • @salumsaid8223
    @salumsaid8223 3 года назад +5

    watu wanaumia sana kwa uyu bingwa ujana maji yamoto ata mimi ningekuanazo ningetamba kudadadeki

  • @shaabanimbakana4031
    @shaabanimbakana4031 2 года назад

    Gari lenyewe used....

  • @yusufhussein6990
    @yusufhussein6990 3 года назад +3

    BANZI SYSTEM MAINTAINENCE ....TUNATOA HUDUMA ZA KUJAZA FOMU ZA BODI YA MKOPO OLAMS HELSB .... PAMOJA NA KUTUMA MAOMBI YA VYOO KOTE NCHINI NA NJE YA NCHI TUNAPATIKANA MBEYA SOKO MATOLA KARIBU NA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA

  • @athmanhamid9578
    @athmanhamid9578 3 года назад

    uamerica utakuua broo ata shati hutaki

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 2 года назад +1

    Tafteni pesa na nyie punguzeni kujieleza maisha yenyewe ndo aya msishangae mtu kuwa na pesa nyingi ana nunua magari ya kifahari pesa ningumu jaman kuzitafta achen tu..........

  • @ibrahimmohamedibrahimmoham7116
    @ibrahimmohamedibrahimmoham7116 3 года назад

    Simbaaaa nakubali

  • @isaacikonya397
    @isaacikonya397 3 года назад

    Waah

  • @habibuomary1935
    @habibuomary1935 3 года назад +1

    Ushamba huu haya acha tuone mwisho wake

  • @mohamedmsangi5350
    @mohamedmsangi5350 3 года назад

    Masha lavu ndoa

  • @AlainAsumani-hz2qn
    @AlainAsumani-hz2qn Год назад

    Mna hongopa sn harmo yinye

  • @dijahmriri523
    @dijahmriri523 Год назад

    Watu wengne bhn Kama unasifia mtu msifie sasa harmonize anaingiaje

  • @karimhamisi4627
    @karimhamisi4627 3 года назад

    Njaa hizi kesho huyo anaye mponda harmonize akipita harmonize atamponda mond

  • @zuhurasuleiman919
    @zuhurasuleiman919 3 года назад

    Simba nakubali

  • @yyyy9190
    @yyyy9190 3 года назад

    J' am singer j want to sing and you

  • @split6543
    @split6543 3 года назад

    Ata uwe na gari nyingi aje utaendesha moja pekee at a time