UTAWAKUFURISHA MASHEKH ZAKO WOTE KWA SABABU YA VIGAWANYO VYA TAUHID || Muhammad Bachu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @iddijuma1428
    @iddijuma1428 Месяц назад +10

    Shekh Muhammad Bachu kwahakika Sisi tunakufahamu vizur sana ,kazi yako wewe fikisha haki kwa umma wa kiisilamu ,na Allah akupe afya njema zaidi ili tunufaike kwa ajili yako,, amiin

  • @faizahmed2898
    @faizahmed2898 Месяц назад +10

    Mungu akuzidishie elimu bachu .Yani kwa jinsi unavyo fundisha kupitia makosa wanayo Fanya watu wengine tunapata kufahamu kwa rahisi sana jazaa yako kwa Allaah.kweli Una wafanya ubao hao maana tunafaidika Sana na elimu

  • @YussufPandu-es7ou
    @YussufPandu-es7ou Месяц назад +9

    Tupo pamoja kufuwatilia mijadala muhimu ya kidini,,Sheikh bachu endelea kutuelimisha mungu azidi kukupa nguvu ishalla

  • @k.kchakua1376
    @k.kchakua1376 Месяц назад +2

    Jazaqallahu khaira sheikh wangu Allah akuzidishie Afya njema ..Sio kwamba hawakuelewi ispokua wanaona aibu KUSEMA wamekuelewa ..ikiwa SISI MAAMUMA tunakuelewa vizuri iweje wao wasomi wasikuelewi ..Leo hii mtoto wa std 7 akikusikia anakuelewa ..wanajitoafaham tu kusudi.
    Allah atakulipa kwa Elimu hii Bora Hakika wew nimwalim..

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d Месяц назад +6

    Bwana muhammad wewe unaeleweka bana❤

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 Месяц назад +4

    Maashaa Allah walokua hawamuelewi Sheikh wana lao ivi tuseme hawa hawajui kua Allah anamajina 99 na yote yamebeba sifa zake wamekusudia shari na Allah atazid kuwafedhehesha mpaka wasalim amri mbele ya Allah

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Месяц назад +14

    جمعنا الله وإياكم في الفردوس الاعلى دون حساب ولا سابقة عذااب

  • @IbrahimMnyonge
    @IbrahimMnyonge Месяц назад +3

    Namuomba alla amjaalie shekh bachu ikhlaswi pamojana cc

  • @MASOUD-e3i
    @MASOUD-e3i Месяц назад +4

    Masha Allah Sheikh Muhammad Bachu muelimishe huyo hataki kuifuata haki amekua mkali diwani anaona atakosa wateja wa kuwauzia madawa yake ya uganga Allah atuongoze ili kuijua haki.

    • @mohammedal7864
      @mohammedal7864 Месяц назад

      Allah hayupo sehem maalum bali yupo kila sehem, njooni Ahlulhaq wal istiqama (ibadh) haqi kwa dalili

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 Месяц назад +2

    Masha Allah Sheikh Muhammad bachu hao majamaa wapige nondo mpaka waelewe tawhid tatu

  • @cammackmarck
    @cammackmarck Месяц назад +5

    Allah akuhifadhi sheikh na uzuri wako unaonesh wazi kila kitu katk vitabu kinyume chake wao ndio wanaporoja maana hawana ata ushahid kwenye vitabu wanaongeo t na wafungue vitabu bc

  • @ShabaniIbrahim-u3y
    @ShabaniIbrahim-u3y Месяц назад +5

    Allah akujaze kila kheri sheikh wangu

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر Месяц назад +4

    Allah akuhifadhi shekh wetu shekh muhammad bachu tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 Месяц назад +4

    Mbn hivi vitu vipo wazi me nahis wamekusudia tu kubisha bas Mungu akuzdshie bachu

  • @KassimMuslih
    @KassimMuslih Месяц назад +6

    Allah amuongoze Diwani asivuruge jamii
    Ukweli haujifichi.tusomeni

  • @masoud744
    @masoud744 Месяц назад +4

    Mashallah... Mwili wangu unanisisimka jinsi unavyotufundisha

  • @hamzamohamed07
    @hamzamohamed07 Месяц назад +2

    BarakAllah feek Ustadh Muhammad... Allah (Subhanahu wa Ta'ala) Atuhifadhie Dini yake ya Ahlu Sunnah na Atuondoshee uzushi uliotawala ndani ya nchi zetu, ameen.

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs Месяц назад +6

    Asalam Aleikum.
    Sheikh Bachu ni mwingi sana kwa hawa kina Diwani (Diwari)tena Sheikh Bach mfumo huu bora kuliko msabaka..Vp unawakomoa vizuriiii.
    Allah akupe Afya na umri mrefu.

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Месяц назад +6

    MashaAllah tunakuelewa vyema

  • @StephenOmoit
    @StephenOmoit Месяц назад +4

    Nakupenda sana Bachu kwa ajili ya Allah.Usiwaache paka wawache kuabudu kwa makaburi

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 Месяц назад

      YAANI HADI WEWE MLOKOLE UNAONGELEA UISILAMU!!

    • @saadaAbdalla1371
      @saadaAbdalla1371 Месяц назад

      Jmn hili ni jina tu huenda ni muislam na km bado hajaslim tumuombee Allah amjaalie aslimu

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 Месяц назад +3

    Bahat nzuri Yusuf Diwan mshirikina mzuri wa wazi kabisa hajitambui yu hoi Sana kipofu mkuu Allah amuongoze atubie akae sawa

  • @ibrahimmaabadi1586
    @ibrahimmaabadi1586 Месяц назад +5

    Hafidhaka Allah ya Muhammad bachu

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Месяц назад +6

    ELIMU NDO SHIDA NA JANGA LA WATU WENGI TUNASHUGHULISHWA NA HAWAA ZA DUNIA NDO MAANA WENGI HAWAJUI WANAOJUA ALAH AMEWATAKIA KHER ALHAMDULILLAH

  • @KhalfanMbegu-q8e
    @KhalfanMbegu-q8e Месяц назад +3

    Allah akuhifadhi sheikh wet nakupend kwa ajil ya allah

  • @MohamedSaburi-s7w
    @MohamedSaburi-s7w Месяц назад +3

    shekhe ALLAH AKUBAARIQ, tunapata faida kubwa kupitia taluma ZAKO, huyu diwani kazi yake ni omba omba tuu,

  • @SeifHassan-wl7ur
    @SeifHassan-wl7ur Месяц назад +2

    Sheikh Muhammad bachu nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Месяц назад +7

    Shukran mwalimu wangu❤❤

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 Месяц назад +5

    Mashallah sheikh Muhammad bachu

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 Месяц назад +10

    Sheikh Bachu hafidhaka Allah,muambie huyo mganga diwani ya kwamba: العلم قليل يضر

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад +1

      Hahaha, kweli kabisa,,,,,, amwambie...

    • @WakaliFashionTz
      @WakaliFashionTz Месяц назад +1

      Hahahahah kweli elim ndogo inadhuru sn

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad Месяц назад +6

    Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa

  • @ibrahimmg4786
    @ibrahimmg4786 Месяц назад +3

    Mashallah Allah akuzidishie

  • @moudswalehe4207
    @moudswalehe4207 Месяц назад +2

    MashaaAllah baaraka Allah fiyk wa jazaaka Allahu khayra. Wallahi inafurahisha sana

  • @abuujamsheed2345
    @abuujamsheed2345 Месяц назад +3

    Hawa jamaa elimu yao nakumbuka zilitaka kunipeleka na Mimi kuwa mshirikina alhamdullilah Allah kaniongoa

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب Месяц назад +1

    Sheikh bachu endelea na elimu alokupa allah

  • @ibrahimuakwilombe
    @ibrahimuakwilombe Месяц назад +3

    Allah akuzidishie kheri nyingi

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Месяц назад +3

    Diwani anafanywa ubao

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад +3

    Mimi baaachuuu namkubali ssssaannna na diwani namkubali ssaaaanna na wote nawaombea pepo njema na kwa uwezo wake na nguvu zake ALLAH atawajaalia pepo mimi naamini sh diwani hajafahamu tu akifaham atabadilika c mgumu kufaham hata kidogo sh dowani

    • @ر.ج.ب
      @ر.ج.ب Месяц назад +1

      Diwani ni waganga hao walio chificha kwenye dini

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Месяц назад +7

    BACHU ELIMU UNAYOTULETEA NI SAFI KBISA NYEUPE KILA MWENYE KUSOMA ANAKUELEWA LKN WAGANGA LAZMA WAKUCHUKIE HATA USICHOKE WENGINE TUNAHAMA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYENGINE ALLAH AKUJAALIE NA WALE WENYE KUIKUBALI TAWHID NA UKAMILIFU WAKE KTK TAQSIMU TAWHIYD

  • @yahyaibrahim4731
    @yahyaibrahim4731 Месяц назад +6

    Bachu huyu mganga Diwan anakupotezea mdaa wallah sio size Yako una mpa elim ya chuo kikuu wakati yeye yupo level ya msingi

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Месяц назад +2

    ❤❤جزاكم الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتكم ونفع الله بكم أمين يارب العالمين

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud Месяц назад +3

    may your presence become more blessed and bring people to man-haj assalafiy. Ameen

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Месяц назад +2

    Shekh Muhammad laiti kama sio kufaidika kwa watu wasiojua mambo, ningekuambia diwani na mtoto wa bangi hawana sbb ya kujibiwa, kwa sbb zifuatazo;
    1-Hawatetei Dini.
    2-Sio wasomi wa Elimu ya Dini
    3-Ni wajinga walio topea kwenye ujinga.
    4-Ni washindani na wabishi tu, hawana cha ziada ambacho wanaweza kuunufaisha umma.
    5-Sio watu wenye shida na haqqi, bali haqqi hata iweje kama inaenda kinyume na matakwa yao na mazoea yao na uzushi wao na ushirikina wao, basi wataipinga tu, hatakama hawa hoja zinazo weza kusimama wakati wa kupinga kwao, lkn wataunga maneno hivyohivyo ilimradi tu wapinge.
    Mfano nikama hivi vigawanyo vya kumpwekesha Allaah Azza Wajalla.
    Wao wanapinga kua havigawiki.
    Sasa watu wajinga kama hawa wanaoweza kupinga kitu kama hiki kwa vipimo vya matakwa yao na matamanio yao tu, yaliojaa upofu na ujinga,kuna kipi wasicho weza kukipinga?
    Maana hakuna hoja wanayo weza kuitumia katika kupinga aina tatu za kumpwekesha Allaah Azza Wajalla.
    Hapo tukiwauliza kwa mujibu wa dalili Allaah anapwekeshwa kwenye vitu vingapi utapata vioja usivyo vitarajia kwa sbb kuna watu wana hadhi na nafasi kama ya Allaah au kuliko Allaah, ndiomana hawataki yale yanayo mstahikia Allaah peke yake kubainishwa na watu wakaambiwa kua hiki na kile na hicho nistahiki ya Allaah peke yake.......!!!!!!!!!!

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Месяц назад

    MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH

  • @habibmohd8008
    @habibmohd8008 Месяц назад +1

    Hongera sheikh

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 Месяц назад +4

    Iviii diwan anaelewaa mzigo wa bachu

  • @MfaumeHassan-n5g
    @MfaumeHassan-n5g Месяц назад

    Mungu akubari shekhe wetu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Месяц назад +1

    Huyu jamaaa na wengine mfano wa Yusuf Diwani
    Walikuwa wanapotea na kupotosha watu maana walishajikita ktk Utapeli watu haswa kina Mama
    lkn
    Allah akuhifadh Ibn Buch Ustadh wetu umenyoosha kiswaswa
    sasa hivi
    Hatuoni
    cjui chukua mwembe chai changanya cjui nn ogea mara saba cjui nn....
    Hatuoni
    Maaana yake walikuwa Ni anatapeli watu tu,
    kujipatia tonge
    Saaa hivi kila kitu wanajipanga
    tofauti na zamani,
    Zamani walikuwa wanasema mradi tonge liiende kinywani na umaarufu tu
    HIZI RADDI NA TAALIQAAT ZIMELETA UADILIFU NA KUHESHIMISHA DINI
    MAANA WALIKUWA WANAIPOTEZA HAWA MAAUUF
    MAANA WALIKUWA WANAANGALIA KINYWA TU NA CIO TAWHEED YA KWELI
    UKIANGALIA WENG WALIOSOMA VYUO VYA MASUUF WENGI HUWA N WAGANGA. MAANA YAKE HAWAFUNDSHI TAWHEED AU HAWAIJUI TAWHEED KISAWSAWA.
    CHUNGUZA SANA UTAONA.

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y Месяц назад +3

    Mashaallah shekh la mashekh east africa maghurafi wanapata tabu san

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h Месяц назад +1

    Diwani aende akafanye uganga wake huko, hana sifa zakuwa mlinganizi ktk njia ya Allaah

  • @AwadhTariq
    @AwadhTariq Месяц назад +4

    Allahumma barik sheikh Muhammad

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Месяц назад +20

    Diwani akauze dawa Muhammad unanifrahisha unavyo vunja hoja zake huku unacheka ngoja namm nicheke kidogo samahan lakini 😂😂😂😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад

      😂😂😂Shida/Tatizo Elimu (Shule)........

    • @jumajuma1324
      @jumajuma1324 Месяц назад +1

      Kumbe diwani nae ni shekhe😊 basi hakubakia mtu hata punda wakivalishwa malemba na makazu watakua mashekhe hahhhhhh

    • @jumajuma1324
      @jumajuma1324 Месяц назад +1

      Kwaza na aifunze kutamka hao majina ya Allah ajifunze hukmu za raa kati ya tarqiiq na tafkhiim

    • @jumajuma1324
      @jumajuma1324 Месяц назад

      Muulize wani akiso :سبح اسم ربك الأعلى ، الذي خلق فسوى ، والذي قدر فهدى ،والذي أخرج المرعى. Kwaakili yake hapo kuna miungu mingapi?

    • @jumajuma1324
      @jumajuma1324 Месяц назад +1

      Mjinga ndo hiahia kua mkali kama vle dini ya babaake anaogopa kukosa mirathi mwenye elimu huzongea kwa kinukuu dalili na kauli za wanachuoni

  • @saidmduchu8100
    @saidmduchu8100 Месяц назад +2

    kaka wanyooshe kweli kwelii maana sasa hivi wanafana dini kuwa haina msimamoo kwa upuuzi wao

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Месяц назад +1

    Shekhe nassoro bachu wewe uko vizur sana weng tunakuelewa wenye akili. Mifano ipo mingi waisilamu tupo wengi sana tunaamini kua mungu yupo ndio mlezi wetu lakin kuswali tumekataa ukitaka kuamini hivyo tizama msikiti uliopo jiran je unajaa watu au hata swafu moja pia haikamiliki lakin waisilamu ndio tumezunguka kila kona ila ibada tumeikataa hakuna mtu atapinga hili sasa anaepinga hiz tauhid ndio sisi weng wao washirikina ibada tumepuuza wewe mtu anathamin maulid kuliko swala ajabu kubwa hii

  • @zainabJuma-x9j
    @zainabJuma-x9j 28 дней назад

    Assalam alykum kwema
    mzima sheikh tumepooza tunataka elim❤km unaumwa Allah akuafu km majukum mengine Allah ayatilie wpc❤Allahuma amiin

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 Месяц назад +2

    Bachu tunakuelewa

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 Месяц назад +2

    Sheikh usishindae nae wamdhalilisha sana. Hata sisi wenye elmu ndogo twamshinda na ualimu wake. Common sense hana 😂. Inshallah mungu atamuongoza wallahy this is crazy 😅.

  • @hamisisaibu7779
    @hamisisaibu7779 Месяц назад

    Baraka allahu fiiika

  • @MussaYasini
    @MussaYasini Месяц назад +2

    Mashallah

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Месяц назад

    Mi napenda vile bachu anachambua vitabu sio kama huyu diwani anapiga mdomo tu ili apate mashabiki...Allah akuhifadhi kka bachu..

  • @masoud744
    @masoud744 Месяц назад

    Elimu Tisha.. Allah akuhifadhi

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary Месяц назад +1

    Mimi nafikiri either huyoo diwani hajui maana ya Tauheed (anafikiri Tauheed maanake Allah) aau anafanya khiyana ili aendeleze uganga wake na hili ndo hatari zaidi, Allah atunusuru sote

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 Месяц назад

    Tatzo lako bachu unashirikiana na mahizbi ndo mana masalaf hatukukubali , Allah atuongoze sote

  • @ISSAMAALIM-sk6hg
    @ISSAMAALIM-sk6hg Месяц назад

    Aaanaka llah

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 7 дней назад +1

    Katika Hal za namna hiyooo 😂😂😂😂😂

  • @huseynmaingu6073
    @huseynmaingu6073 Месяц назад

    M.Bachu -3
    Y.Diwani-0

  • @SeifHassan-wl7ur
    @SeifHassan-wl7ur Месяц назад

    Asalam aleykum huyo mganga ana jelasi na wewe tu ila unaeleweka sheikh wangu endelea kutoa daawa Allah akupe umri mrefu wenye Kheri inshallah

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Месяц назад +1

    Ahsantum

  • @Ally-h9c
    @Ally-h9c 23 дня назад

    : لَنْ يُفْلِحَ قَوْمٌ وَلَّوْا أَمْرَهُمْ امْرَأَةً )
    Hii yote inatokana na kutawaliwa na mwanamke wanaoiwa masheikh wamekuwa wanawake na wanawake wamekua wanaume Yaa rabbi wapeleke wanaume zanzibar

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui Месяц назад +1

    Usilazimishe UTATU ktk uislam

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr Месяц назад +1

      Shekh vitabu ndovinasema usiwe kama makafiri ukalishwa ujinga

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 Месяц назад +1

      Ndio hawa لهم قلوب لا يفقهون بها ولهم أعين لا يبصرون بها ولهم آذان لا يسمعون بها ألئك كالأنعام بل هم أضل ألئك هم الغافلون

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 Месяц назад +1

      Wajuwa ndugu yangu mufike wakati mujitambue musipelekeshwe pelekeshwe tu hii ni dini ya sio ya kuchezewa chezewa

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 Месяц назад +2

    Diwani ananuka harufu za moshi za kisufi mwisho asipona vzruri anakufa kafiri laa qadara Allah

  • @MohammedSalmin-f3l
    @MohammedSalmin-f3l Месяц назад +1

    SHEIKH BACHU YUKO VIZURII..SANAA

  • @Muswlih
    @Muswlih Месяц назад +2

    Yusuf Diwan ata sehem ya comment haeki anajua anacho kifany

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h Месяц назад

      Huyu mganga anazuiya mpaka comment watu wasione kwa sababu anajua hana elimi

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 Месяц назад +2

    PIGA HAYO MAJITU YA BIDAAAA

    • @omarsal3266
      @omarsal3266 Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 Месяц назад

      @omarsal3266 DAAH SHKH HYO NI MTIHAN SAN

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад +2

    وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ رَبِّ ٱجْعَلْ هَـٰذَا بَلَداً آمِناً وَٱرْزُقْ أَهْلَهُ مِنَ ٱلثَّمَرَاتِ .. } [البقرة: 126] فاحتاط لأنْ يكونَ في بلده ظالمون، فقال: { مَنْ آمَنَ مِنْهُمْ بِٱللَّهِ وَٱلْيَوْمِ ٱلآخِرِ .. } [البقرة: 126].
    لكن جاء قياس إبراهيم هنا في غير محله، فعدَّل الله له المسألة؛ لأنه يتكلم في أمر خاص بعطاء الربوبية الذي يشمل المؤمنَ والكافر، والطائعَ والعاصي، فقد ضمن الله الرزق للجميع فلا داعي للاحتياط في عطاء الربوبية؛ لذلك أجابه ربه: { قَالَ وَمَن كَفَرَ فَأُمَتِّعُهُ قَلِيلاً ثُمَّ أَضْطَرُّهُ إِلَىٰ عَذَابِ ٱلنَّارِ وَبِئْسَ ٱلْمَصِيرُ } [البقرة: 126].
    إذن: فهناك فارق بين العطاءين: عطاء الربوبية وعطاء الألوهية، والإمامية في منهج الله، فعطاء الربوبية رِزْق يُسَاق للجميع وخاضع للأسباب، فمَنْ أخذ بأسبابه نال منه ما يريد، أما عطاء الألوهية فتكليف وطاعة وعبادة.

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb Месяц назад +2

    Nimekusikiliza vizuri mwanzo mpaka mwisho hukuthibitisha taqsiim tauheed.Siku zote nakupa nasaha kasome mijadala utafanya ukisha pata Elimu

    • @muzammilsalim3983
      @muzammilsalim3983 Месяц назад +2

      Wewe @Rajab musumari hata ukisiliza mara elfu hautoweza kuelewa madamu bado hisia zako zinafinikwa na Giza la ukhorafi/ usufi,,na ndio maudhui hii( mna macho hamuoni,mna masikio hamsikii,mna nyoyo hamtumii kuwazia,,,,,

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      Nan akasome?

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      Nan akasome?

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад +1

      Huyu rajabu Akili yake haifanyi kazi akasome na uyo mganga wake anayeitwa diwani

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Месяц назад +1

      Wana macho lakin hawaoni wana maskio lakin hawaskii wana mioyo lakin hawaelewi nd ww ukiwemo katka hawa watu

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp Месяц назад +1

    Thx

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب Месяц назад

    Mwenye kuufungua moyo wake haqi atakubali Tu ... Enyi watu ACHENI kuwasikiliza masufi ni wapotofu hawataki kufuata haqi ni watu wa matamanio si kwamba hawaoni ukweli ila wanashindwa kufuata Tu

  • @MohammedSaid-nd8eb
    @MohammedSaid-nd8eb Месяц назад

    Shekh Muhammad huyu diwani hana elimu nimpotoshaji asipo angalia ataingia ktk shirki mbaya sana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      😂asa aingie mara ngapi wakati ni mshirikina huyoo, si mganga kuhani, huyo anatumia nyota, na mtume kasema Aina ya uganga huo ni ushirikina Sasa na uchawi, kufanya ilmu za nyota mambo ya ukuhani hayooo diwani ni mshirikina pyua na wenzie kina doctor sule, watubie Tena watangaze adharani kama wameacha ushirikina, Sabu si wanajtangaza mitandaoni bila khofu, na wartubu kabla hawajafa moto wa Allah so mchezo mchezo😂😂 wafikiliavyo watu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      😂asa aingie mara ngapi wakati ni mshirikina huyoo, si mganga kuhani, huyo anatumia nyota, na mtume kasema Aina ya uganga huo ni ushirikina Sasa na uchawi, kufanya ilmu za nyota mambo ya ukuhani hayooo diwani ni mshirikina pyua na wenzie kina doctor sule, watubie Tena watangaze adharani kama wameacha ushirikina, Sabu si wanajtangaza mitandaoni bila khofu, na wartubu kabla hawajafa moto wa Allah so mchezo mchezo😂😂 wafikiliavyo watu

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba Месяц назад

    Allah akuongoze huyu anatapatapa hajui kitu chochote huyo diwani hmn kitu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Месяц назад +1

    Napenda kumuona huyu diwani akiwa ubao wakati wenzake wakisomeshwa

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c Месяц назад

    MAWAHABIIIIII HAO MAULAMAA WOTE ULIOWAONESHA HAWAJAGAWA TAUHID BALI WAMEFAFANUAAAA.
    MASKINI MAWAHABI HAWAJUI HATA TOFAUTI YA KUGAWA NA KUFAFANUWA.

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b Месяц назад

      Uchizi ni fani! Ndio Nini sasa? Lete hoja ya kielimu ya kukataa tawheed 3😮

  • @Imrani-g9o
    @Imrani-g9o Месяц назад

    Innaka la tahdii man ahbabta walakinna llaha yahadii man-yashaa ila swiratwi lmustaqim
    sinashaka Kuwa diwani hataki kuongo pia haoni njia yahaki

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад

      Diwani anakibri na anaona kama nikudhalilika akifuata haki,,, Allah amuoneshe njia ya haki aweze kuifuata

  • @mediization
    @mediization Месяц назад +1

    Shekhe bachu hujafafanua mgawanyo wa tauheed umeelezea majina na sifa za Allah ktk majina na sifa zote 99 zigawanye mafungu 3 kwa ushahid wa quraan na sunna tukajua kua hii ni tauheed ulugiya, rububia na asmauwasifaat mwisho nasema Tumuogoopeni Allah ghadhabu zake ni kali.

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 Месяц назад

      Sheikh leo amevunja hoja za sheikh diwani ila kama unataga maelezo kuhusu vigawanyo vya tauhidi basi rudi ktk darsa zake za nyuma

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Ukipotea daima hata macho na masikio huwezi pokea hakki, moyo umepofoka na mashekh muendao nao haooo watakuingiseni motoni, wew unaona kabisa shekh mwenyewe mshirikina unapokea ilmu toka kwake,

  • @alyumaraos
    @alyumaraos Месяц назад

    Huyo diwan kaz yake matus t hana elim kakaa kama mwanamke kwa matus mara anamwita sheikh Muhammad mwanaharam jinga hilo na kusoma halitak kwaiyo litakufa na ujinga Allah amuongoze yy pamoja na ss.

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 Месяц назад +1

    Wanaoamin tawhid haigawiki waje na vtabu vinavyosomesha tawhid bila kugawa ili tupate faida

  • @MakameHamadi-k6j
    @MakameHamadi-k6j 25 дней назад

    Hujui maneno ya wana zuoni bachu kasome acha ujinga huo

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Месяц назад

    Duu diwani ana maneno makali sana halafu sio mazuri hata kidogo sheikh bachu chapa huyo sufi

  • @SaidMidobare
    @SaidMidobare Месяц назад

    Ww bachu nimekusikiliza vizuri lakini naona hunahoja jibu hoja naona unaporoja tuu

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 Месяц назад

    Simba bachu anaunguruma kila sikuu hamumwelewii tuuu

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 Месяц назад

      ألقاب مملكة في غير موضعها ....... كالهر يحكي انتفاخاً صولة الأسد.
      Vyeo vikiwekwa mapala si pake ni paka anaetaka kuvimba kama simba,

  • @YahyaKombo-j3g
    @YahyaKombo-j3g Месяц назад +2

    Shekh mohd usijib wtu ambao hawana hoja za kielimu

    • @ابومعاذاحمدناصر
      @ابومعاذاحمدناصر Месяц назад +7

      Hatuwajib wao bali sisi tunawafanya wao ubao wa kuwasomeshea na kuwazindua waislam (ummah)

    • @fakihkombo6065
      @fakihkombo6065 Месяц назад +3

      Ndio wasipojibiwa watapotosha umma

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Месяц назад +1

      Anapotosha yule, lazima abainishiwe ummah na labda yeye pia ataona haqi

    • @Salaf12345
      @Salaf12345 Месяц назад

      Ndio

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад +1

      Leteni hadith,tuache kubwabwaja.

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 Месяц назад

    Sheikh Muhammad Bachu unatumia nguvu nyingi kumuelewesha mtu ambaye fi kulubihim maradha.Ameamuwa kukaa kwenye upotofu na kupotosha watu licha kumuonyesha Dalili zote hizo.Elimu yake ndogo.Ni muda sasa uwachane naye utuelimisha sisi umma wakiislamu tunahitaji hiyo ilmu.

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 Месяц назад

    SHEKH NAKUOMBA SAN HAPO SIMAMA KABSA USITOKEE MAAN HAPO NDIO MSINGI WA KUTENGANISHA SHIRIK NA TAUHID

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 Месяц назад

    Yusuf Diwani mganga WA Kienyeji

  • @IdrissaMaulid
    @IdrissaMaulid Месяц назад +2

    Hizo hoja dah sasa wapi walipo gawanya

  • @SaidMidobare
    @SaidMidobare Месяц назад

    Ww bachu nimekusikiliza vizuri lakini naona hunahoja jibu hoja naona unaporoja tuu
    Tuach usitafute sifaa huipati

  • @mundhirizza
    @mundhirizza 29 дней назад

    jamani funguweji link hio hapo chini tafadhal tusilale na kugombn sisi kwa sisi

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 Месяц назад

    Yusuph diwani anamihemuko na shekhe hatakiwi kuwaa kmaa hivyoo anamwitaa mwenzie mwanaharam sasa hayoo maneno hayatoki kwenye kinywa cha shekhe jirekebishee njoo na hojaa sio kutukanaa

  • @DulayoOmary
    @DulayoOmary Месяц назад

    Kapambane na haji upepo katuelewesha vizur tu

    • @EpcDistributor09
      @EpcDistributor09 Месяц назад

      Na wewe katibiwe nyota na bahati na upewe pete na Diwani😂huo sindio mnaona ni uisilamu

  • @nnajahtv
    @nnajahtv Месяц назад

    Sheikh bacho hawa waganga hawajui kitu huenda uenda ikawa hata hivyo vitabu wanavisikia Leo masufi hata ability hawana

  • @SaidMidobare
    @SaidMidobare Месяц назад

    TOA AYA INAYO
    ZUNGUMZIA VIGAWANYO VYA TAUHID

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b Месяц назад

      Nawewe lete Aya inayokataza vigawanyo vya tawheedi??¿???