Asalam alaikum sheikh wetu kipenzi ca maneno ya Allah na suna za Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na nina maswali mawili naomba utusaidie utengenez darsa kuhusu yanayokua huko Saudia arebia majanga na mafuriko na panazunguuka ma videos ya kuzungmza alama za kiama Na lingine kuhusu ma sheikh na walimu wanasema ukiwapa pesa wanakuombea Dua kwa Allah mlezi wetu je si kosa au na tunaambiwa hakuna mtu anaombea Dua mwenzie inakutia ku kufuru mungu na kumshirikisha tusaidie kwa hayo Asanteni sana na tunawapenda sana na Tv zote unazotumia kutuelimisha Allah akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema akup pepo ya firdawusi na familia yako yote
Nimemuona mtume Muhammad Mara saba pamoja na sayidina abubakar na sayidina Othman wakiwa kwenye vita ya uhudi nikawa na mie najisemea sijui nijitose sijui nijitose..!!! Allah atusamehe wanawazuoni wakubwa na wacha mungu wameondoka asilimia 98, hawa wengine ni waganga na si masheikh.Waislam tuwe macho na hawa watu si wa kuwafuata.
Mm Nina mata tizo mengi nitaswali nakuomba msamaha naduwa nikimaliza nitaomba duwa km yeye haombiduwa mm nitaomba shida ikowapi zipo faida hapa hata km yapo makosa
Doktasule unataka kufeli mbona ulikuwa kiongozi wetu mzuri elezeni imani zaid kulko mali utajiri ni mali.yaduniya. dini ya allah ina poromoka.hamjaliona hilo.ombilangu mkishindwana rudini kwenye corowan nasuna.
Sheikh nampenda kukusikiliza lakini nakuuliaa kitu kwanini unapenda kuapa? Kwani ukisema neno tu bila kusema "Wa Llahi" utakua je? Mbona tunakuamini bila ya kuapa apa. Halafu una sema hiii dhikri bora kuliko kubeba matufali kwa hiyo mafundi na vibarua wasema kubeba matufali wataacha kwani hizi kazi hazifai Au la Nani kafaradhiwa kubeba matufali?
Mimi sheik nilimuona mtume issa,nika muadithia mama mmoja akaniambia umeona shetani,lakini la kushangaza mbona niliona baraka ambazo sikutarajia Nae ni shetani?
Kwaio ww umeona nyingi hzo labda kma uko mbali na mungu wko na hyo kumswalia mtume nilisomeshwa na mwalimu wng bibi mzee anafika miaka 90 nadhan alikua anatufundisha lkn ilikua sijui maaan yke maana miaka 8
@@amrykhamis4482 kujuwa kuzungumza kiarabu hakimfanyi mtu kuwa mlinganizi wa daawatu salafiyya . Dini Hino ilitimia haifai kuipaka tope kwa upuuzi wa mashehela na bid'aah zao. Jee arrasul صلى الله عليه وسلم alilingania hivo? Tumche Mola Mlezi wetu
Daah wale wanaoambiwaga usufi hawaelewi hawa ndo masufi sasa... Afu eti anasimuliaaa km vile amefika karama fln,,,, muongo san huyuuu, afu eti swala ya mtume ndo duaaa, daah, ila tusishangae huyu alisilimu kutoka ukristi zile tabia anazo tuuuu
Tatizo letu wengi hatuna imani thabiti pindi tunapomuomba Allah,maranyingi tunakuwa tunajaribu tunapoomba na kutaka tujibiwe kwa haraka Allah akikucheleweshea kukujibu unakata tamaa. Inapokuja mtu amefanikiwa akisema ukweli wake tunamuona muongo.
@@JumaMtolilowallah watu hawna imani mm mwenyewe nikimswalia mtume mara 50 tu nahis nafsi yng ina utulivu au una wahka wasiwas bs inakupa furaha tatizo watu hawna imani.
Asalam alaikum sheikh wetu kipenzi ca maneno ya Allah na suna za Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na nina maswali mawili naomba utusaidie utengenez darsa kuhusu yanayokua huko Saudia arebia majanga na mafuriko na panazunguuka ma videos ya kuzungmza alama za kiama Na lingine kuhusu ma sheikh na walimu wanasema ukiwapa pesa wanakuombea Dua kwa Allah mlezi wetu je si kosa au na tunaambiwa hakuna mtu anaombea Dua mwenzie inakutia ku kufuru mungu na kumshirikisha tusaidie kwa hayo Asanteni sana na tunawapenda sana na Tv zote unazotumia kutuelimisha Allah akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema akup pepo ya firdawusi na familia yako yote
mashaallah acha waseme shekhe wangu ndio mwanadamu huyo
اللهـم صّـل وسِـلم وبارڪ ؏ نبينا مُحمدﷺ❤
Ni kweli kabisa sheikh kumuswalia mtume kuna siri kubwa sana nami mambo yangu kafunguka tangu nianze kumuswalia mtume
Mashallah Allah akupe Dunia na ahela shekh
Amin sheikh wetu
Nimemuona mtume Muhammad Mara saba pamoja na sayidina abubakar na sayidina Othman wakiwa kwenye vita ya uhudi nikawa na mie najisemea sijui nijitose sijui nijitose..!!! Allah atusamehe wanawazuoni wakubwa na wacha mungu wameondoka asilimia 98, hawa wengine ni waganga na si masheikh.Waislam tuwe macho na hawa watu si wa kuwafuata.
Ata mtume s.a.w alikuwa na maadui ambao wanaompinga, sasa sishangai ukimpinga huyu sheikh aliyepewa uongofu na Allah
@@abubakarmpole4000 pole sana!!Allah akujaalie uongofu ukasome dini yako uijue vizuri ili ujue haki na batili.
Acha chuki aliepewa kapewa Shekhe wetu Allah akulipe kwa kutufumbua nakutuelekeza palipo pema nakupenda kwa ajir ya Allah
@@ramadhanimbulu4941 kwan kakoseya nini
Wewe acha kutudanganya wana fana vipi
Asalam walekum sheik this khuthba Is very good jazakallah keri am ISSA HASAN from south Sudan juba capital.
Amiin inshallah
Jamani kuna watu wana bahati ?kumuota Mtume (s.a.w)ni bahati kubwa
Shukraan 🙏
Mashaallah ❤❤☝️
Shukrani sn
MashaALLAH shekhe
Kwaiyo waislam wengine hawaswali 😅😅 Kuna Siri kubwa sana kwenye Utajiri 😊
Jamni amesema kweli tumswali lieni mtume hayo mengine tumuachia
Alllahu masali Wa salaam alehaa
WAJABAH WAJABAH WAJABAH
Subhana Allah MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Na uislamu hauruhusu kusemana vibaya
Shekhe kasema baridi,,mama ana pagawa
Allah akbar❤❤
mashaahllah
Mansha Allah
nakubali sn nimekushuhudia mara nyingi
Mimi namkubari wallah anaesema nifrimasoni wacha asema
Kama kwer free meson moton moja Kwa moja
Wamekua ni wamiliki wa makamera ili wachukuliwe mavideo. Munasema haya lakini ujumbe si unakwendaa
Asthaghfirullah
Kweli unayoyasema
😁😄
Mashallah
Allah kasingiziwa ana mtoto mtume kasingiziwa ni kuhani vipi sisi tuokoke na ndimi za watu
🎉
Mwanisha
احب كثير اصلي ع محمد
Tupe dalili ya chenye unaongea Wacha kutufumba macho
Wajaa mtihani
Hiyo mada haiyendani na kichwa cha habari
Mm Nina mata tizo mengi nitaswali nakuomba msamaha naduwa nikimaliza nitaomba duwa km yeye haombiduwa mm nitaomba shida ikowapi zipo faida hapa hata km yapo makosa
Tusidanganyane bwans
Asalam aleykum shekhe naomba namba yako
Wallahi ni biashara tuuuuuuu
Huyu shekh ndio mara ya kwanza namsikiliza na nimefuatilia mikasa mingi ya watu huyu shekh anaonekana anajihusisha na free mason wazi wazi
Uctuhumu watu Kwa hisia zako ndugu, Allah atuongoze sote
Mimi niliwahi kuota nakwenda kumuona mtume muhammad makka ile nafika tu maka nakuta mtume amefaliki
Doktasule unataka kufeli mbona ulikuwa kiongozi wetu mzuri elezeni imani zaid kulko mali utajiri ni mali.yaduniya. dini ya allah ina poromoka.hamjaliona hilo.ombilangu mkishindwana rudini kwenye corowan nasuna.
Wacha uongo,mnajiwa na majini, we ulijuaje kama n mtume.wacha uongo
tatizo wewe hufanyi kitu ndio maana huoni kitu...hebu kaa na mungu mchana mmoja
Sheikh nampenda kukusikiliza lakini nakuuliaa kitu kwanini unapenda kuapa? Kwani ukisema neno tu bila kusema "Wa Llahi" utakua je? Mbona tunakuamini bila ya kuapa apa. Halafu una sema hiii dhikri bora kuliko kubeba matufali kwa hiyo mafundi na vibarua wasema kubeba matufali wataacha kwani hizi kazi hazifai Au la Nani kafaradhiwa kubeba matufali?
Hamna kitu hapa ,usufi ni ujinga.
story za abunuasi
Subhanallah Allah akuifadhi pamoja na ummat
Mimi sheik nilimuona mtume issa,nika muadithia mama mmoja akaniambia umeona shetani,lakini la kushangaza mbona niliona baraka ambazo sikutarajia Nae ni shetani?
Huyo ni mtume kweli maana shetani hawezi kujifananisha na mtume.
Niliambiwa hivyo sijamuona mtume issa bin mariam nimeona shetani,but baraka nilizozipata baada ya kumuona ajuae ni mungu,hadi natamani nimuote tena
Shekh kwel mimi sizani utajiri ninema kwangu ukubwa musaliye mutume ishallah,,,,,..Allah Akujariye
Shekh kweli karne hizi unaweza ota anakujia mtume nikweli
Imani huna shekh,
Kweli kabisa
Kinacho kupa taufiq ya kumuota mtume sio zama bali ni matendo yako
أروع جواب لكل مرتاب
Umemuona mtume singida? Usitudanganye
Mche Mungu ndugu
Lisemwalo lipo tuna masaka na wewe Michael Jackson
Ushajiandaa kuliona Hilo jina ulilomuita shekhe ktk daftari lako cku ya kiama?
Wewe soma jina lako kwanza kabla hujasoma la mwenzako
Weye acha kufananisha sheikh na wasani
Hzo mara elf1 anazosema naamin hata yeye huwa hafanyi anadanganya tuu watu, tunaomba siku ukae darasan ututajie hzo riwaya km zina usahh wote
Kwaio ww umeona nyingi hzo labda kma uko mbali na mungu wko na hyo kumswalia mtume nilisomeshwa na mwalimu wng bibi mzee anafika miaka 90 nadhan alikua anatufundisha lkn ilikua sijui maaan yke maana miaka 8
Watu wanafanya zaidi ya mara alfu kumi unashangaa alfu 1?
subhanallah. mrongo sana wewe
Uongo wake nini ss
Mrongo ni wewe
Uctaje mashekhe Kwa sifa hizo, Allah atuongoze sote
@@amrykhamis4482 kujuwa kuzungumza kiarabu hakimfanyi mtu kuwa mlinganizi wa daawatu salafiyya . Dini Hino ilitimia haifai kuipaka tope kwa upuuzi wa mashehela na bid'aah zao. Jee arrasul صلى الله عليه وسلم alilingania hivo? Tumche Mola Mlezi wetu
umeona ee. usufi huu
Wacha uongo bwana
Uongo wake nini ss
Kma huna imani yakumswalia mtume kweli utasema watu waongo
Daah wale wanaoambiwaga usufi hawaelewi hawa ndo masufi sasa... Afu eti anasimuliaaa km vile amefika karama fln,,,, muongo san huyuuu, afu eti swala ya mtume ndo duaaa, daah, ila tusishangae huyu alisilimu kutoka ukristi zile tabia anazo tuuuu
Acha husda ndugu
Mola akusameh
Tatizo letu wengi hatuna imani thabiti pindi tunapomuomba Allah,maranyingi tunakuwa tunajaribu tunapoomba na kutaka tujibiwe kwa haraka Allah akikucheleweshea kukujibu unakata tamaa.
Inapokuja mtu amefanikiwa akisema ukweli wake tunamuona muongo.
@@JumaMtolilowallah watu hawna imani mm mwenyewe nikimswalia mtume mara 50 tu nahis nafsi yng ina utulivu au una wahka wasiwas bs inakupa furaha tatizo watu hawna imani.