Jamii ya wafugaji Ngorongoro wawajia juu wapotoshaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • Viongozi wa mila pamoja na wananchi wa jamii ya wafugaji wanaoishi ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, wameeleza kusikitishwa na kile wanachokiita ‘propaganda’ zinazoenezwa zikiwatuhumu kufanya shughuli zinazochochea tishio la kutoweka kwa hifadhi hiyo ya pekee duniani.
    #Ngorongoro #HifadhiYaNgorongoro #JamiiYaWafugajiNgorongoro
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Комментарии • 7

  • @patrickgirigo3144
    @patrickgirigo3144 3 года назад

    Hongereni kwa Press ila naona kuna Kosa la Kimkakati; hii ilikuwa fursa ya kuonyesha NCAA inavyosaidia maisha ya Wananchi zaidi ya elfu 90 na kukemea kwa Nguvu zote wale wote wanaojaribu kuharibu mazingira ya Uhifadhi; Mkaa sio lazima wakate Masai, hata Wasonjo, Wairaq au majangili wanaweza kukata.

    • @twahathomas3514
      @twahathomas3514 3 года назад

      Na je kuna lami ngorongoro kamanda. Wanamsaidia nani wew. Mamlaka imekuta watu wakiishi pale wakijitegemea. Sijui point yako hasa ni ipi

  • @charlesphilipo6443
    @charlesphilipo6443 2 года назад

    Ondokeni huko mbele mtaleta janga kubwa,,,,waacheni wanyama waishi huko kwani ardhi tz imekwisha,,,,watoto hawasomi,,,jamii ni maskini sana ,,,,kumbe ngombe siyo wao hivyo wanatumikishwa ,,,,hapana ondokeni

  • @dominicmbukeny4673
    @dominicmbukeny4673 3 года назад

    Good presentation

  • @chingawadunia3621
    @chingawadunia3621 3 года назад

    Polen San wangorongoro baba anafuatlia

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 года назад

    Utaratibu, ipo ipangwe mambo vizuri. Kuondoka mtakubali tu! kutokana na ugumu wenu etii watoto wenu wanashindi kwa kwenda kurazama Ratiba ya sheria kwani kueleswa tu vizuri yaliomo. Kwanini hawaomini. Mimi zijapenda kabisa ... Ondokenii wanyama nyie