GODBLESS LEMA AWAWEKA KWENYE 18 MAKONDA MAKALA NA PROF KABUDI SAKATA LA NGORONGORO/BARUA YA CCM...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 2 месяца назад +1

    Mungu akulinde

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 месяца назад +7

    Lema unatupigania laki hatujielewi hata kidogo kazi ndumu sana

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 2 месяца назад

      Hiv ww lema anakupigania kwa lip? Basi ambaye hujielewi ni ww pekee! Hiv Lema ana impact gan kwenye hili taifa jamani? Ww ndg yangu hawa akina Lema mbwembwe zote hizo ni kutafuta madaraka kupitia migongo yenu. Lema ni kibaka tu

  • @yasintialphonce7728
    @yasintialphonce7728 2 месяца назад +3

    Hata mimi nilishanga Polis kuitunishia msuli ccm

  • @KesuYeile
    @KesuYeile 2 месяца назад +1

    Sahiii kabisa mh lema,basi TU mungu akubariki

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 месяца назад +3

    Uko sahihi kbsaaaa wamewadanganya kbsaaa wamasai wasijione wametatuliwa tatizo lao wamewaweka kipolo uchaguzi ukipita tu wembe ni ule ule

  • @jamesmaths2296
    @jamesmaths2296 2 месяца назад +1

    Makonda aachwe jamani. this guy is result oriented. Tunaona anachofanya

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 месяца назад +2

    Mkuu kazi Yako ngumu sana

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 2 месяца назад

    Usipo sikia la mtetezi utaliona la muangamizaji siku likiwakuta la kutetea maovo kisa ni mnampenda .............mungu adanganyi mtalia nao

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 месяца назад +2

    Hiyo ni kweli lema we jamaa ni bonge ya mjanja ni bas tu hii ina waoga wengi yan basi tu

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 2 месяца назад

    Hakika lema mimi nakukubali

  • @emilyKassiano-oo5iy
    @emilyKassiano-oo5iy 2 месяца назад +2

    Lengo lao ni kuzuia chadema tuuu ile ni danganya toto

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 месяца назад +2

    UKo sahihi lema wamefanya hivyo ili kuzuia chadema mtazuiwa

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 месяца назад +2

    Tafuteni sehemu wasombwe na magari Ili wasikikize hoja za cdm

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 месяца назад

    Utapsyuka saana nenda direct, makonda usijibu huyu kichaa

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow 2 месяца назад

    Sisi tushawajua kaka ata usjl

  • @godwinshoo5032
    @godwinshoo5032 2 месяца назад

    Nakushauri,usishindane na makonda maana utafutika kisiasa!Huna ubavu hata robo wa kushindana na makonda!!!

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 2 месяца назад +5

    nimchochezi unajijua safari hii ubunge utausikia ktk bomba

    • @bulugunhandi
      @bulugunhandi 2 месяца назад

      Hayo unajua wewe na familia yako😊

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 2 месяца назад +1

      Lema ndoo mbunge ajae ​@@bulugunhandi

  • @StevenTambi
    @StevenTambi 2 месяца назад

    Sichangii chochote nisije nikatekwa bila spika kupata taarifa

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 2 месяца назад +2

    Kwenye hili hatukuelewi. Wala hutu shawishi labda umpate aliye mvivu wa kufikiri

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 2 месяца назад +2

    nimchochezi unajijua safari hii ubunge utausikia ktk bomba umuwezi makonda 4:15

    • @samwelorest
      @samwelorest 2 месяца назад

      Ww uwe na akili Kwan saiv ni mbunge mbona Bado anaongea bado

  • @ndakimanyakenda1519
    @ndakimanyakenda1519 2 месяца назад +3

    Chadema haina ushawish tena.walituwezaga TU enzi zile walivo kuwa wakidai watavunja mikataba ya rasrimar zetu. arivo anza kuvunja magufur Wakasema tutashitakiwa.toka hapo hatuwaamini tena

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 2 месяца назад +1

    nimchochezi unajijua safari hii ubunge utausikia ktk bomba umuwezi makonda

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 2 месяца назад +2

    unapayuka tu na kutafuta kiki

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 2 месяца назад

    Anaongea na nan😅

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 2 месяца назад +1

    Toka lini mwenye bomba akapanga folen ww?

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 месяца назад +1

    Lema achana na Makonda. Makonda anachapa kazi, anatatuwa matatizo ya wananchi. Wewe jazi ni kupigs kelele tu. Tumechoka na kelele zako. Angalia utakimbia bila ya kukimbizwa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 месяца назад +2

    Yaan huyu jamaa mjinga sana ww kwa nn hujawa masikini? Hakikisha hayo unayoyahubiri warudishe mkeo na watoto wako hapa nchini ili watumike kwenye hayo maàndamano ukifanya hivyo na ww ukiwa mbele hapo tutasema upo tayar. Acha kudanganya watu masikini wa akili ww!

    • @makobamasawemangu4122
      @makobamasawemangu4122 2 месяца назад

      Sasa kwani yeye anahamishwa ngorongoro mbona unaonekana Kama una upungufu wa fikra

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke 2 месяца назад

      Mbona unainekana mpumbavu sana wewe??

    • @nabimanyafesto5014
      @nabimanyafesto5014 2 месяца назад

      Kwahiyo unataka asiwe na mrithi? Huo ni unafiki wako na wenzako wachache wezi ila jamaa uzuri anakuzidi akili Mungu kamjalia