Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Huyo Sania hata hajaniga kuwa wa kishua Tena hafanani kabisa kama unakubaliana na mm gonga like😂😂
Sania hata sio mzuri domo Pana mwili mdogo h😅😂 eti wakishua hata haendani kabisaa
Ila mecheka Leo jaman hey boy what are you doing in my parents house
Naenjoy movie nzuri palipo zuu hapakosi utamu
Sania bhana,,,kanajiona kazuri kumbe hakuna kitu,,,,domo kama nanilia ya kuku,,,,
Kah😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Aki wewe 😂😂😂
Kweli kabisa😂😂😂
😂😂
Sania ako natabia mbaya
Keina nae na kingereza chake cha herufi kubwa kubwa😅😅
Uyu dada Ake Sania abadilishe wigi sasa khaaa Kila movie wigi Iloilo🙄
Hahahahah
Hata kama tulisoma ndo kingereza mpaka nyumbani🎉kujikuta wazungu au❤❤
Nashangaa
Watu wamikua wazungu huku 😂😂😂we huogopi
😂😂😂😂
Hatari 😊
Kizungu cha do you want me to talk swahiri
😂😂😂
Vitoto vya kishua vinajifanyaga vijanja halaf vinapendaga kiboya,vikijirengesha peleka moto mpaka viombe mma😂😂😂
Sania hata huna uzuri wowte dadangu😂😂😂😂 kasura kamekoma kama kazee😂😂😂😂
Keina anatoka chuo hatoki shule😂😂😂 we haogopi
Mzee kachemka hapo kwahio chuo sio shule😂😂😂
Sania anaongea kizungu😂😂hey boy
We keinah vip leo unazingua😢😢
Keina chaupole
hìo kizungu weeee hogopa😂😂😂😂
Huku Mambo Ni kizungukizungu eeeeee Kali mm nimezoea kiarabu vp😅😅😅😅😅😅
😂😂😂sania amefika taptap the screan koma
😂😂😂😂😂hapo kweli kabisa ujakosea ata😂😂
Sania kinajishaua na ungekua Mzuri ww mwili una sura una loho mbaya tuuuu
Kazi nzuri ili jitahidini mwisho mmalize vzuri
Congratulations for good work
Ngoja niivumilie kidgo lkn hiki kingreza sijakikubali
Keina rombaya ajakupendeza mwachie uyo sania rombaya paka kwao uyo sio kuigisa nitabia yake
😂😂😂duuh
Nmeamini kweli watu wembamba Wana shida sana waaaah Sania hakuna movie hata moja utacheka na watu
Ceina naku omba utakpo pokea Mushahala wako kabadilishe Wig lingine irotume lichoka kulion
Aswaaa😂😂
Jamaniiii kumbona zuuu mnampangua sin za matesooo😢😢😢😢😢
@@Mbkapilima yaani acha tu,,,ila inawezekana huyu hata kwenye maisha yake ya kawaida anahuruma na ni mpole sana
Heiyuboi😂😂😂 sania bana
Ceina haupewi mshahala na hatausipopewa si usuke twende kilioni 😂😂😂😂
kwahy sania mtoto wa kishua😅😅
🤣🤣🤣mbavu sina
Oyo sibnduki mm apap a ❤❤
Daaah napenda kaz zeñu
Sijapenda mnavyomufanyia zuu wallah😢😢😢😢
Ety in my parrrent house ,jamani achana kizungu kitakung'oa meno
Vituko Kaka naomba like
Move nizuri lakini watoto wakike nawajitahidi kujistiri maana ndipo wewe mnavaa uchi sana
Kwerii mjitahidi kuva kwa hekima
Walai, sijui nani kawaambia kuekti ni kuvaa uchi😮
Keina tumechoka ilo wigi duh
@@MeryJansoni 🤣🤣🤣
Keinah hii tabia haijakupendeza muachie sania😢😢
Kabisaaa 😢
Kabisa halafu na chupi lake jekundu linaonekana ndani ya suruali
Ivi keina. Ilo wigi. Na ilo kofea. Ni bya mtoto wakishua. 😮😮😮 rohombaya ata haikupendezi
Buzule Leo upo nilikua miss kaka yangu siku nyingi haupo kwenye cam
Huyu house boy katsha,
😢😢😢punguzen bas kumuonea zuu
Baba zuu kiswahili chake 😢😢😢😊
Hii move inavituko jamn 😂😂
Hii movie kali sana ya kitaifaa 💣 💣 💣 💣
Kazi nzuri sana
Duuu weee Saniya wee😂😂😂
Mimi napenda wanaume wanajituma jamani kwagufamya kazi
Hey you boy na izo nepi zako za watoto
Sania afya yenyewe mgogoro uzur hun hat chembechb looo😂😂😂😂😂😂
Movie nzur sana
keina hajalipwa anunue wig jngine
😂😂😂😂jamani wew
Kingereza kimenifurahisha jmnii keina 😅😅😅 na Rami kashndwa kuelewa 😂
Kwanza mwanachuo huyo naomba umwache mwenzako😂😂😂😂😂😂😂
Uzuriii upi saniaa !!!!!!!!!!????????
Huyo mama nae roho mbayatu
Kigereza cha mchongo 😂😂😂😂😂😂😂
Kingereza cha wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimeipenda sana
Keina roho mbaya haikufai kabisa
kizungu mthihani hhhhh aroooo Niko apa Gen,z
Wanaosem Sania Ana roho mbaya like ap
Lami na Zuuu kaz mnayo
Mnanikera bhna huyo keina hata kingereza hajui mfyuu😢
Jamani nimepeda sana
Sania ajapendeza kua wa kishua anapendeza uswahilin udugu wangu 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂bongo bwanaa Kuna maajab yake haya bhn mwanachuo keinaa nimeipenda hiyo daaaaad mmmmmh jamanii 😂😂😂😂😂
Nyie njooni muone sania na mke wa kibendu wameuwa wazungu 😅😅😅😅
Keina hatujamzoea kwa hio tabia.
Ila ihii movie 😂😂😂😂
Keina havigufai kweri ukiigiza ivoo unanichosha
Much love from Kenya ❤❤❤❤😮😮😮😮
Kesho narudi shule .c qwa kingereza hicho 😂
Jaman baba ni mzungu au
Ilaaa huyuu dogo chupii zitamuuwaa
Sania,duuuu😅😅 Keina hi tabia muachie Sania
Kijana: ametoka shule, baba: chuoooooooooooooo😅😅😅
😂😂😂hapana chezea ngereza
Keina mbona hufanani na matendo Yako keina uzuri wote huo kumbe una roho mbaya
Masikini da zuu
Kama mataila ety wasomi baba nawatoto wanaongea kama mazombi😅😅😅😅😅
Hahahahaha good idea give me five
Bibi ya kibendu amekua mzungu😂😂😂
😂😂😂 wee huogopi
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman my destiny mana ake nn
Hatima yangu😊
Harmonize na daimond 😅😅
@@AllyBabu-kr6lg Aya zombi
@@esterkimalio8846thanks 👍 dear
@@AllyBabu-kr6lgety 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Keina badilisha wigi bac jmn
Jamani punguzeni hz so so mnaboa
Mapenzi ❤❤❤😂😂😂
Uyo mama anafanana nakuwa anaroho mbaya
We mama Sania wewee kuwa na utu sasaa yann hayo yote Sasa
Sasa ndo mfute dirisha na t-shirt kweli😂😂😂😂
We keinaa kumbe na wewe unamashauzi hiv
Keina 😂😂😂 kingereza hichooo
Kijana kua makini nakina sania.chama inakuusu na zuu
Sania tabia mbaya huyu mwanamke mbaya sana hapendezi pia umzuri wewe kushinda dazuu
@@Najmahnyangasi hana uzuri wowote sania bhana ndio anapewa sehemu kama hizo mbaya maana zina fanana na yeye
Hata kama ndio kiingereza jamani acheni kuitumia hii sio yenu 😂😂😂😂 anyway nawapenda❤❤ kutoka 🇰🇪
Sania punguza roho mbaya sikapendi kabaya Tena kamkonde
sania kinajifanya tu😅😅
Hey you boy😂
yan keina ata afanan kuwa na loh mbaya jaman na uyu sania mmmh analoh mbaya atali
Sania Kwa kujishauaaa
Eeeeh sania ww😂😂😂
Wanajua ila kuna vipande wanazingua
Time hamamuu mpooo😂
Imjn mtu anielekeza nielewe n babake kamkond n really bbke Zuu manake mm km mzazi si feel poa vile anafanya huyu Zuu wwllai au n house help
Nami pia sielewi😂

Heiyuboi
😂😂😂 sania bana