Mbwela we unakipaji mno kama vile ungehanza kwigiza muda huu ingali uko mbali mno ila usikate tamaa ukuna mkate mgumu mbele ya chai namanisha jitaidi kaka😜😜🇲🇿🇲🇿🥀🌹🌺🇲🇿🇲🇿 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂😂😂saudaa Leo😂😂😂amekutanaa na 😂😂kiboko 😂😂yakeee hapo n Good 😂😂😂 Good 😂 movie inazidiii kuwa tamuuuu😂😂😂 congratulations for your ❤❤❤❤❤ kakoso 😂😂😂ila saudaaa kwenyeee uhusikaaa hukopeshiiiii yaniiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂 unafanya kweliiiii
Ewe Allah wasamehe wazazi wangu madhambi Yao kama walivyonionea huruma mm nikiwa mdogo Allahuma amiin inshaallah🙏🙏🙏 Ijumaa qareem
Team ya vevo kakoso mbwela mwasiii Sandra ,,,,teacher... mnatisha mnatrend sana
Nashindaga online na huwezi amini zero second niko hapa ,,weka like zangu mapema
Mmmmmh
Mbwela we unakipaji mno kama vile ungehanza kwigiza muda huu ingali uko mbali mno ila usikate tamaa ukuna mkate mgumu mbele ya chai namanisha jitaidi kaka😜😜🇲🇿🇲🇿🥀🌹🌺🇲🇿🇲🇿 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ak mbwela akitaja sauda mm naumia mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzur xna...!! Tuendelee kuwapa saport vijana❤
Waoo leo niko wakwanza kutoka Burundi❤❤❤
Ila Sauda,from KENYA 🎉
Mambo ni motooooooo😊
Kenya😮❤❤
😂😂😂😂😂😂saudaa Leo😂😂😂amekutanaa na 😂😂kiboko 😂😂yakeee hapo n Good 😂😂😂 Good 😂 movie inazidiii kuwa tamuuuu😂😂😂 congratulations for your ❤❤❤❤❤ kakoso 😂😂😂ila saudaaa kwenyeee uhusikaaa hukopeshiiiii yaniiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂 unafanya kweliiiii
asante direct unajuwa kutupa vitu mapema🎉🎉🎉😂❤
Adi Raha Moto juu ya Moto 😂😂😂😂KAZI nzuri Sana
Wa kwanza leo
Much love from Uganda
Kenyans in gulf🎉🎉🎉🎉
Mashaallah 🎉kazi nzur sana
Safi sana mzidole maua yako kaka🌹🌹🌹🌹
Eti chakubimbi😅😅ila bwela uko vzr sana,unavaa uhusika hasa kwenye move ya vevo ilove my teacher umecheza pele,we punye nn😅😅
Bwela ataki awe kigagulaa 😂😂😂uy sauda mwanga kweli aaa anatixha yaan ap marang
Mbwela 🎉🎉🎉🎉make wangu😂😂😂😂si Sauda huyo😅😅😅😅😅😅😅Ile Sauda Sauda Sauda kimboko Yao 🎉🎉🎉
Kazi nzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Yaan nlikuwa nataman sanaaah Sauda apate mbabe mwenzie hatimaye amepatikana, safari hii Sauda kitakurambaa😂😅🤣🤣
mwasi umefanya vizuri sana na faume mwendeleye na mushuru clam vevo ana mi hasha mwendeleye pole I sana
Kaz nzur🎉🎉
Kaz nzur ♥️♥️
Woow nzur sana ❤🎉
Nani kamkubali mzidole kuhusu zama futa kuchomwa na sasa futa kupelekewa 🔥 😂 adondoke like hapa🎉
Wa kwanza drc🇨🇩
Chezea mzidole wewe safi sana umelikomesha hilo lichawi 😂😂😂😂
Big up director wangu bora
Umetishaaaaaaa
😂😂😂😂😂Odimbi 😂😂😂😂mzee wa miuno mgando 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mambo kwa mpango ❤❤😊😊
Kenya Qatar.. ❤
❤❤❤
mashala. lah. nawaombea. sana
Nimekua wa 50 saidi komba mwenyewe
Tafadhal wapendwa naomb anaekumbuk the game ilikoishia Yan episode ya mwisho anisaidie
Kazi 🎉🎉🎉🎉
Ila saudaaaa saudaaaaaaaa
😂😂😂jaaama anazarau uyo eti sauda mtoto mdogo
Daj kaz nzuri sana mbwela unanifurasha sana .ila sauda sauda sauda😂😂😂
Mbwela na sauda kila angle wanafiti
Haya saudae Leo kayavagaaaa mafuta hachomwi anapakwa
Sauda mwenye uchawi wake mjini
Ila mbwela 😂😂😂😂😂eti mm niwe mchawi kikalagula😂😂😂😂
Mamboooo moto
Safi sanaa
Piga kelele kwa mzidole wake weweeee 😂😂😂
Niwe Cha kubimbi😂😂😂❤ ila mbwela
❤mzidole
Sauda kapata mwamba mweziwe😅 ila sauda 😂😂
Sauda Leo kimekuramba 😂😂😂😂😂
𝐍𝐢𝐦𝐞𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐥𝐞𝐨 𝐥𝐥𝐚 𝐬𝐚𝐮𝐝𝐚𝐚𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐒𝐚𝐧𝐚
Kumekucha Mbwela 😅😅 ila sauda, me nlisema utuambie wewe na yeye kuna nin kati yenu hutaki kutuambia😅😂
Aloo ifuatayo basi maana pameishia patam
Mbwelaa,"ILA SAUDA"
Ila shautaa😂🎉❤
Wee huuogooopii😂😂😂
Mko wp tim gulf? Kakoso keshafanya yakee😂😂😂
😂
tupo kwenye mijudoo 🤸🤸🤸
Kama umemkubali mzee wa miuno mgando tujuane kwa like😂😂😂
Ila sauda si umuache kaka wa watu hata ndoa haifaidi
Au anautaka...🤔
Sauda yuwautaka mpatie mbwela😂😂😂
Haya ndo maswala full bandika bandua
😂😂😂😂😂au anautaka ndio anautaka ila saud
😂😂uogopi apo
musikose kumuweka na butuha namupendaka muvi yake ya mulevi we zombi na mwakatobi na yeye
mwasi nae ati anautaka basi apewe tu kwani vp
Jaman mkuwap humu 😂
Jamani nawapenda ila movie yenu ongezeni muda
Kigagula chakubimbi😂
Sauda ungepata wasawayako bibi
Msidole kaja kutukomeshea sauda😅
Sauda atakua anautaka😂😂😂
Ila sauda
Sauda leo mtoto kautaka
Duuh uchawi tu,kuswali aka😂😂
Afadhal kapata kiboko yake mbwa sauda😂😂😂
Tumeni kipande kingine jamani kushaanoga
😂😂😂😂😂ila mbwela
Sauda Leo kapatikana 😆😆😆
😂😂sauda kayatba
Sauda gunia la vitunguu😂😂😂
😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sauti hakuna jamani nini Tena ?maneno haisikiliki
𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐩𝐨𝐫𝐭 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐥𝐞𝐨 𝐮𝐦𝐞𝐦𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐲𝐰𝐚 𝐬𝐨𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐩𝐢𝐥𝐥 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 ❤❤❤❤🎉🎉
Ila sauda