Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mhm 😂😅😂😅😂😅hao rafiki zake na keina utadhani vichokoraa flani hivi 😔😂😅😂😅😂😅
Huyo keinah hao mashoga zake 🙌🙌🙌stor tamuutamu
mzee anaongea kama kapararaiz na ugonjwa wa kiharus
Sania punguza kujibenua jmn 😂😂😂kishepu unacho cha mchongo ebu acha kujibenua udugu 😂😂😂hujion kitumbo mbele ivo 😂😂😂
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
Ba.zuu dishi kweli kashikiwa akili na mwanamke mke mwenye roho mbaya
Mama sania uwo utajili.haugufai..kwasababu yaloho mbaya kama farao
Mnatoa vitu vizur hadi mmenishawishi niwafuatilie kazi zenu maana namm pia napenda sana Sanaa hiyo dah mmenigusa mno Jaman ety
Wow watu wa house girl wanaendelea kutokelezea naona hii movie itakua tamu mno❤❤🇰🇪🇰🇪
Mi baba mingine bhana,,,yaani mtoto anakuomba jambo la maana wewe unaenda sikiliza ushauri ya mke na unakubali ushauri wake 😢😢😢,,,
Ako tu kama babagu
Kwel eeeh Kaz nizur
Huyu mzee boya eeh,
Mimi wa 9 Leo.nimawaiii zuu kwa nini unapend kucheza flm unateseka ❤❤❤❤❤
Inamfaaa😂🎉🎉
Yani mahari ya mrembo Iv ni afu Moja mia Tano 😅😅😅😅we huogopiu
Maskin malaika kwann ulimfata kula maharagwe ni umaskiin 😂😂😂😂😂
Huyu mama ana roho mbaya nawanawe wote pole Sana zuuuu
Ndio tunakumbushwa hili ni funzo kwetu😢
Keina unanufurahisha jamani kweli ukiingeleza cha chuo kimepatikana😂😂😂😂😂 the
😂😂😂😂😂😂😂😂yani jaman mtuhuna miguu kisha unavaa nguo zisizo eleweka 😮😮😮sania hivyo vipaja utadhali kuku choma 😋🤣😂
hahaha wewe
Wa pilii Mimi 😍😍Ila kwenye house girl mnaiharibu Sasa maana mnaweka utekaji mwingi mnaongeza watu hovyo 😏😏😏 but 🫡🫡🫡 to busati tv.
Kazi nizuri sana
ww baba kweli unaamin ety mtot asiend kusoma kisa hilo li mam sania litaboeka
Uyu babu iyo lafudhi aliyoiga aijampendeza
Kweli
Kwaiyo move zote Sania ni mbabe pole sana kiukweli ni shida sikwaroho mbaya iyo
Ila huyu mama chefuuu😏 mtoto asoemde kusoma ati kwasababu utaboreka😮...inna Lillah
Hili limamaa daa kama lijini vileee hilo suralake tuu bayaa kama mrohoo wakeee mchafu sikupendi shetan wewe daa zuu pole sana mamiii😢😢🥹🎉🎉
Watu wa likes hawajafika bado
Dado wako onthe way
Wanakuja Tena mbio tu😂😂😂
Ata afadhali wamenyamaza wanakera😅
Huyu mzee macho ndio ana mbona ajipeleke ZUU CHUO😮
Yaan keina na mashoga zake 😂😂😂nimecheka sana maswal wanayoulzana nikama mtuu ametoka mjn kaja kijijin ndo maswal yao hayoo wakikukuta kule😂😂😂
Inaelekea uyo baba ata awo watoto sio wakuwazaa kabisa ila kashikwa nyota
Kaputura kaa muuza mitumba🤣🤣jishikilie🤠🤠
😂😂Kwan mzee Chelangwa ni mkabila gani kuongea kwake tuu😅😅
Wooow nawakubali sana
Huyu mme wa malaika angepewa candy au sania wakanyoroswa ila wee mama nawe unanikera
Uyu sania c Pisi kali ako n sura mbaya
Jamani wa tatu mbona maajabu
Kazi nzuri sna hongereni sna
Nitajie mwendelezo ndugu zangu tam tam
Jaman kama kingeleza amuwezi muache ndonn sasa ujingatuu
Hii filam imenikumbusha mbali sana
Inakukumbusha wapi tena
@@LizzyNickison ivi vitu vipo kweli kuhusu huyu mm
Kuna rafiki yangu nilikuwa namuona anafanyiwa haya wezio wote wameenda kusoma nnje yeye ameambiwa asimamie dukani
😂😂na mimi leo niombe coment? Manake siwaelewi waomba coment zina kazi gani
Like ama comment?
kwan unataka like una taka comment 😅😅😅😅😅
Mze anamsimamo jambo kaongea na zuu yeanapeleka kwaroho mbaya mama uyo
Zuu usjali Mungu yupo atakusa idiausie nakhofu
Huyu mzee mbna anaongea kama roboti😂😂
😂😂😂
Kaka mambo unafanyaj ili koment iwe ina somwa na watu
Roboti wa bungeni dodoma😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
@@TinaEmanuel nacomment tuu kawaida🤔
Sania namapaja yake kama yakuku narokho mbaya fwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
We mama ovyo sana yaani asiende chuo Zuu ety ubaoeka ili uendelee kumtesa na libaba lenyewe linakubali mtoto apike afue aoshe tu vyombo nyumbani
😂😂 Mahari buku jero
Ya zaman kubwa ila kam ya sasa pole yake 😂😂😂😂😂
Wababa wengine jameni akili hamna kweli,,, yaani mtoto anataka kujitafutia maisha alafu kamama cha ngambo nae unamsikiliza😢😢😢
Wew mam huogopi Mungu jmn
Bongo bhn maji kwenye glass ya wine makubwa
Zuu bana siku nyingine ucheze mahali ambapo huteseki
Hili lizee zwazwa kweli
Lipumbavu sana
Mbona ninanifanya nilie jmn 😭😭 inauma sana wallah
Tamu sanaa❤
Umeniboa sana Adi sitamani kuona tena
Huy mzee si aongee kawaida sijui amemuiga mzee nani
😂😂😂😂 anaongea kishua
Yan ili libabakwanza linanikela linavoongea tu linaniboa akili kichwan amnazo yan duu shida kwakweli
We baba ww acha kuwa mduanzi w akili zuu anajua nn kwa sababa gn alikwambia hivyo,acha n mambo y huo mwanamke
Keina badilisha nywele na kikofia😂
Wow malaika na figa lake jmn mtoto uyu wow
Asante
Shida awakupi nafasi malaika wangu kwa nn mimi upenda nikikuona tu
Wee mama anatuza watoto wakike vibaya jamani
Ila zuu anapendezesha move jamani
Daah m nampenda Sania
Malaika mdomo umeupoza shoga ang😅
We acha ndug yang
Jaman samahanini sana hii muvi uyu mama anaroho mbaya sana alafù inaelekea uyu zou siyo mtoto wake nanyie kina baba kuweni makini jamani ivi yanakuingiaje kimfano inamana uyo zuu nimfanya kazi wandani nahawo wengine
Yan mnatoa vitu vizur ila house girl mnaihalibu sana saiz nimeacha kuifatilia
Sania kaumbiwa roho mbaya Kila mahali 😢😢
Ilo like mbona alielewek
❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana
Kumbe mume Wa malaika ni n'gonde mganga haaahaaja😂😂😂😂😂😂😂
Ila ka sania kabaya duu kembambaaaaa
Mama uwache roombaya
Naye uyo baba zuu ongea yake inakera
Hata niwe na Hela kias gani siwezi Lea watoto kama hivyo
Tam-tam watamu sanaa
Ku comment mwisho mara 1 😂😂😂😂😂
Eeeeeh wewe mama wewe kwahy kufany kazi za house girl ndo hotel menegement khaaa we mama una roho mbaya ka wanao vilee 👹👹👹👹
Maisha yanatufunza mengi san😢
Acheni roo mbaya jamani
Mama zuuuh jmn
Mmm kazi ipo
Ila uyo mzee anaongea vby jmn 😢kwnn
Haki ya Mungu 😊
Kumbe umeona kam mim 😅😅😅
We mzee ongea kama ulivozoea kuongea bn unatuchosha kyaq😪
jitaidn bas kuwahisha vipande mana dam duuu
Da kwani my destiny saniaa kacheza kama kendi wa house girl kwa roho mbaya
Aka kawimbo kananogesha movie jaman mm nakapenda Sana like basi
Hivi huyu baba ake zuumbn ka silielew kbs asa kumshirikisha hilo limama kuusu mwanae vpi
Wanawak sis bwan hatak maendeleo ya mtoto wa mme wakatkahifadhiw tu
Jmni family chafu Sania ila Kwa roho mbya 😮
Sio wrong time ni long time keina wewe 😂😂,alafu badilisha wigy basi
Mi Baba wengine buanaa
Uyu bb angebaki na sauti yake ile ile 😂😂😂
Hii series mbn Kila mtu anafoka tu jmn😅
Ka sania kabaya jmn hlf kazi kujikuta 2
Yan baba wengine ka zwazwa tuuuuu
Kenia hajapendeza kwa r8ho mbaya ananibore n huo uzungu wake kijijin😏😏
Ni mbaya usifuate ushauri wa mke anaweza kukupoteza.
Wakwanz mimi leoooo
Wewe mama unamnyanyasa zuu sana kwani sio mtoto wako au mbona sielewi
Tamtamtz ni noma
Hiki kibaba kinaogea aji 😏😏😏😏😏😏😏
ety nilikuwa advance!!
Mambo moto
Mm silipeti limama Sania pia kama sijui nn
13:04 Malaika ametolewa mahali elfu moja na miatano jmn kwel

Wa pilii Mimi 😍😍
Ila kwenye house girl mnaiharibu Sasa maana mnaweka utekaji mwingi mnaongeza watu hovyo 😏😏😏 but 🫡🫡🫡 to busati tv.