Usiku una Vitimbi vingi, lakini Kiboko yake ni Aya hizi! Sh. Kipozeo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 46

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 года назад +18

    "Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu."
    Al Baqarah - 255

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 2 года назад +1

      Allah akbaru wallah huo ndo utamu wa uislam

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 2 года назад +2

      Uislamu mzuri mambo yake murua zaid

  • @afric01
    @afric01 3 года назад +5

    Aslm alkm ww...... Shukran sana Sheikh kipozeo. Allah akulinde. Jazakallah kheir 🙏

  • @abdulhakimhasan7673
    @abdulhakimhasan7673 3 года назад +9

    Raha kwenda , Mola tujaaliye tufe , tukiwa waislamu, Amen .

  • @RASCOKALUME-no4dp
    @RASCOKALUME-no4dp Год назад

    Sheikh m.mungu akulinde Sana akuepushe n'a mahovu

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 3 года назад +3

    MashaaAllah tabarakallah 🇧🇭🙏 tuko pamoja sheikh kipozeo

  • @mohamedseleman8201
    @mohamedseleman8201 Год назад

    ALLAH Tujaalie MWISHO mwema INSHAALA.

  • @hyasintajoseph2589
    @hyasintajoseph2589 3 года назад +1

    Maa shaa Allah kweli kabisa tujitahid waislam walau Aya10 za mwanzo, Ayat kursy na Aamanarauul hizo mbili za mwisho kibokoo fanyia kazi utastajaabu. Ukiongeza na kumswalia mtume ndo kabisaaaa

    • @jamillahaidha8184
      @jamillahaidha8184 3 года назад

      Aamanarauul ni Aya nayo au ni nini? Au ni zile Aya za mwisho wa tabaraka

    • @jamillahaidha8184
      @jamillahaidha8184 3 года назад

      Nimeelewa amanarasul bimaaa ulivyo andika ilinichanganya

  • @kazungukarisa55
    @kazungukarisa55 3 года назад +3

    MaashaAllah shukran sheikh

  • @حمدحمودالعامري
    @حمدحمودالعامري 3 года назад +2

    Maashaallah Allah yupamoja nawe inshaallah

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 3 года назад +3

    Masha Allah sheikh wetu

  • @jamilamohammed2771
    @jamilamohammed2771 3 года назад +2

    Ma shaa Allah

  • @hassanjuma3114
    @hassanjuma3114 3 года назад +2

    Mashallah

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 года назад +1

    MA SHA ALLAH TABARAKALLAHA

  • @mohamudmohamed7245
    @mohamudmohamed7245 2 года назад +1

    Barakallah

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 года назад +2

    MashaAllah tabarkallah sheikh.

  • @ishakaali92
    @ishakaali92 3 года назад +2

    Mashallah legendary wetu

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 2 года назад

    Maashallah

  • @shahaabedy2368
    @shahaabedy2368 3 года назад +1

    MashaAlla

  • @mayellowjr2869
    @mayellowjr2869 3 года назад +1

    MashaAllaah Allaahu Akbar

  • @akhuumpweche.7935
    @akhuumpweche.7935 3 года назад +3

    Maa shaa Allah,, 🥰

  • @urujenichristine5507
    @urujenichristine5507 3 года назад +1

    Subhanallah

  • @maulidmohammed6783
    @maulidmohammed6783 2 года назад +1

    Allahuakbaru

  • @khatwabmpinga8602
    @khatwabmpinga8602 3 года назад +1

    Duh shkh bana nakuelewaga Sana'a maana hujuagi kukwepesha endelea kushusha nyundo ivoivo

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 года назад +1

    MashaAllah

  • @MariamMakongwa
    @MariamMakongwa 6 месяцев назад

    Inshallah

  • @fadhilikombo734
    @fadhilikombo734 Год назад

    M/MUNGU ATULINDE AMINA

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 года назад

    😭😭mi sielew nakesha na suratl baqarah lakn mandoto ya ajabu hata nikianz kusoma usingiz mzito

    • @futuretv1739
      @futuretv1739 2 года назад +1

      soma kwa yakiin Allah haongopi usi keshe kuskiza soma kisha lala Allah ataweka ulinzi juu yako

    • @abdulndete8969
      @abdulndete8969 2 года назад

      Pengine unamajini jikaze usilale

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Sabubu kubwa ya jini limewekwa kaburii analiyewakaajini yawamjuwa aliyeemtuma wanapenda kazii hizoo zakufunga kupitiya majibu nduomwakushendee juu nikinguya msa nikaskiya kinerudi kilekutii nachoo kimetokawa wapii

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 3 года назад

    Unaudhi kukashifu imani ya wengine!

  • @nurdinsaleh4786
    @nurdinsaleh4786 3 года назад

    Shekhe kwa upande wangu siko tayar kufa eti kuwahi pepon...nenda wewe ufe uwahi supu

  • @leonardjaphet9399
    @leonardjaphet9399 3 года назад

    TAtizo kutania dini ya mtu

    • @hamadikafupi7126
      @hamadikafupi7126 3 года назад +1

      Apo ajatania apo kaongelea andiko lililopo ndani ya kitabu chaimani yako