Nawaza sana nna miaka 24 saiz lakini namiliki GPA tu. Lakin kuna ma genius waliishia form4 nawamefanya mambo makubwa kwa taifa. #respect kwa sugu #respect kwa salama
Duuu Sugu pole sana.Nakunukuu.nimejitahidi sana kutokufanya mambo yasiyo halali ili nisiende jela na bado nimefanya mambo halali na bado nimefungwa.Halafu kicheko hahahahaaaaa! Nimependa sana hiyo
Mungu azidi kukupa AFYA imara kaka JONGWE(SUGU),Ni imani yangu kuwa wee bado ni "JIWE lile walilolikataa wahashi lakini ndio likaja kuwa JIWE kuu la MSINGI"
Anyone who does everything from his heart is a hero, a creative generation with so much potential from interviews of this kind, Much appreciation to you Salama and thank you Sugu for life education. True education and civilization come from street life.
Nyie watangazaji chipukizi😀 salama ana maswali kwenye karatasi sio kwenye tablet mana inawezazima charge alaf akaanza kutoa maswali kichwan anayo kwenye karatasi na mali bila daftar huisha bila habari jifunzeni kuandika maswali sio mnauliza maswali kimihemuko yan unatoka home umepanga umuulize sugu swali hili ukimuona na miwan yake unasahau unamuuliza jingine kabisa jifunzeni kuandika. Lil ommy wakat yupo timez alikua anaandika interview zake zilikua zimetulia sikuiz tushampoteza tumebak na zamarad na salama basiiiii wote wanasoma maswali sio kujitia uchiz uchiz linalokuja ndo linatoka
Bonge la interview na master of bongo fleva. Majina ya Joseph ukiyatazama kwa jicho la ndani zaidi utaona Hua yanavitu very special. Most of them are hard workers. Nimejifunza mengi ila pendekezo langu umlete pr J
Katika interview nilizoangalia this one was incredibly interesting I loved it the most, those are gud but this was so sweet Nafurahia kazi yako mungu akuweke uzidi kutuletea vizuri zaidi
Salama nakubali sana the way your hamble, this show always make youngs as i do to realize that every husling has its beggin ...no matter how many challenges we pass through we expect the best ahead ..by role models
Naumia saana kuwakosa awa katika mchango wamawazo yakuongoza nchi naumia saana hawa watu muhimu saana japo kuwa kila mmoja anaumuhimu wake ila hawa watu nimuhimu katika nchi
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com Instagram@mr_sabyy 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Hii interview nime-enjoy Sana....Unaelimika lakini at the same time unacheka...big up Sana kwa Sugu...THE LEGEND
“Baba alipofariki ilibidi niache shule ili kumtunza mama na kuhakikisha wadogo zng wanasoma” Sugu kwenye wimbo wa HAYAKUWA MAPENZI
Bonge ya track ile
Nawaza sana nna miaka 24 saiz lakini namiliki GPA tu. Lakin kuna ma genius waliishia form4 nawamefanya mambo makubwa kwa taifa. #respect kwa sugu #respect kwa salama
The time is not right, Always usikate tamaa. Believe in your self you will make it in life.
Shule sio kila kitu, fanya vitu unavopenda mwana kila kitu kitakaa kwenye mstari,
Duuu Sugu pole sana.Nakunukuu.nimejitahidi sana kutokufanya mambo yasiyo halali ili nisiende jela na bado nimefanya mambo halali na bado nimefungwa.Halafu kicheko hahahahaaaaa!
Nimependa sana hiyo
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Imenichomaaaa sana hiiii
Duh!! Hii interview ime nifurahisha na kunisikitisha sana kwa wakati mmoja. Btw one day yes CCM itaondoka na udhalimu wake woote.
Hakuna kama mama, wabarikiwe wamama wote kwa maombi yako,hakika yamekua baraka kwetu.Hata kama sie watoto hatuwaombei kama wao
Nimeangalia Sehemu Zote Kwanza Mpka Pili Hii Ni Interview Nzr Sana Na Yenye Mafunzo Kama Kpnd Chenyewe Kilivo Respect Sugu✌
Mwl ni mwl tu
I
Mungu azidi kukupa AFYA imara kaka JONGWE(SUGU),Ni imani yangu kuwa wee bado ni "JIWE lile walilolikataa wahashi lakini ndio likaja kuwa JIWE kuu la MSINGI"
Anyone who does everything from his heart is a hero, a creative generation with so much potential from interviews of this kind, Much appreciation to you Salama and thank you Sugu for life education. True education and civilization come from street life.
Nakubakaka
Interview Hii Ni Elimu Tosha Never Give Up Mapambano Mpaka Dakika 90 Ikipidi Mpaka Extra Time Iliali Maisha Yawe Poa Never Lose Hope
Safi sana da salama na mweshimiwa wetu wa kudumu J Sugu, Mungu awabariki sana
Nimekuwa mlinzi BP nikaacha uza madawa nisiende gerezani ingawa sasa hivi nafanya kitu legit na nimeenda gerezani Godamit
Mucheki jiva ana ngoma kali
Moja ya interview bora kabisa toka hiki kipindi kimeanza, asante Sugu, nimejifunza mengi kupitia hii interview, Mungu akubariki
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Katika watu magenius kwenye Nchi hii huyu jamaa Ni hatari sanaaaa
Nyie watangazaji chipukizi😀 salama ana maswali kwenye karatasi sio kwenye tablet mana inawezazima charge alaf akaanza kutoa maswali kichwan anayo kwenye karatasi na mali bila daftar huisha bila habari jifunzeni kuandika maswali sio mnauliza maswali kimihemuko yan unatoka home umepanga umuulize sugu swali hili ukimuona na miwan yake unasahau unamuuliza jingine kabisa jifunzeni kuandika. Lil ommy wakat yupo timez alikua anaandika interview zake zilikua zimetulia sikuiz tushampoteza tumebak na zamarad na salama basiiiii wote wanasoma maswali sio kujitia uchiz uchiz linalokuja ndo linatoka
Salama nakupenda sana kutoka Burundi✌kipindi cako hakinipitagi naokotaga mawili matatu yakujifunza ubarikiwe kipenzi👍💃
hiv burundi mnaongea Kiswahili au wewe ni mbongo
Bonge la interview. 🔥🔥 next time aje professor jay.
Kiukweli tumepetezewa watu muhimu sana bungeni sababu ya ubabe wa kipuuzi kabisa.
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
walimuibia kura na ubabe ulikua mwingi na askari
Mungu yupo ila ni matter of time
This guy is an icon, he should be writing songs to current artists !
Hela sio kila kitu ingawa ni muhimu sana...
~sugu 2020
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
100% true
Bonge la interview na master of bongo fleva. Majina ya Joseph ukiyatazama kwa jicho la ndani zaidi utaona Hua yanavitu very special. Most of them are hard workers. Nimejifunza mengi ila pendekezo langu umlete pr J
Sugu Mungu akubariki na kukutunza pamoja na familia yako mpk kizazi chako cha 4
Like serious hii ni miongoni mwa interview bora zaidi mwiongoni mwa interview nilizobahatika kuzitama jah bless you people 🔥🔥🔥
Du inafikirisha sana,Hongera sana bro.Salma hongera sana kwa kipindi kizuri.
After JK interview Hii 💥
Salama you the best my sister
Dada mkuu naomba utuletee Adili chapakazi tafadhari sana nakuomba
Nakukubali sana kamanda Mr.2 (sUGU)
This is superb🗣️💪💪💪Keep good job alive Sugu; You're the best man
Mr. humble again humble papa sasha
Katika interview nilizoangalia this one was incredibly interesting I loved it the most, those are gud but this was so sweet
Nafurahia kazi yako mungu akuweke uzidi kutuletea vizuri zaidi
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Kabisa Mr Mono, jamaa mwamba sana huyu
No retreat,No surrender""among the best interview in 2021""suguuuuuu
No retreat ✅
@@mackjr5291 bravooo
@@mackjr5291 typing error with our phones
Salute bro miaka buku from
Mbalizi
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
.
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
salute you my role model
Sugu nampata Sana brother yko vzr
Sugu uko vizuri sana.
successful with that gangsta like lifestyle gademit...so inspiring!🔥🔥
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
That's is it brother....
Pave the way!
Salama nakubali sana the way your hamble, this show always make youngs as i do to realize that every husling has its beggin ...no matter how many challenges we pass through we expect the best ahead ..by role models
Wakati mwingne unaweza kuepuka kutenda maovu usiishie gerezani ila mwisho wasiku ukawekwa gerezani kwa kinyume na haki
Show mzur
NASKIA RAP TU, MR SUGUUU 🙌🙌
Daaaah Madini kama yote
Salama congratulations for your job👍salute
dah nimedaka hiyo unafanya vitu halali bado unaenda jela 😃😂😄
Nimependa sana brother nimemuelewa, sister Salama iko poa sanasana kabisa
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Akili kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Akili 💯 asili💯
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Dada ramla
@@nammanjeanafi9002 dada yako Kwa nani 🤔🤔
Hahahha,
Nakubali
Naumia saana kuwakosa awa katika mchango wamawazo yakuongoza nchi naumia saana hawa watu muhimu saana japo kuwa kila mmoja anaumuhimu wake ila hawa watu nimuhimu katika nchi
Hii kubwa kuliko
Rudi kwenye game Mr Sugu
Sugu Asante sana.... madini tupu
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
.
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Kubwa sana hii😁
Salute 💪
Sugu nakuelewa Sana👏
Pamoja kamanda sugu
Dah wanambeya mmeporwa mbunge dah
Sugu km Sugu big up❤❤❤
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
Instagram@mr_sabyy
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Hongera kamanda Sugu
Dah maneno yako zaidi ya madini
Respect brother. Got you..
Madini mengi sana🤟
Ukiwa na Black label mezani unajibu asante
Wazaz anzeni kufundisha watoto plan b shule sio maisha wafanye nin yan jitu lina masters hata kopo lachoon halina yan anangoja kiinua mgongo miaka 60
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
baba alivuta kamba😄😄😄😄😄😄
Father of hip hop
The guy looks like
Bobby Brown
Sauti ya simbaaa respect
Najifunza mengi kupitia hii interview
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Nouma sana bonge la interview
Salama unaongea na gangsta rap
I always appreciate u broo
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Mbunge wa mbeya mjini 😘
Nakuelewa sana sugu
Kaka Mkubwa, Big up sana Mkuu
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
.
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
sugu alitoboa tena 2020 walituibia kura
Nazani hii ndio show kari zaidi tukiacha na ile ya mhe JK
Yah nzur sana hata ya idris ilikua nzur
Kwa heshima ya Kipindi cha LEO SIJASKIP TANGAZO HATA MOJA KIPINDI KIZUR MTU MAKINI MWENYE INSPIRATION
Safi salama
Next time tunamwomba Mbowe
Respect to #Jongwe the OG
Ni bora pia
I like this...
Ukosawa sugu
Akili nyingi sanaaa kaka
Nakupenda sana sana sugu
Embu naomba mtafute Vitali Maembe, atupe zile mbanga zake za kupigwa kisa mziki wake wa ukombozi
Tuletee MASOUD KIPANYA
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
.
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Haswaaa
Naunga mkono hoja
daaah mungu akupe maisha malefu suguuu
marefu sio malefu
Hatuon part one kulikon
Enjoy this one, Salama has a smile Matata
Ipo sana angalia vzr kwenye ukurasa wao au ukiwa watizama hii tu ya kwanza lazma utaiyona
Part one plz hii interview nimesubir kwa ham npe part one
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
@@nurukagina334 unafeli hii njia utapata viewers hutapata subscribers
Saw boss nmekupata
👑
🙌
Nasubir kabila LA sugu lkn pengne lmetajwa part 2
Mkinga
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Mbilinyi ni kinga
Joseph Mbilinyi ni mkinga toka iringa japo kazaliwa mbeya mjini
@@boscojulius1278 iringa hakuna wakinga bro wakinga tunatoka njombe makete
Sugu.
Bonge la show, respect to you bro #Sugu
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
sugu ukimuuliza swali anauliza mimi???
interesting
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
Tuletee Pro Jay
Real life
Salama all yr interview are ✔ 👍 please tuletee Chidibez
Pia jua na hii kama ulikuwa bado
,
ruclips.net/video/JivyvBC01c8/видео.html
#TAITA#SUGU
Sasa apo upo ndani iyo miwani meusi ya jua ya nini wakati umo ndani
Inakuhusu nn
@@neemakilango7445 watu wengine hawajielewi kweli anaajaji kuhusu miwani wakati inatakiwa asikilize anachoongea
Kazi nzuri salama