SIKIA TAMBO za SUGU - "HII CHENI NILIYOVAA NI SAWA NA MAGARI 4"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 39

  • @arnoldlusambo3921
    @arnoldlusambo3921 Год назад +4

    😅😅😅 Sugu bana hizi tambo tulizimisi sana kwenye hip hop let's go all legends 💪💪

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 Год назад +3

    Legend sugu moto chini.

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад +3

    Suguuuu the big legend

  • @uwezokinahi7870
    @uwezokinahi7870 Год назад +1

    Huku Mikoani pia tunahitaji hii Burudani, inatakiwa Two Proud ajipange a.k.a Sugu aangalie namna ya kutusogezea Burudani hii Sumbawanga Town.

  • @eliakenneth4826
    @eliakenneth4826 Год назад +3

    master sugu my boss

  • @yonasumbi7567
    @yonasumbi7567 18 часов назад

    Always inspsisring

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад

    Hatariiii na nusu, Legendary

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 Год назад +1

    Eti vijana wa siku Wana Tambo kwenye nyimbo zao! 😂😂😂 Hebu rudini kwa sugu mkazikilize ngoma zake zilivyojaa Tambo Tena Tambo zenye uhalisia sio hizi za vijana wa siku hizi ambazo hazina uhalisia! Sugu bana! 😂😂

  • @allymussa171
    @allymussa171 Год назад +2

    Appreciate

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Год назад +1

    Big up big boss jah bress you

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад +2

    Baada yakuendesha magari saivi tunayavaa shingoni

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Год назад +3

    Legend never die 🙏

  • @lilianmhina5550
    @lilianmhina5550 Год назад +4

    Chadema wanajipanga fresh! Maana wasanii 2025 lazima wagawanyike sio wanaenda upande mmoja

  • @jupiterprey7027
    @jupiterprey7027 Год назад +3

    Woyoooo

  • @bestman8182
    @bestman8182 Год назад

    Huyu mwamba ndio alinipeleka Arsenal.

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 Год назад

    Sugu aliwahi kusema miwani Yake ni magari pia hii inanipa wasi wasi

  • @malilacollins11
    @malilacollins11 Год назад

    🤝👌

  • @peterassenga2428
    @peterassenga2428 Год назад +4

    Huyu Jamaa alitakiwa awe Muhaya

  • @RichardMwarabu-e9n
    @RichardMwarabu-e9n Год назад

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 9 месяцев назад

    😂😂😂 sugu bn

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 Год назад

    Blue aje

  • @streetgenious4511
    @streetgenious4511 Год назад

    Ilitakiwa aishii tuu mbele 😂😂😂😂

  • @bestman8182
    @bestman8182 Год назад

    Nimekumbuka ile show yako ya ridhaa pale Biafra😅😅 nobody expected kuna siku ungefika hapo ulipo sasa. Big up

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 Год назад

    Mr blue aje

  • @saidi7924
    @saidi7924 Год назад

    Sugu tuletee AT Zanzibar tumemic bao lakete

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Год назад +1

    Sugu hajawai kujishusha

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад

    Baada ya kuendesha magari saivi tunayavaa shingonu

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 Год назад +3

    Amesha piga vitu.

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 Год назад

      umemwona eheeheehe naona hata mtangazaji naye anavibe la kutosha ahahaaa

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tuletee mr bluu

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 Год назад

    HD msasa gusa maandish ya blue ukasikie wimbo wangu nilivyomfunika Dulla makabila ruclips.net/video/DFFTXkrlXH8/видео.html

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Год назад

    KUJISIFU KUJIFANANISHA NA WANAWAKE!!
    HIYO MIKUFU YA DHAHABU MAPAMBO YA WANAWAKE!!
    ACHANA NAYO KAKA!!

  • @jupiterprey7027
    @jupiterprey7027 Год назад +3

    Woyoooo