Mfahamu Mmiliki wa Mlimani City|Gullaam Hussain|Maisha na Mafanikio yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2023
  • #dullysantz #santzmedia #mlimanicity#millardayo #siri #wasafi#wasafimedia#wasafitv #efm#clouds #simulizi
    Historia ya mwanzilishi na Mmiliki wa Mlimani City ifuatilie hapa...
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 44

  • @amourmohamedfaki4506
    @amourmohamedfaki4506 8 месяцев назад +6

    Ndugu yangu tofautisha r na l tujue unamaanisha nn

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv3429 5 месяцев назад

    Miyeyusho

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 8 месяцев назад +6

    Hakuna kitu kigumu kama ukiwajibika na kumtegemea Mungu.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 месяцев назад +3

      Safi sana Erick na usiache kumuamini mungu utafanikiwa ,pia usiache kufuatilia SAN TZ MEDIA

    • @PLAYPROGAMING568K
      @PLAYPROGAMING568K 2 месяца назад

      Ukweli ni kwamba majengo mengi ya nhc na hata maelezo mengi ya sarekali wanaigia ubia kuwa ardhi ni yako mimi na jenga na kwasababu naingiza pesa zangu nitakupa gharama ya pesa na kiasi fulani ya eneo la jengo kodi itapokea sarekali na hata baada ya kujenga matengenezo yote ya baada hata miaka 35 anajenga ndiyo anamiliki na kila mara kufanyia matebgenezo kwa Tanzania inajulikana kwa ubiq au joint venture) na umoja wa sarekali ya Tanzanian na sector binafsi yaani kitu kimoja wote ni wazawa na nchi ya Tanzania ni nchi inajengwa majengo mengi ubia sector binafisi na sector ya sarekali na umoja kama huo ndiyo unaona majengo mengi marefu yako vizuri na marekebisho ya mara kwa mara ukiacha yale yaliyotaifishwa yako halo mbaya ndiyo sasa sarekali imeanza kutengeneza tena kwa hiyo Tanzania tuko vizuri sana katika kushirianq na sarekali yetu kujenga taifa letu .
      Tanzania haina ubaguzi wa rangi na dini ,na kabilq katika wananchi wake alhamdullilah mungu aibariki Tanzania yetu na watanzania wote kwa hali na Mali na umoja wetu ameen

  • @frankngajilo7137
    @frankngajilo7137 2 месяца назад +1

    Ni mpangaji

  • @revocatusbarnaba1491
    @revocatusbarnaba1491 2 месяца назад +1

    Nilichokuelewa hapo ni jina la mmiliki tu. Mengine mwache mwenyewe alikopita anakujua.

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 2 месяца назад +3

    Lakini mnajua kitu ikimilikiwa na serikali inazorota siombaya kwani simnapata huduma

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Serikali wao wapo kwenye share

  • @seketawaissa1129
    @seketawaissa1129 2 месяца назад +2

    Serikali ya bostwana ndio wamewekeza hapo mlimani city

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Sw lakini umeiskiliza Kwa umakini Makala hii

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 месяца назад +2

    Yani history na safari ya mtu na ukweli ana boss mwenyew sisi wengi wapiga kelele tu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Tuelezee Vizuri comment yako haijeleweka😟

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 2 месяца назад

      @@Santzmedia huja elewa nn mbn ilikuwa rahisi kutupa story ya huyo boss alafu imekuwa ngumu kuelewa yangu wacha nikwambie na hili na semaga kila siku acheni kuwa potosha watu hakuna utajiri unakuja kirahisi kama unasoma gazeti la udaku na hakuna tajiri anayesema ukweli kapataje utajiri wake kwa hiyo

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 2 месяца назад +1

    Adimin ungefanya uchunguzi wa taharifa yako, Mmiliki tunamjua we umedanganya

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Ni Vizuri ukatuambia mkuu ni Nani ??,maana record zetu na details zetu zinatuambia hivyo. Kama haukubariani na ukweli Huu , Basi waaminishe watu Kwa kuwaekea mmiliki halali wa Mlimani city utakuwa umeisahidia jamii kuepukana na uwongo Huu😂

  • @user-vb9ys5qg6u
    @user-vb9ys5qg6u 3 месяца назад +2

    Kiswahili bado ni tatizo kwa waandishi wa habari

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 месяца назад +1

      Tunaitaji Darassa "Tumepokea mawazo yako Mpendwa Ahsante

  • @jomba6514
    @jomba6514 2 месяца назад +1

    Sisi tunaweza nini?

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 месяца назад +1

    Sio mchezo

  • @PLAYPROGAMING568K
    @PLAYPROGAMING568K 2 месяца назад +2

    Na yeye ndiyo mmiliki hata Leo wako share ila amejenga yeye ubia

  • @MujuniKamugisha
    @MujuniKamugisha 2 месяца назад +1

    Unapotosha umma acha kudanganya watu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Tupe ukweli

    • @PLAYPROGAMING568K
      @PLAYPROGAMING568K 2 месяца назад

      Hapotoshi wewe ndiyo hujui ukweli.wa jengo na ndiyo maana unaona mtu anapotosha hata Leo makaratasi yote yanasoma ubia ya mzee gulam hussein na ndiyo hata Leo anakarabati yeye na kusimamia pale yeye wewe ndiyo Acha kupotosha usichokijua ukweli wake wa mmiliki ni yeye

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 2 месяца назад +2

    Nikweli hata magufur alisema

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 2 месяца назад +1

    Huu ni uongo

  • @PLAYPROGAMING568K
    @PLAYPROGAMING568K 2 месяца назад +2

    Ni kweli ni mmiliki wa gulam hussein hiyo haikujengwa na sarekali imejengwa na mtu binafsi

  • @user-ex2yp9vn9k
    @user-ex2yp9vn9k 2 месяца назад +2

    Muongo

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 месяца назад +1

      Ni Vizuri ukatuelezea ukweli Ili wasiofahamu ukweli waujue kutokea kwako

  • @DoriceSawaki-vg4sb
    @DoriceSawaki-vg4sb 5 месяцев назад +2

    Unapotosha umma

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 месяцев назад +1

      Ukweli ni upi sasa

  • @AbdulhNiheka-ck3pk
    @AbdulhNiheka-ck3pk 8 месяцев назад +8

    Mbona watu wanasema mmiliki wa mliman city ni serikali vp ww unasema ni mtu binafsi

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 5 месяцев назад +6

      weeee sio la serikali kajenga mtu binafsi ila mkataba na serikali ni miaka 100 ikimalizika hyo miaka basi ndo jengo linakuwa na serikali ila kwasasa serikali inachukua asilimia zake kodi zake.

    • @PLAYPROGAMING568K
      @PLAYPROGAMING568K 2 месяца назад +2

      Siyo kweli ila jengo lofote baada ya miaka mia inakuja karne nyingine na jengo linachakaq kwa hiyo ina title ya miaka 99 ila wakaguzi wakikqgua wakaona bado ina ubora wa kuweza kuendelea huwa wana endelea renew title na hata hivyo hiyo ubia humo bia kuna waliyonunua ofisi na waliyonunua apartment na magalaa kwa hiyo kuna subtitles kwahiyo kunyanganywa siyo rahisi labda jengo lianguke au lipasuke kwa zalzala kwahiyo swala la 100 ni ubora wa ardhi na mahali jengo lilipo hiyo hafa ukiwa na hati miliki title yako inesoma miaka 66 au 99 ni sheria ya wizara ya ardhi kuweka kikomo ya jengo au ardhi hiyo ni kwa hati zote dear

    • @bensonmwakasege3799
      @bensonmwakasege3799 2 месяца назад +2

      Hi mtu Binafsi kaingia ubia na selikari

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 2 месяца назад +1

      Ni kweli mlimani city sio ya selikali

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 2 месяца назад +3

      Eneo ni la serikali yy kainvest tuu!!