KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI "HUO NI WIZI NA UFISADI, MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE!"
HTML-код
- Опубликовано: 2 ноя 2023
- KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI "HUO NI WIZI NA UFISADI, MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE!"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mbunge bora WA mwaka.... Kuwe na tuzo za wabunge bora kila mwaka jamani....
mbunge wangu wa nguvu mtu makini ruhaga mpina 💪🙏
alikuwa wazir alifanya nini🫣
Daaah huyu mwamba namkubali sana yuko smart kuanzia mavazi mpaka point zake
Mpina kutoka moyoni Mungu anisamehe dhambi zangu ili akubali maombi yangu kwakweli mpina Mungu akulinde sana
Awe makini, wasiojulikana hawapo,mbali 😭😭😭
Amina kwa ajili yake
Mh Mpina pokee 🎉🎉🎉🎉💐💐💐💐 yako ukweli utabaki ukweli maana Kila point unapigwa taarifa ili uzibwe mdomo muuu, Mungu wetu tushike mkono peke yetu hatuwezi RIP MH JPM .
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.!
ruclips.net/video/9bXTiw6Qklc/видео.html.
MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA.
AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YAJUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO KISHA KUKIMBIA NA WANAE.
UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA.
WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE.
AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE KWA KILA MTANZANIA DUNIANI KOTE ILI WAMSAIDIE DADA HUYU.
COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718.
KARIBUNI SANA
😊😊
Kwa nini mnaingilia taarifa mmeshaona anaonyesha nja za upigaji.Hongera Mpina Songa mbele.
Congration mr.mpina mungu akulinde sana mpina,kwasababu nchi msema kweli hadumu.
Hongera Sana mpina mungu akusimamie ktk uwakilishi wa nchi,wewe ni mzalendo
Ndo namkumbuka kauli ya ndugai iv uh wizi mpaka lini mbunge wangu bola ni mpina tu mungu akulinde sana
Hii ndiyo tafsiri halisi ya mwakilishi wa wananchi.
Wenye akili wamewekwa kando wapumbavu watuongoze!!!💔
Ndilo lipo kwa sasa,akili ndogo kuongoza akili kubwa
Duuuu kweli tunaongonzwa na vilaza waliopelekwa bungeni kwa wizi
Mungu akulinde mpinaa
Very true
P0😊
Ashukuriwe mungu Hapo hakuna upinzani.
Wabunge wetu hongereni sana kwa angalau kuonesha Uzalendo kwa nchi yetu!
Ndugu yangu mpina ww unamoyo mzuri naunaipenda nchi yetu mungu akuwekemaisha marefu Huyu mwinguru na naibu waziri hawanauruma nanchi niwezi tu
Mpina Mungu akubariki
KWA KWELI MPINA NDIO KATIKA WAZALENDO WALIOBAKI NCHI HII , NI WACHACHE SANA , HONGERA SANA MPINA ,SISI WATANZANIA TUNAPOKUONA NI LAZIMA TUKUSIKILIZE SPICH ZAKO , HATUSIKILIZI MADUNDUKA SISI ,
Nilizoea sana kuangalia taarifa ya habari kufahamu yaliyojili na nchi inavyoenda lakini siku hizi hata hamu tu ya kuangalia taarifa ya habari sina kwa sababu najua kabisa naenda kupata maumivu ya moyo, hakika ipo siku wachache hawa walioamua kupuuza thamani ya jasho la wanyonge watalipa maumivu haya, iwe kwa Mungu kuwapa magonjwa yasiyotibika pamoja na wingi wa pesa zao haramu, watoto, wajukuu na vizazi vyao vyote kupata matatizo mbalimbali hapa duniani. Huwezi kupuuza maumivu na thamani ya binadamu mwenzako ukabaki salama.
Wabunge wenzenu wakichangia ya maana musiwe wa kupiga makofi bila kujua mwenzenu anaongea Nini Sasa mnafurahi Sana tunapoambiwa uongo kumbukeni huyo ni mbunge anaye jitabua
Pole sana, kweli tunabeba maumivu mioyoni nwetu!
Tupo wengi atuangalii habari
bora kuangalia tamthiliya tyu kuliko habari mijizi tyu inaoa wanawake kila siku 😂
Kweli shauku ya kuangalia taarifa ya habari kama Kwa Magufuri haupo
Big up mpina,unamachungu na nchi hii
Nilikuwa naomba kuwe na kura za maoni kuhusu mwigulu hebu jaribuni
Harafu wengine wanacheka baada ya kusikitika Bungeni nomaa
Wabunge wanacheka nakushabikia bila kujari masirahi ya taifa yaani ni upuuzi tu .Safi Mpina wabane kabisa hao
Mungu amlinde kwa kweli
Mungu wa mbingu na nchi akulinde na kukutunza Mpina
Keep it Up Mheshimiwa Luhaga MPINA Mchango mzuri wenye hoja na uthibitisho wa kutoka Kilichobaki ni serikali kuyafanyia Maamuzi yanayosemwa
Muda wake ulikuwa haujaisha ukiondoa muda wa hizo taarifa big up muheshimiwa Mpina kwa uthubutu wa kusimamia rasilimali zetu za nchi
Kwann taarifa nyingi sana mwachen aongee. Mungu akulinde usiogope mtetezi wako yuu hai
Huyu mbunge ni hazina🎉 ya nchi, Watanzania wema na wenye mapenzi mema na Taifa letu la Tanzania tumwombee kwa MUNGU amwagizie Malaika walinzi wamulinde usiku na mchana,MUNGU AKUBARIKI AKUTUNZE NA KUKULINDA.AMINA.
Mheshimiwa Mpina Mwenyezi Mungu akupe ulinzi.
Daah mpina wewe kweli mwamba MUNGU akulinde Sana
Mungu akuinue kukuweka nafasi ya juu ktk jina la Yesu
Amen
Kwa Sasa Mpina duhh ndo Mbunge wangu wa mwaka .
Makini sana jamaa
Mpina ni mtu na nusu..Big up sanaaa...The Next president
Muda wake mume uchukua kwa mitaarifa yenu mlipaswa mkae kimya tusikie aibu zenu mnatusababishia gharama za maisha kuwa juu kumbe pesa mnazibeba...
Mpina much respect
Hongera sana mh Mpina kwa uzalendo wako kwa taifa letu la tanzania... Nchi inajengwa na wanyonge inaliwa na familia za wachache serikalini inauma sanaaaaaaa
Mwigulu kuwa waziri WA fedha ni dharau Kwa taifa......
Shangaa anajitetea kulinda upigaji alafu eti baadhi ya wabunge wanamshagilia eti.
😂😅
@@emmanueliman7408dah hatari sana
Mwiguru anasitahiri kufungwa maisha ana nimwizi wa kupitiriza
Luhaga mpina wewe ndio mzalendo wa kweli MUNGU AKULINDE YEYE NDIE AJUAE
Nina wasiwasi bunge lijalo watamwacha kwa kuwa hawataki mseji mkweli
@@geraldlyimo2859 😂😂😂 hawawez coz wakimuacha akihamia CHADEMA anapata Jimbo coz wananchi wanamkubali
Wezi watupu mijizi ccm kazi ya kulala bungeni na kujamba ovyo bila ya kusaidia walalahoi.
😂😂😂🤮🤮
Safi sana mpina sema kweli mafisadi wamezidi kuitafuna nchi.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Lissu alisema hawa jamaa wana tupiga kwenye mradi leli kwa kuongeza kilo mita
Akika mpina tunakuombea sana awa wezi tunawasubili sana 2025
Bunge hili sasa lina wabunge wawili tu wengine chenga tu. MPINA ❤+ MSUKUMA❤
Daaa Mungu akubariki mpina aendelea kitupambania
Watu wa jimboni kwa mpina uyu jamaa anawawakilisha vyema ❤️ aisee
Mpina pokea🎉🌹🥀💐🌹yako mapema maana umeongea point sana
Safi sana mpina namungu akulinde vyakutosha
Aisee mpina Mungu akulinde sana
Mpina Mungu akulinde. You are excellent 👏
Namkubali sanaa MPINA
Sema wasukuma tunaongoza kuwa na viongozi wenye uelewa saana bungeni
Mpina safi sana keki watu wanakula wachache sana
Hao wanao mpigia makofi mwiguru viraza kila hoja ndio mpina nakukubali sanaaa
Kimeumana wazalendo bado wapo
L
Nafasi ya kiongizi wa juu ifanye kazi wananchi tunaumizwa sana sana
Hakuni nchi inaweza endelea kwa kufanya Importation zaidi kuliko export
Hongera mheshima a mpina wewei Kweli ni mzalendo siyo hao wengine
Mpina anachokiongea anakijua,hawa wengine wanaleta porojo tu na fujo
Asante sana M/Mungu anatenda sasa Mama Mh Samia ona mama madudu hayo walikuwa wanakudanganya hao ndiyo maana wananchi mioyo yetu inavuja damu wakati sisi hali huku mbaya wenzetu Maisha Raini vitambi vinakua kwa kodi zetu walala hoi Siyo hao tu wapo wengi tunakupigia magoti mama tenda kazi yako kwa mamlaka uliyopewa hao watu kama hao wanakuchafua sana funga hao hata kumi tu heshima yetu itarudi
Mpina hongera
Mwingulu akamatwe
transaction ni uhamisho wa fedha, hapo waziri umekula pabaya. Transaction = uhamisho wa fedha kielectronic.
Naliona giza katika nchi yetu ukweli utaongea daima, RIP Rais Magufuli
Wabunge simameni imara Wananchi tumechoka sana, Majizi wametuchosha sana, tusaidieni msiogope kuuawa.
The only man with balls CCM
Penda sana wewe kaka na Ahsante from the bottom of my heart ❤️🙏🏾
Mi nikimuona Mwigulu nasikia kama aibu ya Taifa
😢😢yani
Mhe. Mpina 👏👏👏
Hakunaga msukuma boya hongera wapoti
Nliposikia mwigulu anaingi hiki kitengo daah ... 😢😢 Kwanchi kama Tz kuwa na kiongozi kama mh.mwiguru niaibu kwetu kama watanzania
Kiukweli viongozi wetu mnatuangusha saana ...
Eti transaction sio uhamisho kwahiyo English ndio lugha sanifu ya nchi now daaah ...🤣😄😄🙌
Anafikiri tuko mbumbumbu!!! Transaction na uhamisho,,,anasujudu lugha za watu kuliko anaowaita watanzania wakat alishatuhamishia Burundi kitambo,,, shameless
Mbunge wa ukweli hongera mpina
Usipotajirika kwenye hii serikal basi wew nimasikin wakufa
Waziri wa fedha Mwizi anaimaliza nchi hii cjui kwann mama anamng'ang'ania atatufnya tuamini Wanashirikianaaa
Wanabebana
Mungu akubariki mpina
mungu akulinde kamanda
BIG UP
Nice.
Mpina Mungu akulinde bro,,
Kazi nzuri my mpina ww ni kama magufuli hutaki madudu unapasua jipu hapo hapo.Ni wakati ss raisi alone hilo
Mpina hoyeeee Mungu akulinde
Mpina mungu akupe her
Mwenyezi mungu mwingi wa rehema, utukufu ni wako mwenyezimungu, naomba umlinde mbunge mzalendo mh. Luhaga Mpina na unusuru taifa letu dhidi ya mafisadi wa rasilimali zetu😭😭.
Mungu amlinde huwa hawatakiwi watu kama huyu.❤
Mtu anaongea ukweli mara taarifa mnatuona hatuna akili
Hapa ndio Makonda na Chongolo Waingilie kati Kama kweli Wamepewa Meno ya kung’ata
Sasa hivi sasa ndio nimejia kwanini watu walicheka maana mvutano ulikuwa mkali
Hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nyingi kwako mpina
Huyu jamaa ni noma sana!
😢
Taarifa,za nini? Waziri wa fedha unapaswa usikilize hoja wabunge maana nao wana ufahamu pengine kuliko hata wa kwako.
Wizi ukiwepo acha ujengewe hoja huo wizi.
Mkaguzi wa hesabu za Selikali hata hujui anachochsngia mbunge Luhaga Mpina ww ni Waziri gani wa fedha ss?
Kiatu kinakupwaya ebu Mh Raid aangaze nn anafaa kuendelea kukusaidia ktk maswala ya fedha kwa uwazi zaidi hasa tunahitaji kuingia uchaguzi wa Selikali za mitaa bila maswali tata kuhusu taarifa za ukaguzi wa mkaguzi mkuu wa hesabu za Selikali.
L
mnafany janja janja ya tarifa za wizi wa mda pia mna ufisadi
Mwigulu mwizi ndoana anaingilia hoja wt wasiapate kumuumbuwa
Mpina Mungu akulinde
Duh My country 😂
😂😂😂 nimependa mapendekezo yako safi sana kijana, ruhaga mpina unafaa sana. mafisadi wakamatwe washitakiwe, hasa huyo mwigulu nchembe sipendi kabisa Kazi yake!
Hongera Mpina, lakini kwa serikali hii karibia watakupeleka kuwa balozi Msumbiji
😂😂😂😂 ama kweli
Huyu mbungehaki ya mungu nawambia ni zaidi ya wabunge 200 wa ccm namfananisha na marehemu deo philikunjombe huyu jamaa asee mungu amlinde
Safi sana
Mpina mwenyez Mungu akuweke sanaaaa😊
Watu wenye akili na fact wamewekwa kando ila waliopewa nafasi ni akina naniii.
Very sad😢
Mwazo nilikuwanga sikwelew kwa sasa nakwerewa sana mbunge wetu wa kisesa tunakpa tena miaka 5
TRUE
Wakipewa nafasi wanabadilika pia
Wazir wa fedha ni mwizi mnambeba sana afukuzwe
Cyo kufukuzwa tu akamatwe Kwa kuhujum uchumi
😢😢😢
Natamani hapo angekuwepo John Heche, Tundu Lissu
😂acha kutaman tumia ulichonacho
Wanajuana
Africa bado sana mungu alitunyima akili katupa tamaa mtu yupo Tyr apewe pipi2 anatoa Cha thamani,na wengine mkashangilia
ukiongea vitu vya mana lazima mda uishe tu.
Wow! Hatari watu wanapinga pesa . Kweli kweli.
Safi mpina
Hujui hata budget ya nchi
Kwamba waziri hana uelewa juu ya Financial intelligent unit (FIU).
Naaaaam Haya ndio mambo tunataka,sio kufichiana fichiana tu.