UKIWA NA SIFA HIZI UNAMUOA MIRIAM CHIRWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 май 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 346

  • @fahamujames8003
    @fahamujames8003 2 года назад +35

    Miriam yuko vizuri sana nyimbo zake hakika zinanifarji sana ubarikiwe sana dada yetu mtumishi

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 года назад +17

    Yes Maryam u r very smart unaongea vitu vizuri vya maana ktk maisha bora!! well done!! Mungu akupe mume bora iwe furaha ya daima...

  • @hildachirwa4828
    @hildachirwa4828 2 года назад +60

    Proud of u always my princess my one and only daughter my pride my joy

  • @afrikanamaureen
    @afrikanamaureen Год назад +3

    i love the wisdom in this baby. such a charming personality and cute

  • @timamusulemani7306
    @timamusulemani7306 2 года назад +8

    Usijar dada kwakua umeshamueka Mu, ngu mbele lnshallah utapata uyo unemuitaji🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-mn3ik1rx1e
    @user-mn3ik1rx1e 7 месяцев назад +1

    Miriam kuimba unajua nyimbo zako zinanifariji na kuniweka karibu na Mungu asante kaz yako nzuri ubarikiwe sana amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 года назад +19

    Ukimwambia MUNGU akupe huyo umtakaye anakupa.. ana stock ya Kila sample.. Muhimu ni kumuomba kwa bidii. Ubarikiwe Miriam Chirwa

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 Год назад

    Beautiful mdada
    I love you Woman of God
    Your are special

  • @gracianambinda9808
    @gracianambinda9808 2 года назад +4

    Kazi la mungu alina makosa kweli kweli, ongera sana dadangu 🥰🥰🇨🇩

  • @anniemckinstry8312
    @anniemckinstry8312 2 года назад +11

    You appear to be happy and content,you do not have to settle for what you do not want.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 2 года назад +6

    Hapo ndo wengi wanaendeshwa na hisia na tamaa ya mwili wakidhani ni Mungu.Huwezi kumwambia Mungu aina ya mtu unayemtaka,Mungu anajua kilicho bora kwetu na kitakachotufaa sasa na baadae bila majuto.Mungu anaweza kukuletea jambazi au kahaba lakini mpango wake ni kuwa kupitia wewe atawabadirisha na kuwa upande wake.

  • @FatmaMwinyi-jt2rr
    @FatmaMwinyi-jt2rr Год назад

    She got a nice voice Allahu yabarik lak

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 года назад +8

    I love you miriam 🥰❤

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 года назад +13

    Amen Mungu Akusaidie Upate Anaekustahil

  • @meshackthomas7299
    @meshackthomas7299 2 года назад +4

    Sauti yako nzuri sana mdg wangu. Leo diva kakutana na class

  • @estershadrack2911
    @estershadrack2911 Год назад

    Barikiwa sana mdogo wangu Mungu akupe kila hitaji la moyo wako,

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 года назад +8

    I love her

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 2 года назад +10

    Bounge la mwanamke ni mzuri sanaaa....mungu akutie nguvu na afya njema.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад +6

    Awesome ❤️

  • @davidmwaniki1588
    @davidmwaniki1588 Год назад

    Nashukuru mungu Kwa sababu ya Maryam...lugha ni safi na niya Hali ya juu .hongera Kwa vipanji zako

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 7 месяцев назад

    Mwenyezi mungu akupe hitaji la moyo wako akupe mume mwema mwenye baraka kwako.mungu anajuwa hitaji la moyo wako

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 года назад +2

    Upo vzl miriam
    mdogo wangu umetisha sana

  • @theresiakililimbi2151
    @theresiakililimbi2151 2 года назад +3

    Waoooh napenda sana nyimbo zake

  • @elizabethcharles994
    @elizabethcharles994 2 года назад +11

    Wao kanaongea vizuri mpaka kuimba nakapenda

  • @sandrasandrine3027
    @sandrasandrine3027 Год назад

    nampenda anajuwa ku ongeya Mungu akupe haja ya moyo wako dada❤❤

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 2 года назад +7

    Confidence yake tu kiukweli ndohuwa inanivutia sana Mungu ambariki sana kiukweli

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 года назад +4

    Hahhhhhh Mashaallah jamn💖

  • @rindaubuzimabwawe4089
    @rindaubuzimabwawe4089 2 года назад +2

    Miriam tangia ukiwa mtoto mdogo sana ku miaka 8 nikisikia nyimbo zako, yuko vizuri sana nyimbo zake hakika zinanifarji sana ubarikiwe sana dada yetu mtumishi

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 5 месяцев назад

    Nilichelewa kuona hii interview nakupenda miriam diva umewezaa❤

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 2 года назад

    Mungu akupe unacho hitaji dada mariam 🥰🥰🥰🥰

  • @Martha871
    @Martha871 4 месяца назад

    Mungu AKUBARIKI sanaaaaa
    Binti wa Yesu

  • @witnessmollel7405
    @witnessmollel7405 2 года назад +1

    Wow she’s smart😊

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 года назад +3

    Ilove you miriam

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 года назад +15

    mashallah beautiful ❣️ good voice

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 2 года назад +3

    Mwenye haki ataish kwa Imani yake mwenyewe ila hiyo ya ufupi itoe Dada yangu he akiwa na sfa zote hafu akawa mfupi utakubal

  • @rindaubuzimabwawe4089
    @rindaubuzimabwawe4089 2 года назад +1

    Joel From Rwanda kigali napenda nyimbo za Mariam tena sana

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад +1

    Girl so clever Mashaallah nakupenda

  • @suzynjige1640
    @suzynjige1640 2 года назад +1

    Waow jamn huyu dada Mungu ambariki san

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 года назад +5

    Ongera mtangazaji❤you

  • @eunicentinyari1292
    @eunicentinyari1292 2 года назад +1

    I admire you gal

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 года назад +1

    very good mtoto mzuri.

  • @medardmsibha4793
    @medardmsibha4793 Год назад

    Mungu ampe afya azidi kumtumikia mungu , miriamu mungu ambariki sana

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 года назад +5

    Maria Kipenzi nakupenda Sana, mungu akusimamie utimize itaji lako la moyo ♥️♥️

  • @elizabethuwezo290
    @elizabethuwezo290 2 года назад +1

    Nmekupenda my

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 2 года назад +1

    Waoooh miriam kitambo sana my cc mpka nilikumis

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 года назад +1

    Manshallah habint

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @kelchas_music_store
    @kelchas_music_store 2 года назад +1

    Good sana

  • @user-cg8ff7tt6o
    @user-cg8ff7tt6o 9 месяцев назад

    Mungu akubaliki sana

  • @marymwihaki3238
    @marymwihaki3238 2 года назад +1

    Woow 😮 I love you girl 😘

  • @trizasamuel8555
    @trizasamuel8555 2 года назад

    Mungu Akubariki

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 5 месяцев назад

    So sweet❤

  • @sarahmgaya4870
    @sarahmgaya4870 2 года назад

    Mungu akutangulie akupe hitaji la moyo wako

  • @Userog254
    @Userog254 2 года назад +9

    Anasauti ya kujiamini hadi raha

  • @sophiedanny3702
    @sophiedanny3702 2 года назад +12

    Hao wanaume unaowataka wapo kwenye movie nyingi tu na kwenye vitabu vya Eric Shigongo

  • @dennokimunai
    @dennokimunai Год назад

    I LOVE CHRWA🥰🥰

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 2 года назад

    Dah!!! Hongera kwa saut

  • @ditrickmligo6931
    @ditrickmligo6931 2 года назад +13

    Nazipenda sanaa nyimbo zako Mirium ...ila kuhusu mume mwenye sifa hizoo ilifaa useme tu hutaki mumee ...hapa duniani hawapo...sisi ndo tuko dada..hahaaa.....

  • @writtenbyemelyneadvisesong717
    @writtenbyemelyneadvisesong717 2 года назад +4

    Ubarikiwe
    Miriam
    Mschana mrembo wa Yesu

  • @ldnhmn2893
    @ldnhmn2893 Год назад

    Mungu akulinde miriam

  • @Tully-lp3xi
    @Tully-lp3xi 3 месяца назад

    Na itakuwa dadaa Mungu akufanyie

  • @franleytv6131
    @franleytv6131 2 года назад

    Mungu akusaidie mdg angu

  • @seciliamlaponi6290
    @seciliamlaponi6290 Год назад

    jomoooni she is so lovely 🥰

  • @azzehassan1951
    @azzehassan1951 2 года назад +1

    Mungu atakusaidia

  • @mbajiayoub4731
    @mbajiayoub4731 2 года назад

    Ahaaa anapanga yey only good know

  • @hariramyadav782
    @hariramyadav782 2 года назад

    That's a talented Miriam chirywa.

  • @farajampogolo9840
    @farajampogolo9840 2 года назад

    Mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @cypliansambagi147
    @cypliansambagi147 2 года назад +4

    ❤️mimi ninavyo

  • @dennismorara7409
    @dennismorara7409 Год назад

    wow mungu hatamupa mungu hajawai nyima anaye hopa

  • @jacobanania2741
    @jacobanania2741 2 года назад

    Wow speaking

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o 6 месяцев назад

    Wow❤

  • @ldnhmn2893
    @ldnhmn2893 Год назад

    Love you miriam

  • @JerusaMkuyu-pw1zo
    @JerusaMkuyu-pw1zo 6 месяцев назад

    Amen miriam

  • @user-yq9go8ze2n
    @user-yq9go8ze2n Год назад

    Hongera mwanangu

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 года назад +6

    She’s cute and smart

  • @happyngoda7056
    @happyngoda7056 2 года назад +2

    Anacheka vizur 😊

  • @saumumbwambo7064
    @saumumbwambo7064 2 года назад +2

    ❤️❤️❤️

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 года назад +3

    Duuu hizo sifa za wanaume unaowataka dada angu duniani hawapo wapo wenye sifa 3 au nne Kati ya unazotaka so kazi kwako mama

  • @michaelkobia9694
    @michaelkobia9694 10 месяцев назад

    May the name of God be glorified

  • @anniemckinstry8312
    @anniemckinstry8312 2 года назад +2

    💞💕

  • @user-ui4lt2kj1i
    @user-ui4lt2kj1i 7 месяцев назад

    Abarikiwe sana binti

  • @andrewmsuya4908
    @andrewmsuya4908 2 года назад

    Yes

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 года назад +1

    Ana sauti nzuri,alaf kumbe muongeaji

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 Год назад

    Nice

  • @alexchacha4005
    @alexchacha4005 Год назад

    Mungu atakujalia mme unayemtaka

  • @b.kmwanshinga1462
    @b.kmwanshinga1462 2 года назад +2

    Mungu anasalimia maombi yako utapata tu

  • @giftpamelagiftpamela4494
    @giftpamelagiftpamela4494 2 года назад +1

    Wow

  • @najmakiria7164
    @najmakiria7164 2 года назад +20

    Ana sautu nzuri adi kuongea mashallah

  • @aminam.410
    @aminam.410 2 года назад +2

    ♥️

  • @deomwampamba6478
    @deomwampamba6478 Год назад

    Mwee mungu nibariki niwe ni mimi mwenye sifa zote hizo nimuoe

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Год назад

    Proud of you mirriam,umetoka mbali unaenda mbali Barikiwa sana🙏

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 года назад +3

    Kana sauti mzuri

  • @ibnnjoka2449
    @ibnnjoka2449 2 года назад +1

    Yuko vzr

  • @denisjr11media21
    @denisjr11media21 Год назад

    Unaingea vizurui na umeelimisha vingii hongera

  • @nadeenblouch3257
    @nadeenblouch3257 2 года назад +1

    Jamen 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @user-vl8gr5uc4t
    @user-vl8gr5uc4t 5 месяцев назад

    Woow jamaniiii ❤

  • @lilianmasana3852
    @lilianmasana3852 2 года назад

    Amen

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 года назад +2

    Wallah unajib maswali uzuli mno kwanza unafikilia ukurupuki

  • @mollyadhiambo1640
    @mollyadhiambo1640 2 года назад

    amen,

  • @oscarsteven2528
    @oscarsteven2528 2 года назад +5

    Huyu Dada anachoogea atakipata wap dunia hiii. APO ATATENGENEZA WA UDONGO

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 года назад

      😂😂😂

    • @ndayikezececile2762
      @ndayikezececile2762 2 года назад +1

      Ukute Mungu amemuandalia wakwake waivyo

    • @oscarsteven2528
      @oscarsteven2528 2 года назад

      @@ndayikezececile2762 Tatzo anataka vigezo ving sanaaa

    • @oscarsteven2528
      @oscarsteven2528 2 года назад

      Amna binadam asiekua na mapungufu
      Najiuliza uyo asie na mapungufu atampata wap na akimpata je yeye binafs mapungufu Hana???