Kwa ushauri tu nawaomba sana mnapoandika jina la Mungu aliye hai au the living God mjitahidi kuandika kwa kuanza na herufi kubwa kama ni miungu mingine ndio tunaanza na herufi ndogo otherwise big up watu wa Mungu Ali Kiba umechagua fungu jema❤
Mwisho wa siku kwenye swala la biashara katika media ni uhuru wa mtu kuchagua a nafanya biashara na Nani so sio vizuri kukoment kitu kama huna uelewa mpana
hayajabadilishwa.. ametoa lebo... alikiba ni brand.. akinywa maji au kinywaji chenye labe nis saa na ameyatanganza.. na yule sio mpambe ni manager wake, so anajua nini maana ya brand
Mjomba icho alichokifanya ali apo nisawa na ivo ivo anavofanya kila siku kwaya ni ngoma na anachokiimba ali ni ngoma na anachoimba msanii mwengine pia ni nyimbo, yote ni sawasawa. Hakuna kusema mondi wala marioo wote ni waimbaji, usiingize mamjo ya dini kwenye ngoma zenu, baadae ikatokea upande mmoja kusema umetukaniwa dini yao, waacha mambo yapite. Bakia na ushabiki wako kwa unaemkubali , ili mambo yaishie ivo ivo usilete mambo ya kuafiri, please.
Ali kiba nimkubwa sana kuliko watu wanavyofikilia
Unakuwa na Baraka nyingi ishi sanaaaa Alikiba
Kwa ushauri tu nawaomba sana mnapoandika jina la Mungu aliye hai au the living God mjitahidi kuandika kwa kuanza na herufi kubwa kama ni miungu mingine ndio tunaanza na herufi ndogo otherwise big up watu wa Mungu Ali Kiba umechagua fungu jema❤
Kweli kabisa.
Wooow GOD BLESS YOU ALIKIBA AND CHOIR
Wengine wanamwita God, wengine Jar, wengine Ombee, wengine Allah, wengine kyara, wengine Mtwa, wengine mwami ila Mungu ni m1.
Hao malaika watatu hapo mbele mungu awabariki na azidi kuwainua...❤
Angalia vizuri wapo wanne,,hakika Mungu awe nao
Amazing kabisa hatakam ukumbi ulikuw haukujaa
Alikiba
Hapo king anawaza angekuwa ashasema iye baba😂😂 ila salute kwako bro we ni mfano❤
🤣🤣🤣
Safi kng🌹🎉
Mungu nimmoja❤❤
Hii imechemuka🔥🔥
Nzuri
bro god bless you
NEEMA GOSPEL VOCAL IMEKAA VIZURI UJUMBE UMESHIBA MUNGU AZIDI KUWATUMIA
Salute King Kiba
Only one king👑
Kwa Nini mme tutenda hivi jaman,jaribuni basi kuwa waungwana mmeandika et kiba kacheza kwaya mbona sijaona alipo cheza 😂
Ndugu zetu wa proud to be.........uwanja ni wenu😂😂😂
Mwisho wa siku kwenye swala la biashara katika media ni uhuru wa mtu kuchagua a nafanya biashara na Nani so sio vizuri kukoment kitu kama huna uelewa mpana
😂😂😂😂😂 daaaaa umenichekesha sana ,eti proud to be
@@karrimahutta5173kwani wewe ni proud to be?
Iwe katik roho na kweli amen
Hapo hakuna kwaya
Angekua mondi kipindi anazindua icho kipindi kunawatu waliongea oooh yeye nimwislam
daah tafuta kazi
Safiii
Sasa mbona sijaona alipo cheza
Nice
Sio CEO ni Owner- President. Hamjui vyeo CEO ni Aidan
Ali kiba ukubwa wake nini? Kuliko watu wanavyofikiria!
❤❤
CHOIR
Injili lazima uhibiriwe kwa kila kiumbe kazi kwa mtu kuikubali na kuipokea jinsi inatakiwa maana injili ni moto
Hili jamaa lililetwa na MUNGU
Kwani wengine waliletwa na shetani watu wote waliumbwa na mwenyezi mungu.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅@@gordiansoko9113
😂😂😂😂😂😂
😅@@gordiansoko9113
NEEMA GOSPEL
Nani kagundua maji ya alikiba yamebadilishwa na mpambe
hayajabadilishwa.. ametoa lebo... alikiba ni brand.. akinywa maji au kinywaji chenye labe nis saa na ameyatanganza.. na yule sio mpambe ni manager wake, so anajua nini maana ya brand
Kiko wapi akifanya mondi kafiri maneno meeengi. Mbwaa Hawa
Mjomba icho alichokifanya ali apo nisawa na ivo ivo anavofanya kila siku kwaya ni ngoma na anachokiimba ali ni ngoma na anachoimba msanii mwengine pia ni nyimbo, yote ni sawasawa. Hakuna kusema mondi wala marioo wote ni waimbaji, usiingize mamjo ya dini kwenye ngoma zenu, baadae ikatokea upande mmoja kusema umetukaniwa dini yao, waacha mambo yapite. Bakia na ushabiki wako kwa unaemkubali , ili mambo yaishie ivo ivo usilete mambo ya kuafiri, please.
@@SAIDKHAMISOMARkwa namna alivyokaza fuvu sidhni kama amekuelewa
❤❤