KIREDIO AFUNGUKA A -Z DADA KUCHANGANYA JINA LA MPENZI WAKE NA KUKOSA GARI, NATISHIWA MAISHA SAHIVI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 81

  • @adam_speech-languagepathol11
    @adam_speech-languagepathol11 3 месяца назад +4

    Nimeipenda Sana kazi yako mdogo'angu Kiredio na Mr. UK...Nilifikiri mnachekesha tu, kumbe mnaisaidia jamii pakubwa kiasi hiki...!! Be blessed, please keep it up..!

  • @YuliaPeter
    @YuliaPeter 2 месяца назад +2

    Jamaa inaonekena ilikua yuko kama hana hela na mwanamke alimchukulia poa,dharau sio nzur

  • @prettymasha2430
    @prettymasha2430 7 месяцев назад +8

    Uyo Ben pia hamtaki tena uyo mwanamke 😮😮😮kishamjua wakuruka ruka

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 7 месяцев назад +6

    Wadada wa chuo tunawajua, wanapenda magari

  • @princemallya4085
    @princemallya4085 7 месяцев назад +3

    Rekebishen sauti wakuu ipo chini sanaa

  • @ClarabelleWilliams-uw5pm
    @ClarabelleWilliams-uw5pm 7 месяцев назад +2

    Kuna huyu mshika kifeni ameniua anavyokifanyia kaz

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 7 месяцев назад +7

    Hawa mabinti wa University wachana nao kabisaa yani hadi ana graduate anakuwaga na mahusiano lukuki 😂😅😅

  • @publicityzone9583
    @publicityzone9583 7 месяцев назад +8

    Sema mie naungana na kiredio ✊✊✊✊ bora hujamsanua maana mademu wa jini wanaringa sana asee

  • @sleyumngolo
    @sleyumngolo 7 месяцев назад +17

    Kama unakubali huu uokovu wa huyu jamaa gonga like apo

  • @BikyeombeInnocent-vd3pg
    @BikyeombeInnocent-vd3pg 7 месяцев назад +4

    Wanawake awajatulia nishida

  • @graceambrose8757
    @graceambrose8757 7 месяцев назад +2

    sio mbaya alipata ata maua na cake😂😂😂

  • @superkarimBenzema
    @superkarimBenzema 23 дня назад

    Kiredio upo sawa sana watu wengi watajifunza kuptia hivi vitu mana mapenz yanauma sana..😢😢...kuna ishu umesema kua unaweza kumchek mtu kidizain kua kuna mchongo km iyo ishu ya gari kua afanikiwe mm nakushaur ucmpe mtu ukwel iyo ni kaz yko.

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 7 месяцев назад +5

    Ukitaka presha ikumaluze..hawa wa 2000s na wanafunzi watafika Wamechoka Sana.

  • @user-jd8lu1bk8k
    @user-jd8lu1bk8k 7 месяцев назад +8

    Duh wanawake sis jamani😢tutuliage na mmoja sasa

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 6 месяцев назад +1

    Dada si umpe nafasi ajielezee unamkatisha maneno

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 7 месяцев назад +4

    Duh ila uyo kaka anampenda sana mpaka kamnunulia gari.

  • @RamadhanRunyange-by6fx
    @RamadhanRunyange-by6fx 7 месяцев назад +2

    Hiyo Gali ilikuwa imefungwa kwenye mkia wa chui😅😅😅😅

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 7 месяцев назад +4

    Mi napenda unachofanya

  • @wilonderby
    @wilonderby 7 месяцев назад +2

    Mmekomesha kabisa sema Mr UK anacheko ya kinafiki Sana 😂😂😂

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 7 месяцев назад +1

    Demu mashauzi kibao kumbe analist ya mabwana

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 месяцев назад +2

    Dem mwenyewe badala ya kusema mwanaume anasema mwanyaume😅😅😅

  • @neemaabdu1091
    @neemaabdu1091 7 месяцев назад +3

    Dah nimeumia pole yake

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh 7 месяцев назад +6

    We the daughters of eve😂😂😂😂😂😂😂😂weeeeeh

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 7 месяцев назад +4

    Sasa uyo mikelele ya nn

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 6 месяцев назад

    Aiseeeee so painfull wadada wa chuo siyo waaaminifuuu kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂 Hata ukiwa na mke wako anasoma chuo tambua umempotezaaaaaaa😂😂😂

  • @akhaly5387
    @akhaly5387 7 месяцев назад +5

    Bro notification hizo zinakeraaa

  • @foncetecelectricalandelect34
    @foncetecelectricalandelect34 7 месяцев назад +1

    Huyu dada mbona anamtumia kwenye video nyingi tu? Hayo ni maigizo tu

  • @user-gg3on2hh7s
    @user-gg3on2hh7s 7 месяцев назад +2

    Mmh Ila vyama vingi nooumaaaaa

  • @meshack3266
    @meshack3266 7 месяцев назад +1

    Kakuma tu ako kwanza kanaitwa et mekap yangu itaalibika wanawake bhana

  • @esterstaphord5184
    @esterstaphord5184 7 месяцев назад +1

    Alf kanajitetea ety Ben baba akee nyoooo 😂😂😂 .. wanawake tuache kucheat 😅

  • @halima2286
    @halima2286 7 месяцев назад +2

    Mimi nacheka sana wakija kwa sisi madereva wa morori duh ndoa zitakufa

  • @LydiaStephano
    @LydiaStephano 7 месяцев назад +10

    Sjawahi kuona mtu mbea Kama Mr UK😂😂😂😂

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 7 месяцев назад +1

    Wanawake mashauzi

  • @ShizaAlly
    @ShizaAlly 17 дней назад

    Hadi nimelia

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 6 месяцев назад

    Huyoooo jamaa lakin n mwamba duuuuuu

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 7 месяцев назад +1

    Duuu uyoo jamaa tunaomba uwojiane nae alie nunua ilo gar 😂😂😂😂 akil mingi sana ilo bepari

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 7 месяцев назад +1

    Hakataki kutoka nje eti kuna jua kali

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 7 месяцев назад +3

    Ndio shida ya kutokua na mwanaume mmoja

  • @998said
    @998said 7 месяцев назад +3

    Alf mwamba ndio alikuwa analipa ghalama😂😂😂

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 6 месяцев назад

    Hiv karibu nakupa kazi 😂😂😂😂😂

  • @YMMMK96
    @YMMMK96 3 месяца назад

    If u don fear women bado hujajua dunia 😂

  • @BikyeombeInnocent-vd3pg
    @BikyeombeInnocent-vd3pg 7 месяцев назад +3

    Ivi ndojisi munavyo tuma video kwenye mtandao mbona bovu ivi

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 7 месяцев назад +2

    Eti mim ninaitwa Beni kweli?????

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 28 дней назад

    Dha!

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 7 месяцев назад +16

    Ahsante kiredio, ulifanya kazi nzuri kaka! Ben endelea na mke wako bhana! Kiredio shukrani gari liko yard right now!

  • @CathyMathias-bx4ft
    @CathyMathias-bx4ft 7 месяцев назад +3

    Kwendra zenu ningesema sina xx ht kidogo nipo single, bdae ukijanicheki. Ntajitetea mahusiano yangu sio maonyesho bora nikose zawad kuliko nitaje ma x xx xxx

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 23 дня назад

    ❤❤

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 7 месяцев назад +2

    💞💞💞💞

  • @hadijaissaally6858
    @hadijaissaally6858 7 месяцев назад +4

    Yaani ulimwambia kabisa mwenye hera lkn hajastuka

    • @lulumasangwa9962
      @lulumasangwa9962 7 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣huwenda jamaa alikuwa hajionyesh km anapesa😂😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 7 месяцев назад +3

    Aaah wap baba unamtajaje kifupi buyo mcgeluko ni ben

    • @julianagowele9163
      @julianagowele9163 7 месяцев назад

      Eti babake! Kwa hiyo babake ni boyfriend wake. Makubwa haya

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 7 месяцев назад +2

    Huyo ben mwenyewe huenda hata ni mume wa mtu ni danga lake na ameshangaa kuskia katajwa😂😂😂

  • @malilaebayoth5776
    @malilaebayoth5776 7 месяцев назад +4

    Kuna ishu nashindwa Elewa,maelezo unasema ungemsanua ungejua kakosea,Sasa alipotaja Beni,s alikosea ungefany namn ya kumsaidia😂😂 maana yaonesha jina la mwamba ulikuwa walifaham ndo mana ukampigia na kusema" we jina lingne ni Beni"
    Anyway sio kwamb natetea sema ulivoeleza....
    Japo Kiukwel keep it up bro unaokoa weng Amini Zen watu mdogomdgo watabadirik na kuwa waaminifu tuombe ziende Viral hizi video

    • @julianagowele9163
      @julianagowele9163 7 месяцев назад +4

      Kunsaidia ninkuendeleza ujinga. Tujifunze kutulia

    • @anjelmoses624
      @anjelmoses624 7 месяцев назад +1

      Ivi una akili wewe huyu kapewa kazi unazani huyo boss awezi kumuambia jina sababu anajua angemwambia ili demu asikose gari

  • @amosmutasa3454
    @amosmutasa3454 7 месяцев назад +3

    Jamaa umekuja kutuokoa

  • @Rosemaryhamisi
    @Rosemaryhamisi 7 месяцев назад +3

    It's sad

  • @shijastephano1484
    @shijastephano1484 7 месяцев назад +2

    Kachengana na gar la mshahar

  • @kendrickoffset981
    @kendrickoffset981 7 месяцев назад +4

    😂😂🤣😂😂🤣😂🤣

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 7 месяцев назад +2

    Natamani kumuona huyo mwana (the car buyer) kwasabu Yule binti mdogo sana jamaa amewezaje kuinvest kwa mtoto Yule.

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 7 месяцев назад +3

    Duh sisi wanawake ni wajanja wa Mbinu imekueje wewe kulikosa Gari? Duh umeniangusha sana ila najua utalipata tu kwa huyu alieleta Zawadi😂 mbona wanaume kwetu Maboya tu😁

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 7 месяцев назад +2

      Ataenda kulichukua tu gari lake..mtu mpaka katoa gari..hachomoi hapo..wadada wajanja..atamwambia hakutaka kumuweka hadharani..hahaha..jamaa atatoa tu gari

    • @ChristopherDaniel-zk1lx
      @ChristopherDaniel-zk1lx 7 месяцев назад +1

      Labda ukutane na boya

    • @SelemanModestmmass-vk2xd
      @SelemanModestmmass-vk2xd 7 месяцев назад +1

      Eti atapewa tu gari unazani matako yako hayo..kashasema Beni akapewe na Beni wake sasa.

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 7 месяцев назад +1

      @@SelemanModestmmass-vk2xd hahahahahahahahahahahahahaha

    • @gladnesssanga1601
      @gladnesssanga1601 7 месяцев назад +1

      ​@@SelemanModestmmass-vk2xd😂😂😂😂

  • @shamirahassan8117
    @shamirahassan8117 7 месяцев назад +1

    😂😂