Malkia Karen Feat Lady Jaydee - Kwetu (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 1 ноя 2024
- #MalkiaKaren #Kwetu #SlideDigital
(C) Slide Digital
Malkia Karen Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/malkiak...
Written & Performed by Malkia Karen
For Bookings: mxcartertz@gmail.com
Follow Malkia Karen on:
/ malkiakaren
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Aliyeona mama ni mama tu agonge like😍...yaan saut yake ndo imetisha...
Mama n mwana wimbo mzr unawahusu wambea wanaofatilia maisha ya watu
Jide anaimba jamani hivi kuna kama jide Tanzania hiii aiseeee ajengewe sanamu lake kubwa kabisa liwekwe ofisi za wizara ya sanaa
🙉unamawazo mazr Sana lkn vipofu wamo wizarani
😃😂😂😂😂😂😂😂
Sanamu liwekwe pale Chato
Ya mashallah ila usimsahau rubi
@@gosbertmuta5421 wapo wizaran😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah......kweli mtoto wa Nyoka naye ni Nyoka...... hongera sana Komando kwa generation unayo ikuza.....Gonga like kwa Jydee....
Wallah hii nyimbo inatupa moyo tusiokuwa na kodi umri umeenda tupo makwetu kama mizimwi
Nyimbo Kali Ila watu wanafanya Makiki yakijinga ndo Wanapewa kipaumbele....Dada Uko vzr MUNGU akupiganie
ka tombwe na baba yako
Exactly
Unafilwa🖕🏾, kila msanii na urefu wa kamba yake
@@emariusrush7704 UMEFATA NN HUKU TAKA HAPA HAYA NENDA ZKO MKNDWKO WW☹️☹️🤫
Mama Na Mwana Bonge La HISTORY
Mama na mwana I like that🥰🥰🥰🥰❤❤🔥🔥🔥🔥
Waooooohhh,yaan da jide nakupenda na sauti yako ilivyotamu,,,hii ngoma ni kali sana ila wapo ambao wataiona haifai ila mie naiona kali sana,,,ongeren sana mama na mwana
Ilaa saut ya Caren na jide zinalandana
Aliye skia sauti kma zinafanana km mmi.. like apa
Mwalim na mwanafunzi wake ndo maana
Kwakweli mi mpaka wananichanganya.
Mwanzo nilijua ni Jide anaimba mwenyewe
Asee kweli
Mtoto na mama
Ucfananishe JD na vitu vya kijinga..Caren anaimba Ila uku kajitahid sanaa kutuliaa mama nguli na mama wa kambo..ametimiza ndoto yake mcchan
KAMA UNASIKIA SAUTI YA LADY JAY DEE PEKE YEKE GONGA LIKE TWENDE SAWA👍 Ila ngoma kali
Nimetaka kusema hvo nkaogopa
zimefanana sauti zao
@@gosbertmuta5421 😹
Mtu na Mama Yake.
@@alibilali9944 afu kweli😁
Wadada wazuri kama wimbo wao. Aisee endeleeni kulewa kwenu sio huku kitaa kwa manyang'au....
😃😂😂😂😂😂😂
🤣😃🤣🤣
Kanyimbo katamu sana sijui kwann watu hawa oni hinyimbo au promo ndogo ila komando kakukimbisa sana malikia wetu mara nyingine mkimbize komando😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🤲
Waooo mama na mwana so beautiful ❤️❤️❤️
Jaydee apewe Shamba la miti pale Chatooo...sambambaa na kujengewa sanamu
mama na mwana gud tag support...jidee sauti hiyo dada yngu ya fweeeedhaaaa...🤑🤑🤑
Aiseee mama ni mama. Jide umemaliza, Karen umetisha
Nimependa sana mama na mtoto
Ase hii ngoma kali Sana Sana Sana nzr Sana wow lady jaydee jmn utabakia juu km colona
Jide anaimba sana hapa Tanzania sauti haichuji.😊
Mamaake kareni poleni Kwa kumpoteza baba
Wambea iyi inawausu wafatiliaji wa maisha ya wenzio✌✌
Ngoma Kali Dada angu umejitahidi ujio mzuri
❤❤❤❤iko juu sana
Haise Mama wa sauti ya kipekee jay dee hujawahi kosea pongezi kwako dada careen Nawapenda sana❤️❤️❤️❤️
This lady has extremely awesome voice ..
Kareni amepita mto kama mama.... ila ngoma kali
Mzik mzur pasi na kiki. Hongera sana mama na mwana.
Sikuzote nilikuwaa cjui kuwa karen ni mtot wa komando 🤩 nimewapendaa bure
Wa kambo
Nyimbo nzuri sana jaman komandoo jd na mwanae tisha sanaaaaa😚😚😙😙😙😙
Sauti zao zinafanana mashallah 😘
Niya mama na mwana hyo hongeren sanaa
Nyimbo nzuri sana ILA naamin kbsa hii ni ngoma ya jidee kaamua kumpa mwanae ndo mahana melody lyrics zote ni jide mtupu uwezi kujua karen wpi kaimba ILA yote ya yote ngoma kali
Yes mnafanana n mna sauti tamu
Mama na mwana🔥🔥🔥🔥🔥
Hi ni part 2 ya siku hazigandi ya jide safi mzik mzuri
❤❤❤❤❤
Yaan mpaka mtoto kachukua sauti ya mama asee
Sauti zinafanana mnooo
nyimbo ni nzuri saaaaaaaaaaaaana
Amemlea mpk amemrandisha sauti🎉🎉🎉
SAUTI ZAFANANA MTU NA MAMAAKE❤❤❤❤POLE J DEEE NA KAREEN😢😢😢😢
Watoto waliolelewa na mama wakaleleka kwa adabu zote, wachana na wale wakujirekodi wakifanya upuuzi.
Nafurahi kuona mama wakambo akifanya kolabo na mtoto wakufikia ikiwa baba hana habari nao
Mama na mwanae waooo
Woow 🙏 hongera dada
Watu watambue makwao!
Wimbo mzuri.
saut zao zinafanana ayseee💋💋💞
Who is here baada ya Captain kuondoka
Mm hapa
Legendary, uko vizuri, Mama na Mwana 😘😍
Waoo mama na mtoto nawapenda
💓💓💓
Jide dada angu hujawahi kutuangusha nawapenda karen 🥰❤❤❤
Bonge moja la ngoma Kwetu queen of voice Karen ft Lady jay dee 🔥🔥🔥
Imeweza ....Moto wako hauzimiki jyde 🔥👸
Lady jay Dee kafuniko ✍️✍️😀
Karen#Jdee kichupaaa hatariii yaani fireee
kwetuuu
jamani urithi kwa mama
Hongereni sana kwa kazi nzuri,dada wa taifa unaga kazi mbovu
Mama na mwana hongereni
Nice mama na mwana nawapenda sn
Mama wa kambo ni MAMA🧡
❤
Hii ndio wimbo bora kwangu kutoka kwako, wimbo ni mzuri
Namm nakubaliana naww
Jay deee atabaki lady Jay dee tu🥰😋😋vdeo iko vzur
Hujawah niangusha malkia caren😍😍
Wa motooooo
Mama na Mwana.. 🔥
Mko motooo
Safi sana ❤️❤️❤️
Huu wimbo nimaalumu kwa wale wanaokaa makwao tu sisi tunajitegemea wenyewe tusubrii wimbo wa zuchu tuu, kila nikiusikiliza huu wimbo kweli nikwaajili ya wale wasiosubuliwa hata bli ya maji
Mashallah mbona nimechelewa kutoka jamani❤
Mmetisha wadada, wimbo mzuri kama wenyewe
Ngoma nzur
Legendy huwa akosei🤚
Saut zao zafanana yaan Hadi Raha❤️❤️❤️
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Uyu Jay Dee alibarikiwa sauti Basi tu,
Upo vizuri
nimeipenda san
Mama na Mwana❤❤❤❤
Hivi ni Mamake huyu
@@shamkrause4169 mama ake mlezi.
Katika ngoma hii Lady Jaydee umeendelea kuuonyesha ulimwengu kuwa wew ni nguli wa Bongo fleva kuanzia kwenye vocals na tone. Karen kajitahidi asifunikwe na lijendari na kaonyesha uwezo wa hali ya juu. Video imekaa sawa kuanzia quality hadi idea yenyewe ya video. Beat ni pure Bongo fleva. Bravoo
Lad Jay dee yuko vizuri sana hongera zake
Tuliomiss nyimbo zuri za ujumbe kama hizi tujuane jamaniiii.... natamani wawe na lebel yao hawa mamy and daughter wanajua sana
Sanaaaaaa
@@makulaikuku6909 itakuwa nzuriii sana full vipaji
Wataelewa
Hongela sana jd
Ipo mwaa
Wow
waoooow had mmefanana saut🎉🎉❤
Good song mmetisha
Nice song big up Jdee n Karen
Wooooow ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Mziki huu umekuwa mtamu Nadhani itakuwa sababu Ni KWASABABU HUMU KAIMBA mtu na MamaYake
Jide namkubal sana
Hukoseag malkia aqeee😍😍😍😍🔥🔥🔥
Sauti kama ya komandooo kwel kakulea vyema mama komando jide
Good job mama na mwana
Sauti 💃💃💃zote tamu
Malkia karen awesome
Karen mrembo jamani💕💕
Yaani dada Jide amempa Karen urithi wa kutosha kweli mama ni mama😢😢