Karibu Christina, kama wewe ni fresh hakuna tatizo. Hautaweka recommendation letter, sana sana inawahusu wale ambao tayari wameajiriwa na wanataka kuomba nafasi ya kazi sehemu nyingine.
@@yourportal Je kama umeshatuma maombi, ikatokea kuna kitu ulisahau kujaza au ku attach mfano transcript, ukifanya marekebisho kabla ya deadline labda kuiattach transcript, Je itaonekana? Msaada Tafadhari.
Samahani kam uliresit form four mfano masomo matano then ukaenda advance shule ya private then chuo sasa chet cha form huwa kinaandikwa div 4 ambayo hawaweki points ya ngapi sasa hapo inakuwaje?
@@mkinga085 Karibu sana, inatakiwa upige simu kupitia zile namba zilizopo kwenye website ya sekretarieti ya ajira ili wakupe ufafanuzi kwa kina nini sababu ya ombi lako kutofanikiwa kupokelewa.
Maelezo mazuri hongera, naomba kujuwa kama ndo naanza certificate afu account naihitaji na nikaifungua je? kadri napo panda elimu nitaluhusiwa Kuendelea kujaza baada ya miaka ya masomo kuisha na kuendelea
Karibu sana Naftar, Upo sahihi kabisa. Unaweza fungua account ikawepo Standby, kisha ukihitimu una attach cheti kwenye kipengele husika kama ulivyoona ili ajira zikitoka usiwe na kazi kubwa ya kufanya.
Je kama umeshatuma maombi, ikatokea kuna kitu ulisahau kujaza au ku attach mfano transcript, ukifanya marekebisho kabla ya deadline labda kuiattach transcript, Je itaonekana? Msaada Tafadhari @Guidelines for this channel
Asante, naomba msaada nikiweka taarifa za Nida na kujibu maswali na kusave inarudi kama mwanzo haibadiliki.nimejaribu mara nyingi sanaa.nikienda kuapply wanasema sija update taarifa kwa NIN wakati nimeupdate.pleasw help
Kwa mfano imetokezea umejaza kipengele cha Academic qualifications ila kwa bahati mbaya chet hakikuweza kukakaa wakat wa ku attach na ikaw tyr umeshasevu sas unafanyaje ili uweze ku upload chet kuweze kukaa sehem yake? Maan hakuna sehem inayoonesha ya kuedit au kufanyaje
Karibu sana. NASRA tunajivunia wewe. Nenda hapo hapo kwenye kipengele cha edit alafu attach tena iyo document itakubali, fanya ulog out kwanza then log in ndo ufanye hivo.
Mkuu, Mimi nimejaza taarifa zote kwa usahihi. Profile yangu ina 💯% lakini nikiaply kazi naambiwa (job application failed) sijui shida ikowapi naomba msaada tafadhali. Account yangu inazaidi ya miezi nane kila nikiaply inakataa!!.
Karibu sana Daudi, Tafadhali hakiki kwenye taarifa zako za "Academic Qualifications" ambapo cheti cha taaluma unayoombea kazi kionekane cha kwanza na pia hakikisha sifa iliyotolewa kwenye Tangazo la kazi iwiane na chaguzi ya "Course category" na "Course name" pindi unajaza Academic Qualifications.
@@SabrinaAbdul-y2j Karibu sana, pasina shaka ni suala linalowezekana. Lkn ni vema ukapiga simu kwenye namba za sekretarieti ya ajira wakakupa muongozo sahihi.
Samahani kama hauna professional academic inakuwaje
Karibu sana, Unaweza kujaza academic qualifications ulizonazo.
Je Kama hujawai kupata training and workshop
Karibu sana, sio kikwazo. sifa zako zingine kama academic na professional zitatumika kukupima.
Hi! Sasa hapo kwenye other attachments kwenye recommendation letter kwa ambae n fresh anaweka barua ipi?
Karibu Christina, kama wewe ni fresh hakuna tatizo. Hautaweka recommendation letter, sana sana inawahusu wale ambao tayari wameajiriwa na wanataka kuomba nafasi ya kazi sehemu nyingine.
@@yourportal Je kama umeshatuma maombi, ikatokea kuna kitu ulisahau kujaza au ku attach mfano transcript, ukifanya marekebisho kabla ya deadline labda kuiattach transcript, Je itaonekana?
Msaada Tafadhari.
@@happinessbenson2834 Karibu sana Happiness, Ukifanya marekebisho kabla ya deadline pasina shaka marekebisho hayo yataonekana.
Kwa mfano ulikosea kuchagua courses name and category mwanzo unaeeza rekebisha
@@RahmaZaidi-r8h Karibu sana. Inawezekana.
@@yourportal unafanyaje kubadirisha tafadhalii maelezo
Kwani inawezekana ukishajiunga ukajitoa na ukaanza upyaa
@@RahmaZaidi-r8h Tafadhali, jaribu kupiga simu kwa namba hizo apo katika tovuti ya sekretarieti ya ajira ili kupata muongozo mzuri.
Samahani kam uliresit form four mfano masomo matano then ukaenda advance shule ya private then chuo sasa chet cha form huwa kinaandikwa div 4 ambayo hawaweki points ya ngapi sasa hapo inakuwaje?
@@RisahRich Karibu sana, unaweza pata muongozo zaidi kwa kupiga simu kwenye namba zilizopo kwenye tovuti ya sekretarieti ya ajira watakusaidia vizuri.
sorry mfano uka apply mwishoni uka declare alafu ukajibiwa application failed apo inakuwaje tena ndio uwezi kuomba tena au
@@mkinga085 Karibu sana, inatakiwa upige simu kupitia zile namba zilizopo kwenye website ya sekretarieti ya ajira ili wakupe ufafanuzi kwa kina nini sababu ya ombi lako kutofanikiwa kupokelewa.
Upande wa certificates za form 4 na 6 tunaambatanisha living au academic certificates?
@@AbelMsachi Karibu sana, sehemu hiyo unatakiwa kuweka Academic Certificates na sio Leaving Certificates.
Habari!, Naomba kuuliza kama una skills za computer mfano ulijifunza chuoni au wewe binafsi lakini huna cheti inakuaje sasa hapo
Karibu sana, Jitahidi upate cheti toka taasisi zinazotambulika maana ndio uthibitisho unaokubalika.
Maelezo mazuri hongera, naomba kujuwa kama ndo naanza certificate afu account naihitaji na nikaifungua je? kadri napo panda elimu nitaluhusiwa Kuendelea kujaza baada ya miaka ya masomo kuisha na kuendelea
Karibu sana Naftar, Upo sahihi kabisa. Unaweza fungua account ikawepo Standby, kisha ukihitimu una attach cheti kwenye kipengele husika kama ulivyoona ili ajira zikitoka usiwe na kazi kubwa ya kufanya.
Sawa hsant sana
Je kama umeshatuma maombi, ikatokea kuna kitu ulisahau kujaza au ku attach mfano transcript, ukifanya marekebisho kabla ya deadline labda kuiattach transcript, Je itaonekana?
Msaada Tafadhari @Guidelines for this channel
Karibu sana Happiness, Ndio bila shaka itaonekana.
Ni lazma vyet viwe copy ndo vipigwe mhuri au hata og vpgwe mhuri then viwekwe?
Karibu sana, copy ya cheti orijino ndio kinapaswa kupigwa muhuri. USIPIGE MUHURI CHETI ORIGINO.
Mimi Najaribu ku badilisha certificates zangu niweke ambazo ziko certified inagoma
Karibu sana Nice, Tunajivunia wewe. Unaweza delete documents zote kabisa alafu anza mwanzo ku-upload kimoja kimoja kwa umakini.
Hi! Kama Nina barua ya internship naweza kuimbatanisha wapi?
Karibu sana Teddy, Unataka kuiambatanisha kwa lengo gani?
Mim nikijaribu kufungua inafika kwenye profile hapo inaishia 63% na sioni hayo maneno ya dash board
Karibu sana Mariam, Jaribu kupiga namba zilizopo hapo chini kwenye Mfumo wa AJIRA Portal watakupa maelekezo ya kina.
Hello samahan kama unataka kutuma maombi je application letter unaweka wap?
@@SwahumuEdyson Karibu sana. Tunajivunia wewe. Application letter unaiweka mwishon pale kabla ya ku submit ombi lako.
Kwa aliesoma degree nje ya nchi cheti cha TCU kitakua uploaded sehemu ipi?
Karibu sana Candy, Utakiupload kwenye Academic Qualification.
Ety inatakiwa ufikishe asilimia ngapi ili kuwez kutuma maombi??
@@jescamassaw karibu saba, Jitahidi walau 75. Lakini ukikamilisha ni vema zaidi.
@@yourportal pia naitaji kutoa Chet nilikosea kuweka
@@jescamassaw Unaweza kudelete tu kama kawaida.
@@yourportal mbon akuna sehemu ya Ku delete kuna Edit na nikijaribu inagoma
@@jescamassaw Karibu sana, jaribu kupiga namba za simu zilizopo hapo kwenye tovuti ya sekretarieti ya ajira kwa msaada zaidi.
Asante, naomba msaada nikiweka taarifa za Nida na kujibu maswali na kusave inarudi kama mwanzo haibadiliki.nimejaribu mara nyingi sanaa.nikienda kuapply wanasema sija update taarifa kwa NIN wakati nimeupdate.pleasw help
@@alphonsinajohansen353 Karibu sana, fanya jitihada kupiga namba zinazopatikana hapo kwenye tovuti ya sekretarieti ya ajira ili wakuongoze vizuri.
Kwa mfano imetokezea umejaza kipengele cha Academic qualifications ila kwa bahati mbaya chet hakikuweza kukakaa wakat wa ku attach na ikaw tyr umeshasevu sas unafanyaje ili uweze ku upload chet kuweze kukaa sehem yake? Maan hakuna sehem inayoonesha ya kuedit au kufanyaje
Karibu sana. NASRA tunajivunia wewe. Nenda hapo hapo kwenye kipengele cha edit alafu attach tena iyo document itakubali, fanya ulog out kwanza then log in ndo ufanye hivo.
@@yourportal namba ya nida bado inagoma kusave
@@yusterbaton9509 mimi pia,umeshafanikiwa?
Nimekosea nimeweka picha syo kila nikiapload inakataa nafanyaje
Karibu sana, futa kwanza ya awali.
Mkuu, Mimi nimejaza taarifa zote kwa usahihi. Profile yangu ina 💯% lakini nikiaply kazi naambiwa (job application failed) sijui shida ikowapi naomba msaada tafadhali. Account yangu inazaidi ya miezi nane kila nikiaply inakataa!!.
Karibu sana Daudi, Tafadhali hakiki kwenye taarifa zako za "Academic Qualifications" ambapo cheti cha taaluma unayoombea kazi kionekane cha kwanza na pia hakikisha sifa iliyotolewa kwenye Tangazo la kazi iwiane na chaguzi ya "Course category" na "Course name" pindi unajaza Academic Qualifications.
Naplod picha lakin inachukua mpaka nusu saa inakataaa
Karibu sana new dunia Tunajivunia wewe, Jaribu kurefresh page au kulog out na kulog in tena kisha upload upya.
Alafu mimi mbona kwenye orodha ya vyuo pale chuo changu akipo na hakuna sehemu ya kuedit
Jaribu kupiga namba ya customer service wakusaidie.
Sorry hiv kuna uwezekano wa kuomba sehemu mbili tofauti
@@SabrinaAbdul-y2j Karibu sana, pasina shaka ni suala linalowezekana. Lkn ni vema ukapiga simu kwenye namba za sekretarieti ya ajira wakakupa muongozo sahihi.
Sasa Kama coz yenyw hamn(education)/bachelor degree with education hamn
Kweny proffissional qualifications
Inashauriwa uchague course inayo endana na hiyo sifa yako kwenye orodha ya zilizopo,
Vipi je kuna option ya ku delete naitaji ku delete kitu lakin inakataa
Karibu Diana, Unatumia kifaa gani? Simu au Computer?
mimi shida yangu kwenye list ya course naona hakuna course ya record management alf nikiingiza namba ya nida inaniambia niingize tena why
Karibu sana@@shaibunyenzi8712 , Kuna wakati hutokea changamoto ya mtandao...unaweza jaribu tena baada ya muda kidogo kupita.
Samahan nauliza, nikiingiza NIN HAIKUBALI, wanasema ishatumika, je ni fanyeje
Karibu sana. Jaribu ku log out kisha ingia tena.
@@lucymmass na shida ya kuoa vyeti
Samahani kama hauna professional academic inakuwaje
@@RisahRich Karibu sana, jaza sifa ulizonazo. Ni sawa.