JINSI YA KUPATA TIN NUMBER UKIWA NYUMBANI KWAKO BILA KWENDA OFISI ZA T.R.A

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 26

  • @SuzanaKabule
    @SuzanaKabule Год назад

    Thank you mr

  • @nasibuzaburi6059
    @nasibuzaburi6059 Год назад

    waooooo kumbe raisi hivi

  • @SalimaMponda
    @SalimaMponda 5 месяцев назад

    Ahsante nimeipata na mie

  • @DaudJoel-th7re
    @DaudJoel-th7re 8 месяцев назад

    Broo ahsantee sana nimeipata japo imenichukua muda kuipata,,nimerudia kama mara 10 ndio nimeipata

    • @EvalineMdee
      @EvalineMdee 8 месяцев назад

      Umepata ya kazi au ya biashara

  • @LazaroNyemba
    @LazaroNyemba Месяц назад

    Hapana ndugu yangu hii november 2024 haijakubli

  • @ZainabuMwaikuka
    @ZainabuMwaikuka Месяц назад

    Jamaan mbona me yanakuja maelezo kama yaliyokuja kwako kaka nisaidie au hii ndio TIN number yenyewe?

  • @Mpira_.ujuzi.
    @Mpira_.ujuzi. Год назад

    Swafii🔥

  • @BaruchIsaya
    @BaruchIsaya 11 месяцев назад

    Brother naomba unisaidie kutengeneza tini number

  • @jumbekasim2860
    @jumbekasim2860 4 месяца назад

    Kaka tunaweza kuongea kupitia simu

  • @zainabukeya4581
    @zainabukeya4581 7 месяцев назад

    Haipiti number siioni naomba namba

  • @HaidarJuma-ip7of
    @HaidarJuma-ip7of 4 месяца назад

    mm nimefungua lkn mbn inaniambia km ningoze OPT me sina nmb ya OPT

  • @challoonlinetv1488
    @challoonlinetv1488 8 месяцев назад

    Kaka kwangu inakataa na namba yangu ya nida ndo yenyewe

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  8 месяцев назад

      Nenda kwenye ofisi yoyote ya t.r.a watakutatulia ilo tatizo

  • @MesiusAnord
    @MesiusAnord 10 месяцев назад

    Na Kama naitaji hard copy ya chet Cha tin number ntafanyaje brother

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  10 месяцев назад

      Wanakutumia kwenye email yako una download Kisha watu wa stationary wana kuprintia,
      Ila kana unaitaji cheti chenye ubora na kizito ni bora ukaenda T.R.A kwenyewe mana vyeti vyao vya sasa ivi ni vizuri sana

  • @JokhaHemed-br9zr
    @JokhaHemed-br9zr 6 месяцев назад

    Nifamishe kwani ni lazima uwe mfanya biashar

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  6 месяцев назад

      Mtanzania yeyote awe mfanya biashara, asiwe mfanya biashara ni wajibu wake wakua na tin number

  • @JeromeKayega-ct1rs
    @JeromeKayega-ct1rs 10 месяцев назад

    Aikubali inaniandikia opt shida nini

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  10 месяцев назад

      Jisajili kwa kutumia namba ya nida

  • @nasibuzaburi6059
    @nasibuzaburi6059 Год назад

    halafu tunapangishwa foleni kutwa nzima