PEPMIS: Namna ya kuandika Tasks na Sub tasks ( Kazi kuu na kazi ndogo ) katika mfumo wa ESS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 37

  • @SalumuBakomeye
    @SalumuBakomeye 11 месяцев назад +1

    Shukrani sana teacher, kwa teaching skills yako. Nimecatch hits zakutosha.

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 10 месяцев назад +1

    Asante sana ndugu. Nimeelewa somo vizuri

  • @fredyjoackimu-bk1tf
    @fredyjoackimu-bk1tf 9 месяцев назад

    Asante sana kiongozi wetu kwa elimu hiyo, I ❤

  • @vitalesgodson1732
    @vitalesgodson1732 Год назад +1

    Good........... best teacher

  • @AshaKanyika-c2c
    @AshaKanyika-c2c 10 месяцев назад +1

    Somo zuri

  • @gabrielsizya6043
    @gabrielsizya6043 Год назад +1

    Asante boss 🙏

  • @anchidantebe4796
    @anchidantebe4796 Год назад +1

    Thankx

  • @mariamwikedzi1638
    @mariamwikedzi1638 11 месяцев назад +1

    Asanteee

  • @majaliwamajaliwa5547
    @majaliwamajaliwa5547 Год назад +1

    Bro kwa upande Wa E-Loan bank ya NMB sijui Kuna shida gani, inagoma yaani Error text kibao tofauti na CRDB unatusaidiaje hapo?

  • @mauaadamu7657
    @mauaadamu7657 6 месяцев назад

    Account yangu haileti hiyo option ya task and subtask ,inaniletea employee annual planning shida nn?

  • @fredyjoackimu-bk1tf
    @fredyjoackimu-bk1tf 9 месяцев назад +1

    Tuaomba serikali yetu inayoongozwa na Rais Dkt.SAMIA SULUHU HASSAN itufikilie bando.

  • @philipomambile
    @philipomambile Год назад +1

    mimi nilipandisha objective za halmashauri lakini wakuu wa idara ambao walichelewa kujiunga now objective hazionekani tatizo ni nn?

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  Год назад

      Kila kitu kinaanza na wakuu kwahiyo za mwanzo zimekosa wakuzisimamia kama uli submit. Ila pia muda mwingine mwaka ulio tumia kuandika ndio uleule au umebadilisha? Check 2023 au 2024 kama kote hazionekani

  • @karimdaimu6977
    @karimdaimu6977 11 месяцев назад +1

    Je kutakuwa na pesa yoyote ya bando ambayo serikali itakuwa inatupatia

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  11 месяцев назад

      Hahah Kwasasa bando ni juu yako

    • @joycemwakasole5519
      @joycemwakasole5519 10 месяцев назад

      ​@@chande_sudi
      Asante sana,Yan nimeelewa .Ila namna ya kuweka weight naomba Mwongozo

  • @dreamonlinetv1493
    @dreamonlinetv1493 Год назад +1

    Kwa upande wangu mfumo Wa PEPMIS haupo kwenye account Yangu ya ESS shida ni nini?

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  Год назад +1

      Ili kuona option ya PEPMIS ongea na IT wa halmashauri Yako akupe role ndipo utaona PEPMIS. Unaweza mtumia mkuu wako kuwasiliana nae

    • @dreamonlinetv1493
      @dreamonlinetv1493 Год назад +1

      Shukran sanaa

    • @agnesignas4398
      @agnesignas4398 10 месяцев назад

      Hata mm eti

  • @JanethMathias
    @JanethMathias 11 месяцев назад +1

    Mbon niliposubmit sijaona zote tena

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  11 месяцев назад

      Jaribu kurefresh page

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 10 месяцев назад +1

    Taks AU TASK?

  • @arrimichael4356
    @arrimichael4356 9 месяцев назад +1

    Siyo tax kiongozi task

  • @edsonsalvatory5121
    @edsonsalvatory5121 11 месяцев назад +1

    Nina task zaidi ya nne, lakn kwenye mfomu zinadisplaya nne tu nashindwa kuendelea kujaza task zangu..

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  11 месяцев назад

      Unaandika moja kwa moja kwenye mfumo
      Jaribu kuandika task na subtask zake ukimaliza nenda kwenye task nyingine

  • @BoniphaceTemba
    @BoniphaceTemba Год назад +1

    Nikwel kujaza kazi z siku lazima uwe kwenye kituo chako cha kaz

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  Год назад

      No, unaweza kuwa kokote utakapo kuwa ila uwe umezifanya maana mpitishaji ni mkuu

    • @deogratiusmgute5983
      @deogratiusmgute5983 Год назад +1

      Unajaza lazima ndani ya muda wa Kazi au

    • @chande_sudi
      @chande_sudi  Год назад +1

      @@deogratiusmgute5983 No, hata ukiwa nje ya muda wa kazi ila ndani ya siku husika yaani isipite siku ya kufanya hivyo