Kwa Sasa mfumo haruhusu kufuta subtask Kwasabab ya weight inatakiwa kuwa 100% hivyo kama ukifuta unafuta task nzima na amabayo haijafanyiwa utekelezaji na si subtask
Hapana lkn ukiingia kwa supervisor sehemu ya report ukiingia sehemu ya download excel ya individual implementation unaziona hizo subtask zilizo futwa na hazijafanyiwa kazi ila kwangu na kwa suporvisor hazipo
Kama subtask supervisor kaprove alaf sijaifanyia kaz inaweza kufutika
Kwa Sasa mfumo haruhusu kufuta subtask Kwasabab ya weight inatakiwa kuwa 100% hivyo kama ukifuta unafuta task nzima na amabayo haijafanyiwa utekelezaji na si subtask
Supervisor Nawezaje kurudisha subtask za mtumishi alizosubmit afu kazifuta kabla ya kuzifanyia kazi (kuset start and end date ,weight)
Bado unaziona kwako??