E - UHAMISHO (ESS)_UHAMISHO WA KAWAIDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 16

  • @floraginduri7323
    @floraginduri7323 9 месяцев назад +2

    Msaada tafadhali surpervisor wangu haoni request yangu ila mimi naona ipo kwa surpervisor

  • @MartinaGilayda
    @MartinaGilayda 6 месяцев назад

    Ahsante kwa maelezo naomba kuuliza je kwenye attachment unapaswa kufenyeje

  • @edwardmsagala1608
    @edwardmsagala1608 7 месяцев назад +1

    Habari elezea pia transfer vacancy

  • @YustoMgaya-lq6gh
    @YustoMgaya-lq6gh 6 месяцев назад

    Naomba kujua katika ujazaji wa ombi la uhamisho ni vitu gani unaatach ukiachana na Cv

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804  6 месяцев назад

      Attachment itategemea sababu za uhamisho wako, yaweza kuwa cheti Cha ndoa, ugonjwa n.k

    • @YustoMgaya-lq6gh
      @YustoMgaya-lq6gh 6 месяцев назад

      Barua ya uhamisho,kuthibitisha kazini,ajira na vyeti vya taaluma hivi je ni lazima viwepo mkuu au havihitajiki

  • @esthermichael6856
    @esthermichael6856 5 месяцев назад

    Mbona mimi nikitaka kufanya application organization haionekani bali option inayoonekana ni region, je nifanye nini?
    Au barua inajitosheleza kueleza ninakotaka kwenda

  • @edwardmsagala1608
    @edwardmsagala1608 7 месяцев назад

    Vacancy not budgeted ,hii ni comment inayotokea baada ya kusubmit vacancy transfer inakuwaje apo

  • @nurathlugome4147
    @nurathlugome4147 10 месяцев назад

    Kwangu sion hiyo status lkn pia nikituma sion ilipofika na inaniandikia vacancy not available

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804  8 месяцев назад

      Vacancy not available maana yakee hakuna nafasi kule unapotaka kwenda, jaribu sehemu nyingine

  • @christiansylvester6901
    @christiansylvester6901 10 месяцев назад

    Hapo ukimaliza kusubmit request, kuna hiyo sehemu ya No, Attachment, Actions. Hii sehemu nini kinajazwa.
    Ahsante!

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804  10 месяцев назад

      Kwenye attachment unaweza weka supporting documents yoyote ambayo unaona yaweza kuwa na sababu za uhamisho wako wako. Mfano kama ugonjwa n.k

    • @christiansylvester6901
      @christiansylvester6901 10 месяцев назад

      @@ushindionlinesolution7804 ahsante

    • @christiansylvester6901
      @christiansylvester6901 10 месяцев назад

      Lakn baada ya kusubmitt request hiyo sehemu ya attachment inashindwa kufunguka