Ushindi Online Solution
Ushindi Online Solution
  • Видео 130
  • Просмотров 111 257
SEHEMU 1: MFUMO WA MATOKEO
Jinsi ya kutengeneza Mfumo wa Matokeo kwa Excell
Просмотров: 19

Видео

ONLINE TEST AND EXAMINATION
Просмотров 1674 часа назад
Jinsi ya kutengeneza maswali ya mitihani kwa njia ya masafa
ONLINE QUESTIONAIRE
Просмотров 627 часов назад
Fomu ya kukusanya taarifa za tafiti kwa Masafa
JINSI YA KUOMBA CHETI CHA KUZALIWA
Просмотров 88019 часов назад
Kuomba Cheti cha Kuzaliwa RITA
ESS_KUJAZA RUHUSA NA LIKIZO_SEHEMU YA KWANZA
Просмотров 1 тыс.14 дней назад
E-Likizo Jinsi ya kuomba Likizo na Ruhusa Mtumishi wa Umma
ADOBE PHOTOSHOP_JINSI YA KU RESIZE PICHA KATIKA PIXELS
Просмотров 27421 день назад
ADOBE PHOTOSHOP_JINSI YA KU RESIZE PICHA KATIKA PIXELS
AJIRA_PORTAL_JINSI YA KUOMBA AJIRA
Просмотров 3,5 тыс.Месяц назад
Jinsi ya kuomba Ajira katika Mfumo wa Ajira Portal
ASC_SEHEMU YA TATU: EXTRA CULLICULA AND SPECIAL TEACHER
Просмотров 433Месяц назад
ASC_SEHEMU YA TATU: EXTRA CULLICULA AND SPECIAL TEACHER
ASC_SEHEMU YA KWANZA: INSTALLATION AND ACTIVATION
Просмотров 639Месяц назад
ASC_SEHEMU YA KWANZA: INSTALLATION AND ACTIVATION
ASC_SEHEMU YA PILI: JINSI YA KUTENGENEZA RATIBA YA VIPINDI DARASANI
Просмотров 843Месяц назад
ASC_SEHEMU YA PILI: JINSI YA KUTENGENEZA RATIBA YA VIPINDI DARASANI
How to Install Window 10 using Flash Drive
Просмотров 808Месяц назад
Create Bootable USB drive Jinsi ya kupiga window
ESS_PEPMIS_TASK_ASSESSMENT
Просмотров 2,8 тыс.2 месяца назад
Namna ya kufanya Assessment kwenye implementation
ESS_IMPLEMENTATION _VOLUME III
Просмотров 2,6 тыс.4 месяца назад
SUPERVISOR SUBTASK APPROVAL
ESS_IMPLEMENTATION_VOLUME II
Просмотров 2,1 тыс.4 месяца назад
ESS_PEPMIS IMEPLEMENTATION AND MONITORING VOLUME II
ESS_IMPLEMENTATION VOLUME I
Просмотров 10 тыс.6 месяцев назад
IMPLEMENTATION AND MONITORING VOLUME I
TSCMIS HOW TO FILL AND UPDATE PROFILE
Просмотров 5 тыс.6 месяцев назад
TSCMIS HOW TO FILL AND UPDATE PROFILE
ESS PEPMIS TASK AND SUBTASK PERFORMANCE INDICATOR VOLUME II
Просмотров 4,3 тыс.6 месяцев назад
ESS PEPMIS TASK AND SUBTASK PERFORMANCE INDICATOR VOLUME II
ESS_MAMBO YA MUHIMU KWA MTUMIAJI WA ESS
Просмотров 3,2 тыс.6 месяцев назад
ESS_MAMBO YA MUHIMU KWA MTUMIAJI WA ESS
ESS_JINSI YA KUKUBALI OMBI LA UHAMISHO WAKUU WA VITUO
Просмотров 3,2 тыс.6 месяцев назад
ESS_JINSI YA KUKUBALI OMBI LA UHAMISHO WAKUU WA VITUO
ESS_UHAMISHO WA KAWAIDA
Просмотров 4,5 тыс.6 месяцев назад
ESS_UHAMISHO WA KAWAIDA
ESS_PEPMIS WEIGHT PERFORMANCE INDICATOR
Просмотров 6 тыс.6 месяцев назад
ESS_PEPMIS WEIGHT PERFORMANCE INDICATOR
ESS_UHAMISHO WA KUBADILISHANA
Просмотров 4,1 тыс.6 месяцев назад
ESS_UHAMISHO WA KUBADILISHANA
ESS PEPMIS - TASK AND SUBTASK
Просмотров 4,4 тыс.7 месяцев назад
ESS PEPMIS - TASK AND SUBTASK
HTML TUTORIAL 03 - Comment, Button and Image Tag
Просмотров 339 месяцев назад
HTML TUTORIAL 03 - Comment, Button and Image Tag
Introduction to HTML 02
Просмотров 419 месяцев назад
Introduction to HTML 02
Excell Tutorial - Hyperlink
Просмотров 4829 месяцев назад
Excell Tutorial - Hyperlink
INTRODUCTION TO HTML - TUTORIAL 1
Просмотров 1379 месяцев назад
INTRODUCTION TO HTML - TUTORIAL 1
MS POWER POINT: SOMO LA KWANZA
Просмотров 2672 года назад
MS POWER POINT: SOMO LA KWANZA
MS ACCESS: SOMO LA KWANZA
Просмотров 2282 года назад
MS ACCESS: SOMO LA KWANZA
VLOOKUP FUNCTION_JINSI YA KUTAFUTA MADARAJA
Просмотров 5452 года назад
VLOOKUP FUNCTION_JINSI YA KUTAFUTA MADARAJA

Комментарии

  • @khalifanidiliku366
    @khalifanidiliku366 Час назад

    Appreciate it bro 🙌🙌👏👏👏👏

  • @AnesiusJasson-ej9gz
    @AnesiusJasson-ej9gz 7 дней назад

    Nimetuma maombi na attachments zote nimeweka na waajiri wote wamepitisha lakini kwenye

  • @rojahussein9530
    @rojahussein9530 8 дней назад

    Naomba tuwekee setup yake...!

  • @ElizabethNgwesa
    @ElizabethNgwesa 8 дней назад

    Nikishalipia ef 20.. hatua inayofata ni ipi?? Ntajuaje km cheti changu kimeshakuwa tayari? Au nasubiri muda gani kufata cheti?

  • @chuseboy6325
    @chuseboy6325 11 дней назад

    Likizo ya kwenda masomoni? More than two years

  • @bonifacemwasala2244
    @bonifacemwasala2244 13 дней назад

    Subt task ya kuendesha gar inakuwa completed au progress?

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 13 дней назад

      Nafikiri wewe kama msomi utakuwa unaelewa kazi Yako imekaaja. Mfano mdogo unaweza angalia kwa udereva wako task zimekaaje Kuna root ukiona root aziesabiki tumia siku

  • @esthermichael6856
    @esthermichael6856 15 дней назад

    Mbona mimi nikitaka kufanya application organization haionekani bali option inayoonekana ni region, je nifanye nini? Au barua inajitosheleza kueleza ninakotaka kwenda

  • @ramadhanichampunga9304
    @ramadhanichampunga9304 22 дня назад

    Asante mkuu , naomba kuuliza ukishafikia hatua hio ya kuomba na masomo na kuweka barua zako ,kuna hatua yoyote ya ku submit au inakuwa ndo umemaliza, na vipi kama ule mstari wa percentage haujafuka 100

  • @marynziku9332
    @marynziku9332 26 дней назад

    Kuaplod profile picture inagoma jaman inasema internal sever error

  • @elipendohenry4122
    @elipendohenry4122 27 дней назад

    unaaaply kwa ajili ya wengine sh ngap?

  • @jamesmwinami9814
    @jamesmwinami9814 28 дней назад

    Jamani barua inaandikwa kwa mkono au soft copy

  • @sylivesterandasoni6154
    @sylivesterandasoni6154 28 дней назад

    Kuna cheti cha chuo niliwahi kukiweka hakikuwa certified saiv naingia kwenye sehemu ya kuedit naweka ambacho kipo certified lakn hakibadiliki shida ni nini?

  • @rebecamadaha8934
    @rebecamadaha8934 28 дней назад

    Nisaidie number yako ya Whatsapp unapplie

  • @georgejoshua8514
    @georgejoshua8514 28 дней назад

    Mbona nikaaply mara ya pili mkoa mwingine naambiwa Already applied

  • @SafiaHamadi-vi4xv
    @SafiaHamadi-vi4xv 29 дней назад

    Kama umesahau password unafanyaje

  • @ommyly
    @ommyly Месяц назад

    Sehemu ya Verification Certificate unaweka nini?

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 Месяц назад

      Kwa mujibu wa muongozo. Hapo WANAJAZA wale waliosoma nje ya nchi ambao wanapewa verification certificate kulingana na level husika

    • @ommyly
      @ommyly Месяц назад

      @@ushindionlinesolution7804 shukrani

  • @zalalablogtv899
    @zalalablogtv899 Месяц назад

    Hiyo app ya asc

  • @zalalablogtv899
    @zalalablogtv899 Месяц назад

    Kaka naomba link ya kupakua hiyo app

  • @dammygishasho1351
    @dammygishasho1351 Месяц назад

    Naomba msaada wa powa point

  • @frankenremigo3235
    @frankenremigo3235 Месяц назад

    💪

  • @kostinatusmbughu6172
    @kostinatusmbughu6172 Месяц назад

    Samahani mtaalam me ess normal transfer sion organization

  • @mohamedimambea3282
    @mohamedimambea3282 Месяц назад

    Nitaipataje

  • @abasmuniru142
    @abasmuniru142 Месяц назад

    Nitapataje drive zake

  • @deoswila9418
    @deoswila9418 Месяц назад

    Nice

  • @ANICIALUMALA
    @ANICIALUMALA Месяц назад

    Umetisha Sana Kiongozi

  • @MartinaGilayda
    @MartinaGilayda Месяц назад

    Ahsante kwa maelezo naomba kuuliza je kwenye attachment unapaswa kufenyeje

  • @mohamedimidaya6194
    @mohamedimidaya6194 Месяц назад

    🔥

  • @oneviusonesphory6156
    @oneviusonesphory6156 Месяц назад

    Ahsante sana mwamba

  • @timothymubuga3942
    @timothymubuga3942 Месяц назад

    🤜🤜

  • @JephutaKomanya
    @JephutaKomanya 2 месяца назад

    Naomba na namna ya kutengeneza mfumo Ratiba ya MASOMO automatically

  • @YustoMgaya-lq6gh
    @YustoMgaya-lq6gh 2 месяца назад

    Naomba kujua katika ujazaji wa ombi la uhamisho ni vitu gani unaatach ukiachana na Cv

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 2 месяца назад

      Attachment itategemea sababu za uhamisho wako, yaweza kuwa cheti Cha ndoa, ugonjwa n.k

    • @YustoMgaya-lq6gh
      @YustoMgaya-lq6gh 2 месяца назад

      Barua ya uhamisho,kuthibitisha kazini,ajira na vyeti vya taaluma hivi je ni lazima viwepo mkuu au havihitajiki

  • @mohamedhajimsingino2172
    @mohamedhajimsingino2172 2 месяца назад

    MIMI NAULIZA KUWA SUPERVISOR AKIINGIA KTK ASSESSMENT KUNA MWALIMU HAONEKANI HAPO, JE SHIDA NI NINI? NAOMBA UFUMBUZI

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 2 месяца назад

      Anatakiwa awe amefanya implementation na hizo implementation supervisor azi approve

  • @andreajustine-or2cl
    @andreajustine-or2cl 2 месяца назад

    Kwangu hizo quantitative indicators zinaonesha scores ni sifuri. Yaani system haijaniweka scores kwa watu ninaowasimamia. Tatizo litakuwa nini??

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 2 месяца назад

      Walifanya implementation kwa wakati na Kila siku?

    • @andreajustine-or2cl
      @andreajustine-or2cl 2 месяца назад

      Haikuwa kwa wakati na haikuwa kila kisu. Kama hii ndo shida, solution yake itakuwa ni nini??(ili na quantitative scores zionekane)

    • @andreajustine-or2cl
      @andreajustine-or2cl 2 месяца назад

      ​@@ushindionlinesolution7804haikuwa kila siku na sometimes haikuwa kwa wakati. Kama shida ndo hii, solution yake itakuwa nini

  • @kitivoman6469
    @kitivoman6469 2 месяца назад

    Vp kuhusu quantitative yenyewe inakuwaje?

  • @TitiHassan
    @TitiHassan 2 месяца назад

    Nilikuwa ninafanya approve ikaonyesha subtasks must have only qualitative performance indicator.nifanyaje

  • @athusmateru
    @athusmateru 2 месяца назад

    Inamaana maombi haya ya kubadirishana hayapitii kwa wakuu shule au walimu wakuu lkn pia halmashauri mtu atokako? Maana ktk maelezo sijaona kwamba ombi limekwenda moja kwa moja yaani wahusika tu?

  • @edwardmsagala1608
    @edwardmsagala1608 2 месяца назад

    Vacancy not budgeted ,hii ni comment inayotokea baada ya kusubmit vacancy transfer inakuwaje apo

  • @edwardmsagala1608
    @edwardmsagala1608 2 месяца назад

    Habari elezea pia transfer vacancy

  • @SamsonAkyoo
    @SamsonAkyoo 2 месяца назад

    Kwenye quantitative indicator nikiingiza perfomance indicator ina fail kwann?

  • @aslammohamed3365
    @aslammohamed3365 2 месяца назад

    Naomna ya ku edit tarehe ya kuanzi na kumalizia kwa kila subtask

  • @sumabadman1055
    @sumabadman1055 2 месяца назад

    Mimi ni Supervisor kwenye kituo cha kazi lakini kwa sasa sizioni subtask ambazo zimefanyiwa implementation na zikawa submitted... Au kuna siku maalumu ambazo naweza kuziona hizo subtask ambazo tayari zimepewa hizo asilimia. Mwanzoni nilikuwa naziona lakini kwa sasa kila nikiingia kwenye mfumo sizikuti ingawa wenzangu wanakuwa wamenitumia tayari.😊

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 2 месяца назад

      Hakikisha yafutayo 1. Member wako wawe wamesubmit kazi. 2. Taarifa zenu za kituo zifanane 3. Wakiset kama supervisor

    • @jameslukumay2050
      @jameslukumay2050 2 месяца назад

      Members wako Kama hawajasubmit huwezi kuona chochote hata yeye humuoni pengine wamepandisha majukumu yao lkn hajasubmit maana akisubmit unaona kwako ikiwa na 0% pia na yeye inaonekana 0% sasa wewe ukiverify tu utaona zile asilimia alizojaza pengine 50% kushuka chini sio zaidi ya 50% pia na yeye akaziona

    • @jameslukumay2050
      @jameslukumay2050 2 месяца назад

      Na yeye pia ataona zile alama ila kwa Sasa hawezi kuziona

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 2 месяца назад

      Hakikisha vizuri 1. Clear cache and history 2. Logout and login again

  • @hemedimshanafihiri5371
    @hemedimshanafihiri5371 2 месяца назад

    Nan. Alowah nunua

  • @user-gj3id9tl2f
    @user-gj3id9tl2f 2 месяца назад

    Naipataje hii huduma kiongoz

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 2 месяца назад

    Asante

  • @MethodNgailo
    @MethodNgailo 3 месяца назад

    Nahitaji huduma hii sh ngapi?

  • @walterlweve2955
    @walterlweve2955 3 месяца назад

    hivi mfano mkuu wako kakosea kaweka kipindi cha mwaka mzima na huwezi kuweka asilimia mia lakini anaitaji ww uweke kiambata kama vile mfano CA katika kipengere cha mazoezi kutolewa. na hiyo inayakiwa iwe in progress

  • @JosephineMyula
    @JosephineMyula 4 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @philberthamkongwa2267
    @philberthamkongwa2267 4 месяца назад

    kwangu niki save inaniambia there is pending progress created or rolled back

  • @philberthamkongwa2267
    @philberthamkongwa2267 4 месяца назад

    Kwangu ku verify inagoma shida itakua nini

  • @jassonkyaruziwilliam5372
    @jassonkyaruziwilliam5372 4 месяца назад

    Mbona nikiweka asilimia za utendaji kazi kila siku, hazionekani asilimia kwenye kazi zangu ndogo.

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 4 месяца назад

      Zzinaonekana sema pengine unapoangalia sio. Fatilia video ya implementation and monitoring Volume II na Volume III