Kwa sasa ambapo tumefikia mwisho wa mwaka naweza kumuwekea mtumishi alama 100? Nauliza hivi maana nikiangalia expected inaonesha tofauti na mtazamo wangu
Kumbuka hiyo ni Score yaani alama ya wazi AMBAYO unampima. Hiyo unaweka kulingana na wewe kiongozi unavyoona, na ndo maana unapima Qualitative. Nitoe Mfano kidogo. Tuchukulie Task ya kundaa azimio la kazi kwa mwalimu. Sawa mwalimu amendaa azimio moja. Sasa wewe kama mkuu unapima quality ya hilo azimio je mwalimu ameliandaa kwa kufata misingi na ubora wa ELIMU na wakati. Tena ili kusiwe na bias waweza muambia kabisa kwamba sehemu Fulani umechemka au mtu amefanya kazi kwa kusukumwa sana. Nafikiri wewe kama kiongozi unafahamu. Pia waweza share na viongozi wenzako wenye uzoefu na pia tukunbuke kwenye OPRAS tulifanyaje kuwapima watumishi. Alama ya chini ni 0 ya juu 100
Kaka eh mbona mimi sioni qualitative hapa katika kuasses boss wangu
Set ndugu
Kwa sasa ambapo tumefikia mwisho wa mwaka naweza kumuwekea mtumishi alama 100?
Nauliza hivi maana nikiangalia expected inaonesha tofauti na mtazamo wangu
Kumbuka hiyo ni Score yaani alama ya wazi AMBAYO unampima. Hiyo unaweka kulingana na wewe kiongozi unavyoona, na ndo maana unapima Qualitative. Nitoe Mfano kidogo. Tuchukulie Task ya kundaa azimio la kazi kwa mwalimu. Sawa mwalimu amendaa azimio moja. Sasa wewe kama mkuu unapima quality ya hilo azimio je mwalimu ameliandaa kwa kufata misingi na ubora wa ELIMU na wakati. Tena ili kusiwe na bias waweza muambia kabisa kwamba sehemu Fulani umechemka au mtu amefanya kazi kwa kusukumwa sana. Nafikiri wewe kama kiongozi unafahamu. Pia waweza share na viongozi wenzako wenye uzoefu na pia tukunbuke kwenye OPRAS tulifanyaje kuwapima watumishi. Alama ya chini ni 0 ya juu 100
Sioni sub task za member wangu ili niwafanyie assessment
Rekebisha timeframe kupitia annual institution performance planning update
MIMI NAULIZA KUWA SUPERVISOR AKIINGIA KTK ASSESSMENT KUNA MWALIMU HAONEKANI HAPO, JE SHIDA NI NINI? NAOMBA UFUMBUZI
Anatakiwa awe amefanya implementation na hizo implementation supervisor azi approve
Kwangu hizo quantitative indicators zinaonesha scores ni sifuri. Yaani system haijaniweka scores kwa watu ninaowasimamia. Tatizo litakuwa nini??
Walifanya implementation kwa wakati na Kila siku?
Haikuwa kwa wakati na haikuwa kila kisu.
Kama hii ndo shida, solution yake itakuwa ni nini??(ili na quantitative scores zionekane)
@@ushindionlinesolution7804haikuwa kila siku na sometimes haikuwa kwa wakati.
Kama shida ndo hii, solution yake itakuwa nini
Sasa kuna watu inakuja qualitative pekee shida nn
Wakati wa kuset weight hawakujaziwa angalia hii video utaelewa ruclips.net/video/asNApqzp3XM/видео.html
Vp kuhusu quantitative yenyewe inakuwaje?
Sikiliza hiyo video majibu yote yapo
Angalia hapa ruclips.net/video/asNApqzp3XM/видео.html