Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Habar broo
Asante kwa video nzuri
Hizo picha unaupload vipi???
Ulivyoangalia hiyo tutorial mwanzo mwisho Kuna sehemu imesema upload picha
@@ushindionlinesolution7804 elekeza watu, hapo kuna sehemu ya kuattach picha either ya kitambulisho cha mzazi au cha mhusika ndo nauliza, jinsi ya kufanya hizo picha za vitambulisho kuwa kwenye mfumo wa pdf. Elekeza vizuri sio unajibu kwa makasiriko
Nikishalipia ef 20.. hatua inayofata ni ipi?? Ntajuaje km cheti changu kimeshakuwa tayari?Au nasubiri muda gani kufata cheti?
Angalia status mzee angalia hiyo video mpaka mwisho
Habar broo
Asante kwa video nzuri
Hizo picha unaupload vipi???
Ulivyoangalia hiyo tutorial mwanzo mwisho Kuna sehemu imesema upload picha
@@ushindionlinesolution7804 elekeza watu, hapo kuna sehemu ya kuattach picha either ya kitambulisho cha mzazi au cha mhusika ndo nauliza, jinsi ya kufanya hizo picha za vitambulisho kuwa kwenye mfumo wa pdf. Elekeza vizuri sio unajibu kwa makasiriko
Nikishalipia ef 20.. hatua inayofata ni ipi?? Ntajuaje km cheti changu kimeshakuwa tayari?
Au nasubiri muda gani kufata cheti?