Wafanyakazi PPRA wanolewa kutumia Mfumo wa Upimaji wa Utendaji Kazi - PEPMIS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025
  • #nest

Комментарии • 7

  • @OmariAkida-i4z
    @OmariAkida-i4z Год назад

    Malengo Katika utendaji kazi wangu

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 10 месяцев назад

    Assnte.

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Год назад

    Usumbufu mtupu kazi za dharura itakuwaje muhimbili mfano Montuary imeharibika mwenye hizo spare hajui Nest na spare inahitajika leo. Nest itawezaje dharura kamahizo. Au Airport ICAO wanakuja keshokutwa ili uwanja usishuke daraja kuna vitu vipatikane wakija wavikute. Kushuka kiwango uwanja kuna ndege hazitakuja. Idara ambazo zinamanunuzi ya dharura ni nyingi sana hao fire gari limekufa mtambo pump fundi na spare zake hawajui Nest kunashughuli zitasimama au kuchukuwa muda mrefu japo ni za dharura. Dharura hazipingiki

  • @yousirsports7482
    @yousirsports7482 Год назад

    Shida ni bando shida sio matumiz

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 Год назад

    Nchi hizi inaendeshwa kwa majaribio bila kuangalia mazingira tuliyonayo,mwaka jana mlikuja na kalenda ktk ufundishaji,likafeli.Sasa huu mfumo wa kijigitali iitafaa kweli kwa wote nchi nzima maana kuna maeneo hakuna mtandao!