Habari, sub task ya kuandaa maazimio haionekani kwenye dashboard ya implementation, lakini kwenye dashboard ya annual planning inaonekana. Nifanye nini? Ili niweze kuifanyia implementation
Kiongozi nitakusumbua sana ila lengo nipate uelewa,nimescan maazimio page mbili mbili ila nikiweka kwenye sabu task yake naambiwa implementation not registered why
Kama kaverify hiyo subtask kwake inaondoka hivyo hawezi kurudisha, ila unaweza kutumia subtask hiyohiyo kuweka utekelezaji mwingine wenye asilimia sawa na uliopita
Kaka samahani,mimi ni baharia kuna kitu sijaelewa subtask zangu nyingi ni usimamizi wa mfano kupakia mizigo hiyo subtask kwa mfano inakuwa inprogessa au completed maana kila siku tunasimamia na kumaliaza kazi kaa siku hiyo, msaada please
@@millardable4868 unaweza kutengeneza subtask kama hiyo ila itofautiane kidogo tu, Kwa kutumia botton ya annual institutional update ukaituma Kwa supervisor akaweka timeframe na performance indicator pamoja weight Kisha ukaendelea kujaza mayo hiyo mpya
samahan naomba kuuliza miminimehama kituo cha kazi mwezi wa saba ko kutokana na mda huo ambaockuepo kazin nimeanz kazi mwezi wa nane ninajalibuku creat task inagoma inasema nt time for planning msaada wako please
Kama haukuandaa mpango kazi unaweza kuandaa nje ya muda Kwa kutumia tab ya annual institutional performance update Gusa link kuangalia ruclips.net/video/uyVtfmT2fm4/видео.html
Mfumo unaruhusu kusabmit document zaidi ya moja kwenye subtask moja! Hiyo kama unamasomo mengi unaweza kusubmit Kila moja peke yake. Pia ukionganisha yote katika pdf 1 inaongeza size ya file hivyo mfumo hauruhusu kukusanya file kubwa
Kwa inategemea na performance indicator yako kama umeunga masomo yote au Kila moja liko peke yake pia angalia performance indicator ya mkuu Ili kujua kama mkuu ametaka ukusanye Kila siku au uwe unaweka progress
Mafunzo yamekuwa mafupi na yanaeleweka vizuri. Asante kwa muda wako
Ahsante kwa kweli umetusaidia sana
May you be blessed abundantly Mr
Mtandao shida
Asante sana Kiongozi
Asante sana kwa maelekezo
Safi sana ndugu
Asante sana
Msaada mkuu wa idara akitaka kushusha majukumu Kwa maafisa anafanyaj
Nifanyeje kama task na Sabtask hazionekani kwenye implementation progress?
Je, Supervisor wako ameziaprove hizo subtasks?
Cjui kama ameziaprove
@@tibageorge5683 maana zinatakiwa kuonekana bila ya kufanya kitu kingine Cha ziada
Wasiliana na mkuu approve subtasks zako utaziona akishaupprove
Sehemu ya lmplementation and monitoring sub task hazionekani na mkuu wangu wa kituo amesha approve shida ni nn msaada please
Itakuwa ni error za mfumo maana hakuna namna tofauti ya kuzionesha subtask Bali ni ufanyika automatic na mfumo wenyewe
Habari, sub task ya kuandaa maazimio haionekani kwenye dashboard ya implementation, lakini kwenye dashboard ya annual planning inaonekana. Nifanye nini? Ili niweze kuifanyia implementation
Kiongozi nitakusumbua sana ila lengo nipate uelewa,nimescan maazimio page mbili mbili ila nikiweka kwenye sabu task yake naambiwa implementation not registered why
Angalia end date ya subtask kama Iko ndani ya muda
Kama huoni subtasks shida ni nn kwenye pg ya implementation
Vipi Na mkuu wako ameziaprove kwake?
Ni lazima kuscan mf lesson kila siku au scheme kama sehemu ya athibitishi?ua nitaingiza task ikiwa complete
Utascan pale inapo kuwa complete, na Kwa Sasa hata kama progress status ikiwa complete haikuruhusu kuattach PDF
Samahani nitafanyaje kama sub task ilikuwa inaasilimia kubwa na nahitaji mkuu aweze ku rollback na muda huo ameshai verify?
Kama kaverify hiyo subtask kwake inaondoka hivyo hawezi kurudisha, ila unaweza kutumia subtask hiyohiyo kuweka utekelezaji mwingine wenye asilimia sawa na uliopita
Dropped subtask inatolewa AU?
Subtask inaendelea kuwepo
Hizi subtask mfano ya maandalio unapima kwa kutumia nini na kwa muda gani ili kupata asilimia
Uliofanya / idadi ya mwaka mzima * 100. Ila pia soma performance indicator ya mkuu Ili kujua kujua inataka submit vipi
Boss naeza pata mawasialiano yako? Plz🙏🏾
0752109530
Kwenye kupokea kazi za walimu Bado sijaelewa vizuri kwenye PC naona mmoja wakati wengi wame submit msaada tafadhari
Baada ya add progress wamesubmit?
Jamani kama ni kiingereza basi kiandikwe kiingereza mf.sub task isomeke hivyo na siyo sab...! Hii ni lugha ya watu
Kaka samahani,mimi ni baharia kuna kitu sijaelewa subtask zangu nyingi ni usimamizi wa mfano kupakia mizigo hiyo subtask kwa mfano inakuwa inprogessa au completed maana kila siku tunasimamia na kumaliaza kazi kaa siku hiyo, msaada please
Ni Bora zaidi kutumia in progress na kuandika asilimia kulingana kazi ulioifanya kozi ukiweka completed hautaweza kusubmit tena
@@chande_sudi kwahiyo unaweza kuandika asilimia 100 halafu Kesho uka andika tena asilimia 100 inawezekana, ikiwa kwenye status ya in progress
@@chande_sudi kama pia ushajaza completed unafanyaje na kila siku unatakiwa utume na kazi wenyewe sio za document
@@millardable4868 unaweza kutengeneza subtask kama hiyo ila itofautiane kidogo tu, Kwa kutumia botton ya annual institutional update ukaituma Kwa supervisor akaweka timeframe na performance indicator pamoja weight Kisha ukaendelea kujaza mayo hiyo mpya
@@chande_sudi thanks
Sorry kwa hiyo MAAZIMIO yote napaswa ku Scan na kutuma moja moja
Yah! Ila si Kila page unaweza Chukua sehemu zenye muhuri
Kiambata cha completed lectures ni kipi?
Lesson plan
samahan naomba kuuliza miminimehama kituo cha kazi mwezi wa saba ko kutokana na mda huo ambaockuepo kazin nimeanz kazi mwezi wa nane ninajalibuku creat task inagoma inasema nt time for planning msaada wako please
Tumia option ya annual institutal performance plan update ni ya 4 kutoka juu
Mi nimmojawapo ya ambao hatuzioni subtask jenaziandika mimi mwenyewe, na naziandikia wapi
Kama haukuandaa mpango kazi unaweza kuandaa nje ya muda Kwa kutumia tab ya annual institutional performance update
Gusa link kuangalia
ruclips.net/video/uyVtfmT2fm4/видео.html
Samahan kama uko likizo taarifa ya kila siku utajaza nn?
Utajaza endapo tu umefanya kazi kama hauja fanya hauto jaza
HApo tunaweka maazimio yote hata kama kumi
Mfumo unaruhusu kusabmit document zaidi ya moja kwenye subtask moja! Hiyo kama unamasomo mengi unaweza kusubmit Kila moja peke yake. Pia ukionganisha yote katika pdf 1 inaongeza size ya file hivyo mfumo hauruhusu kukusanya file kubwa
Kwenye completed kwangu hakuna option ya choose file
Inapaswa kuonekana
Kama hainonekani Itakuwa ni error tu ya mfumo
Naona nilivyoweka subtask zangu sikuweka periods ndo Nafanya je.
Maana naambiwa niweke periods
Ukiweka task na subtask zako kazi kwako mwenye kuweka muda (start date and end date) ni mkuu wa wako
Periods ataweka mkuu wako
Asante sana
Kiongozi mkuu anaonaje kazi za walimu wake
ruclips.net/video/RzHitxe0yfQ/видео.html
Gusa hii link hapo
Mm ata sielew
Jaribu na hii zote Zina SoMo moja ila hii ni Kwa mujibu wa update za Sasa hivi
Gusa hii link
ruclips.net/video/LauKXUqloaI/видео.html
Maandalio ya masomo kama saba naweza weka kwenye pdf moja
Kwa inategemea na performance indicator yako kama umeunga masomo yote au Kila moja liko peke yake pia angalia performance indicator ya mkuu Ili kujua kama mkuu ametaka ukusanye Kila siku au uwe unaweka progress
Kaka mimi nakuelewa lakini namna ya kuziingiza hizo sub task kabla ya kuzifanyia kazi inakuwaje
Yaani hakuweka mpango kazi?
Naedit vipi task na sub twsk
ruclips.net/video/uyVtfmT2fm4/видео.htmlsi=QfDKONoHXuk4OL-e
Angalia hiyo 👆👆
Kama hyo button ya action haipo unasubmit je
@@WinifridaEddie button inatakiwa kuwepo Ili kusubmit kama button haionekani inaweza kuwa ni error za mfumo ambayo inaweza kukaa sawa baada ya muda
NAOMBA UNITUMIE NO YAKO INBOX PLS ILI UNISAIDIE ZAIDI.
0752109530