05 Mfumo wa ESS(PEPMIS): Namna ya kuweka Time frame, Weight na Perfomance Indicator kwenye subtask

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 сен 2024
  • Katika video hii tutajifunza namna ya kuweka Time frame, Weight na Perfomance Indicator kwenye subtask
    Unaweza kutazama pia
    Kujisajiri na ESS - • 01 Mfumo wa ESS(PEPMIS...
    Kujiunga na TSCMIS - • 01 Mfumo wa TSCMIS : J...
    Kujaza taarifa kwenye TSCMIS - • 02 Mfumo wa TSCMIS J...
    Kutuma Malalamiko yako kupitia TSCMIS - • 03 Mfumo wa TSCMIS J...
    kuweka Task na Subtask - • 04 Mfumo wa ESS(PEPMIS...

Комментарии • 12

  • @WinchslausKatura
    @WinchslausKatura 3 месяца назад +1

    Nimekuelewa

  • @Marwa-sc5gn
    @Marwa-sc5gn 2 месяца назад

    Ikiwa amezkosea unaweza kuzifuta zote akaamza upya?

    • @MkufunziBora
      @MkufunziBora  2 месяца назад

      Kama huja submit unaweza futa au kuedit. Ila kama ziko submitted lazima uwasilianae na ngazi ya Halmashauri

  • @jimmymwaipambe-xj1kr
    @jimmymwaipambe-xj1kr 3 месяца назад

    Mimi nikiwa naapprove subtasks inaniandikia invalid requests shida nn

  • @NdahaMirambo-hk4fo
    @NdahaMirambo-hk4fo 3 месяца назад

    Ikiwa walim hawazion task ulizo approv unafanyaje

    • @MkufunziBora
      @MkufunziBora  3 месяца назад

      Mwl mkuu akisha approve task kwake zinaondoka na kurudi kwa mwalimu husika. Kama mwalimu husika kwake hazionekani basi kunaweza kuwa na shida kwenye
      Time frame au
      Aliweka complete badala ya in progress.
      Vinginevyo ni shida ya mfumo

  • @user-bt7yr4fv7g
    @user-bt7yr4fv7g 3 месяца назад

    Mimi nikitaka kuadd quantitative weight system inafeli kusave. Nisaidie kiongozi.

    • @MkufunziBora
      @MkufunziBora  3 месяца назад

      Quantitative kwa sasa inatakiwa kuwa na uzito wa 70. Na iwe moja tu kwa kila subtask

  • @drmagai
    @drmagai 5 месяцев назад

    Kweli wewe ni mkufunzi bora