Lukamba afungukua jinsi yeye, Diamond walivyookolewa kwenye mikono ya DIDDY, tulinyweshwa vilevi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 190

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Месяц назад +1

    Lukamba Umetisha Sana blood 🔥💯💥💫

  • @ozilraven8442
    @ozilraven8442 Месяц назад +72

    Afu na hizi media zenu za bongo mnafwatilia vitu vya kupuuzi sana yan mshasahau kabisa kuwa kuna watoto wanapotea Kila siku watu wanauawa afu nyie mmefocus kwenye ujinga wa didy acheni upumbavu bc mbn mnakuwa kama mange kimambi!😮

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Месяц назад +15

    Hii stori naanzaga kucheka hapo kwenye kuitwa mpande juu kucheki muvi😊😅😅😅😅👐,,,seblen hamnaga muvi??😅😅

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 Месяц назад +1

      dah 😂😂😂😂😂😂😂😂 nahisi tuko pamoja

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j Месяц назад +13

    Au nyie jaman msikute p didy Nd shetani wa kwel kwel yn yule alietupwa Dunian aliewadanganya Adam na Hawa usikute Nd p didy😂😂😂

    • @MamaLio475
      @MamaLio475 Месяц назад

      Kwakweli Yani ni mashetani katikati ya wanadamu😢ilo somo alifundisha Askofu Gwajima

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Месяц назад +6

    Mtoto Wa Tandale Aliwi Kizembe

  • @JiddahMohammed-dv4nr
    @JiddahMohammed-dv4nr Месяц назад +8

    Lukamba tangu nimejue kwa mara ya kwanza nimeenoy kumskiliza ❤...

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Mungu aliwaokoa maskini alijua mlienda kujitaftia si kufuata hayo wanayoyafanya wao kwa ufirauni wao....siku nyingine mkome😂😂😂

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 Месяц назад +1

    Kuna sehemu anadanganya wakati Tale alisema kwa AyoTV bro Chumbani, waliingia hapa anaruka.

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 Месяц назад +13

    Babu tale sijuwi angekimbilia mlango gani😂😂😂😂😅

  • @rosengiloi9381
    @rosengiloi9381 Месяц назад +3

    Na wivu kwa Diamond anvyopambana,hojini vitu vya msingi

  • @YusufnduneJana
    @YusufnduneJana Месяц назад +2

    Ebanae lakini platinum ka kubali aliangalia movie hii kiboko

  • @GwamamatoniGwamamatoni
    @GwamamatoniGwamamatoni Месяц назад

    Mtenda dhambi pia mtenda maovu kwa uharibifu Mungu humuumbua siku moja tu .atapata raha zote starehe za dunia akiona yeye ndie yeye hakumbuki kuna siku ataumbuka.lakini kuumbuka ni siku moja Mungu anafungua zaidi maovu yake.

  • @kissmanbashimeofficial
    @kissmanbashimeofficial Месяц назад +1

    Pole

  • @GRas-d7p
    @GRas-d7p Месяц назад +4

    Ahh hawa wote kwa kutaka ustar viuno vyao vimevunjwa na P Diddy na Johnson and Johnson Oil😂😂😂😂

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 Месяц назад +1

    😂😂😂Babu Tale mbunge wa Morogoro Kusini sijui angewaambia nini watu wake😂😂😂😂😂

  • @ThomasThomas-yi8hg
    @ThomasThomas-yi8hg Месяц назад +1

    Lukamba kazi unayoo hii mbaka ififie hii ishu Kaz utafanya

  • @jimlinekimani2326
    @jimlinekimani2326 23 дня назад

    Waliliwa Nyuma na p Diddy..huyu na hiyo sura yake handsome lazima p Diddy kamfungua booti

  • @Saleh-mg8fr
    @Saleh-mg8fr Месяц назад

    Lumumba.asante❤unatuteya❤❤

  • @godymastermind9534
    @godymastermind9534 Месяц назад +4

    Swizbeat ni mtu poa sana. Ana utu na anajali sana. Swizbeat ni bonge la mtu aisee

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria Месяц назад

    Tamaaa nyingi sana misenge nyinyi ndio maana mumetobolewa

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Месяц назад +5

    Kuna siri wewe unaijua watu wa saikology gonga like hapa

  • @MusaJosephi
    @MusaJosephi Месяц назад +1

    Ukienda kwa p.diddy kama Simba unarudi ukiwa Bata p.didy siyo MTU mzuri.
    .

  • @Mtana-d2x
    @Mtana-d2x Месяц назад +12

    😂😂huyu mbona tangu hii issue itokee. Interview ni yeye tu mbona walio kuwa maboss zake amuwahoji sanaa .. ipo siku ataropokaa tu

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Месяц назад +1

      Brand kaka

    • @latifahali8228
      @latifahali8228 Месяц назад +1

      Maboss zak hawataki upumbavu

    • @njaujustin56
      @njaujustin56 Месяц назад +2

      Kak hii kick hakuna aliyekwenda kuonana na Diddy biashara hii kama hutak kuniamin ipo siku msikilize vizur huyu dogo kuanzia movie inaanza utaona ni maigizo

    • @PeterWilbard
      @PeterWilbard Месяц назад

      Na anajitetea kweli huyu lkn,tujiuluze kweli Diddy afanye na watu wengine tena sura mbaya,eti amuache huyu kidosho!!😊

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 Месяц назад

      @@PeterWilbard 😂😂😂😂😂

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD Месяц назад +10

    Mbona wasafi festival wanakutemaa😂😂😂😂 ww kuongea ya watu tu kutafuta ela ahhhhhhhhh

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f Месяц назад

      ogea ya watu ya mbwa tukiogelea mtihani

  • @nvgtvone
    @nvgtvone Месяц назад

    Lukamba anasikika ata apa UG Uganda

  • @kadzo6614
    @kadzo6614 Месяц назад +1

    English please 😭😭 I'm Kenyan but your Swahili is tough and complicated.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Месяц назад +4

    Mashoga saivi wana hali ngumu 😅😅😅 wafe tu wote maana hamna namna washenzi wanatuaribia uafrika wetu uku Mungu akitukasirikia. Kua shoga kweli ni changamoto 😅😅😅😅 tubuni umbwa nyie

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 Месяц назад +2

    Acheni mambo ya kishoga na nyiny sns

  • @PeterWilbard
    @PeterWilbard Месяц назад +1

    Shida ya huyo, anataka kumtetea Boss wake lkn kwa bahati mbaya sana Boss mwenyewe alishajilipua eti kuna vitu walifanya chumbani kwa Diddy ambavyo havifai kuzungumzwa mitandaoni😢

  • @FahimaOmary-v4c
    @FahimaOmary-v4c Месяц назад

    lazima wachesheze viuno babu Maji ndani

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc Месяц назад +2

    Tamaa mbaya sn hizo shinda zote zimewapata...sababu ya dream za boss wenu msani..i no..1 kutaka awe Tajiri namba moja duniani....ukijiuliza hata huyo pdd mwenyewe hajawahi kuwa Tajiri namba moja duniani...punguzeni tamaa ...ridhikeni na halizenu... 😮

    • @naifathassan2607
      @naifathassan2607 Месяц назад

      Kupambanià ndoto zako sio tamaa acha uzuzu wèwè

    • @MikidadiSalim-xk9dc
      @MikidadiSalim-xk9dc Месяц назад

      @@naifathassan2607 haya wewe usiyekuwa zuzu nenda kwa puff daddy na wewe ukapambanie ndoto zako..tena pidd yuko gado kahamishwa prison na muda si mrefu atakuwa huru mana..Tajiri siku zote hafungwi haki niyake....

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 Месяц назад

    Kama unesikia " katika music ili mambo yako yakunyookee lazima kuwe na mkono wa Didy" 😂 gonga like!!! Kweli huu ni ushetani.

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia Месяц назад +1

    Jamaa mshamba kaweka vishanga shanga

  • @chalemofaraji8797
    @chalemofaraji8797 Месяц назад

    Jamani nilipenda kuhukiza vipi Hali ya hewa huko kuna snow au ?

  • @khadijauthman4802
    @khadijauthman4802 Месяц назад

    Amepata trending na issue ya P Diddy

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад

    Tatizo lako wewe lukamba ni mzee wa connection ndio maaana 😂😂

  • @xtra100
    @xtra100 Месяц назад

    Achana na kuongelewa Didy...ila kuna kitu watu hawaelewi wamikoani tunajua wasanii Hawa wanakuja kuchukua maokoto sana...

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 Месяц назад

    Na ulivo mrembo angeanza na wew Kwanza kama chai😢🥱😂😂😂😂

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 eti babu tale sijui angekimbilia mlango gani

  • @jimlinekimani2326
    @jimlinekimani2326 23 дня назад

    Mlikunywa vinywaji huko Kwa p Diddy mkalewa mkaliwa nyuma

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Месяц назад +1

    Kwa picha hii Simba aligeuzwa bata

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 Месяц назад +1

    Trending sasa hapo jamaa anajiona nani

  • @WEPROVEIT
    @WEPROVEIT Месяц назад

    MARIOO NI ASSETS YA BURUDANI....

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420
    @hujjatulasrsocietyoftanzan8420 Месяц назад

    Kwa nini kasema siri alaf ww uiseme. 😂😂

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE Месяц назад

    😂😂😂Hakuna kuweka sawa mambo haya, ishatokea mlikuliwa

  • @WEPROVEIT
    @WEPROVEIT Месяц назад

    SELE NA BAD NANI MTATA ..MAANA NI KAMZOZO🔥

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 Месяц назад

    Hizi online media ni aibu, nothing adds value to our country, ujinga ujinga tu kama uchoko vile

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 Месяц назад

    Kama Diddy hajawaalika maana yake mko salama acheni wawaze wanavyowaza hamjaalikwa wala hamjapewa ofa mlimshitukiza mko salama

  • @rizikimwero1767
    @rizikimwero1767 Месяц назад

    Kwani ata kama walikulwa watasema rahisi ivyo sio sai ila wanakuja sema wenyewe ila sai watazunga sana

  • @ozilraven8442
    @ozilraven8442 Месяц назад +3

    Huyo lukamba nahisi ni shoga

  • @Waberoya
    @Waberoya Месяц назад

    Kwani angewananilii wawili kwa pamoja?

  • @rashidseif9771
    @rashidseif9771 Месяц назад

    Alitaka huyo asiyo cheza pooltable Aende juu

  • @catherinepeter4255
    @catherinepeter4255 Месяц назад

    Kila kitu incomplikee

  • @NAMANGABOE
    @NAMANGABOE 17 дней назад

    Tuelezee kwanza didi oil zikoaje

  • @kelvinsauveur6264
    @kelvinsauveur6264 Месяц назад +1

    Mumeliwa musi jiteteye. Ivi njo muanza kuongeya . Diddy anakunwa ciroc

  • @ellyndaprincess3235
    @ellyndaprincess3235 Месяц назад +2

    Hii medie sometime inakuwa kama media ya udaku ongeleeni mambo ya msingi bac acheni uchoko halaf HUYU MTANGAZAJI KAKOMAA NA HII ISHU

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Месяц назад

      Wewe nahisi unashida.
      Unataka wakuzungumzie wewe😂😂😂

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f Месяц назад

      na hili la msingi vile vile cyo muda wa siasa ni ubea tu kutobwa na kupakwa mafuta

    • @darweshabdallahsaidi8087
      @darweshabdallahsaidi8087 Месяц назад

      Mbn unaharaka broo ukiona media huielewi achana nayo au ww ni 1 wapo kwa puff🏛

  • @MwitaKihugi
    @MwitaKihugi Месяц назад +1

    Tz ninyi wanafiki sana mange akipost vitu hua mnamtusi kumbe nimegundua hua mna wivu tu hamna vya kupost saivi mda wote d didy tumechoka na ufyuzi wenu

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu Месяц назад

    Nendeni tu mukachezee washenzi wa dunia marekani kila kitu marekani wale ni washenzi wa dunia

  • @qurantajwid9749
    @qurantajwid9749 Месяц назад

    Haahahaahah kalabo na rick ross,Ne yo,Omarion,sio kwa bure lazima upitiye kwa Didi kakak.....😂😂😂😂

  • @RichardMbwelwa-xk3tm
    @RichardMbwelwa-xk3tm Месяц назад

    Lukamba ameongea kwa niaba ya wote hata Diamond huwezi muhoji tena, Lykamba kidumbe pia sweezbeatz mtafutieni

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj Месяц назад +1

    Lukamba naimani iposiku utaongea vitu vaukweli

  • @shakombomwangauri633
    @shakombomwangauri633 Месяц назад

    Alafu mbona Mafinger!Madolee!

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha Месяц назад

    Hawa michepuko ya didiy walisha zoea chuma ya didy .cheki hayo mashaangaa

  • @azp5199
    @azp5199 Месяц назад +1

    Lukamba shenzi sana😅😅

  • @jimlinekimani2326
    @jimlinekimani2326 23 дня назад

    Hiyo kuchekacheka lazima kapakwa futa nyororoni

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 Месяц назад

    Yani lukamba bosi wako amesema muuliitwa kuangalia move hakusema kuwa hakwenda

  • @Msindo.Famiry.Korogwe
    @Msindo.Famiry.Korogwe Месяц назад

    ILA P DIDIY..LISEMWALO LIPO..NA KAMA ALIPO BASI RAJA...KAMA WALINYWESHWA VINYWAJI KWELI, BX WAMELIWA HAO.. KWASABAB APO KWA P DIDY..KUNA WALINZI NAO WAMELIWA UNAFIKILI WATARUUSU MTU HAOKOLEWE IKIWA WAO WAMELIWA😂😂😮

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Месяц назад

    Hawa jamaa wanapindisha maneno kila mtu anasema mmbo tofauti....c walisema walikatazwa kwenda uko kwa diddy...xai anasema walienda mpka uko.....hawa wapewe bangi na konyagi....wataongea ukwel wapuzi hawa...😅

  • @EdhaOmar-jd6os
    @EdhaOmar-jd6os Месяц назад

    ikiwa wewe umesema lukamba umekua mzuri si bado kuolewa tu kasonga kavaa heleni kapaka poda kajichubua kisha p diddy asijiskie nae si uongo huo

  • @athumanhamad8522
    @athumanhamad8522 Месяц назад

    Yani kaanza kwa kumjaza

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c Месяц назад

    Açheni mambo yakijiga waandishi wahabari fateni mambo vamsigi watu wanatekwa wapizani na wanahalakati wana pewa kesi zauogo na mapolis mnakazi yakujadili city having afya wawapi wanafilwa hamsemi au legolemu kumchafua sima

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Месяц назад

    Nyinyi acheni kumpondq did

  • @jimlinekimani2326
    @jimlinekimani2326 23 дня назад

    Lukamba pia kaliwa mkunduthe na p Diddy 🤣

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m Месяц назад

    Hili jamaa lishapitiwa pididy nn naona anasuka nywele

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 Месяц назад

    Kiujumla wanamuziki wote wajali bu kujipamba kama wanawake.kusuka nywelee kutoboa pua na masikio .wapigwa miti wanatuaibisha waafrica

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 Месяц назад

    Hyu jmaa ni mpuuz anachotaka n kutembea na upepo tu ili atrend mana alkua hyupo kwny ramani , hili sio jmbo la kuznguka ukisema linafaa kukemew hatujuibn kwli wala n uongo ila sio vyema kila mhali kusema uliitwa chumbani ukakataa

  • @rosengiloi9381
    @rosengiloi9381 Месяц назад

    Tz vitu vya maana hatufuatilii ,hivi vya kipuuzi ndio mnafuatili. Tuache ujinga

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis Месяц назад

    Ww lukamba usisahau ulipo toka utapotea unapo enda ww mshamba ww unamponda mtu alie kuonesha njia

  • @Elecovid
    @Elecovid Месяц назад

    Daimond kaliwaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @AfrodDre_Official
    @AfrodDre_Official Месяц назад

    duuuh
    haya basi tyali ao washliwa kboga boga.

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy Месяц назад

    Kumbe vichwa vinakula bange ya arusha na avilewi

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya Месяц назад

    Lukamba na kiki nayo ameamwa kutumia upepo wa P DIDDY

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Месяц назад

    Ubaya Wa Zambi Ya Kwa Mpalange Imenyooka Uwe Umeliwa Au Wewe Kula Wote Zambi Moja2 Bila Kujali Umekula Kwa Mkeo Mpenzi Yani Kwa Yeyote Zambi Ni Moja2 Mliwa Tako Na Mlaji Tako Wote Njia Moja2 Kifupi Kabla Ujatoa Lawama Kwa Unaemuisi Lakini Nawe Ukijua Umefanya Uo Ushenzi Kwa Mkeo Au Mpenzi Aiza Kwa Mashoga Zambi Moja2 Wote Zambi Moja Kikubwa Kuepuka Kubishana Na Ukweli

  • @bakarhaj9214
    @bakarhaj9214 Месяц назад

    Mtu anakukaribisha kwake pia anakuita mukacheki movi mukafanya mengi tu ambayo hayastahili kuongelewa hadharani tena muliinjoy kabisa halafu munasema ni mtu mmbaya kweli. Kuweni na fadhil michepuko ya didy.
    DIDY NI MTU MWEMA KABISA.
    HANA BAYA AKIFA HAOZI NA AKIOZA HANUKI

    • @bakarhaj9214
      @bakarhaj9214 Месяц назад

      Vua miwani basi wanasaikologia tunataka kufanya kazi yetu

  • @johnmsogoti8552
    @johnmsogoti8552 Месяц назад

    HIZI MEDIA ZA BONGO BWANA KWAHYIO HAKUNA VITU VINGINE VYAKUFUATILIA MPAKA MUENDELEE NA VITU VISIVYOWAHUSU AU NDIO KWENDA NA UPEPO

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Месяц назад +1

    Hawa jamaa walipigwa pumbu aisee... Kila siku interview swala Hilo Hilo..

    • @TabuMudi
      @TabuMudi Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani!!!!😅

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 Месяц назад

      @@TabuMudi hakika.. Sio kawaida kila media yupo tu kuongelea swala hilo kujitetea kwa kutumia nguvu Sana.. Kukaa kimya ingekuwa poa Sana..mara tuliitwa juu tulakataa mara tulikaaa mpaka usiku saa nne.. Mmbunge nae anasema sweezbeats alituokoa!! Hawa walipigwa pumbu kabisa

  • @zianamakame
    @zianamakame Месяц назад

    wanaume achane ushog mntia aibu

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 Месяц назад

    Ila lukamba. 😅😅😅😅😅

  • @dennisngonyani1795
    @dennisngonyani1795 Месяц назад

    INA MAANA CKU ZOTE MLIKUWA HAMUMJUI JAMAA NA KASHFA ZAKE? LABDA HIZO HELENI NA VIPINI VILIMVUTIA KUWENI MAKINI KUIGA IGA VITU.... HAYA HIYO MIHERENI YA NINI WATOTO WA KIUME

  • @zianamakame
    @zianamakame Месяц назад

    lukamba ni mwke au mwme

  • @youngb8672
    @youngb8672 Месяц назад

    Sku zote walikua wap kuongelea na kaz uwongo tuuu

  • @donhussle948
    @donhussle948 Месяц назад

    P DIDDY NI DISTRACTION HII TU YA DIAGEO TAJIRI MKUBWA NDO ANATAKA P DIDDY ADIDIMIE NDO YAKAJA HAYA YOTE WAYAONA . ...SNS TAFADHALI NAWAOMBA MUKASIKIZE ( DR UMAR )RUclips AKIONGELEA KUHUSU HIYO ISSUE NDO MUTAJUA NI NINI KINAENDELEA TAFADHALI

  • @MikidadiMohammed-vi9gv
    @MikidadiMohammed-vi9gv Месяц назад +1

    😂😂😂 misinainani na nyinyi maana mumeludi tu kukaanza kuvaa vikuku

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Месяц назад

    Huyo kukamba shoga anajiremba kuliko dada yake

  • @JohnGoryo
    @JohnGoryo Месяц назад

    Mbn Ddy ni mtu mzur tu mnamchafua et mngeenda mkaangalia movie

  • @quintinaC
    @quintinaC Месяц назад +1

    Booty zilifunguliwa.

    • @frayy5595
      @frayy5595 Месяц назад

      Alooh 😂😂😂

  • @Chiddy-l7c
    @Chiddy-l7c Месяц назад

    Wambongo makuma hamtumii akili uchawa ndio wenu nakuji kuta ujinga hivi nyinyi kukaa mitandaon kutukana wasanii wenu kuwakashif kusapot ujinga mna pata nn yani mm nakuchaneni ukimtukana msanii wako nisawa unajitukana mwenyeo pia uchoko haja anza yeye machoko tele mitaani acheni ujinga wazee

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck Месяц назад

      Tunawasifu wasanii waliopakaliwa mafuta na diddy ni vibaya kweli

  • @Zaburi-
    @Zaburi- Месяц назад

    Kila mtu sooo 😂

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 Месяц назад

    Kwenye kutafuta tobo mkatobolewa

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @firdausiabdullaali6495
    @firdausiabdullaali6495 Месяц назад

    Tewe