KASHA - ZANZIBAR TAARAB

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 41

  • @fatimataidrissa-bangura202
    @fatimataidrissa-bangura202 Месяц назад +1

    SHUKRAN KWA ORIGINAL KASHA LANGU.
    JAZAKA LLAHUL-KHEIR.

  • @MrBagabwa
    @MrBagabwa 9 лет назад +3

    Finito!!! Can never forget those beautiful times,just amazing and its what keeps us going thru these chaotic and unpredictable times......

  • @davidmwarangu5771
    @davidmwarangu5771 6 лет назад +2

    usifanye makelele, melipa mengi mapesa... proud to be kenyan

  • @naimaalkaff8769
    @naimaalkaff8769 4 года назад +4

    Although am in my late teens, but this song is my favorite... napenda alivyoiimba habib saleh zaidi

  • @beatriceabilla1537
    @beatriceabilla1537 7 лет назад +3

    This is realy a Golden Song my husbnd worships it japokua haelewi chochote am very praud to be kenyan

  • @slymanmassaun7418
    @slymanmassaun7418 10 лет назад

    Kasha langu kitambo sana leo nimeisikiliza kwamakini sanna

  • @kajikaone
    @kajikaone 6 лет назад +1

    Loooove this song Kasha langu la mkarafuu 💜💜💜

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 3 месяца назад +1

    Kasha langu la zamani alietunga ni nani,mbona hajulikani tokea enzi za miaka hamsini ,funguo yake haionekani,mombasa au Zanzibar

  • @hemmysaleh3521
    @hemmysaleh3521 2 года назад +1

    It's originated in Mombasa Kenya, Mombasa was part of Zanzibar Empire.

  • @nababyahayaatt.2422
    @nababyahayaatt.2422 2 года назад

    J'adore ça

  • @mwendeobol7821
    @mwendeobol7821 9 лет назад

    Naipenda taraab kutoka Zanzibari sana.

  • @40hamdan
    @40hamdan 14 лет назад +1

    kasha langu lazamani kweli nizamani

  • @cassidycarter3635
    @cassidycarter3635 9 лет назад +1

    love Zanzibar

  • @khalfanshikely8168
    @khalfanshikely8168 7 лет назад +2

    best song ever.

  • @simenyasikhulu
    @simenyasikhulu 12 лет назад +1

    Is this the original Kasha song ama ni replay? All the same it takes me to days nilipokuwa mdogo. Good stuff.

  • @dennismacdenniton5943
    @dennismacdenniton5943 3 года назад

    Mmm wimbo huu kuna pahala limesemekana limeimbiwa Mombasa ....na nikaamini
    Mfano alilovunda maguu-alilovunja nuguu kwa wazanzibari...lero badala ya leo(Zanzibar)...acheni maongo pia mushrooms waliimba pia kwa beats zao

  • @davidmwarangu5771
    @davidmwarangu5771 6 лет назад +2

    great and timeless song.
    but is it from kenya or zanzimbar?
    .. ... alolifungua nani, amelivunda maguu. .... kuvunda badala ya kuvunja ama maguu badala ya miguu..... that is swahili from lamu.
    makaafuu-mkarafuu......
    melipa mengi mapesa....

  • @hllmm77ail58
    @hllmm77ail58 10 лет назад +1

    mungu amrahamu Ameen

  • @abuudhabi8949
    @abuudhabi8949 9 лет назад +1

    kasha nalitumia vizur lina raha zke

  • @NAlawi-xh3xn
    @NAlawi-xh3xn 7 лет назад +1

    Nice song and never dies.

  • @hashimalyan343
    @hashimalyan343 10 лет назад +1

    of course its better than the original

  • @shahidamohammed2863
    @shahidamohammed2863 7 лет назад +1

    who has the lyrics of this amazing song

    • @iriswinter9709
      @iriswinter9709 7 лет назад +6

      Kasha langu la zamani kasha lisilo tumbuu
      yenye harufu ya ndani na ufunguo ni huu,
      Alofunga ni nani amelivunja maguu?
      Kasha muundo kwa kale si muundo kwa kisasa
      ni kazi ya watu wale si Baniani Mombasa.
      Usifanye makelele melipa mengi mapesa.
      Kasha la mkarafuu madubuti sawasawa
      lenye harufu ya fuu muda ukilifungua
      lanukia karafuu na waridi lisotiwa.
      Mafundi wote wa kale kwa hivi sasa hapana
      na walobaki wa vile kabisa hutawaona.
      Ilobaki mvulele na kazi sijaiona.
      I have also a translation:
      The box I had so long possessed, the box that had no bolt,
      inside it had a pleasant smell, and here I have the key.
      Who then opened it and broke its legs?
      It was a box of old-fashioned shape,no modern construction,
      it was the work of those people, not of the Mombasa Indians.
      Do not make a noise, I paid a lot of money.
      My box of clove-tree wood, solidly made,
      with the smell of coconut-shel;l when you open it
      it smells like a clove, and like a flower that was never put in.
      [It smells like something that was never there.]
      All experts of the old days, [agree] that such a thing is not found today,
      and those who remain from that time, you will never see them now.
      What is left is foolishness, but good work I have not yet seen.
      I took this from: Knappert, Jan (1974) "Fifteen Swahili Songs", In: Bulletin of the School of Oriental and African Studies, 37, 1, p. 124-136.

    • @ladderssnakes1755
      @ladderssnakes1755 6 лет назад

      Iris Winter thank you

    • @erickmabongah1986.
      @erickmabongah1986. 2 года назад

      @@iriswinter9709 Thanks

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 7 лет назад

    Mashaallah

  • @RADIOMASTFM
    @RADIOMASTFM 11 лет назад +1

    NICE!

  • @adamboy3795
    @adamboy3795 8 лет назад

    Ni nani jamani alie lifungua hili kasha langu? maneno yenye uzani

  • @fatmaabdallah848
    @fatmaabdallah848 8 лет назад

    super ajab

    • @beatriceabilla1537
      @beatriceabilla1537 7 лет назад

      There is this Song La paloma Swahili Version plz if somebody knw It hook me up, i wil apreciate

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 6 лет назад

    irudi zanzibar ya zamani🤔🤔🤔🤔

    • @saidmzee5471
      @saidmzee5471 3 года назад

      wanasema imeimbwa Mombasa kwani Kenya kuna mkarafuu?