PITA EWE WANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии •

  • @nadiakhamiss5797
    @nadiakhamiss5797 5 лет назад +8

    Namikono iko wazi tayari kukupokea... ukae kwangu hirizi kunilinda na wabaya.. daima nitakuenzi ili tupate tuliaa 🥰🥰🥰🥰

  • @zuhuraramadhan3960
    @zuhuraramadhan3960 4 года назад +5

    Nimetafuta sana jina la hii nyimbo dah" lakin wew mwandan unaeburdisha" Shari zimetulia nzur kuiskiliza na Mr mambo yanazidi kua mazur ndan

  • @sheaabdallah6946
    @sheaabdallah6946 8 лет назад +6

    pita ewe wangu nakuomba niamini naipenda sana hii nyimbo

  • @fatmakessy981
    @fatmakessy981 5 лет назад +2

    Alaah hiz ndio nyimbo zinagusa mpaka pasipofuuh.nice

  • @selaboy
    @selaboy 5 лет назад +4

    Super star Mukrim nakupenda kama kaimati. Tamuuuuuuu

  • @fabianndambo813
    @fabianndambo813 5 лет назад +5

    Mashaallah, kwa wimbo huu karibu habibt moyoni , umenigusa kabisaaaaaaa

  • @ashajuma2338
    @ashajuma2338 6 лет назад +4

    naipenda sana hii nyimbo

  • @hidayadude7106
    @hidayadude7106 6 лет назад +4

    Huzuni ya moyo wangu ila nitaienzi na kuipenda cku zote nyimbo hii

  • @a_y_d_a
    @a_y_d_a Год назад

    Hainishii ham nikiskilizaa😊🥰

  • @hachimiarachidi9735
    @hachimiarachidi9735 6 лет назад +2

    PITA EWE WANGU NAKUONA NIAMINI NAIPENDA SANA HII NYIMBO NTOHO WUBA YE MOYONI

  • @hachimiarachidi9735
    @hachimiarachidi9735 5 лет назад +1

    PITA EWE WANGU NAKUOBA NIAMINI DJOO WUDJA YE MOYONI!

  • @salmajuma9209
    @salmajuma9209 6 лет назад +1

    Nice one...

  • @khalafmwalimu3891
    @khalafmwalimu3891 Год назад

    Maa shaa Allah

  • @mbaroukkhamis7077
    @mbaroukkhamis7077 4 года назад

    Bomba

  • @maraam2001
    @maraam2001 4 года назад +1

    فعلا جميل الطرب الماضي
    الزمن الجميل والرقي في الكلمة والأداء

  • @hachimiarachidi9735
    @hachimiarachidi9735 6 лет назад +2

    💖💖💖💖🇹🇿🇹🇿

  • @cauthermahende5240
    @cauthermahende5240 2 месяца назад

    🥰🥰

  • @sabrasalum836
    @sabrasalum836 7 лет назад +3

    💝

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 5 лет назад

    Ishara zao machoni nitaka nihangaisha, lakini wewe mwandani utaenipumziiiiiiiiishaa

  • @AhmedALI-hv3zv
    @AhmedALI-hv3zv 8 лет назад +1

    good

  • @zenaal-baalawy1953
    @zenaal-baalawy1953 Год назад