Nilikua najua sisi waafrika Ndio wanafiki namba 1 duniani ila waarabu kwa sasa wapewe Grammy ya unafiki kwa HERUFI KUBWA. La Palestina hawalioni leo la Syria Ndio imekuwa vichwa vya habari za ubaya hadi Al Jazira wanamponda Assad daaaaaa
Al jazeera ni chombo cha Qatar, Qatar imetoa mabilioni ya dolla kwa makundi ya kigaidi, rudi kwenye uvamizi wa isis syria utaiyona Qatar ikiwemo kwenye list ya kuwaunga mkono ISis na chombo chao icho cha aljazeera ninafanya kazi ya kuuchafua utawala wa assad, na kusafisha maovu ya al Qaeda syria
Marekani na washirika wake ndiyo walio anzisha nchi ya Israel hivyo sishangai anacho kifanya Israel kuungwa mkono na Marekani tuache kuwa wanafiki chanzo cha migogoro yote duniani ni Marekani ambaye ndiye mnufaika na siku si nyingi wasyria wataanza kuingia ulaya kutafuta maisha na mapigano yapo karibu note haya
Ibrahim Rahby unatuchambulia kwa uwazi na uhakika. Hawa viongozi wa marekani na israel wote wana laana ya Allah na tunamuomba Allah awape adhabu kali hapa duniani watu waone malipo ya wauwaji makatili na huko ahera atajua yeye Allah atavyofanya. Leo dunia nzima haina amani kutokana na mataifa dhalimu. Yaa Allah tunusuru waja wako tusio na nguvu ya kupambana nao, wewe una majeshi yasiyoshindikana na hukumu yako ni ya haki
Ibrahim mi huwa napenda unavyochambua vizuri haya mambo ila kiukweli unapenda sana kuongelea makosa ya Israeli ila hutaki kuongelea maadui zake na male go yao ujue kuna mataifa ya natamani kuona Israel ipotee kabisa chochote wanachofanya ni kujilinda dhidi ya maadui zake
Mie naamini uislam ni adui wa israel so hakuna muislamu atakayesema kwamba israel wameonewa , hata waseme namna gani lakini wanawaona waisrael ni wabaya asirani na hata wakiwasemea vizuri Bado wanawaona ni Maadui hata mtume wao aliwaua waisrael baada ya kukataaa kumpa Pesa,
Kwakua mastermind ni Myahudi, ni mapema Sana kuelewa karata inayochezwa apo 😂😂 .. what ever going to happen kwa Myahudi ni planned nothing time will tell you beyond that ..
Ni kweli, ulaya si kuwa hawana tofauti wanazo ila kwenye mambo ya pamoja wanaeka tofauti zao pembeni na kumkabili adui wao tofauti na hapo mashariki ya kati wapo tayari waungane na adui yao dhidi mwenzao
Yani inapotokea kuchambua swala ambalo marekani yupo ..ndipo unapoonyesha udini wako braza.. punguza hasira za udini.. fanya chambuzi za hoja zisizo egemea upande mmoja..
Huyu ni pandikizi, amesaidiwa na israel marekani uturuki, hivi sasa baada ya kuchukua madaraka wanataka wamtoe kwenye list ya magaidi hapa itatemegea utiifu wake utaendelea kama hivi sasa
Mm ni mkristo na nina zijua dini zote duniani na chimbuko lake lakini siwaungi mkono Israel na Wayahudi na marekani duniani inaitaki watu waishi kwa upendo na umoja kama MUNGU alivyo tuumba jinsia zote hakuna huyu mtoto wa Mungu na huyu siyo mtoto wa Mungu wote wa MUNGU mmoja.
Lakini kuna tofauti kati ya mgogoro wa Israel,syria na urusi.urusi kaivamia ukraine kafanya kosa,Assad kaua wananchi wake meenyewe zaidi ya laki tano,kafanya kosa.sasa Israel yenyewe ilivamiwa kuuawa wananchi wake na wengine kutekwa.wana wa Mungu Israel hawana kosa hapo walikuwa wansjilinda.
Unashinda kuangalia propaganda sana assad ajauwa watu hao, assad ni mtu mwema, umelishwa uongo, mwaka 2011 makundi ya kigaidi yalivamvia syria na iraq walitoka kila pembe ya dunia ikiwemo hapa africa mashariki,
@@gideongerald2846 kuna propaganda na uwongo uavumishwa na vyombo wa magahari ni mtindo huu wanao ata kwa viongozi wetu wa africa waopingana na sera zao za kibeberu, hivo kuna uongo mwingi unasambazwa, akuna sehemu isiyotokea mauwaji ila huu ni uwongo
ALLAH akulinde ktk kazi yako
Waleykumsaalam warhamatullah wabarakatuh Alhamdullah
Waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh
WAALYKUM Salam
Nilikua najua sisi waafrika Ndio wanafiki namba 1 duniani ila waarabu kwa sasa wapewe Grammy ya unafiki kwa HERUFI KUBWA.
La Palestina hawalioni leo la Syria Ndio imekuwa vichwa vya habari za ubaya hadi Al Jazira wanamponda Assad daaaaaa
Baada ya Mungu ni Mzungu.Mzungu ni mzungu.Mungu kawabariki na kuwapa uwezo wazungu.
@@MathewNathan-yb2bzWazungu ndio wanaokufira Wewe
Wewe Bado ni MTUMWA wa Wazungu mbwaaaa wewe Shogaaaaa jeusiiiiii hilooo 😂😂😂
Al jazeera ni chombo cha Qatar, Qatar imetoa mabilioni ya dolla kwa makundi ya kigaidi, rudi kwenye uvamizi wa isis syria utaiyona Qatar ikiwemo kwenye list ya kuwaunga mkono ISis na chombo chao icho cha aljazeera ninafanya kazi ya kuuchafua utawala wa assad, na kusafisha maovu ya al Qaeda syria
Mtoto wa mzungu @@MathewNathan-yb2bz
Asad kashindwa na kakimbia
Shukran
Walaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
🇪🇸🤔👍👍👍❤️❤️❤️
Marekani na washirika wake ndiyo walio anzisha nchi ya Israel hivyo sishangai anacho kifanya Israel kuungwa mkono na Marekani tuache kuwa wanafiki chanzo cha migogoro yote duniani ni Marekani ambaye ndiye mnufaika na siku si nyingi wasyria wataanza kuingia ulaya kutafuta maisha na mapigano yapo karibu note haya
Sio marekani
Yule jamaa aliefanya mapinduzi pandikizi na anaonekana ni muisrael cio msiria.
Umoja wa mataifa???hawana meno hao
Mahakama ya icc niwayule asie na uhusiano na marekani
Unatumia chumba kina mwangwii,hatusikii kwa usikivu sahihi mkuu,next time utafute sehemu sahihi
Syria kuna kambi na silaha nyinhi za Iran ni vyema ziharibiwe
Acha upuuzi yaani wengine Wana haki ya kumiliki silaha na wengine no kwakweli ushabiki huu haufai
Ivi mabaya ni ya isreli tu......urusi naye mshenzi tu...kiukweli hakuna nchi ya parestina.....ila kutawanywa kwao duniani......watu wakajimegea ardhi
Urusi nae ana warant wa kukamatwa mbona. Sheria ni msumeno popote unapita
Hujui lolote wewe pocho
Kilaza
❤
W.msalam
Huyu kiongozi wa waasi wa Syria muda si mwingi Atauwawa
💚
Huu ndio ukweli ambao sisi wanadamu tulio hai tuna ushuhudia ubadhilifu Wa marekani na israel😢
Ibrahim Rahby unatuchambulia kwa uwazi na uhakika. Hawa viongozi wa marekani na israel wote wana laana ya Allah na tunamuomba Allah awape adhabu kali hapa duniani watu waone malipo ya wauwaji makatili na huko ahera atajua yeye Allah atavyofanya. Leo dunia nzima haina amani kutokana na mataifa dhalimu. Yaa Allah tunusuru waja wako tusio na nguvu ya kupambana nao, wewe una majeshi yasiyoshindikana na hukumu yako ni ya haki
Allah 😆😆😆
Ibrahim mi huwa napenda unavyochambua vizuri haya mambo ila kiukweli unapenda sana kuongelea makosa ya Israeli ila hutaki kuongelea maadui zake na male go yao ujue kuna mataifa ya natamani kuona Israel ipotee kabisa chochote wanachofanya ni kujilinda dhidi ya maadui zake
Mie naamini uislam ni adui wa israel so hakuna muislamu atakayesema kwamba israel wameonewa , hata waseme namna gani lakini wanawaona waisrael ni wabaya asirani na hata wakiwasemea vizuri Bado wanawaona ni
Maadui hata mtume wao aliwaua waisrael baada ya kukataaa kumpa
Pesa,
@@cosmasmwaitete5004ushalewa wew kwani ao waisrail si ndo walithaka kumuuwa yesu au akili zako zimekomaa na pombe ya gongo
@@cosmasmwaitete5004ila Israel ni nani kwa waislam?
@@cosmasmwaitete5004 mandela ni muislamu, israel imevamia mvamizi hana haki.
@@gideongerald2846 ni adui kwa waisramu
Great israel kama inakuja vile
Inakuja kwenye mkundu wako kufirwa na Israel
Marekani, ulaya, wapo kuahakikisha mpango unafanikiwa ushaona nchi yoyote ya ulaya ilikilaani uvamivi wa israel nchini syria?
Brother nakuhakikisha kidogo Raisi wa Yemen aliekuwa, Saudi Arabia anaitwa AHadi na Sio
Abdalah Saleh
Mmmmh hebu kaangalie vizuri broo 😅😅😅umekosea ni Ali abdulah saleh
Kwakua mastermind ni Myahudi, ni mapema Sana kuelewa karata inayochezwa apo 😂😂 .. what ever going to happen kwa Myahudi ni planned nothing time will tell you beyond that ..
Wejama unajua kwanza unahongea vzuli
Shida waarabu umoja hawana kabisa, utajiri wanao lakini wanagombanishwa na kafiri tatizo hilo
Wamekosa akili
Kafiri baba yako@Abdullssa
Mkiona jilani anakuja kugombanisha nyumba yako na wewe ukapigana na familia yako ujue wewe ndio chizi nenda ulaya kawagombanishe kama mtaweza
Ni kweli, ulaya si kuwa hawana tofauti wanazo ila kwenye mambo ya pamoja wanaeka tofauti zao pembeni na kumkabili adui wao tofauti na hapo mashariki ya kati wapo tayari waungane na adui yao dhidi mwenzao
Kuna mapandikizi humo wasaliti, nchi za (persia gulf) kuna makambi mengi ya jeshi la marekani wanaamini marekani inawalinda
Tuchambulie i tunashukuru tukizipata habari isi but wacha kuengemeya magaidi
Umekua pumbavu wa kiakili jitambue choko ww
Yani inapotokea kuchambua swala ambalo marekani yupo ..ndipo unapoonyesha udini wako braza.. punguza hasira za udini.. fanya chambuzi za hoja zisizo egemea upande mmoja..
Wanaadamu hamna jema
Jana ww ndio Una udini jichunguze kizuri
We ndo Una udini jichunguze vizuri
Tuliza kishundu hujaambiwa umsikilize
NA HIVYO HIVYO PALESTINE NI ISRAEL PAMONA NA SYRIA, LEBANON ZOTE HIZO ILIKUA ISRAEL
@@ceysal944 hakuwahi kuwa na taifa linaitwa israeli acha uongo
@@faridfrefre35 ulikuepo? mbona unabisha😆
Huyu kiongozi mpya wa Syria ni kigeu geu
Kwa lipi
Huyu ni pandikizi, amesaidiwa na israel marekani uturuki, hivi sasa baada ya kuchukua madaraka wanataka wamtoe kwenye list ya magaidi hapa itatemegea utiifu wake utaendelea kama hivi sasa
Mm ni mkristo na nina zijua dini zote duniani na chimbuko lake lakini siwaungi mkono Israel na Wayahudi na marekani duniani inaitaki watu waishi kwa upendo na umoja kama MUNGU alivyo tuumba jinsia zote hakuna huyu mtoto wa Mungu na huyu siyo mtoto wa Mungu wote wa MUNGU mmoja.
Wewe unaaakil
Kwa hiyo ukristo wako uko wapi?
Na unahusikaje hapa?
Unazijua dini zote duniani kweli?
Chukua point yake @@albertngendelo5350
@@albertngendelo5350 mbaka nime andika bas nazijua
Lakini kuna tofauti kati ya mgogoro wa Israel,syria na urusi.urusi kaivamia ukraine kafanya kosa,Assad kaua wananchi wake meenyewe zaidi ya laki tano,kafanya kosa.sasa Israel yenyewe ilivamiwa kuuawa wananchi wake na wengine kutekwa.wana wa Mungu Israel hawana kosa hapo walikuwa wansjilinda.
Unashinda kuangalia propaganda sana assad ajauwa watu hao, assad ni mtu mwema, umelishwa uongo, mwaka 2011 makundi ya kigaidi yalivamvia syria na iraq walitoka kila pembe ya dunia ikiwemo hapa africa mashariki,
Uvamizi ni uvamizi simamia haki akuna uvamizi mzuri na mbaya.
Unamtetea asad kuwa hajaua watu wewe! 😂
Ziro zensik kaua warusi wengi waliokuwa wanaishi Mario pol , Lugansk,donesk, etc we huelewi chochote.kaa kimya