RAHBY- MAREKANI UINGEREZA KUWAONDOA WAASI WA SYRIA HTS KWENYE ORODHA YA KIGAIDI,

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 182

  • @Idoman493
    @Idoman493 День назад +13

    Wa Kwanza Leo Hongera Sana Kaka kwa Uchambuzi Wako Mzuri Sisi Wenye Akili Tunakuelewa Achana Na wale Watu Ambao Wana Akili Mgando

  • @Khatib-iv9pb
    @Khatib-iv9pb День назад +4

    Kk Rahby piga kazi, Allah akulinde na shari mbalimbali za ulimwengu na walimwengu, cc waelewa tunakuelewa mbna,

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j День назад +2

    Kulipia ni shingapi kaka RAHBY

  • @samfone2357
    @samfone2357 23 часа назад +1

    Saii ndonakuelewa kitambo nilijuwa wawaubga mkono waamerika uko sawa bro keep it up

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n День назад +2

    Kazi nzuri kk

  • @HusseinAsenga
    @HusseinAsenga День назад +1

    Mwelewa ataelewa Dunia iko waz nimuhim kujifunza kila leo❤

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 День назад +7

    Hao ndo kawaida yao hata Mama wanasema ana Udini wachukulieni hivyo hivyo.

  • @ramadhansabuni3136
    @ramadhansabuni3136 День назад +1

    Uko sawa kabisa brother mwenyezi Mungu akuhifadh

  • @MirajiWaziri-hl2hc
    @MirajiWaziri-hl2hc 23 часа назад +2

    Eleza ukweli rabbi wasikutishe bhana, hawatokuwa radhi mayahudi na manaswara hadi mfate milazao, wasilete udini waohapo

  • @HashimSwale
    @HashimSwale День назад +2

    W.musalam warahmatullah wabarakatuh....🎉

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 23 часа назад +1

    Nakukubali sana kaka

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 День назад +1

    Unaeleweka vizuri kaka achana na wapumbavu bro

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 День назад +1

    Assalamu alaikum kaka yangu yunakuelewa viema endelea kutufahamisha

  • @AziziSalimini
    @AziziSalimini День назад +1

    Hongera kwa uchambuzi mzuri, kuhusu suala la kupotea aliyeandikiwa kuwa mpotevu ni mpotevu tuu hata unge fanya nini ndo maana kher ya mjinga unaweza mpa fact akabadilika lakini mpumbavu ni ngumu san kubadilika na most of them ni watu wa kuaminishwa propaganda za uongo na kuishi nazo mpaka mwisho wa maisha yao.

  • @RaphaelDaffa
    @RaphaelDaffa День назад +1

    Ibrahim Rahby asalam aleykum kaka...!!! Asanteee sana na hongera sana Kwa kubarikiwa karama uliyonayo ukaisoma vizrii sanaaa history ya pale mashariki ya kati ambayo wengi wetu imetupiga chenga hatuelewagi kbsaaa...Kwa kweliiii wew ndio unaotutoa kwenye akili mgando na kutuleta kwenye uelewa mzrii na najivunia kupitia mazungumzi yko nimeanza kuielewa vzriii sana siasa za sehem hyo....ubarikiwe sana...pili yeyote anakulaumu achana nae aende kuangalia Chanel zingine Siyo lazma akufuate wew...

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 День назад +13

    Watu wengi wapo wapi tu hawajui mambo yanavyoenda dunia hii. Mfano mdogo tu,jana blinken alikua anakaangwa kwenye senate foreign affairs committee kwa nn waliondoka Afghanistan,wkt hayo yanaendelea leo kuna waziri wa taliban kafariki sababu ya bomu la kujitoa muhanga na mpk sasa haijulikani imekuaje. Kuna kitu kitatokea Afghanistan nafikiri trump akiapishwa January. Hii dunia ina uhuni mwingi na wahuni ni America na waporaji wenzie wa mali na ardhi za watu.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 День назад +1

      Hongera sana kwa matumizzi mazur ya fikra

  • @dhomila2982
    @dhomila2982 День назад +1

    Ya sikukere Sana bro nimawazo yao bora. Tuelimikishe Yule wa kuelewa aelewe

  • @alexelias5434
    @alexelias5434 День назад +3

    Kaka hao achana nao na huwa hawakosekan wasikutoe kwenye reli.
    Wewe endelea kutupa Habari kwa namna Mungu alivokujalia.

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 20 часов назад +2

    Kwa utafiti wangu nimegundua walokole wengi wana matatizo makubwa sana ya AKILI 🚮

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 12 минут назад

      Niwafansi wamashiga 😂😂

  • @SaidKhamis-q4b
    @SaidKhamis-q4b День назад +1

    jina zuri sana kwa kijana wa kiislam akiitwa gaidi jina hili gaidi lina pendeza sana na inshaallah bendera ya jihadi itasimama km ile inayo pepeya Afghanistan, twa wambia nyinyi makafiri wenye midomo mi chafu juu ya waislamu ipo siku midomo yanu itanyamaza na mtakuwa chini ya dola ya kiislamu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila День назад +3

    Mashariki ya kàti ni ngumu brother.......iache kama ilivo.......Mimi na wewe tunajua Kwa kiasi sanà........ukanda ule ni WA vita tangu kubwa...Israeli bila mkono wa chuma hauendi.......waarabu wenyewe hawaelewi.shida unaangalia nchi ya Israeli 1948....... Na hakuna nchi ya parestina

    • @Mumewangu
      @Mumewangu День назад

      Wewe hujui historia ya pale .mgogoro wa pale ni palestina kuchukuliwa ardhi yake na israil. Na vita ilopiganwa baina ya waarabu na israil na mataifa ya magaribi sababu waarabu walikuwa wanawatetea wapalestina kuchukuliwa ardhi yao

    • @muhamadharun9432
      @muhamadharun9432 День назад +1

      Hii comment haieleweki hata kujibu kwa kijinga nimeshindwa😂

    • @othmanmalik6468
      @othmanmalik6468 День назад

      Kabisa 😅​@@muhamadharun9432

  • @KimAlubee
    @KimAlubee День назад +2

    Respect kk

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 День назад +1

    Waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh

  • @PaschalKiteaKitea
    @PaschalKiteaKitea День назад +1

    Nashukuru najifunza mengi ya kiuchambuzi

  • @JeremiaJohaziel
    @JeremiaJohaziel 20 часов назад +1

    We chambua siasa tuelewe na siyo kuwachana watu 😂😂😂
    Halafu unapochambua unakuwa na hasira sana sijui ni kwa nini😅😅😅😅

    • @radhidimasambiro4620
      @radhidimasambiro4620 10 часов назад

      Wale Wana macho hawaoni wanamasikio hawasikii itakuwa imekuhusu bila shaka

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 День назад +2

    Wenye Akili timamu tunaku elewa sana kaka

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 20 часов назад +1

    Na hata kwenye bible Ibrahim sio myahudi kwasababu uyahud ulianza kwa yakobo

  • @hamadiharuna9974
    @hamadiharuna9974 День назад +3

    Watu wana tabiya ya kujizima DATA😢

  • @ATHMANKALELI
    @ATHMANKALELI День назад +2

    Your information is true

  • @salmahussein1242
    @salmahussein1242 День назад +1

    Achana nao hao....tuletee habari kaka...hao pumbavu wapo bado wamelala usingizi mzito.

  • @JumaMakala-xf5nb
    @JumaMakala-xf5nb День назад +4

    HUYU KAKA NI HAZINA YA TAIFA, MAMA SAMIA HUYU ANAFAA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE

    • @AbelCharles-co6qb
      @AbelCharles-co6qb День назад

      Hazina haina udini ww....m2 amejaa udini utadhan ni chanel ya dini bana....loooh

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu День назад

      Wewe unazingua wewe 😂

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila День назад +2

    Vikundi vingi vipo kimasilai Kwa milengo ya mataifa tofauti....ni pale TU walipozidiana ujanja........SEMA marekani na washirika wake kawazidi ujanja wenzie.......HAPO ni masilahi TU.ila SEMA huko vita nichakula waarabu hawaaminiki

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 10 минут назад

      Mwarabu na mwafrika wanakili 1😂😂

  • @SeifJuma-cp3lb
    @SeifJuma-cp3lb 16 часов назад

    Kazi zuri

  • @SalimSaid-z5y
    @SalimSaid-z5y День назад +1

    Umechambuwa vizur Sana na nimekuelewa

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 День назад

    RAHBY TOBOZA TU HAPA UISLAMU NDIO UNAPIGWA VITA.
    HAYA MAKUNDI YOTE MAREKANI NDIO MWASISI

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh День назад +1

    Rahby unajua binadamu sisi tuna akili tofauti, mawazo tofauti, na maono tofauti. Akili ni nywele kila mmoja ana zake. Wewe tupe taarifa unazozijua mwenye kujua atajua na anaejifanya hataki kujua atabaki hivyo hivyo.

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn День назад +2

    Bwana rahby Mimi nilichogundua ni afadhali umpe elimu mpagani maana anakua hajui chochote kile lakini na kama anaelimu ya kisekula anakua anatafuta uhalali .lakini mtu ambae amepewa mafundisho potofu ya wazungu ningumu sana .na wakati mwingine wanapinga tu Huwa wanaelewa

  • @AbelCharles-co6qb
    @AbelCharles-co6qb День назад +2

    @Ibrahim mbona unasalimia ki Islamic tu😢....unadhan subscribers ulonao ni waislam pekee..😢unatukosea sana...Ngoja nijitoe hapa..maana hamna uchambuz ni kushambulia2 upande mmoja...

  • @FaisalMood-p4f
    @FaisalMood-p4f День назад +2

    Tatizo hawa jamaa wameathirika na ushoga sasa hawa mabwana zao wazungu ndo wamekua kama mungu na kama wameweza kuwatia ushoga wataweza kuwaaminisha chochote

  • @kitaraabdi9529
    @kitaraabdi9529 День назад +1

    Nakukubali sanaa

  • @adamzablon8939
    @adamzablon8939 День назад +3

    Kaka nakuona bado huhawa na kifua cha ku-handle PRESSURE yako ya ndani,hii itakufanya kukutoa kwenye mstari kila mara, elewa kuna watu wapo humu wanakusikiza wa kila namna,chukua hii,
    Calculate muda uliotumia kujibu hoja ya huyo mtu wa comment then angalia umetumia muda gani,amka!!
    Nakuona hatabkwenye salamu zako tu siku zote huwez kusalimia watu BWANA YESU ASIFIWE,hii inaonesha unashida,vipi kama mimi ningekuwa nasalimia tu watu BWANA YESU ASIFIWE Naendelea wakati najua kuna waislamu na wakristo?
    Kama umechaguankusalia ili usionekane una udini na ubaguzi chagua salamu moja tu isioegemea popote,
    Mfano Habar zenu, basi,
    Huwez kukwepabkuhus udini maanavhata salamu yako inajieleza,ndio maana mishipa inakutanuka kwakuwa pressure ya ndani inakusumbua
    Wake up brother
    Shughulikia vitu vidogovidogo utafika mbali

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 8 часов назад

    Waaleikum msalam

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 День назад +1

    Bashar Al Asad alijitahidi kulinda na kuheshimu uhuru wa kuabudu leo hii ni big no hawaruhusu hivo vitu lakini nikirejea nyuma kidogo ISS ilitengenezwa kama kivuli tu but kuna jambo nyuma ya ISS kwasababu makundi mengi yanayopewa support na Marekani pale yanapokwenda kinyume na sera zao hugeuka vikundi vya kigaidi

  • @husseinc
    @husseinc День назад +5

    Mtakua mmeona mfumo jinsi unavyokwenda, tunawaambiaga kuwa haya ni makundi ya marekani

    • @ce-08
      @ce-08 День назад

      Sio Kila makundi ya marekani ila marekani anakuja kwako ukiwa unahitaj msaada na unafaida kwake baadhi ya makundi yanaundwa na waarabu wenyewe ila sababu ya kufeli kwao wanakuja hitaji msaada kutoka marekani kwa maslahi Yao na USA anatumia nafas hapo hapo

    • @suleimanabdallah24
      @suleimanabdallah24 День назад

      ​@@ce-08kinachoangaliwa ni nani anayeliendesha sio aliyelianzisha.
      Hata FB uliulizwa ni ya Nani hutomtaja aliyeanzisha utamtaja anayeimiliki.

    • @husseinc
      @husseinc 17 часов назад +1

      @ce-08 Alnusra, isis, hts, haya ni matawi ya al Qaeda kundi la marekani, kuna ushaidi mwingi unaonesha marekani kujiusisha na alQaeda, waarabu labda wawe wanamsapot marekani kwa kutoa fedha kwa makundi haya, mwaka 2011 nchi za Qatar, saudia, imarati, zilitoa fedha nyingi kwa makundi ya kigaidi syria, kwasababu ya kuunga mkono kutolewa assad aliyekuwa mshirika wa iran hezbullah, hamas, NITAJIE KUNDI 1 TU LILIOUNDWA NA WAARAB HAPO ASIA MAGHARIBI LENYE MLENGO WA MAKUNDI HAYO ya hts, alnusra, isis, alqaeda

    • @husseinc
      @husseinc 17 часов назад

      ​@@ce-08Alnusra, isis, hts, haya ni matawi ya al Qaeda kundi la marekani, kuna ushaidi mwingi unaonesha marekani kujiusisha na alQaeda, waarabu labda wawe wanamsapot marekani kwa kutoa fedha kwa makundi haya, mwaka 2011 nchi za Qatar, saudia, imarati, zilitoa fedha nyingi kwa makundi ya kigaidi syria, kwasababu ya kuunga mkono kutolewa assad aliyekuwa mshirika wa iran hezbullah, hamas, NITAJIE KUNDI 1 TU LILIOUNDWA NA WAARAB HAPO ASIA MAGHARIBI LENYE MLENGO WA MAKUNDI HAYO ya hts, alnusra, isis, alqaeda

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 День назад +2

    Uko sahihi sana

  • @masudrashid5795
    @masudrashid5795 7 часов назад

    RAHBY achana nao hao wanataka kukutoa katika makusudio katika jamii watu kama hao wapo tu

  • @deomulokozi1143
    @deomulokozi1143 День назад +1

    1. What is your position on 7th October? 2. Nini suluhisho Kumaliza mgogoro wa Israeli vs palestina?

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 День назад +1

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

    • @Malik-ih3rr
      @Malik-ih3rr 21 час назад

      Simyoni semiyista

    • @radhidimasambiro4620
      @radhidimasambiro4620 10 часов назад

      Usijizimi data Netanyahu anataka kupitisha sheria mtu akitaja jina yesu jela miaka miwili😅

  • @MohammadiSefu
    @MohammadiSefu День назад +1

    Nakuskiliza kutoka mwanza tanzania

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 День назад +1

    Marekan ange tubu kwanza yy ugaidi sio kusema hts magaid

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi День назад +1

    Ni sahihi , una huki ya udini, hujaongelea udini tu lakini kimaongezi tu inaonyesha inachuki

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 День назад +2

      hebu bainisha chuki ya udini ( dini ipi).

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq День назад +2

      Kwanini? Au na wewe unaendelea kuwa kasuku?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 День назад +1

      Frozen brain.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 День назад +1

      Acheni kuabudu watu.

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 День назад +1

      Walokole uwaambii kitu kuhusu israe yupo rsdhi kuililia Israel kuliko msiba wa mwanae

  • @abilityemmanuel3000
    @abilityemmanuel3000 День назад +1

    Hata biblia haisemi kama ibrahim alikua myahudi, uyahudi ulikuja miaka zaidi ya 400 baada ya kifo chake, changamoto watu wengi biblia hawaijui Israel ya akina musa na israel ya akina netanyahu, ila kiiin cha mgogoro ni kuitawala yerusalem yote ndo maana Israel, marekani Uingereza hawatatulia mpaka wamewatuliza walio kinyume nao na ishafanikiwa 80% na siku wakifanikiwa ndipo dunia itakapokea mfalme mpya anayeitawala

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb День назад +1

    Mkuu WA magaidi duniani NI muisrael na mmarekani na muingereza na ujerumani

  • @JosephMadeleke
    @JosephMadeleke День назад +2

    Ukiwa wa mwilini ni vigumu sana kuelewa vita hii inayopiganwa na Israel na maadui zake hapo vita vilivyopo ni kati Nuru na Giza. Ndio maana utaona maazimio mengi yametolewa na umoja wa Mataifa yamegonga mwamba . Mtachambua wee Wala hatamtapata jibu

    • @Malik-ih3rr
      @Malik-ih3rr 21 час назад +1

      Asante kwamb ushoga ndio nuru na wapingaji ndio giza

    • @humudmarhoon8044
      @humudmarhoon8044 18 часов назад

      We kweli uelewi yaani wanazuoni wa Israel hawataki watu wajiunge na jeshi kwasababu jeshi la Israel linakwenda kinyume na mafundisho ya dini.

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi День назад

    Waarabu na Uislam wao wote ni magaidi😊😊😊😊😊

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 20 часов назад

      Mimi ni mkristo lakini walokole mna matatizo makubwa sana ya AKILI 🚮

    • @radhidimasambiro4620
      @radhidimasambiro4620 10 часов назад

      Maana ya gaidi ni nn unamasikio lakini husikii ndiyo wale wale😅

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer 13 часов назад

    Unasema ukweli.. Wanakuonea tu... Na hata hivyo hakuna mahali umelasimisha mtu akuani,, au au asikuamini ni maoni tu.. Wewe toa elimu.. WA kuelewa AELEWE,,

  • @ukweliwamileletv9450
    @ukweliwamileletv9450 День назад +3

    Taruma yako umeihalibu kwa udini umekuwa ukisema Israel imeshindwa vita huko gaza tebanoni haijafikia malengo kumbuka malengo ya Israel ni ardhi tunavyo ongea Iko lebanoni Iko gaza Iko Syria na waisram msipo shituka Israel itakuwa kwenye ramani ya BIBRIA na sio ya 1948

    • @VictoriaGadiel
      @VictoriaGadiel День назад

      Malengo ya Israel ni kuua na kuangamiza kwa Hilo umefanikiwa

  • @MusaBuhe
    @MusaBuhe День назад +1

    Watu wanaona iziraeli ndio pepo yao awataki kutumia akili zao mijitu kichwani mwee

  • @KabwariHassani
    @KabwariHassani День назад +2

    unayo zungumza niukweli kwamwenye kuwa naakili ndio atafahamu zidisha kutuilimisha tujuwe achana na wajinga tuna faidika sana kwa taharifazako ongera sana hakuna anaependwa na wote chapakazi tuelimike

  • @Hassan1asaHassan1
    @Hassan1asaHassan1 День назад +4

    Walokole hawana akili wamehamishwa Israel taifa teule na hawapendi waislamu kabisa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад +3

      Kwani ww unawapenda wakristo?

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j День назад +1

      Kwanin uwachukie waislam ukiona mkristo yeyote anawachukia waislam basi huyo atakua anamatatizo yake binafsi kwasababu tumeagizwa upendo kuwapenda watu wote hatakama niwakosefu kwa Mungu wewe wapende hivyohivyo ndo mana huwezi kusikia mkristo kajilipua na bum mwenye kuhukum ni mwenyezi Mungu pekee

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 День назад +1

    Kaka Hao wengine niwatu wakushikiwa akili zao hawawezi kufikiria chochote

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +1

    Ndio maana israil wakawa wanashambulia magala ya silaha na meli za kivita alafu waasi wamejisahau wanashangilia ushindi wa kumuondowa bashari

  • @HurukaMwinyigogo
    @HurukaMwinyigogo День назад +1

    Asalaam aleykum.
    Kwa nn nchi za kiarabu zinaweza kuvumilia ubabe huu unaofanywa na Israel? Netanyau anaingia Syria na kuteka maeneo na kutamba yake milele?!!!waarabu wapo kimya tu!!
    Ebu chunguza historia ya Hawa viongozi wa nchi za Egypt, Saudia, Qatar, Jordan, ni wazawa kweli ? Au mapandikizi? Waislam tumekuwa waoga kiasi hiko?!!

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 7 часов назад

    Shida kubwa kaka unatoa elimu kwenye nchi yenye wajuaji wengi sana … nimepita kwenye chombo kimoja cha habar cha nje kupitia kiswahili wameandika mateso ya wafungwa walio okolewa na walifariki ila kasome sasa comment za watz😂😂

  • @emanueltobias3420
    @emanueltobias3420 День назад +1

    Kaka achana na hao watu fanya kazi yako hao watu wamekali vitu

  • @robinsonmarley6796
    @robinsonmarley6796 День назад +1

    Hongera sana kwa mawazo yako ila bado sisi wasikilizaji wako tutaendelea kuwa mashabiki namba moja wa Taifa teule pamoja na Marekani

    • @abdul-qadirkhamis2518
      @abdul-qadirkhamis2518 День назад

      LGBTQ button >>>>>>

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq День назад

      Wee endelea na ukasuku, hii bibilia kama hujui ni wayahudi ndio walio ibadilisha na kujikweza ili wewe uamini kuwa wayahudi ndio taifa teule. Labda nikuulize maana ya taifa teule ni nini? Anza kuwasoma taifa la mayahudi tabia zao na kusaport ushoga harafu njoo utueleze wana mtazamo gani juu ya ushoga

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 День назад +1

    BIBLIA yenyewe aisemi kwamba Ibrahimu alikua myahudi wala Muisrael ila ISRAEL imeanza kwa mjukuu wake Yakobo na uyahudi umeanza baada ya torati ya Musa.
    Kwa mujibu wa maandiko katika BIBLIA izi nyakati za mpinga kristo Urusi ndio chacho za vita ya siku za mwisho ila atakuja kupigwa na Israel adi dunia ishangae na mpinga kristo atasimama ISRAEL ila waarabu ndio watatimiza unabii wa siku za mwisho watapigwa akuna mfano

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 День назад +1

    Nyie huko Africa hasa Tanzania hamuna akili, Tareh9 mwez wa 12 ,Munasherehekea Uhuru wa Tanzania, kwani kuna Nchi inaitwa TANZANIA iliyopewa uhuru ? DUNIA.

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi День назад +3

    Na hao unaowatetea kila siku , we unaamini wao hawana Mapungufu? Ni Israel tu , peleka upumbavu wako huko

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 День назад +1

      wew hujielewi na una chuki sana. utakufa mapema

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 День назад +1

    Suala la Gaza na Israel lina katisha tamaa sana

  • @antonydorian1402
    @antonydorian1402 23 часа назад +1

    Marekani Hana rafiki wa kudumu na Hana adui wakudimu wanachotaka maslahi

  • @MustafaChiumbwe
    @MustafaChiumbwe День назад +1

    Endelea kuchambua kak awa ndo walewale

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +1

    Hakuna Taifa teule. Taiga teule liibe maeneo ya Palestrina ? Au kuuwa wazee na watoto wasio na hatia?

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 День назад +1

    Unaita wakristo kasuku😂😂

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq День назад +1

      Hapana, anasema umekaririshwa. Fikiria nje ya box ie tumia akili yako kuyaangalia mambo

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 День назад

      @@salehrashid-fx9rq huwezi mtenga mkristo na Biblia kutoka nje ya Biblia Ni upagani. Huyu yeye Ni mpumbavu maana anatakiwa kutofwata comment huku awe bize na uchambuzi wake. Nilikua nafwatialia Ila kwa kukejeli watu na kusema wamekarirushwa nampuuza kuanzia sasa

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga День назад

      ​@@joshuajohn8533ww ndo umekalilishwa ujinga Acha upuuz shida yenu islahel mnaona km taifa liloshushwa na mungu wakat c kwel.

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 День назад +1

      Amna sehem aliyetaj ukiristu ..ila kama ww unaamini kila anachosema usa na ww unakibeba mbona utakuwa bonge la kasuku

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 День назад

      ​@@joshuajohn8533 hauamini kuwa umekaririshwa .ntu kama ww ni takataka na ni mzigo pia kwa familia yako

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg День назад +3

    Mungu akupe nguvu wakristo tumelishwa matango pori hatuelew kitu Israel yenyewe hatuielew ni chuki tu,bro uskatishwe tamaa na watu wajinga we endelea kutupasha habar

    • @FaisalMood-p4f
      @FaisalMood-p4f День назад +1

      Sijui kama hawa ndugu zako wanaweza kuelewa kuwa mayahudi sio wakristo tena ni adui zenu kabisa

    • @mudighurayra
      @mudighurayra День назад

      Tena ndani ya Israel wakiristo hawana uhuru wa kuabudu maana wakipita tu hata njian wana zomewa or kutema mate chini yani kama ni kinyaa vile, me nishawah kuona vijana wa kiyahudi wana wazingua wachungaji na watu wana angalia ata habari hawana

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 День назад +2

    We ukiona majitu akili zao zimeshikiliwa na watu wengine ujue hao wajinga saana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 День назад +1

    Kwanza tusimfuate yeyote katika wao, hata kama mmoja wao atasema huyu gaidi au huyu sio gaidi. Kwasababu hata sisi tuna mawazo yetu na fikra zetu, hawa wahuni tu.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz День назад +2

    Tatizo ni hizi dini za kigeni tulizoketewa ndio zinatutia wazimu na kututia ujinga mwingi.Kila mtu anaona dini yake iko sahihi..mchambuzi uko sahihi.

  • @SelemaniIssah-p2g
    @SelemaniIssah-p2g День назад +2

    Broo wasikuumize kichwa coz tunawajua hawajielewi wamejawa na chuki vibaya mno juu ya warabu na islam tegemea mengi kutoka kwao ikiwa unaisema vibaya marekani israel pamoja na wazungu,,

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi День назад +1

    Na Uturuki hawana Eneo kule Syria , mbona huwasemi we ni mpumbavu

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 День назад +1

      fungua channel yako anza kusemea hilo lilosahaulika na Rahby

    • @VictoriaGadiel
      @VictoriaGadiel День назад

      Eneo wanalowaasi tu wanaoungwa mkono na uturuki lakini Anglia Israel inavyochukua na kuharibu mindo mbinu ya kijeshi ya Syria we huoni toa to go zako usimuite prophesa mpumbavu wewe ndo mpumbavu shetani mkalia dole wewe

  • @BahatiPoulo-li4ih
    @BahatiPoulo-li4ih День назад +1

    Dada wewe unachuki umejaa udini wakigaidi

  • @kulwaedward3753
    @kulwaedward3753 День назад +2

    Ni nini hatima ya askari watiifu wa bashar (Syria) waliokimbilia Iraq?.
    Je watarudi kufanya vita na haya makundi yaliyopindua serikali?, Au Russia atawachukua na kutengeneza kundi jingine kama weginer kisha awatume kwenda kupigana sehemu mbali mbali kama Africa?.

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila День назад +1

    Kwani Tanganyika iliundwa 1961......na Tanzania ilitoka wapi.......tukubaliane ilikuepo kabla ya 1961.....kilichopatikana ni uhuru na asili ya watu.....hata muungano ni uhuru na utamaduni ni mwingiliano wetu unaofanana.waacheni wayahudi kalie nchi Yao.

    • @suleimanabdallah24
      @suleimanabdallah24 День назад

      Hujaeleweka

    • @mudighurayra
      @mudighurayra День назад

      Hizi ndio zile akili zilizo lishwa matango pori

    • @JosephMadeleke
      @JosephMadeleke День назад

      Kaeleweka sana. Waisrael walipewa nchi hiyo ni haki Yao kuikalia. Kosa lao walikiuka maagizo ya Mungu kuwaacha hai hao wapelestina ambao wamefanyika kuwa mwiba kwao. Acheni ushabiki eti uzayuni mara Uyahudi Sheria inaweza kubadilika hata hao othodis wakawa jeshini​@@suleimanabdallah24

  • @oldforesttv
    @oldforesttv 11 часов назад

    Achana na maandiko chambua matukio kaka unaharibu atakama kunawatu wanasema au wanajitetea kupitia vita wewe simamia misingi ya uhana habari, waandishi jitaidini kuwa makini nyie ni watanzania msigawe watu kwa sababu ya matatizo ya mataifa mengine chambua mambo kwa kufwata misingi ya uhana habari na sio kufwata hoja za watu kuhusu dini zao asante

  • @HamidaMusa-q2v
    @HamidaMusa-q2v День назад +2

    West ni wanafiq

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla День назад +1

    🇪🇸🤔👍❤️❤️❤️❤️❤️🇪🇸

  • @FahadMpenda
    @FahadMpenda День назад +1

    Hao wanagawa ugaidi kama pipi Kwa wamtakae

  • @HassanBambe-l3l
    @HassanBambe-l3l 7 часов назад

    KAKA RAHABY USIPATE SHIDA NA WAJINGA KUMBUKA HATA TAIFA HILI LA LA SASA LA TANZANIA WAJINGA WALIKUEPO WAKIWAPA TAFU WAKOLON KWA KIGEZO CHA DINI WAKOLONI WALIPEWA SAPOTA NA NA DINI YAUPAKO KWAIYO KIZAZI HICHO MPAKA SASA WAPI NDO HAO

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 День назад +1

    Wanacheza na akili za watu tu

  • @Josephgoliama1
    @Josephgoliama1 День назад

    Usiwe mpinzani wa magharibi kuliko kutumia akili zaidi. Watu sana badilika, hawa HTS walikua magaidi lakini walitubu na kubadilika. Magaidi wapo, hawa tangu wameingia madarakani hawajafanya matendo yoyote mabaya ya IS. Jana walimkamata afisa wa Assad wangemuua hadharani hapo wangeharibu image ya

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 День назад +1

    Wewe chambua usiwaambie watu wamejaririshwa maana kila mtu ana misingi ya imani yake. Usikashifu watu kuiita wamekaririshwa. Mkristo huwezi mtenga na israel wala muislamu huwezi mtenga na mwarabu. Chambua acha upuuzi

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu День назад +1

      Mbona hio izraeli yenyewe sio wakrito

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 День назад +1

      @Desireyakubu Sio Wakristo ili maandiko yatimizwe

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 День назад +3

    Hata hapo unachotetea bado unapelekea kule kule kwenye udini..

    • @MuksinEmmanuel
      @MuksinEmmanuel День назад +2

      Huna akili wewe

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 День назад +1

      🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯🤣🤣🤣

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 День назад +2

      kwan umelazimishwa ufatilie channel hii achan nayo ukalishwe matango pori kwengine mbon umenga'nga' nakufatilia mada kila cku pumbavu

    • @roypeters9829
      @roypeters9829 День назад +1

      @@idrisaabkar3760 wewe mbona unafwatilia comment zangu. Kwani umeandikiwa wewe

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 День назад +1

    Kwa kifupi wale wadini kindakindaki

  • @BenjaminKabebo
    @BenjaminKabebo День назад

    Una usimba na uyanga kwenye masuala ya msingi.
    Usilete utoto kwenye mambo ya kikubwa.
    Una udini sana hakuna sehemu uliwahi kuizungumzia vizuri Israel .
    Au ukiizungumzia vibaya Israel nfo utapewa ugali.
    Magaidi wapo.

    • @VictoriaGadiel
      @VictoriaGadiel День назад +1

      Hebu wewe elezea mazuri wanayofanya Israel unayoyajua

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 День назад +2

    Angekuwa anachambua kama wewe ni mkristo usingesikia hizo lawama we fanya kazi yako ni chuki zao za udini wakiona muislam roho zinawauma kweli hata sijui wana nini

  • @AbuuAssalafy
    @AbuuAssalafy День назад +2

    Kaka wajinga ni wengine xana,wamekua brain washed mpaka hawawezi kufikiri chochote

  • @DenisMpihigwa
    @DenisMpihigwa День назад +3

    Kwan we uko upande gan kak na ulishajiuliz Ni kwanin mungu aluhusu yote haya yanayoendelea

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 День назад +1

      Mungu hajaruhusu mauaji yale bali ule ni ugaidi wa Israeli uliofadhiliwa na Marekani

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef День назад +1

      Karuhusu Ili tujue usherani wa Hawa watu wa israel

    • @DenisMpihigwa
      @DenisMpihigwa День назад

      @@ramygichero1016 mungu haluhusu Tena Kaka mbona yanafanyika sas apana kak mungu anamaarifa makubwa San kuliko sis wanadam kikubwa tuombe tu yasitupate sis Kama taifa

    • @DenisMpihigwa
      @DenisMpihigwa День назад

      @@JafariHamisi-gu4ef kwan Kuna nchi ambayo Haina ushetan mbna hata urusi imewaua na inaua San watu wasio na hatia Kaka au islael tu apana Kaka kikubwa tuwaombee wavuke mapito hayo salam

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 День назад +1

      ​@@DenisMpihigwa🦍🦍🦍👺👺👺🧌🧌🧌💯😂😂☝️

  • @safeniubwa3588
    @safeniubwa3588 День назад +1

    Nice

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 День назад +2

    Ukisoma comments za watu, utajua upande wake moja kwa moja. Kama wewe ni mkristo, tayari tunajua uko upande hupi, nakazalika waislamu. Msigombane juu ya comments.

  • @SospeterMussa-p1n
    @SospeterMussa-p1n День назад +2

    Always mtu wa kulala Mika tu badala ya kuchambua.

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga День назад +1

      Ww ndo umekalilishwa ujinga kaeleza hali halisi hajalalamika elewa

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 День назад +1

      Chambue ww yai vinza