'Tunatumaini hatompigia simu Assad', Zelensky amkosoa Waziri Mkuu wa Hungary kwa kuzungumza na Putin

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 30

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 18 часов назад +1

    Zele boy 😊😊😊 anachekesha san

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +4

    Zelensky anaagizwa

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 3 часа назад

    Huyu boya Ukreine walijuchanganya sanaa

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День назад +2

    Zelensky misaada inamuogofya,.. ngoja ugari dagaa aje autafunie kwenye shida..maana hana amani ya kula pilau😂

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 20 часов назад

    Kitamramba 😂😂
    Putin baba lao ❤❤🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 День назад

    Ngoja auliwe sasa

  • @vintz338
    @vintz338 2 часа назад

    Sasaiv urusi wamuwinde huy boya wmuue yu ,dhambi ya kuua apewe willypaul

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 8 часов назад

    Anajikuta kashika makali

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 День назад +3

    Huyu jamaa pasua kichwa, kama mwanasiasa mmoja hp kwetu, anakuja kufanya siasa zake robo mkoa then anarudi chap hospital utazama afya yake na akati tamaa ndoto zake za kuwa Rais wa tz 😂😂😂😂😂 nyie nyie kuishi kwingi kweli ni kuona mengi🤔 haya ngoja tuone labda ataimaliza urusi kwa makombola hizo siku za sikukuu ya Christmas

    • @ce-08
      @ce-08 9 часов назад +1

      Kila mtu upgania ndoto zake kwa vile anavyoona yeye anaweza hata wewe kwa afya yako huenda hukidhi kupambana hicho unachopambania lakini kwakuwa ni ndoto zako hunabudi kufanya hivyo huyo uliyemsema kuhusu afya yake hata yeye hakupenda awe hivyo

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 9 часов назад +1

      @ce-08 😃😃 kwani nimemtaja mtu jina au wewe umewaza kwenye akili yako🤣🤣🤣

    • @ce-08
      @ce-08 9 часов назад

      @StrongbowArrow2004 sijaandika kwa nia mbaya ndiyo maana hata mm sjamtaja mtu ila kama ni swala la afya hakuna mtu au mnyama anayependa kuwa na afya mbovu nilikuwa nakukumbusha tu kuwa hicho kitu hakuna ayepanda ni majaliwa ya mwezi Mungu tu ww na mm kuwa na afya njema lakini usijivune kwa kuwakejeli wengine 🤝

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 9 часов назад

      @ce-08 Ndiooooooo nimekuelewaaaaa

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo День назад +2

    Zelenskyy mtu wangu wa nguvu, pasuakichwa kwelikweli

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 День назад +1

      Duh akili ipo kweli wewe ..? Au kichwa umebeba kama pambo..?😂 Nchi imeharibiwa unaongea ujinga, hii project Nato wamechemka 😂

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo День назад +1

      @ wewe mpumbavu auwoni kama anatea inchi yake, we mbwa kwelikweli, unaweza uka jiskiaje kenya kuvamia Tanzania

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 День назад +1

      ​@@nizarrama225huyo siyo assad baba hiyo damu ya kiyahud haiwezi kusalim amri kijinga kwa urus

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 День назад +1

      @@JeanMalilo hujui historia wee boya, huyo ni muyahudi, siyo muyukreni wee endelee kuangalia BBC CNN VOA France24 DW FOX!

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 День назад

      @@lusajomwaipopo5042 oh sawa kwakuwa amedanganywa na Nato ambayo haifui dafu kwa Urusi miaka mitatu sasa maeneo yamechukuliwa na Urusi na Nato haijafanya kitu 😂!

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod День назад +1

    ZELENSKY KASHA PAGAWA

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR День назад

      Uyu jamaa...atawatia pabaya wananchi wake.....

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 21 час назад +1

    Zelensky pigania Ukraine ni nchi huru

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o День назад +1

    Safi sana Zelensky Dunia tungepata marais kama ww tusingekuwa wanyonge hv, safi sana chuma 😂 siku moja utakuwa mwamba kama Israel ilavyo endesha Nchi zaid ya 4 🎉🎉🎉🎉