KILICHOSABABISHA RUGEMALIRA AACHIWE, MIAKA MINNE MSOTO MAHABUSU, ILIVYOKUWA MAHAKAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2021
  • Baada ya kusota mahabusu kwa takribani miaka 4, Hatimaye aliyekuwa Mkurugenzi wa IPTL, mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
    Rugemalira alifikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Juni 19, 2017 pamoja na wenzake wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 27/2027 yenye mashtaka 12.
    Mashtaka ya Rugemalira yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai, DDP amefuta mashtaka hayo na yeye kuachiwa huru.
    Miongoni mwa mashitaka yanayowakabili wanadaiwa kati ya Oktoba 18, 2011 na Machi 19,2014 jijini Dar es Salaam, walikula njama katika nchi za Afrika Kusini, Kenya na India kwa ajili ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Комментарии • 18

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 года назад +3

    Weziwote sasamkohulu htaivyo jpm anastaili pongezi

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 года назад +6

    Hayati Magufuli alipotuacha tulijuwa mafisadi wote watakuwa huru. Hawa watu walilitia taifa hasara kwa mabilioni. Yeye na Seth ambaye alilipa millioni 250 na kuweka mitambo yake kama dhamana fedha zilizobakia. Wote tulijuwa hiyo balance hawezi kulipa Tanzania. Hayati Magufuli ametuacha, sasa ni wakati wa mafisadi kuiteka Tanzania. Africa lazima iwe masikini kutumia njia yeyote. Hawawezi kuruhusu Africa iwe tajiri, lazima tuwe masikini kwa kuwatumia viongozi wetu ambao sio waaminifu. SASA WAMEFANIKIWA. WALIOISHIKA SERIKALI KWA SASA NI WAPENZI WA NCHI ZA MAGHARIBI. TAMAA YOTE YA TANZANIA TUNAWEZA IMETOWEKA

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 года назад

      Sasa mbona Magufuli hakuwafunga wameishia kukaa mahabusu miaka 4 wanakila kodi za wananchi bure.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад +2

      @@saidsuleiman1753 mulikuwa mukitaka Hayati Magufuli afanye nini mtu mmoja. Mumeona alivyokuwa amezungukwa na viongozi waliokuwa hawamuungi mkono upiganiaji wake NA UFISADI na mali za Watanzania. Mali zote na mikataba mibovu mingi ilipatikana awamu ya nne. Viongozi wengi wana share kwenye wizi wa mali za wote. Hayati Magufuli alikuwa tofauti sana na viongozi wengine. Ndiyo maana ameondoka tu watu kama Manji wamerudi. Mafisadi wamerudishiwa fedha zao. Watu walioiibia Tanzania mabilioni Rugemalila na Seith sasa wako huru. Mwezi March mamilioni ya fedha yaliibiwa Benki kuu serikali kimya. Mkuu wa wilaya aliyegunduwa kisima cha mafuta kigamboni serikali kimya na mama aliyegunduwa kafukuzwa kazi. Samia kimya. Watanzania hawana tena matumaini na serikali hii. Hatuna upinzani wa kusema wanaweza kuchukuwa serikali hao ndiyo hovyo kabisa. Ni mujinga tu ndiyo haoni tofauti. Serikali ya Samia sio yeye anaongoza. TUTAONA si muda murefu kila kitu kitakwama. Wataanza kutuuza Watanzania kwenye nchi za kiarabu . MUNGU TUSAIDIE.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад +2

      @@saidsuleiman1753 Hayati MAGUFULI angefanya mangampi. Uraisi, kushika wezi na kuwafunga. Rais MAGUFULI alikuwa peke yake kwenye hii vita. Wengi waliokuwa wakimpigia makofi walikuwa kwenye hizi dili. Yeye asingeweza kuwa prosecutor, judge, na polisi. Umeme ulikuwa ukikatika kila mala Dar es salaam na hawa jamaa serikali ikiwalipa mabilioni. Wakati wa Hayati Magufuli umeme uliacha kukatika na maji yakapatikana. Kabla ya Hayati Maguguli nchi hii ilitekwa na watu wachache, na sasa imerudi mikononi mwao. Kuondoka tu, nchi imetekwa tena na ufisadi umerudi na mafisadi kuachiwa huru. Ndiyo maana Makamba amerudi kwenye nishani. Mtu aliyeisababisha serikali kupoteza mabilioni. Wote waliokuwa wakimusaidia Hayati Magufuli wote nje. Mpaka leo hatumujuwi nani mwizi wa mafuta kigamboni na serikali kimya. Na mama Mkuu wa wilaya aliyegunduwa wizi huu kafukuzwa kazi. Watanzania wajifunge mikanda kwa shida. Kodi kwa wanyonge zitaongezeka. Mnyonge munyongeni haki yake mpeni. Hayati Magufuli kafanya kazi kubwa na kufanikiwa pale wengi walishindwa.

    • @benosilwani5208
      @benosilwani5208 2 года назад

      Acha upumbavu

  • @msafiriiddy3135
    @msafiriiddy3135 2 года назад +3

    Haya baba nenda katengeneze tena mbinu za kuwaibia serikali ya wajinga hawakuwezi

  • @bepalilogathbepali9547
    @bepalilogathbepali9547 2 года назад

    Mungu ni mwema

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 2 года назад

    Hili tangazo linatukera jamani linafanya nisiipende tena Ayo tv

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 года назад +1

    Jpm katunawisha majiusoni alikuwahataki taifalake tz liendeleekuwa kichwa chamwendawazim kwavtendo nasimdomo

  • @snramadan9915
    @snramadan9915 2 года назад

    Hivi kuna utofauti gani kati ya mwizi na kuhujumu uchumi? Anae fahamu akifahamisha tafadhali

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 года назад

    Dah tangazo la palm Hilo linaniudhi. Nikifungu tu napleka habari mbele kabisa.

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 2 года назад

    Huyu Wajina Hatari

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 2 года назад

    Nisaidie kushare hii👇
    ruclips.net/video/B2sE5Db2QDI/видео.html

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 года назад

    Hii inaonesha mashitaka mengi ni ya kubambikiziwa ndo maana yanafutwa, hata ya mbowe yatakuja kufutwa

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад +1

      Hii inaonyesha sasa Tanzania imerudi mikononi mwa Kikwete. Kiongozi wa mafisadi. Jamani watu hawatosheki?

    • @emanuel1990ism
      @emanuel1990ism 2 года назад

      Wanao bambikiwa sio awa,wenyewe ni maskn wapo magerezan mpaka sasa...

    • @ephremmtuya3094
      @ephremmtuya3094 2 года назад

      @@gracegrace6200 Matajiri wote watatoka tu