#EXCLUSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024
  • #EXCLUSIVE: SAIDA KAROLI Asimulia Kwa UCHUNGU - "NILITAKA KUJIUA, MUME TULIACHANA"..
    MWANAMUZIKI Nguli wa nchini, Saida Karoli, amepiga stori na Global Tv Online na kusimulia mambo mbalimbali aliyokutana nayo kwenye harakati zake za muziki na maisha kwa ujumla...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Комментарии • 133

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 3 года назад +20

    penda sana nyimbo zake had hapa niko nazo kobaao, hasa ile malia salome, na kaisiki jmn mmmmmh nakumbka mbal sn kwa hzo nyimbo

  • @ghonzhaurigonzaga9810
    @ghonzhaurigonzaga9810 Год назад +3

    the way I smile alone wen I look at this lady🤣🤣🤣🤣

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 года назад +9

    Saf malikia wetu wa nguvu Saida wetu ♥️🔥♥️🔥💯💯🙏🙏🙏🙏

  • @maamuu7977
    @maamuu7977 3 года назад +12

    Wow Saida alivuma hadi Uganda hadi sasa nyimbo zako ziko juu tu sana dada

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 3 года назад +2

    Wasukuma niwatu wazr. Hongereni kwakumpa moyo Saida napenda anavyojuwa kusema ukweli.

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 2 года назад +2

    Naomba no ya Saida Karoli

  • @sophiacharles1196
    @sophiacharles1196 3 года назад +1

    Muvngu azidi kukutetea na kukupigania. Huna majivuno. Nakupenda Sana kwa tabia hiyo. Kamwe usiwaze kujiua kwa ajili ya ugumu wa maisha maana ili dhahabu ing'ae lazima ipitishwe. Kwenye moto. Wewe Ni dhahabu

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 года назад +5

    Nakupenda sana Saida Wewe ni Mwanamke mpambanaji sana

  • @bornifacecharles9555
    @bornifacecharles9555 3 года назад +3

    Wabongo Tunapenda maisha mazuri mamaetu anapambana sanaaaaaaaa

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 3 года назад +21

    Ni Mwimbaji Mkonge Na Wakujivunia East Africa.

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 года назад +5

    Nakpenda sana Saida wangu upo vzr sana unatabasamu mamy wangu

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад +4

    Unapokata tamaa ndio uwezo wa Mungu unajidhihirisha🙏🙏🙏

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 3 года назад +12

    Nampenda mno u wazi..God bless u saida

  • @assab3167
    @assab3167 2 года назад +1

    Anajua ❤❤❤

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +5

    Tunakupenda sana jmn rundi kwenye mziki jmn tyumemisi sauti yako jmn

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 3 года назад +2

    Hazeeki mashaallah forever young

  • @wardaheluwa734
    @wardaheluwa734 3 года назад +5

    Watoto sita Mashaallah natamani kama ni wangu

  • @johnjustice6970
    @johnjustice6970 3 года назад +1

    Nakupenda sana Saida Karori

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 года назад +3

    Wig la saida..........mungu mwema u hai

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 года назад +11

    NAMPENDA SNA KAROLI

  • @rosemwambopo3793
    @rosemwambopo3793 3 года назад +1

    Nakupend sana saida

  • @lasttrumpetmission1262
    @lasttrumpetmission1262 3 года назад +2

    Safi sana Saida

  • @zuhurakarabashinze1854
    @zuhurakarabashinze1854 3 года назад +3

    Nakubali sana mama🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️🇧🇮

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 3 года назад +1

    Mweyewe the legend....

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 года назад

    Maashallah mambo yako sio mabaya 💃💃💃💃💃💞💞💞💞💞

  • @milkagaula8289
    @milkagaula8289 3 года назад +5

    I always love Emelda Mtema

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 3 года назад +2

    Nakupenda Sana Dada saida

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 3 года назад

    Ongereni sana Saida Karoli ila tu sema kwa sasa tumemisi nyimbo zako

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 года назад +4

    Hiyo saut mungu kaktunuku sana

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 3 года назад

    Hongera Sana bi said natamani siku moja aje upafom na nandy itakua safi

  • @kenediyusitasi4908
    @kenediyusitasi4908 3 года назад

    Nampenda sana uyo dada

  • @MashMarias
    @MashMarias 8 месяцев назад

    ❤lyk that lady

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 3 года назад +3

    Pole sanaa mama yetu

  • @kikotimedia6638
    @kikotimedia6638 3 года назад +9

    Aliye muona mkali wao akichekea kamera agonge likes hapo

    • @ashuraenock1265
      @ashuraenock1265 3 года назад

      Ongela Sana dada nakupenda Sana kwaukweri wako

  • @kondelamwenyewe872
    @kondelamwenyewe872 3 года назад +5

    Jaman napenda sauti ya saida kaloli

  • @hamisikabei3931
    @hamisikabei3931 3 года назад +4

    Azeeki uyo mamaa

  • @halfanrangadim8764
    @halfanrangadim8764 3 года назад +20

    Aliesikia mtangazaji anasema "OK" aseme 😁

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 года назад +5

    Huyu anapiga sana hela sababu anapiga show kwenye makazi ya wasukuma 😛

    • @christinemerere6420
      @christinemerere6420 3 года назад +1

      😂🤣🤣🤣kwasababu inaaminika wasukuma ni washamba

  • @agatuskazoba1351
    @agatuskazoba1351 3 года назад +5

    Nakubali xnaaaa said

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 3 года назад +14

    Aliemfanyia make up mungu anamuona

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 3 года назад +3

      Hii mekap ya asili......haina ubayaa mbn

    • @gracejohn4442
      @gracejohn4442 3 года назад +2

      😂😂 jaman iyo wanja sana

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 6 месяцев назад

      Kwanza wewe sio muhaya mwenzetu achana nasisi ,au tukushushie dharau yetu ya kihaya

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +14

    Ilo wigi Sasa jmn

  • @winchisilausraulent1614
    @winchisilausraulent1614 3 года назад +4

    Saf sana saida sema tatzo lako saiv unakaa sana kmy uachii ngoma watu tumekumic

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 года назад

    😍😍😍😍😍😍Saida

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +5

    Kipindi nasoma nilisikia sauti ya saida kaloli nampenda mpk leo

  • @mesatagirassane4853
    @mesatagirassane4853 3 года назад +1

    Mama nakupenda sana, na sauti yako

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 3 года назад +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu dada nampenda

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +4

    Sauti ni ike ile jmn ❤️❤️💋💋💋💕💕💕😍😍😍

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 3 года назад +3

    Tatizo mtangazaji hujapangilia interview vzr

    • @benezeuskajwaula7306
      @benezeuskajwaula7306 3 года назад +2

      Hyu mtangazaj huwa nafatilia Sana interview zake Yuko poa Sana sema Leo huwenda mda ulikuwa hauruhusu

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 года назад +3

    Wigi lako jamani Saida!!😃

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 3 года назад +12

    Sauti ileile kabisa ni msanii mkubwa sana

  • @siyeyetv
    @siyeyetv 3 года назад

    Hyo nyma mkali wenu
    Wasukuma kumbe wazur sana

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 6 месяцев назад

      Nani arikwambia Saida msukuma, Ni muhaya

  • @gloryandrew9428
    @gloryandrew9428 3 года назад +9

    Huyu mama hazeeki

  • @erastonyonierastonyoni1193
    @erastonyonierastonyoni1193 3 года назад +4

    Mkali wenu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад +5

    💐💓

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 3 года назад +7

    Uko tarime sehem gan make m nipo tarime

  • @beatricerichard5142
    @beatricerichard5142 3 года назад +1

    Saida me Nakupenda sana ila kwanini Sasa ilo wigi dada

  • @omarimbarakamikidadi1314
    @omarimbarakamikidadi1314 3 года назад +2

    Dada unasaiti TZ hii hamna kwa Age hiyo

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 6 месяцев назад

    Mtangazaji anajierewa

  • @nekoyevayola801
    @nekoyevayola801 3 года назад

    Weeee sauti mwaaa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 года назад +1

    Pole mama wewe ni jasiri wewe ni malkia wa nguvu

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 года назад +3

    Huyu mkali ni chizi katokea wapi tena 😂saida bado uko bomba lete mambo bado umri unaruhusu

  • @gideonmbamange7993
    @gideonmbamange7993 3 года назад +3

    kipindi cha mwanzo me sikujuwaga kama uyu dada nim Tanzania

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 3 года назад +1

    Mimi Niko bize na Wigi tu

  • @elidamathias6713
    @elidamathias6713 3 года назад

    Mmmmmmh hilo wigi sasa Dada angu duuuh

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 3 года назад

    Kijijini ata buku watatoa kweli

  • @sulleyismail9297
    @sulleyismail9297 3 года назад

    dunia hy

  • @piusthobias880
    @piusthobias880 3 года назад +4

    Tetemesha box

  • @lizzybby2392
    @lizzybby2392 3 года назад

    😘😘😘😘😘😘🤩

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 года назад +6

    Hivi hilo Wigi huoni kero/mzigo?! Mmmh...! Urembo mwengine nao mmmh...!
    Kweli ukitaka kumtawala mtu usimtawale mwili bali mtwale akili yake.
    Wazungu wamewacha kutwala/ukoloni wa kutawala mwili wa mwafrika (wamebadili mbinu ya ukoloni) sasa wanatawala akili za baadhi ya Wafrika ni shida...!

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 года назад +1

      Linakaa kichwani kwako

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 года назад

      @@nilansaid2927 😂😂😂

    • @newtontv8834
      @newtontv8834 3 года назад +1

      @@emmanueljoseph2576 sasa wewe wigi lake linakuuma nini ndugu,, huyo ni msanii sasa hyo ni sehem ya bland yake

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 года назад

      @@newtontv8834 mjibu aliecomment au unamwogopa

    • @newtontv8834
      @newtontv8834 3 года назад

      @@emmanueljoseph2576 usijali nimekosea tu hyo sms ikaja kwako ila nilikuwa na mlenga mtoaComent

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 3 года назад

    Mbona wamemvalisha hivyo?

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 9 месяцев назад

    Huyu dada hajapata mtu sahihi wa kumuinua

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 3 года назад +2

    Sasa mkali wenu ametokea wapi😁😁😂🤣

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 3 года назад

    So kwa kujichubua hko

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 года назад

    🤙🤙🤙

  • @dumamnyama5131
    @dumamnyama5131 3 года назад +5

    Weeeeee mkali wenu wewe khaaaaa 😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 года назад

      Waooooooooooooh unanikumbusha ujana said

  • @ericmuthurimaitethia8044
    @ericmuthurimaitethia8044 3 года назад +1

    Miaka mingi sana tangu enzi za chambua kama karanga

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад +6

    Huyo ni mkali 🤣🤣🤣

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 3 года назад +1

    Mmukeise

  • @Khadija-u8u3f
    @Khadija-u8u3f 8 месяцев назад

    Kipind anaimba nilikuw mdogo

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +3

    Kawaje jmn na wanja wake huo

    • @christinemerere6420
      @christinemerere6420 3 года назад

      😂🤣🤣 jaman nilijua nimm tu naushangaa wanja waaina gani

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 года назад

      @@christinemerere6420 muache Dada yangu wa nguvu

    • @christinemerere6420
      @christinemerere6420 3 года назад

      ni sawa bt just for funny bt namuelewa bt huo wanja😂😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 года назад

      @@christinemerere6420 🇹🇿mungu atussamehee🤣

  • @carrenkapia7841
    @carrenkapia7841 3 года назад

    Ilo wigi sasa

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 3 года назад +2

    Wanamuziki wa Tanzania mnakwamia Wapi?,unakuwa staa kwa miaka tele Kisha tena Maisha ya kusikikitisha!,au mkishazipata mazitumbua?

  • @anastaziasebastian2302
    @anastaziasebastian2302 3 года назад

    Aimbe nimsikie sauti yake akiimba nimeimisi

  • @abdulmalikiramadhani8067
    @abdulmalikiramadhani8067 3 года назад

    Niyeye

  • @siyabongakzn9864
    @siyabongakzn9864 3 года назад

    Kavaa kama Sangoma.

  • @tanialucas4579
    @tanialucas4579 3 года назад

    Sauti yake nimeisikia nikiwa darasa la pili hadi sasa bado chuma

  • @simplynashipai2018
    @simplynashipai2018 3 года назад

    Kwani hazeeki nilimskia.nikiwa mchanga sana

  • @HalimaMzalba
    @HalimaMzalba 8 месяцев назад

    Pambee

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 года назад +1

    Hilo ni w igi au furushi la masumba ? na make up km mtoto anachezea make up ya mama .

  • @michaelsaimonmuhojamichael8430
    @michaelsaimonmuhojamichael8430 3 года назад

    Hata Bibi alikuwa binti,penda sana ww.