Kipindi ni kizuri, na topic ni nzuri sana. Ahsante sana IRINE. Sikuyajua haya kabla. Wanawake sasaivi tunaishi na waume wanaohitaji KUSAIDIWA KILA KITU kisha WANATAKA WAHESHIMIWE SANA. JAMANI !!!
Napenda sana maojiano yako dada uko vizuri sana ila watu wako wanapenda uzungu sana mpaka wanaboa wanachanganya inapendeza wamue (1) kutumia kizungu au kiwahili
Moja ya kipindi cha kufungulia mwaka nimekisikiliza Asante sana dada Irene
Charles anahitajika tena
Ur very very sure hivyo ndivyo ilivyo sema wengi tumeangamia kwa kukosa maarifa..... Asante kwa kipindi.
Kipindi ni kizuri, na topic ni nzuri sana. Ahsante sana IRINE.
Sikuyajua haya kabla.
Wanawake sasaivi tunaishi na waume wanaohitaji KUSAIDIWA KILA KITU kisha WANATAKA WAHESHIMIWE SANA.
JAMANI !!!
Kipindi kizuri sana keep up the good work KaMureen
Iren nashukuru sana kwakipindi tunaomba umlete tena I like him
Pindi zuri sana Leo japo cjamaliza kuangalia
I have leard something
Mlete Tena keep moving
Wanaume wa siku hizi wanapenda kunyenyekewa lakini wao hawajui kunyekea wake zao
Safi sana wenye ndowa mpoooo
Nduku Jr ni habri nyingine aiseeeh.. ana vitu vingi sana.. hongera Irene binafsi napenda vipindi vyako
Shukrani sana
Asante sana 🙏
Napenda sana maojiano yako dada uko vizuri sana ila watu wako wanapenda uzungu sana mpaka wanaboa wanachanganya inapendeza wamue (1) kutumia kizungu au kiwahili
Kaka Yuko Vizuri Sana
Very interesting session.
Facts
Naitwa Prisca kutoka mbeya nauliza nawezaje kupata kitabu Cha Charles
Ila kwa dunia ya sasa wanaume wanaona sawa tu kugawa power zao. Kwa kupenda mteremko
😂😂😂 kazi tunayooo
Hi nahitwa luda nahishi south africa na fatiya sana ushahuli weye naweza kupata ivyo vitubu haja?
Asante sana
Nimependa topic, ila kaka yangu hujakutana na wanaume bahili kaka angu. kuna wanaume ni wabahili hadi unajiuliza shida ni nini.
😂😂